@datius_tz
Homeboy Tz
3 months
Mpaka dunia inaisha hakutakaa itokee Album kali ya Bongofleva kama Hii. Konde humu aliandika bhana๐Ÿ™Œ
Tweet media one
90
53
873

Replies

@Sisimizi3
Dr. Sisimizi
3 months
@datius_tz Sana aiseeeee
1
0
1
@datius_tz
Homeboy Tz
3 months
@Sisimizi3 Bedroom ๐Ÿ™Œโœ…
0
0
3
@MrIQ_01
Mr. IQ
3 months
@datius_tz Home boy una content kisengee ๐Ÿ™Œ, follow back mkuu ๐Ÿ™ niendele kupata madni yako vzur
1
0
8
@datius_tz
Homeboy Tz
3 months
@giantrjh Done familia ๐Ÿ’ช
1
0
3
@MkoloniB
Mkoloni ๐Ÿ™Œ
3 months
@datius_tz ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
1
0
1
@datius_tz
Homeboy Tz
3 months
@MkoloniB Kuna ngoma inaitwa Mpaka kesho ๐Ÿ™Œ
3
0
4
@EssauRachel
ladymorgana๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น๐Ÿฉธ
3 months
@datius_tz nakubal โญโญโญ
1
0
1
@datius_tz
Homeboy Tz
3 months
@EssauRachel ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
0
0
0
@bahati_yakigulu
Bahati Yakigulu
3 months
@datius_tz Mpaka kesho I miss you ft blue Bed room Mama
2
0
13
@datius_tz
Homeboy Tz
3 months
@bahati_yakigulu Oya hii album sijawai ona ๐Ÿ™Œ
0
0
4
@Elsen477
Nyange_CEO
3 months
@datius_tz Konde boy simdai kitu kwenye bongofleva tangu alipotoa hii album
1
0
11
@datius_tz
Homeboy Tz
3 months
@Elsen477 Hata mm kaka
0
0
0
@SaigonJr1
saigon ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
@datius_tz Album ya ferooz (safari) Kuna j.o.s.e.p.p.h ya prof j .... Oya rekebisha kauli ....sema album zake ndo hatapata Kali kama hyo
3
0
12
@datius_tz
Homeboy Tz
3 months
@SaigonJr1 Hujui mziki kaa kimya
3
0
15
@thisisKaunda
KAUNDA
3 months
@datius_tz Anaekataa akameze moto.
2
0
3
@datius_tz
Homeboy Tz
3 months
@thisisKaunda ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
0
0
1
@HonFaustin
ร€๐”ฝ๐•Œ๐•„๐”ธโšš
3 months
@datius_tz Hii ndio albamu bora ya konde na sidhani kama yeye mwenyewe ataivuvunja rekodi yake na toka nimepata akili ya kutambua mambo hii albamu ndio kali kuliko zote bongo
1
1
28
@datius_tz
Homeboy Tz
3 months
@HonFaustin We jamaa umeandika ๐Ÿ’ฏ
0
0
5
@Itsmekelvinjohn
Itsmekelvinjohn
3 months
@datius_tz Wewe unajua Mziki Kaka ๐Ÿ˜€, chukua maua yako.
1
0
5
@datius_tz
Homeboy Tz
3 months
0
0
1