Mahakama ya Tanzania Profile Banner
Mahakama ya Tanzania Profile
Mahakama ya Tanzania

@judiciarytz

41,432
Followers
714
Following
947
Media
1,008
Statuses

Ukurasa Rasmi wa Mahakama ya Tanzania

Dodoma,Tanzania
Joined November 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
1 month
Jarida la Mahakama ya Tanzania (HAKI Bulletin) Toleo Na. 21 Januari – Machi 2024. Kupitia Jarida hili wananchi wanapata fursa ya kufahamu mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Mahakama ya Tanzania chini ya uongozi wa Jaji Mkuu wa Tanzania.
Tweet media one
2
1
8
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AFARIKI DUNIA Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Augustino Ramadhani amefariki Dunia leo saa mbili Asubuhi katika Hospitali ya Agha Khan jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Tweet media one
242
152
1K
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
NEMBO MPYA YA MAHAKAMA YA TANZANIA MAHAKAMA YA TANZANIA: PAMOJA TUNABORESHA HUDUMA.
Tweet media one
80
72
397
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda ametoa rai kwa wananchi wa mkoa huo kutembelea Maonesho ya Wiki ya Utoaji elimu ya Sheria yanayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam ili kupata elimu ya sheria.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
74
16
267
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
8 months
THE decision by the President Samia Suluhu Hassan to extend the tenure of Hon. Prof. Ibrahim Hamis Juma as Chief Justice of Tz does not breach the Constitution of the United Republic of Tz, as amended from time to time. This follows the decision of the High Court, Main Registry.
Tweet media one
62
32
224
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma imefanikiwa kwa asilimia 100 kumaliza mashauri yote ya mlundikano na kuvuka kiwango kilichowekwa na Mahakama ya Tanzania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
13
29
216
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania Mhe. Bethuel Mmila amefariki Dunia usiku huu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam. Marehemu Jaji Mmila alikuwa akipatiwa matibabu kwenye hospitali hiyo ambapo alikuwa amelazwa.
Tweet media one
45
24
181
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma amesema ipo haja ya kutoa taarifa fupi kuhusu kesi zenye mvuto katika jamii ili ziweze kueleweka kwa umma.
Tweet media one
18
13
149
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
Mahakama ya Tanzania inapendekeza makosa yote kuwa na dhamana kwa kuwa hatua hii itasaidia kuondoa msongamano wa Mahabusu Magerezani. Jaji Mkuu alisema Mahakama imekuwa ikilaumiwa kwa kuchelewesha kesi lakini kinachosababisha ni upelelezi kutokukamilika kwa wakati.
22
41
134
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Songea imeanza kusikiliza mashauri na kutoa hukumu kwa Mahakama Mtandao yaani β€˜Video Conference’. Mahakama hiyo imeanza kusikiliza mashauri kwa mtandao baada ya za Mahakama ya Tanzania kununua vifaa maalumu vya vya TEHAMA .
Tweet media one
11
20
131
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
1 year
Tweet media one
74
25
117
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma anasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora Mhe. Salvatory Bongole aliyefariki Dunia jana saa 5 usiku baada ya Kuugua ghafla. Taarifa za Mipango ya Mazishi zitajulikana baadaye.
Tweet media one
Tweet media two
19
18
114
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
MAHAKAMA YA TANZANIA INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA ITAFANYA UZINDUZI WA JENGO LA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KANDA YA KIGOMA KESHO, JUMAMOSI SEPTEMBA 19, 2020 SAA 5:00 ASUBUHI. UZINDUZI HUO UTAFANYWA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
17
103
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
1 year
Tweet media one
5
19
104
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA, MHE.PROJESTUS RUGAZIA AFARIKI DUNIA: Marehemu Jaji Rugazia (pichani) amefariki dunia alfajiri ya kuamkia Agosti 04, 2019 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa-Muhimbili jijini Dar es Salaam.Msiba upo nyumbani kwake Kinondoni.
Tweet media one
Tweet media two
17
13
88
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
1 year
Tweet media one
10
10
90
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi amewakumbusha wapelelezi na waendesha mashtaka kuhakikisha kesi za jinai zinakamilishwa upelelezi wake kabla ya kufunguliwa mahakamani ili kuepusha msongamano usio wa lazima magerezani.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
14
14
83
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
10 months
Tweet media one
56
16
84
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
3 months
TANZANIA LAW REPORTS
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
14
82
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Augustine Mahiga ameiomba ofisi ya Rais-Tamisemi kutenga bajeti kwa ajili ya kamati za Maadili za Maafisa wa Mahakama za Mikoa na wilaya ili zitekeleze majukumu yake kwa mujibu wa sheria pamoja na kukutana na kuwasilisha taarifa zake kwa Tume
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
12
80
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akiwa Ofisini kwake Jijini Dar es salaam akimfanyia usaili muhitimu wa Shule ya Sheria (hayupo pichani) kwa njia ya mtandao maarufu kama ”Video Conference” ikiwa ni maandalizi ya kuapishwa kuwa Wakili .
