Sadio Mane akiwa kijana machachari katika timu ya kijiji, alipewa jina la "Ballonbuwa" likiwa na maana ya mchawi wa mpira,baba yake alikua Imam wa moja ya msikiti hapo kijijini kwao Bambali,hakupenda mwanae acheze mpira wa kulipwa,kama ilivyo familia nyingi za kiafrika alitaka