Maulid Kitenge Profile Banner
Maulid Kitenge Profile
Maulid Kitenge

@mshambuliaji

1,503,018
Followers
351
Following
29,609
Media
55,027
Statuses

HEAD OF SPORTS WASAFI FM

Joined November 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Hoi baada ya kusikia taarifa kuwa Polisi ndio wanahusika na wizi wa vifaa vya ujenzi mradi wa SGR.
Tweet media one
597
428
8K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Vurugu za Times Square, New York
Tweet media one
244
134
7K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Alhamdulillah binti yangu #shadya_kitenge Amefanya vizuri Matokeo ya Form Six kwa kupata Division 1.6 Mungu aendelee kuisimamia safari yako katika masomo. Siye wazazi wako tunasikia fahari unatuwakilisha vyema sana #shadya_kitenge
Tweet media one
699
171
6K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Today is my birthday!
Tweet media one
596
137
6K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Muwekezaji wa klabu ya Yanga Ghalib Said Mohamed (GSM) amewaahidi Wachezaji wa Yanga kuwapa Tsh 63 Milioni kila mmoja iwapo watatwaa Ubingwa wa (CAFCC) #KitengeSports
Tweet media one
325
320
6K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Leo kwenye Twitter nimefikisha wafuasi milioni Moja, kwa Kifupi mimi ndiye mwanahabari wa michezo mwenye Nguvu zaidi kwenye mtandao huu wenye nguvu Duniani.Tanzania na Afrika Twitter imeamua kuniheshimisha na kunipa ukubwa. Ahsante kwa Heshima,ahsante Mashabiki wangu.
Tweet media one
384
173
5K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Hii tozo ya miamala haijakaa vizuri aisee!
542
275
5K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
5 years
Ahsanteni @efmredio kuwa nami katika wakati mzuri na mbaya.Lakini muda mwingi ulikuwa mzuri sana. Nisingekuwa chochote bila nyie. Nitamiss udugu wetu wa wakati wote ambao tulishirikiana kwenye mapambano pamoja.Mmekuwa watu wa muhimu sana na mnisamehe pale nilipowakwaza.Kwaherini
Tweet media one
Tweet media two
521
331
5K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Tweet media one
133
80
5K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
4 years
Mwizi kaingia kwa Mwandishi wa Habari Farouk Karim akaiba nguo na viatu na akaingia kwenye gari yake akachukua power window lakini hakuondoka tena akalala hapo hapo hadi asubuhi,wenyewe wakamgundua na kuja kuchukuliwa na Polisi.Farouk hii Teknolojia ulotumia naiomba nzuri dah!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
741
532
5K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
UJUMBE wa nyota wa zamani wa Barcelona na Man City, Yaya TOURE juu ya uwepo wa fainali mbili kwenye michuano ya Afrika. ✍️ Wakati umefika kwa mashabiki wa soka wa nchi zetu barani Afrika kudai HAKI YA MICHEZO kwa kuitaka CAF kuwa na mechi moja pekee ya fainali kwenye uwanja wa
Tweet media one
357
394
5K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG Charles Kichere ameendelea kuibuka madudu na safari hii ametuarifu kuwa aliyekuwa IGP Sirro ambaye sasa ni Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe anahusishwa na upotevu wa Tsh bilioni 4.8 ambazo ni fedha za Mfuko wa Maafa. CAG
Tweet media one
338
275
5K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 months
Vijana wangu kabisa hawa @diamondplatnumz @harmonize_tz
Tweet media one
107
164
5K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Bilioni 60 hasara aisee ni afadhali ushushe ndege chini ujenge madarasa watoto waende shule
576
346
5K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Na Mbabe wa Anga @PrecisionAirTz ✈️✈️
Tweet media one
204
73
5K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Football 👏👏
Tweet media one
102
151
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Kiungo Faisal Salum 'Feitoto'ameripotiwa kurejea kunako kikosi cha Yanga SC. Kila kitu kipo sawa na pande zote mbili zitakaa chini kwa ajili ya kuboresha mkataba wake. #KitengeSports
Tweet media one
233
149
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Ahsante Mabingwa wa Nchi @yangasc1935 Kwa heshima hii kubwa🙏 @Caamil8
Tweet media one
99
124
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Haya anayosema Manara leo siye wengine tulisema sana lakini tuliishia kutukanwa matusi ya nguoni na kuambiwa tunatumiwa na Yanga. Leo anayasema aliyekuwa akiyatetea ndani. Wakati sahihi utasema ni jambo la wakati.