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
15
76
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma, leo amefungua mafunzo ya namna bora ya uendeshaji wa mashauri ya uchaguzi kwa maafisa 282 wa Mahakama wakiwemo Waheshimiwa Majaji jijini Dodoma.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
11
75
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka Mahakimu Wakazi walioteuliwa kuwa Mahakimu Wafawidhi wa Mikoa kuzingatia utawala bora wanapotekeleza majukumu yao ili haki iweze kupatikana kwa wakati.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
10
16
68
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Gereza la Keko Jijini Dar es salaam leo , Januari 15, mwaka huu imeendelea kusikiliza mashauri kwa njia ya Mahakama Mtandao.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
32
71
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
MAJENGO MAPYA YA MAHAKAMA GEITA NA CHATO YAKAGULIWA NA MENEJIMENTI YA MAHAKAMA YA TANZANIA JULAI 13, 2019.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
15
66
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
2 years
TANZIA; HAKIMU MAHAKAMA YA MWANZO ILALA AFARIKI DUNIA Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wake aliyekuwa Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Ilala-Dar es Salaam, Mhe. Benjamin Jackson Mwakasonda kilichotokea leo tarehe 26 Agosti, 2022.
Tweet media one
11
10
66
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
MAHAKAMA YA RUFAA KUSIKILIZA KESI 60 KWA 'VIDEO CONFERENCE' Na Magreth Kinabo Mahakama ya Rufani Tanzania inatarajia kusikiliza jumla ya kesi 60 kwa kutumia mfumo wa mawasiliano kwa njia ya picha maarufu jina la β€˜Video Conference’ kuanzia Oktoba 9 hadi 16, mwaka huu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
20
62
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
1 year
Tweet media one
3
11
63
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amezitaka taasisi zote za utoaji haki nchini kushirikiana katika mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa ili zifanikiwe.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
11
60
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzani, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi (wa kwanza kushoto) akiwaongoza baadhi ya Majaji wa Mahakama ya Tanzania kuubeba mwili wa marehemu , Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Nathaniel Melkizedek Mushi, kwa ajili ya mazishi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
6
61
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
1 year
Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wake aliyekuwa Hakimu Mkazi Daraja la I wa Mahakama ya Mwanzo Kolekero Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Mhe. Tumaini John Kiyeyeu aliyefariki kwa ajali ya gari. Pole kwa ndugu, jamaa na marafiki. Apumzike kwa Amani.
Tweet media one
12
8
60
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi amewataka watumishi wa Mahakama kusimamia maadili wanapotekeleza majukumu yao ya kila siku ili kutoa huduma bora kwa wananchi na kulinda heshima ya Mhimili huo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
14
6
60
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
8 months
Tweet media one
12
10
55
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Wajumbe kutoka Benki ya Dunia wamekagua jengo jipya la Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma ili kuona ufanisi wa mfumo wa haki Jumuishi (intergrated Justice center) ambapo wamepongeza namna Mahakama hiyo ilivyojipambanua kuwahudumia wananchi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
9
49
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
3 years
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma, leo Oktoba 18, 2021 amezindua vikao vya Mahakama ya Rufani vinavyofanyika kwa mara ya kwanza katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Musoma na kusisitiza matumizi ya TEHAMA katika usikilizaji wa mashauri ili kuokoa muda.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
10
52
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi amesema Mahakama inakusudia kupunguza kuwatumia wazee washauri wa Mahakama katika kuamua mashauri Mahakamani na itabaki ikiwatumia katika mashauri ambayo yataonekana yana ulazima wa kuwatumia wazee hao.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
12
51
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
1 year
Tweet media one
0
3
51
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 months
Heri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2024
Tweet media one
1
10
48
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru leo amesaini mkataba wa ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania na Mwenyekiti wa Kampuni ya Reli kutoka nchini China, Bw.Xie Zhixiang Jengo hilo litajengwa kwa muda wa miaka miwili Jijini Dodoma
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
9
46
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
6 years
Baadhi ya Wananchi wakipatiwa maelezo kuhusu Mahakama inayotembea β€˜Mobile Court’
Tweet media one
1
9
43
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
WASAIDIZI WA SHERIA WA MAJAJI WAAPISHWA KUWA MAHAKIMU Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma leo amewaapisha Wasaidizi wa Sheria wa Majaji kuwa Mahakimu Wakazi na kuwataka kutoa maamuzi yatakayoielimisha jamii.
