#Combatant
,teacher by professional(BAED),Analyst,adovocate(a voice to the voiceless),political figure,young Marxist,Next Mp, Father, mhazini Bavicha Ukonga
KWANINI KUMCHANGIA MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA TAIFA MH.
@TunduALissu
ni lazima na si hiari kwa Wapiganaji?
Historia ya mapambano ya kudai haki katika nchi hii haiwezi kuandikwa na kukamilika bila kulitaja jina la Tundu Antipas Mughwai Lissu.Mchango wa gwiji huyu katika siasa
Tayari makamanda tuko barabarani kwa ajili ya kuandamana kupinga mkataba wa kinyonyaji ambao kwa tafsiri yake hauna tofauti na mkataba aliowahi kusaini Chief Mangungo wa Msovero zaidi ya miaka 100 iliyopita dhidi ya muwakilishi wa Ujerumani Sir Karl Peters.
Wanaotukataza tusiandamane tunataka watambue mambo haya.
1.Tunaadamana kwa Amani kulinda maslahi mapana ya Taifa letu mama 🇹🇿
2.Tunaandamana kwakuwa katiba yetu imetupa hiyo haki ya maandamàno.
3.Tutaandamana kwakuwa sisi wananchi ndio wenye mamlaka yote ya nchi.
4.Hatuandamani
Moja kati ya wanasiasa Bora sana Karne ya 21 kwa ustawi wa demokrasia hapa nyumbani 🇹🇿 huwezi kuacha kumtaja mh.
@TunduALissu
.Anaoja, anajiamini,ana misimamo isiyoshaka wala kuyumba na pia ni mbobevu wa sheria.
Tumtakie weekend njema yeye na mke wake mama
@aliciamagabe
"Mageuzi yoyote duniani yalianzia kwenye miji mikuu.Mageuzi ya Kenya yaliazia Nairobi, mageuzi ya Zambia yalianzia Lusaka, mageuzi ya Malawi yalianzia Lilongwe.Mageui ya hapa nyumbani🇹🇿 lazima yaanzie Dar es salaam"Freeman Aikael Mbowe
Nape Nnauye kauli ambazo umezitoa bungeni Leo wakati ukichangia kuhusu kuridhia mkataba wa TPA na DP world sio za kiuungwana.Rejea katika mapito yako unaotaka washughulikiwe walikuwa mstarinwa mbele kukupazia sauti wakati ulitaka kusgughulikiwa.
Wema ni hakiba kaka.
From Dar es salaam 🇹🇿 I greeting you H.E
@TunduALissu
from Loven Brussels,Belgium I wish you a very welcome as you are on your way back home for party job.
Kwa jinsi nimeona comment za upendo dhidi ya kiongozi wa upinzani MH.
@TunduALissu
baada ya kukabidhiwa gari yake nadhani Watanzania wapo tayari kwa kumchangia anunue gari lingine jipya.
@MariaSTsehai
Huyu mwamba anaitwa Elias Rukwago ndiye Peter Kibatala wa Uganda kwenye kuwatetea wanasiasa wa upinzani mahakama za juu za nchi hiyo hasa zaidi wa chama kikuu cha upinzani cha meya wa jiji la Kampala.
Tumtakie kila lakheri kwenye siku yake ya kuzaliwa.
Breaking News.
Tunajulishwa kwamba kuna baadhi ya wanaandamanaji wamekatwa maeneo ya Mnazi mmoja.Tutawajulisha kadiri tutakavyoelezwa idadi yao.
Hatutarudi nyuma.
We start the day like this.
Mwenyekiti wa
@ChademaTz
taifa
@freemanmbowetz
akiwa amezungukwa na maelfu ya watz waliokuja kusikiliza hotuba yake kwenye mkutano wa hadhara.Hawa hawajalipwa hata senti moja.
Nitaunguruma mchana wa Leo katika viwanja vya Mambo sokoni Kata ya Sunga Kijiji Cha Mambo tarafa ya MTAE Jimbo la Mlalo wilayani Lushoto.