438
204
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Hongereni kwa ndoa @mzeewakaliua Baba Mzungu na Mama Mzungu wa Tanzania @EsterMaongezi1
Tweet media one
290
110
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Tumpe ushauri ✍️
Tweet media one
756
183
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
5 years
Hizi ndio picha, lakini haiwezi kusambaa kwa vile hayuko uchi. Picha za kazi kama hizi ni safi kwa ajili ya kuwatia moyo wanadada wapambane na sio kukaa utupu mitandaoni. Mungu atunusuru.
Tweet media one
315
606
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Tumpe asilimia ngapi mchoraji?
Tweet media one
604
64
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
🙏🙏
Tweet media one
170
105
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
9 months
Tunga Sentesi kwa kutumia picha hii✍️ kwani umeona nini?
Tweet media one
329
123
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Ahsante Baba Mzungu @mzeewakaliua kwa mapokezi
Tweet media one
Tweet media two
143
134
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Pure talent🔥🔥🔥👌👏💪🏽
Tweet media one
186
173
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Alhamdulillah Ijumaa nimeipata kwenye Msikiti wa Mtume Al Masjid Al-Nabawi, Madina. Alhamdulillah
Tweet media one
204
104
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Rais Mwanamke Spika Mwanamke Waziri ulinzi Mwanamke Waziri Mambo ya Nje Mwanamke Waziri Afya Mwanamke Waziri Ardhi Mwanamke Waziri ofisi ya Rais Mwanamke Waziri Kazi Mwanamke Waziri Viwanda Mwanamke Waziri Maendeleo ya jamii Mwanamke Kamishna Uhamiaji Mwanamke Wanaume tutulie.
721
382
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Ulikuwa wakati mzuri wa miye kuwa @wasafifm na @diamondplatnumz kwa ujumla. Ahsante sana sana
Tweet media one
Tweet media two
129
121
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
10 months
Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa winga Luis Jose Miquissone kwa mkataba wa miaka 3 atatambulishwa muda wowote kuanzia sasa. Miquissone (27) raia wa Msumbiji anatua klabuni hapo baada ya kuvunja mkataba wake na Mabingwa wa Afrika, Al Ahly kwa makubaliano ya pande zote.
Tweet media one
164
139
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
4 years
Ulikuwa Mkuu wa Mkoa uliyejaa utani lakini makini kwenye kazi naamini unastaafu utumishi wa umma hakika sio Tabora tu watakaokumiss bali watu wengi watamiss vituko vyako! Waswahili wanasema kila jambo lazima liwe na mwisho! Mapumziko mema katika ustaafu wako umeacha alama.
Tweet media one
197
147
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
6 months
Tweet media one
150
85
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Bondia Mtanzania, KARIM MANDONGA 'Mtu Kazi' 🇹🇿 amshinda Kenneth Lukyamuzi wa Uganda kwa pointi za majaji wawili (Split decision) baada ya pambano kali la raundi 8 lilipigwa siku ya Jumamosi. Mandonga ametwaa ubingwa wa PST uzani wa Light Heavyweight ikiwa ni ubingwa wake wa
Tweet media one
96
110
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Happy birthday my daughter @shadya_kitenge . May Allah continue to bless you always 🙏 ❤
Tweet media one
Tweet media two
189
64
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Happy belated birthday Mzee Said Salim Bakhresa. Allah aendelee kukupa umri mzee wetu.
Tweet media one
108
106
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Walichofanya Kamati Kuu Chadema ni kama ule msemo wa mtaani huku kuwa Zege halilali aisee.
153
164
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
4 years
Uzi wa Wananchi, mnasemaje? Mkali..?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
767
149
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Clement Mzize amebadili dini leo Machi 23, 2023 kuwa Muislamu mbele ya kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Omari ikiwa ni siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mzize amebadili jina kutoka Clement Mzize na sasa atatambulika
Tweet media one
364
146
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Duniani watu wawili wawili aisee. Mzee yuko Singida huyu kafanana ile mbaya na Hayati Nelson Mandela, Rais wa zamani wa Afrika Kusini
Tweet media one
310
297
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
4 years
Nishimwe Naomie Miss Rwanda 2020 na Picha ya pili ni Mshindi wa Pili Umwiza Phiona.