Tweet media one
Tweet media two
0
10
43
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi leo amezindua rasmi jengo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Simiyu na Mahakama ya wilaya ya Bariadi, ikiwa ni hatua ya Mahakama ya Tanzania ya kuboresha miundombinu yake na kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
11
44
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
Mahakama ya Tanzania leo imeingia Mkataba na Shirika la Mawasiliano ya Simu Tanzania (TTCL) utakaowezesha Mahakama kuingizwa kwenye Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano ambapo majengo 157 ya Mahakama nchini yataunganishwa.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
9
39
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
3 months
UTARATIBU WA MASHAURI YA MIRATHI KATIKA MAHAKAMA.
Tweet media one
Tweet media two
0
12
41
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka Mahakimu kuwa na utayari wa kuanza kusikiliza mashauri yanayohusu ardhi ili kutatua changamoto na malalamiko yaliyojitokeza kwenye eneo hilo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
6
38
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
6 months
Jumla ya Mashauri 60 yaliyokuwa yakisikilizwa na Majaji watatu wapya Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga yamesikilizwa na kumalizika ndani ya siku 30 pekee huku yakitajwa kupunguza mzigo wa mashauri ndani ya Kanda hiyo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
6
40
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
2 months
JAJI MAGHIMBI AFANYA UKAGUZI GEREZA LA MIFUGO UBENA BWAWANI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
7
4
40
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
MAWAKILI WAPYA 720 WAAPISHWA NA JAJI MKUU WA TANZANIA Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewakubali na kuwapokea jumla ya Mawakili wapya 720 katika Sherehe ya 60 iliyofanyika mapema Julai 19, 2019 katika Viwanja vya 'Law School of Tanzania' Dar es Salaam
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
9
37
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
6 years
Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha yapata Jaji Mfawidhi, Mhe. Jaji Moses Mzuna, mbali na Jaji Mzuna, Majaji wengine wawili wahamishiwa katika Kanda hiyo ili kuongeza nguvu kazi ya uondoshaji Mashauri na kuboresha huduma ya utoaji haki kwa ujumla.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
3
35
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
2 months
Tweet media one
10
3
36
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi amesema uzuri wa majengo ya Mahakama unapaswa kuambatana na upatikanaji wa huduma bora kwa wananchi. Amewataka watumishi hao kubadili mienendo na tabia zinazokiuka miiko na maadili ili watoe huduma ubora.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
7
34
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
2 months
Ufunguzi wa Mafunzo kwa Majaji wa Rufani kuhusu Matumizi ya Mfumo Mpya wa Usimamizi wa Mashauri (Electronic Case Management System e-CMS) Leo tarehe 04 Aprili, 2024 katika Hoteli ya Rafiki Dodoma. @ikulumawasliano @TZMsemajiMkuu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
3
35
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka watumishi wa Mahakama kutambua wajibu wao na kutumia muda wa kazi ipasavyo kwa kufanya kazi kwa bidii ili kuiwezesha Mahakama kutekeleza wajibu wake wa kutoa huduma bora kwa wananchi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
6
33
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
9 months
Kwa malalamiko, maoni au ushauri wowote kuhusu masuala ya MIRATHI
Tweet media one
1
6
33
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewakubali na kuwaapisha wanasheria 909 kuwa Mawakili na kuwataka kuzingatia kanuni mpya za maadili na kutoa huduma bora za uwakili ili waendelee kuaminika na kuaminiwa na wananchi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
8
34
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amekishauri Chama cha Wanasheria cha Tanganyika Law Society (TLS) kushirikiana na Mahakama ya Tanzania katika kutekeleza majukumu yake.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
9
33
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
1 year
Jaji Kiongozi Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Mustapher Mohamed Siyani ameongoza sherehe ya kuwaaga kitaaluma Majaji watatu wastaafu wa Mahakama hiyo ambapo amesema kwamba, Mahakama itaendelea kusimamia haki katika utendaji kazi na kuwaomba wananchi kuwa na imani na Mahakama.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
5
34
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Mahakama ya Tanzania imeanza ujenzi wa majengo sita ya vituo Jumuishi vya utoaji haki katika mikoa mitano nchini ikiwa ni hatua ya Mhimili huo ya kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
11
34
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
2 years
Tweet media one
1
8
33
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
6 years
Mafunzo ya Maafisa Habari wa Mahakama yameingia katika siku ya pili ambapo washiriki hao leo wameendelea kujifunza kuhusu matumizi sahihi ya Mitandao ya kijamii na kupitia kwa pamoja Sheria ya Huduma za Habari na Kanuni zake.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
8
32
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
3 months
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
13
33
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
2 months
MAHAKAMA MANYARA YAFANYA UKAGUZI WA MAHAKAMA NA MAGEREZA
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
10
2
32
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
2 years
Wadau wa Mahakama, Kanda ya Kigoma wameonesha kufurahishwa na Mahakama Kanda hiyo kwa kufanikiwa kumsikiliza shahidi kwa njia ya mtandao β€˜video conference’ katika kikao cha kesi za Mauaji kinachoendeshwa chini ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu wa Kanda hiyo Mhe. Lameck Mlacha.
