Ommy Dimpoz Profile Banner
Ommy Dimpoz Profile
Ommy Dimpoz

@OmmyDimpoz

246,536
Followers
173
Following
1,228
Media
17,679
Statuses

Singer | Songwriter | Awards Winner | Artist | Creative Director | Management: Rockstar Africa bookings & Inquiries: bookings @ommydimpoz .com

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
The One & Only Goat @Cristiano
Tweet media one
1K
6K
121K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Namsaidia Mama Kuitangaza Tanzania 😁 Mkiniona na @B_Fernandes8 Zanzibar kuweni wapoleeee
Tweet media one
316
942
21K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Mleteeee Mwarabuuuuu Tunaanza Na Liva Leo Ama Vipi?😁
Tweet media one
411
399
14K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Best Goalkeeper in The World @D_DeGea 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
409
851
13K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Mtanzania wa Kwanza kupostiwa kwenye page ya Insta ya @ManUtd 😁 kama nawaona mnavyokimbilia kuhakikisha 🤪
Tweet media one
435
383
9K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Wiggle Wiggle Wiggle
Tweet media one
106
152
7K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Yani Nimeamka Nimekuta Missed Call za Ronaldo Nikampigia vipi kwema Mzee? Ananiambia plz kabla hujaenda Bongo Njoo kwenye Nyama Choma Home nikamuuliza kuna Shisha? Kasema usiwaze ndo kazi ya Magwaya hiyo 😁
380
251
6K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Mtanzania wa Kwanza kualikwa Official na @ManUtd na kupiga picha na Wachezaji woteeee kama yupo mwingine niite Mbwa nimekaa paleeee 😁
339
250
6K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Namleta kwenu Mganga wa Timu 😁
Tweet media one
74
116
5K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
7 months
Msinimaindi Wanangu Ugali Muhimu Kuliko Ushabiki 🤪 #CreativeDirector
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
189
242
5K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Seems Unreal.. 💔💔 Costa titch kabla ya kufanikiwa kwenye Uimbaji alikuwa a very talented Dancer nitamkumbuka na nashukuru kwa mchango wake chanya kwenye video yangu ya Wanjera! Rest With Angels Brother!
Tweet media one
62
118
4K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
4 months
With my Boy Steffff 😁 @StephenCurry30 #NBAAllStar2024
Tweet media one
126
157
4K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Bado Naendelea Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Nafasi Nyingine HAPPY BIRTHDAY TO ME
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
215
140
4K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Anastahili Maua Mengi Sana
Tweet media one
44
87
4K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
😁😁
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
274
84
4K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Haya Kivideo hiko hapo Siiiiiiiiiuuuuu 😂
114
185
4K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
GGMU 😁😁
Tweet media one
Tweet media two
31
74
4K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
10 months
Sisi so Milimaaa…..
Tweet media one
59
70
4K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Monday💰
Tweet media one
Tweet media two
112
90
4K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Madina ❤️
Tweet media one
41
57
4K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Yani Kama Konde aliweka Bango la Kajala mimi nani nisiweke Bango la picha yangu na CR7😁 Meneja wa Outdoor Call me
96
83
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
10 months
🔌🔌
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
66
113
4K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Tafuta Hela Msg zinasomwa jioni baada ya kazi 😁😁
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
156
116
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 months
Eid Mubarak kwa Mfano nikukupa laki 2 leo utafanyia nini?
Tweet media one
846
120
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
I wish all the best to my brother @ericbailly24 on His new Chapter Maisha ni Connection @MwanaFA Alinitambulisha kwa Eric then Eric akanitambulisha kwa Timu nzima hata mimi ukitaka kupiga picha na Mayele Connection nnayo 😁 njoo ofisini kwangu GSM
71
176
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Bro Umeona kwenye Group alichotuma Bruno Nimecheka balaa 😁
@Casemiro
Casemiro
2 years
Ready for a new challenge! Come on, @ManUtd ! 🔴 #MUFC #PL
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4K
21K
243K
209
81
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
6 months
Nawakumbusha tu Wakubwa kuwa wote tuna Point Mbili 🦁🐸
Tweet media one
21
67
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
6 months
Usisahau Furaha yako inawapa watu shida na shida zako zinawapa watu furaha 😁
Tweet media one
52
144
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Vijana wa Hovyo washaanza 😁