Tweet media one
Tweet media two
383
123
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Simba maarufu Kaskazini mwa Tanzania aliyeishi katika Hifadhi ya Serengeti, ‘Bob Junior’ ameuawa baada ya kushambuliwa na kundi la Simba watatu waliokuwa na lengo la muda mrefu la kuuangusha utawala wake, Mamlaka za hifadhi nchini humo zimethibitisha kifo hicho kilichotokea
Tweet media one
460
236
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Leo Kocha Nabi mzuri? Mashabiki mnapaswa kuwa na subra sio kumaliza maneno. Mchezo wa soka unahitaji uvumilivu sana
191
205
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Aisee Yanga TV ina thamani kubwa kuliko 49% ya hisa za Simba? Mliolala amkeni mtengeneze pesa kwenye mpira.
372
157
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Ogopa njaa inayokupanda mpaka kichwani aisee
281
202
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Leo tunaifanya rasmi ibada ya Umrah na tunaianza safari ya kutoka Madina kuelekea Makkah. Mwenyezi Mungu ajalie na aipokee ibada hii. Ameen🤲
Tweet media one
173
73
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Afisa Muhamasishaji wa Yanga Haji Manara ambaye anatumikia adhabu ya kufungiwa miaka miwili na Shirikisho la soka nchini TFF, leo ameonekana City Lounge Hotel ambako inasemekana Simba imeweka kambi kwa ajili ya mechi ya kesho ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga. #KitengeSports
Tweet media one
349
163
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Rais @SuluhuSamia akihojiwa na New York Times amesema kwamba, akiwa Makamu wa Rais,kuna muda ilikuwa ni vigumu kufanya kazi na Rais wa kipindi hicho Hayati Dkt.John Magufuli na kuongeza kuwa alikuwa akipingana naye kwenye mambo mengi ikiwemo kuhusu suala la ugonjwa wa Uviko-19.
Tweet media one
631
222
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Tweet media one
Tweet media two
93
82
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Msinilishe maneno na twitter za ovyo miye nimevuka level hizi wanaonijua watawashangaa kabisa. Nimeondoka vizuri @wasafifm na Nawashukuru sana sana
Tweet media one
404
215
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Kiungo wa klabu ya Young Africans SC Feisal Salum ‘Feitoto’ akiwa katika Mji Mtakatifu wa Mecca kwa ajili ya kufanya ibada ya Umrah. #KitengeSports
Tweet media one
145
94
4K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Kikombe cha Babu mlikunywa bila utafiti, lakini Chanjo ya Corona mnataka utafiti.
586
263
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Mshambuliaji Erling Haaland amejiunga na klabu ya Ashton United inayoshiriki ligi daraja la 7 England kwa mkataba wa mkopo wa siku 28 akitokea Man City Haaland amefikia uamuzi huo kwa ajili ya kujiweka fiti kipindi ambacho nyota wengi wameelekea Qatar kwa ajili ya kombe la Dunia
Tweet media one
202
117
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Mzee wetu kule Dodoma kaamka leo?
244
85
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Kazi imeanza aisee
Tweet media one
164
141
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
4 years
Leo amezaliwa Mtoto wangu Shades Maulid Kitenge! Mungu amkuze binti yangu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
275
55
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Aliyeahirisha mechi mwenyewe anasikitika, vilabu vinasikitika, Mashabiki wanasikitika hata siye waandishi wa habari tunasikitika. Sasa nani atatuokoa hapa? Maana wote tunasikitika aisee.
293
162
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Hivi Wakazi wa Kawe bado mnajiandaa na ile safari ya Birmingham aisee?
347
132
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
4 years
Kwa hili pambano la Mwakinyo,tumepigwa lakini tumeshinda 😆
522
143
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Yaani upinzani haupo Bungeni,Lissu yuko nje,Zitto chama chake Zanzibar ni sehemu ya Serikali,Lema yuko huko 😃Wakina Mdee ndio hao wabunge ukali ukiwa umeisha 😜 Mbowe ndio huyo anajitetea kesi ya Ugaidi. Sasa CCM huyu anasema kuna wahuni ( Polepole) mwingine nchi Itauzwa😳
259
277
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Ni Mwendo wa Samasoti tu
Tweet media one
194
83
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Glad for the Allah to see another year in full health. God is good. Happy birthday to me.