Tweet media one
Tweet media two
10
4
32
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
2 years
Tweet media one
1
5
30
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akiongoza kikao cha Baraza la Elimu ya Sheria la Tanzania Bara, kwa njia ya Mkutano Mtandao leo Jijini Dar es Salaam huku baadhi ya wajumbe wawili wakishiriki kwa mtandao nje ya jiji hilo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
3
31
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
Mahakama ya Tanzania kupitia Matangazo ya Serikali namba 111 na 112 ya Mwaka 2019 inautangazia Umma kuwa Jaji Mkuu ameanzisha Kanda Mpya za Mahakama Kuu za Musoma na Kigoma kwa lengo la kusogeza huduma za utoaji haki kwa wananchi. Mahakama hizo zimeanza rasmi Februari 1, 2019.
Tweet media one
Tweet media two
2
10
32
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameitaka Mahakama ya Tanzania kutumia miundombinu iliyojengwa ili kuimarisha huduma za utoaji haki nchini. Rais ameyasema hayo alipokuwa akizindua jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
1
32
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
8 months
Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga, Mhe Seif Kulita, amewataka watumishi wa Kanda hiyo kuhudumia wananchi kwa lugha zenye staha na kwa kuzingatia Uadilifu, Weledi na Uwajibikaji kama ilivyo salam ya Mahakama ya Tanzania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
2
31
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
25 days
KHERI YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI.
Tweet media one
0
6
31
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dodoma Mhe. Mustapher Siyani amesema kuwa mageuzi makubwa yanayofanywa na Mahakama hayatafanikiwa ikiwa watumishi wa Mahakama hawatakuwa waadilifu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
3
30
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
7 months
Tweet media one
1
19
31
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
2 years
Tweet media one
3
5
30
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Mwili wa aliyekuwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Augustino Ramadhani umezikwa leo katika makaburi ya familia yaliyopo Kimara King’ong’o baada ya ibada ya kumuaga iliyofanyika katika kanisa la Anglikana la Mt. Albano jijini Dar es salaam.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
7
31
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Mahakama ya Tanzania imeanza kutumia teknolojia maalumu ili kumwuwezesha Jaji kusikiliza kesi akiwa ofisini bila ya kufika chumba cha Mahakama ya wazi au cha chenye vifaa vya Mahakama Mtandao β€˜Video Conference' Aprili 21, mwaka huu katika Mahakama ya Rufani Tanzania.
4
9
30
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
3 months
Tweet media one
2
4
26
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
2 years
STAY TUNED.
Tweet media one
1
3
30
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Mkuu wa Wilaya ya Longido mkoani Arusha Bw. Frank James Mwaisumbe amesema uwepo wa jengo jipya la Mahakama ya wilaya ya Longido ni suluhisho wilayani humo kwa kuwa itasaidia kutatua migogoro iliyokuwa yakiamuliwa kijadi na kuacha manung’uniko kwa ustawi wa jamii.
Tweet media one
Tweet media two
3
5
30
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
3 months
Tweet media one
2
6
30
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Mahakama ya Tanzania inaendeleza kwa kasi ujenzi wa majengo sita ya vituo Jumuishi vya utoaji haki ikiwa ni hatua ya Mhimili huo ya kusogeza huduma karibu na wananchi. Vituo hivyo vinajengwa mikoa ya Arusha, Mwanza, Dodoma, Morogoro na Dar es salaam wilayani Kinondoni na Temeke.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
2
27
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Watumishi wa Mahakama ya Tanzania na Mawakili wamehimizwa kuwa mstari wa mbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kupunguza msongamano wa watu mahakamani, kuepuka maambukizi ya virusi vya Corona na kuokoa gharama za utoaji haki.
Tweet media one
2
4
28
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
1 year
STAY TUNED.
