Jake’s girlfriend
6 years
Kwa jam, watu wa magari kubwa kama v8 na range rover wanauziwa property magazines.
Watu wa gari ndogo kama premio na NZE wanauziwa ndizi, jumper cables na alphabetical charts.
Sisi Watu wa matatu tunauziwa dawa ya mende, kunguni, minyoo na mitego ya panya. Smh
😕