@SaidiJumaa10
Kaka
@HEBobiwine
ninataarifiwa kuwa leo unatimiza miaka 42 tangu kuzaliwa🇺🇬 iliyoangushwa kisiasa na familia moja.Mapambano yako dhidi ya utawala wa kidhalimu yamekuunganisha&familia kubwa ya wa🇺🇬 wakakuamini uwaongoze katika mapambano haya.Hongera pokea salamu hizi kutoka DSM🇹🇿
Kaka
@HecheJohn
hakika wewe statesman nimesikiliza press yako hakika nimejikuta nakuwa na spirit ya changes mno mana nikweli hili tabaka tawala linatunyonya kupitiliza.Limeshindwa kutendea haki Kodi zetu zaidi ya kuzitumbua na kugawana mafungu kwa mafungu.Lakini kama aishivyo
Muda huu wakazi wa Temeke wakiandamana kumpokea makamu mwenyekiti wa
@ChademaTz
mh.
@TunduALissu
kuelekea viwanja vya Mwembe Yanga ambapo atahutubia maelfu ya Watanzania.
Muda huu gari ya matangazo ikiingia mitaa mbalimbali ya Kijiji Cha Mambo kata ya Sunga.Tutawatangazia watz kwamba
@ChademaTz
ndio mbadala wa matatizo yao.
Ajenda kuu tutakazohubiri ni
Ugumu wa maisha uliosababishwa na CCM,umuhimu wa kupata katibampya na Tume huru ya uchaguzi.
Changia ununuzi wa gari la kisasa kwa ajili ya shughuli za kisiasa kwa makamu mwenyekiti
@ChademaTz
MH.
@TunduALissu
.Nguvu ya buku inawez kutupatia v8 land cruiser GXR new model akafanya kazi ya kitaifa.
Mimi nitachangia wewe je?
Miaka 42 iliyopita huko Tarime, mkoani Mara alizaliwa kijana machachari na mwenye misimamo mikali dhidi ya uminywaji wa haki muumini wa demokrasia na utawala bora .Nakutakia maisha marefu kaka
@HecheJohn
We start the day like this.
Kutoka Arusha huyu ni Baba Boni moja kati ya wazee wenye misimamo isiyotia shaka katika siasa za upinzani .Leo anaupamba ukurasa wangu.
Heri ya siku yako ya kuzaliwa mh.
@TunduALissu
mpiganaji wa siku zote.Tunakukaribisha kwa moyo mkuu urudipo nyumbani hapo 25/1/23.Ni matuamini yetu kwamba utatuvusha.
Jana limepigwa bonge la mazungumzo magumu na Baba Raila Odinga kiongozinwa Azimio nchini KENYA na ndugu
@chiefodemba
hakika Star TV na Tanzania Kuna kila sababu ya kujivunia watu kama Odemba.
Ungana nami katika maombi ya kumuombea gwiji wa hip hope na jabali la siasa za upinzani nchini Tanzania
#Josefu
Haule a.k.a
@profJay
katika kipindi ambacho anapigania afya yake.Mungu endelea kuipa faraja familia ya mzee Haule watie moyo wawe na tumaini.
Zab:23:1-8
Hasira tulizo nazo dhidi ya maisha magumu zinatupa nguvu na morali ya kuandamana kuushinikiza utawala kutafuta jitihada za haraka na za makusudi kututoa kwenye mkwamo wa kiuchumi.
Kama mimi pamoja na miguu yangu kutokuwa mizima lakini ninaandamana wewe mwenzangu ardhi yako l
One men army in the fight against dictatorship in Uganda Mr. president
@HEBobiwine
is live performing and singing a song with lyrics 🇹🇿🇺🇬.This is very interesting to be a musician and a the same time being freedom fighter.
@One_PiusJadwar
@SeraTheActivist
@brucenahabwe1
@KakwenzaRukira
I from Dar es salaam ,Tanzania suggesting you to resend that money to the family of Olivia Lutaaya a mother of two children who is still in the dungeons of military detention.Thank you very much sir.
@ayubu_madenge
Twaibu¡Amejawa na tajamala zenye ihsani na ni mjuvi wa tamathali za semi zenye tungo sanifu na fikirishi hasa ukirubaa kwa fikra tunduizi🤣🤣🤣
Anaitwa Freeman Aikael Mbowe a.k.a Baba wa demokrasia Tanzania.
Juhudi zake na misimamo ndiyo imenifanya niamue kumpa zawadi ya kumuita kijana wangu FREEMAN
@ChademaTz
Hali ya maisha inatisha huu mkate mkubwa na huo mdogo bei yake hapa Dar ni
Sh.3300 kwa mkate mkubwa
Sh.1700 kwa mkate mdogo
Familia nyingi zina watu wanne mpaka nane.