Tweet media one
239
98
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Mwamba Madonga unampa ushauri gani baada ya pambano lake la leo? ✍️
Tweet media one
425
110
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Ufafanuzi kama mabehewa ni mapya au used? kama ni used kwanini Kenya walinunua mapya kwa bei nafuu ilhali sisi tumenunua used kwa bei ghali? na idadi ndogo kuliko za Kenya...Na, kwanini tumenunua used wakati reli ni mpya tumejenga kwa gharama kubwa...? Haya ndio maswali sasa.
288
382
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
4 years
Ukisimamia kwenye haki na ukweli utakuwa huru duniani na akhera.
207
296
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
4 years
Kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi halafu ukaja ukaomba kugombea kwenye Chama huku ulishafanya maamuzi, ni sawa na kuwaambia yale nilifanya kwa vile miye niko upande huu. Inafikirisha, inaumiza na inakuweka pabaya muhusika.
326
304
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Mwisho wa ubaya ni aibu
Tweet media one
180
123
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Happy birthday Mama yangu. Leo ametimiza miaka 74. Allah azidi kumuweka InshaAllah.
Tweet media one
136
73
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
"Huniwezi kiserikali, kifedha na kiuchawi kama unabisha lete mkono tushindane." @geraldhando 😂😂😂😂😂😂😂😂
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
235
116
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
3 hours kabla ya game una badili muda? Sijawahi kuona aisee😳😳
Tweet media one
635
203
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
RASMI : Haji Manara ni wa kijani na njano.
Tweet media one
288
118
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
“Kuna Mtindo umeingia kwa baadhi Ya VWachambuzi ambao wanaona ili kuweza kufikisha Ujumbe Wake inabidi utumie namna flani ya Kuwasilisha ( Kwa Kuponda) . Kwangu mimi hii naona ni kutafuta attention ili watu waone au wafuatilie unachozungumza . Kwa mfano kuna Mchambuzi Mmoja
Tweet media one
305
95
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Legends waanzia maisha hivi👇
Tweet media one
173
109
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Hivi ndivyo maisha yanavyoanza, hakuna anazaliwa tu na kuwa tajiri, labda aukute utajiri ambao nao ulitafutwa. Tengeneza Empire yako kuanzia chini.
Tweet media one
192
184
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Hattrick⚽️⚽️⚽️🔥🔥 Aisee Mayeleeeeeeeeee
Tweet media one
67
89
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Tweet media one
85
72
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
10 months
Ahsanteni Wananchi🤝
Tweet media one
Tweet media two
100
73
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
NAWAKUMBUSHA FOLENI YA LUKU NI JUKUMU LA BABA KWA HIYO MTUACHE MPAKA TURUDI NA UMEME NYUMBANI AISEE 😆😆
119
77
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Alhamdullilah Umrah 🌹 completed Alhamdullilah 🙏
Tweet media one
117
58
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Rais wa Ethiopia, @SahleWorkZewde aligoma kuungana na Viongozi wengine wa Afrika waliotakiwa kupanda basi la pamoja wakati wa mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza. “Nahitaji kiwango cha heshima sawasawa na wanavyopewa wengine” alisema Rais huyo Mwana Mama.
Tweet media one
188
160
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
11 months
TANZIA: Meneja wa Habari wa Mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Ally amefiwa na baba yake Mzazi 'Mzee Ally' usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Juni 17, 2023. Ahmed amesema msiba upo nyumbani kwao maeneo ya Yombo, Dares Salaam, mazishi yanatarajiwa kufanyika Saa 10 jioni ya leo.
Tweet media one
252
132
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Anawazoom aisee
Tweet media one
200
97
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Ahsante Mzee wangu @MzeewakaIiua Nitaitumikia kwa uadilifu wa hali ya juu na unyenyekevu.
Tweet media one
103
82
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
2 years
Leo amezaliwa my first born #shadya_kitenge Happy birthday my daughter Mungu akupe umri uje utulee wazee wako kama siye tulivyokulea.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
259
61
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Kila nafsi itaonja umauti. Hii ilimaanisha sote tutakufa. Hivyo ni suala la wakati tu.