Tweet media one
1
6
29
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
1 year
JAJI MKUU KUKUTANA NA WANAHABARI KUZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA WIKI NA SIKU YA SHERIA NCHINI, 2023. TAREHE 10.01.2023 UKUMBI: KITUO JUMUISHI CHA UTOAJI HAKI TEMEKE-DSM, SAA 3 ASUBUHI. MKUTANO HUO UTARUSHWA MUBASHARA TBC1. STAY TUNED.
Tweet media one
1
12
28
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma ameiomba Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa-Takukuru kuyafanyia uchunguzi wa kina malalamiko ya rushwa wanayopokea kama yanatokana na wananchi kutofahamu taratibu za Mahakama au ni kweli ya tuhuma za rushwa .
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
9
28
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
1 year
STAY TUNED.
Tweet media one
1
6
27
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
1 year
STAY TUNED.
Tweet media one
0
6
28
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
6 months
Heri ya Miaka 62 ya Uhuru
Tweet media one
0
4
28
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
1 year
Mahakama ya Tanzania imeandaa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari za Mahakama kwa kuelimisha, kuhabarisha na kutoa taarifa sahihi kwa umma kuhusu shughuli mbalimbali za Mahakama.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
5
26
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
TANZANIA YA KWANZA KUTOA HUDUMA, MAHAKAMA INAYOTEMBEA:Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza Barani Afrika kuanzisha huduma ya Mahakama inayotembea β€˜Mobile Court’ lengo likiwa ni kusogeza huduma za Mahakama karibu zaidi na wananchi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
7
26
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
2 months
Tweet media one
0
0
28
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
2 years
Tweet media one
5
6
27
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
1 year
Tweet media one
1
1
27
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji Kingozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi amewataka Majaji wa Mahakama Kuu pamoja na Mahakimu wote kuhakikisha wanasikiliza mashauri yanayohusu Mirathi yaliyofunguliwa muda mrefu na kuyamaliza ifikapo mwezi Disemba mwaka huu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
2
25
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka Majaji na Mahakimu kutoa maamuzi ya kesi zinazohusu uchaguzi kwa uwazi, haki na bila upendeleo wowote ili kulinda heshima ya Mhimili wa Mahakama.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
4
27
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga, leo imetoa maamuzi madogo ya maombi ya dhamana ya Mbunge wa Kishapu Mhe. Seleman Masoud Seleman, maarufu (Nchambi) na Mkewe Aisha Soud. Maombi hayo yalisikilizwa na kusomwa maamuzi yake kwa Mahakama Mtandao (video conference).
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
4
26
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
4 years
Ibada ya kumwuaga aliyekuwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, marehemu Augustino Ramadhani, iliyofanyika leo katika Kanisa Kuu la Anglikana la Mtakatifu Albano lililopo Jijini Dar es Salaam.
3
6
26
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
1 year
Majaji watatu wa Mahakama Kuu ya Tanzania leo tarehe 4.5.2023 wameaagwa kitaaluma baada ya kustaafu utumishi wa Umma kwa kujibu wa sheria, wamesisitiza watumishi wa Mahakama kuendelea kufanya kazi kwa ushirikiano, weledi, uadilifu na upendo ili kutekeleza jukumu la utoaji haki
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
4
27
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
BENKI YA DUNIA YAIPONGEZA MAHAKAMA KWA MABORESHO Benki ya Dunia imeipongeza Mahakama ya Tanzania kwa kufanikiwa katika mradi wa maboresho ya Mahakama ikiwemo Mahakama kuzipitia sheria na kanuni zaidi ya 50 na kuzifanyia marekebisho ili kurahisisha utoaji wa haki nchini.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
6
26
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
Mahakama ya Tanzania kwa mara ya kwanza imeendesha kesi kwa kutumia mfumo wa Mawasiliano kwa njia ya picha za video β€˜Video Conferencing’ kwa kumsikiliza shahidi akiwa nchini Ufaransa. Kesi hiyo imesikilizwa leo katika kituo cha Mafunzo cha Mahakama-Kisutu jijini Dar es Salam
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
9
26
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
3 months
Watumishi wanawake wa Makao Makuu Mahakama ya Tanzania wameungana na wanawake wenzao katika sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani leo tarehe 08 Machi, 2024, ambapo kwa upande wa Dodoma sherehe hizo zimefanyika katika viwanja vya Chamwino.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
3
25
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
5 years
MAHAKIMU WATAKIWA KUZIPITIA SHERIA ZA UCHAGUZI Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka Mahakimu nchini kuanza kuzipitia Sheria na kanuni zinazohusu uchaguzi ili kujiandaa kusikiliza kesi zinazohusu uchaguzi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
7
26
@judiciarytz
Mahakama ya Tanzania
1 year
STAY TUNED.
Tweet media one
5
3
26