Tuende wapi kama wabunge wanagonga meza tu Bunngeni?
@HecheJohn
@MariaSTsehai
My best photo of the day.This is group of VIP leaders of the
@NUP_Ug
led by
@HEBobiwine
today at the
#NUP
headquarters in Kamwokya Kampala after the security agencies blocked them to attend the event of inaguration if their new office in Kavule,Makerere.
Siku ya tar 19/6/2023 haitasahaulika katika historia ya maisha ya watanzania walio wengi maelfu kwa maelfu.Vijana wa Tanzania kwa mapenzi na uzalendo uliotukuka waliamua kusimama katika zamu yao kuhesabiwa pamoja na wazalendo waliolala kuelezea fikra zao kwa kufanya maandamano ya
We start the day like this.
The family of the chief opposition leader on the 11th parliament,former MP at Hai constituency,chairman of the largest opposition party in Tanzania HE. FAM
Kazi iliyofanywa na viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma imetukuka.Ndani ya siku sita tangu kuzinduliwa kwa operation +255
#Katibampya
Tumeuona mkono wa BWANA.
Maisha marefu Kaka mkubwa
@ExMayorUbungo
nikiona hayo madevu naikumba historia ya mpiganaji wa UNITA Jonas Tsavimbi miaka ya 1975 kule kusini mwa Angola na kaskazini mwa Namibia.
Happy birthday bro Boni yai
Baada ya MAHAKAMA YA JUU MBINGUNI ambayo hakimu wake ni MUNGU,MAHAKAMA inayofuata ni mahakama ya WATU hii haizuiliwi Wala kushindwa na mahakama yoyote.
People's power,our people
Tar.25-1-2023 nitawasili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere nikitokea Brussels,Ubelgiji Kuupitia Addis Ababa, Ethiopia.Nitashukuru kwa mapokezi yoyote mtakayoyafanya"Mh.Tundu Lissu
Tayari Watanganyika huru tumeshatua kwenye viwanja vya Buriaga,Temeke kwa ajili ya kusikiliza nondo kutoka kwa magwiji ya siasa za upinzani nchini.
#Katibampya
#Okoabandarizetu
Nawapongeza sana wanachama wa M4C Kanda ya magharibi Kigoma,Tabora,Katavi,Simiyu na Kagera kwa kujitokeza kwa wingi kwenye kikao cha viongozi Kanda ya magharibi..
@Rubibiidrisa
,
@KangetaIsmal
,
@ShundoGaston
Je Sirro kuondolewa kwenye nafasi ya IGP na kutupwa ubalozini Zimbabwe bila kuagwa kijeshi (kipolisi) ni ishara gani hii kwamba tulikuwa tumekosa mtu wa kutuwakilisha mjini Harare kiasicha kuharakisha uteuzi?Juzi CDF Meja jenerali Venance Mabeyo alimaliza muda wake na kuagwa
Baadhi ya viongozi wa kamati kuu ya chama cha demokrasia na maendeleo CDM wakiwa kwenye kikao cha ufunguzi kilichofanyika leo jijini Dar es salaam kikiongozwa na mwenyekiti wa chama taifa mh.
@freemanmbowetz
@IAMartin_
Martin Maranja Masese hii ndio tafsiri sahihi ya kijana msomi katika ardhi ya wasomi wengi waliolala.Umeweza kuonyesha uhalisia wengi wasiouelewa.Tupate vijana 500 tu aina yako kidha tusome maandiko ya Yakoub Sano,Ibn Al Khadun,Steve Biko,Janan Luwum,Bishop Tutu na wengineo.
Hii picha itadumu vizazi na vizazi.Picha hii inasadifu mengi sana katika kupiginia haki na utawala .Lissu anaandika historia katika Dunia kuwahi kuwa mwanasiasa machachari aliyepigwa risasi nyingi mwilini lakini akaendelea kuishi.Hakika Lissu ni muujiza.
Anaitwa Benson Shingo Masalamakali Kigaila Naibu katibu mkuu
@ChademaTz
bara wakati akichangia maoni yake kuhusu miswada ya sheria ya uchaguzi iliyowasilishwa,bungeni juzikwenye kikao cha Baraza la vyama vya siasa Jijini Dar es salaam.