281
160
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
10 months
Una maoni gani kuhusu hii kauli ya @moodewji ??? 🤔
Tweet media one
480
142
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
"Ni muhimu Serikali ilitazame, tunazuia Magari Saa 6 usiku kwasababu zipi? Madereva ni walewale wanaotuendesha sisi na wanaoendesha hayo Magari mengine. Kama kuna mahali pana upungufu tuyafanyie kazi hayo, kama barabara zina usalama na Miundombinu mizuri basi watu waruhusiwe
Tweet media one
196
103
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Washangaaji wameongezeka kwenye sakati la mechi ya Simba na Yanga. Na leo Waziri Mkuu pia anashangaa. Sasa ni rasmi wote nchi nzima sasa tunashangaa.
245
195
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Rais wa heshima wa Simba SC Mohammed Dewji ‘MO’ amezungumzia mahusiano yake na aliyekuwa msemaji wa klabu hiyo Haji Manara na kudai kuwa Manara amekuwa akimtukana na anaendelea kumtukana lakini yeye hana kinyongo naye na kubainisha kuwa amemsamehe na kwamba amemwachia Mungu.
Tweet media one
134
92
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
10 months
Fundi wa soka @YahyaMudathir
Tweet media one
17
82
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Anaandika @scanda24 ✍️ FOOTBALL ECONOMY || Yanga Bingwa. . Kila mwenye macho ameona, Kwangu mimi na moyoni mwangu Yanga atabaki kuwa Bingwa wa Msimu huu. Hii sio Fitna bali ni DHULUMA ya wazi. #KitengeSports
Tweet media one
322
110
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
4 years
Baba yake Lionel Messi tayari yuko Mjini Manchester kwa Mazungumzo ya Mwanae kutua Man City.
Tweet media one
122
73
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt.Pindi Chana akimkabidhi Rais wa Yanga Eng. Hersi Said kiasi cha Shilingi Milioni 15 baada ya Yanga kuifunga TP Mazembe mabao 3-1.Ahadi ya Rais Samia ilikuwa kila bao ananunua kwa Sh Milioni 5 na ametimiza mara baada ya Mchezo huo.
Tweet media one
59
70
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Ulimwengu huu si chochote isipokuwa ni siku tatu tu, kuna jana ambayo tumeishi na haitorudi, kuna leo tunaishi nayo haitodumu nayo itamalizika na kuna kesho ambayo hatutajua tutakuwa wapi. Tuishi kwa wema na kufanya yanayompendeza Muumba wetu.
143
301
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Aisee ATCL hii hasara siyo ya kitoto
219
110
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
10 months
Kiungo Clatous Chota Chama hajasafiri na kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC kuelekea Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya (pre-season) na kwa mujibu wa CEO wa klabu hiyo Imani Kajula kiungo huyo ana matatizo binafsi. Hata hivyo inaelezwa matatizo ya mkataba ndio
Tweet media one
250
111
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
9 months
Msanii @diamondplatnumz kwenye picha ya pamoja na Rais wa Rwanda @PaulKagame @diamondplatnumz alikuwa nchini Rwanda wikiendi hii kwa ajili ya show. #KitengeUpdates
Tweet media one
24
69
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
1 year
Rais wa Marekani, Joe Biden amepiga mweleka jukwaani wakati wa sherehe za kuhitimu za Chuo cha Jeshi la Wanahewa la Marekani huko Colorado siku ya Alhamisi. Biden, ambaye alitoa hotuba ya kuanza na kupeana mikono na wahitimu, alianguka karibu na jukwaa na kusaidiwa haraka na
Tweet media one
320
109
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
4 years
Safarini Washington DC 🇺🇸🇺🇸 usiku huu, ila wale Mashabiki waliochana jezi ya mshabiki mwenzao wamenitibua sana.
Tweet media one
237
57
3K
@mshambuliaji
Maulid Kitenge
3 years
Isiwe Tamaa wala woga wala namna yoyote katika maisha iyumbishe Hadhi yako. Kama umeamini tamaduni ya mahali ulipo basi amini na kuilinda. Ikitokea umeyumba kwa namna yoyote basi unashusha Hadhi yako. Linda Hadhi yako🎯
193
275
3K