@datius_tz
Hiyo Hela haitoshi kwa biashara zote hizo labda kama anayo eneo au frame ya kufanyia hiyo biashara bila Kodi! Kuhusu car wash ndo haitoshi kabisa mkuu!
@HamadKivuyo
Biashara zote hapo pesa inatosha inategemea na unataka uanze vp acha kupotosha umati,2milion Tu inatosha kufungua car wash Tatizo unataka uanze kwa ukubwaβ¦unafeli na nidhahiri huna akili ya biashara
@datius_tz
Car wash will connect na watu wa maana na amabo wana weza kukupa new skill na new idea
Ps will connect na watoto na vijana wasio jitambua
Banda la mpila will connect na watu wanao penda kubet
Mradi wa kuku ni kaz za zinazo taka ushinde sehem moja like women so will blockβ¦
@datius_tz
Mradi mzuri ktk hiyo ni ufugaji
Vinginevyo Akalime bustani ya vitunguu au nyanya au mbogamboga...
Aachane na hiyo miradi uchwara itakayonyonya fedha yake polepole na hatimaye kwisha.
@datius_tz
Kawoshi itamlipa au hilo banda ka mpila awe na usimamizi mzuri+eneo anunue tv zuri awe organise na vijana wa kushoot mara nyingi shughuli za kileo lazima zifungwe tv ukumbini (kukodisha)
@datius_tz
Kufanikiwa au kufeli kwa Biashara yoyote inategema sana eneo unalotaka kuanzisha biashara hiyo so kwa biashara izo alizo taja zote ni nzuri inategemea tu na eneo lazm ujiulize je watu wanahitaji nini kati ya hivyo na kama kuna ambao tayr wanafnya wewe uwebora kias gani?then fany.
@datius_tz
Mradi wa kuku wa nyama/mayai upo vizuri nina experience nao ila kama unataka kuanzisha hakikisha unambobezi(mtu mwenye experience karibu yako) otherwise utalia,maana huwa wakiumwa usipo wawahi kuwatibia ni balaa...Mbobezi akiona tu dalili za Mwanzoni anajua kuwa wanaumwa!
@datius_tz
Kama anauhakika wa kuwa na banda kubwa la mpira bas hapo anaweza weka na PS maana kitakacho ongezeka hapo n ving'amuzi ambayo itamcost almost lak 2, , maana ake atachezesha PS muda wote siku zote zisizo na mech mfano mon- sat kukiwa n mpira aoneshe mpira