Sikiliza
@HKigwangalla
Mimi nakufundisha sasa kwa mujibu wa katiba yetu ya 1977 ibar.8(a,b&c) serikali unapata mamlaka yake kutoka kwa wananchi,pia itawajibika kwa&tatu s/Kali ndio inajukumu la kustawisha maisha ya waajiri wake(wananchi)haya mawazo hata
@Lumola_Steven
amekuzidi.
Congratulations Mr. President
@HHichilema
for showing us what leadership is and what leaders are supposed to do.
Bob Marley once said "in your bright future you can forget your past"
Psalm:23:1-8
Kama maandamano yaliyopangwa kufanyika 24/01/2024 yanagusa matatizo ya wananchi wa 🇹🇿&mimi ni mta🇹🇿 nitashiriki.Vilevile kama wanaoandamana wanatimiza wajibu wao kikatiba wa kushinikiza serikali iheshimu maoni yao tuwaunge mkono.
#Nitashirikimaandamano
@MariaSTsehai
@HecheJohn
Kabla ya kuingia Jumapili siku takatifu ninaomba likes za kutosha na retweet 1000 kwa hawa vigogo wa chama kikuu cha upinzani nchini
@ChademaTz
mh.
@freemanmbowetz
na mh .
@TunduALissu
Muda huu makamanda wote tuliokamatwa tayari tumetoka central Dar es salaam ambako tumeripoti kwa takribani week nne Sasa .Wanetuambia tulipoti Tena ijumaa ijayo wakati huo bado wanashikilia simu zetu.
Muda tuko kwenye daladala kuelekea makao makuu ya
@ChademaTz
.
My brother
@KakwenzaRukira
was tortured by the MIC operation under the order of M7 he was injured in every corner of his skin and finally flees the country to Malawi and later on German.We good people from 🇹🇿 are praying for his relief.Psalm:23:1-8.
@HKigwangalla
Kigwangala mm nakushangaa uanatambua taasisi zetu zina matobo mengi katika utekelezaji wa Sheria kwanini huhitaji
#katibampya
?kwanini hujakemea juu ya miswada mitatu ambayo iko bungeni mana haijajibu matatizo yetu ya muda mrefu kama nchi?kwanini hujaunga mkono maandamano?
Karibuni kwenye duka kubwa la jumla la nguo maarufu kama duka la "MAMA CHADEMA" utapata nguo mbalimbali za watoto na watu wazima pamoja na uniform za shule mbalimbali.
@ChademaTz
@IAMartin_
@HildaNewton21
Mawasiliano ni 0789396144
Aggrey/Kongo Kariakoo,Dar es salaam.
When free country is allowing ze break of D'cy principles it is where the affairs of its citizens falls into the state of agencies have directed under our laws to ensure peace&harmony &security.NotTomess with the life of'the pple through political gimmick
Kinachoripotiwa na
@HecheJohn
juu ya hali ya mto mara unaomwaga maji yake kwenye ziwa Victoria na ikumbukwe kuwa samaki wa ziwa Victoria wanatumiwa kama chakula na watanzania wengi na nje ya nchi hivyo waziri mwenye dhamana anapaswa atoe ufafanuzi juu ya hali hiyo
@ChademaTz
Hao vijana waliopanga kufanya maandamano kupinga mkataba wa bandari kati ya yetu na Dubai msije mkawazuia kufanya maandamano yao kwakuwa yanalindwa na sheria za Tanzania.Waacheeni waniletee maoni yao mana nilisema mwenyewe kwamba serikali ya inahitaji wakosoaji.
#Maandanonilazima
Siku ya Bwana ya tisa baada ya utatu.
Msienende kama watu wasio na hekima bali wenye hekima.
@freemanmbowetz
,
@JamesMbowe4
Nawatakia jumapili njema Watanzania wote🙏🙏🙏
Vita inayoendelea kati ya hawa watu
@frediejustine
@IAMartin_
@Ntobi_
mbaya ukizingatia ni watu wako kwenye taasisi moja inayoamini ktk mageuzi.Hatukupaswa tufikie that level of confrontation wakuu.Malizeni tofauti zenu tujenge taasisi tuchukue dola.Niko tayari kuwa third part