Wapwa leo tumefikiwa🔥 Repost Challenge.
Leo nataka nisambaze upendo kwenu nitatoa GIVE AWAY ya TECNO SMARTWATCH PRO 2, yenye thamani ya 120,000!
1. Qoute tweet post yangu tag mtu mmoja unaetamani hii SMARTWATCH na sababu gani?
Repost Nyingi zaidi yatakuwa Mshindi 24hrs.👇
Huyu jamaa Black nilipiga nae Kikosi kimoja MTABILA OP Kikwete nimepata mshangao sana kuona anauza madafu 😂😂
Then mwamba tulichana nae Mkataba sasa vp au alijipata
CHALLANGE ACCEPTED 👇
NITATOA VOCHA YA 10K KWA AMBAE COMMENT YAKE HAITAPATA LIKE WALA REPLY MWISHO WA CHALLENGE NI LEO SAA TATU USIKU HERE WE GO.
Nb.UNARUHUSIWA KUCOMENT ZAIDI YA MALA MOJA✊
“Moja ya watu wenye akili ndefu sana katika Tasnia ya media…Joseph kusaga
Ni lini ulitambua huyu ndio Mwenye Wasafi Tv,Wasafi redio.Mwambino anavimbia Tu pale 😂
Anaejua kingereza kilichonyooka vizuri anisaidie kwa comment hapo kuandika “Mimi na wewe basi sina muda tena wa kubembeleza Mapenzi”
Nakazi nayo muda huu Plz 🙏
@IdrisSultan
Hili ni Duka nililopambana kwa nguvu zangu toka mwaka jana naomba kushinda hiyo pesa ili kuliendeleza kwa hapa lilipofikia niweze kununua mahitaji mengine 🙏