Tweet media one
242
110
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Maendeleo Hayana Chama Hongereni Gongowazi Sema Zimekaa kama Kisoda Hamjapigwa kweli?😁
Tweet media one
69
57
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
8 months
Mafanikio Uliyoyapata Kwa maombi hakikisha unayalinda kwa Maombi ✈️
Tweet media one
22
90
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 months
Unataka Mungu Akupe mil 10 wakati akikupa laki 2 tu hulali nyumbani 😁
Tweet media one
95
104
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 months
Tuache Porojo Tununue Wachezaji Sema Sio Mbaya Tajiri Kafurahi Walau Ntaambulia Bonus 😁
Tweet media one
32
71
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Nimemuonyesha hii tweet yako Ronaldo anacheka balaa 😁
@IdrisSultan
Idris
2 years
Tatizo ni kwamba walioenda shule wanadhani wana akili kuliko ambao hawajaenda.
118
158
1K
197
122
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Bro Utaibuka au nikupitie?😁
@Cristiano
Cristiano Ronaldo
2 years
Keep working and focused 🙏🏽💪🏽
Tweet media one
12K
27K
589K
72
50
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Beki la Dunia 😁
Tweet media one
99
38
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
8 months
Sio kama Hatuna Shida ila wanaotusaidia ni Waungwana Hawatangazi 😃 Jumaa Kareem
Tweet media one
44
125
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
9 days
Maendeleo Hayana Chama Hongereni Gongowazi
Tweet media one
39
54
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Tajiri Namba Moja Africa Niko nae Umrah Bado Anaomba Mungu Ziongezeke Mimi nani? 😃 Good to see you My Rich Friend ALIKO DANGOTE
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
119
93
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
6 months
Nchi imefurahi 😁
Tweet media one
35
63
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
5 months
Merry Christmas X Family
Tweet media one
23
45
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
6 months
Boss ya Mboka 😁
Tweet media one
75
51
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Jumaa Mubarak
Tweet media one
40
39
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
21 days
Ukimaliza Kupunguza Mwili na Tumbo Punguza na Roho Mbaya sasa ili upendeze 😁
Tweet media one
75
93
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
17 days
Tajiri Kasema Ole Wako Usimpe Tangazo Master Ki Japo kishingo upande Wacha nilinde Ugali 🤣
Tweet media one
28
73
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 months
Toka Huyu Jamaa kahamia timu yetu ni vilio tu 😡😡
Tweet media one
Tweet media two
54
58
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
7 months
Uzuri Wa Tajiri Yangu Hana Kifua Friji Haligandishi 😁 Siku Moja Aliniambia Unajua Watu Wanakupiga Sana Majungu Kuna Mmoja kaniambia Vipi Unampa Kitengo Ommy Hajasoma Wakati Watu Tuna PhD 😁 Lakini Allaah Amemjaalia Hekima Akamjibu Mimi Siangalii Makaratasi Kama Mtu Nikimpa
Tweet media one
73
76
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
6 months
Kuwa makini “SHIDA” zina tabia ya kutukutanisha na watu tuliowadharau
Tweet media one
48
109
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Yani Wakati Naanza Kulizoea jina la Muheshimiwa Mbunge Mara Paap Limeongezeka jina lingine Eti Muheshimiwa Naibu Waziri Nyieeee Kweli nimeamini Waganga wa Ukweli wapo Muheza 😁😁 Happy Birthday Msukuma Milango iliyoandikwa Vuta na ikafunguka @MwanaFA
Tweet media one
Tweet media two
26
58
3K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
8 months
Usiponiangalia kwa Jicho la Husda Unaweza kudhani Sijatoka Kigoma 😁
Tweet media one
75
47
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
8 months
Wakiigiza Wanakupenda Sana na Wewe Igiza Unawaamini Mno 😅
Tweet media one
50
73
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
5 months
Nyieeeeee Nchi Imefurahi 🦁
Tweet media one
30
55
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 months
Kuomba ni Aibu ya Kwanza Kunyimwa ni Aibu ya pili Kutangazwa kuwa Umeomba ni Aibu ya Tatu Allaah Atujalie Tuepukane na Aibu za Dunia
Tweet media one
Tweet media two
60
153
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 months
Kuepuka Fedheha Tar 20 Tusipeleke timu kwenye zile B 20 tutoe tano tuuu Tusajili Jamani 🥹
Tweet media one
62
60
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Pole sana Mwamedi 🫶🏽
Tweet media one
@MoSalah
Mohamed Salah
1 year
I’m totally devastated. There’s absolutely no excuse for this. We had everything we needed to make it to next year’s Champions League and we failed. We are Liverpool and qualifying to the competition is the bare minimum. I am sorry but it’s too soon for an uplifting or optimistic
Tweet media one
17K
18K
209K
31
47
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
5 months
Perfum kidogo,Shati la Mtumba Kingereza Cha kuombea Maji na Kisimu cha Kutachi jiandae KUROGWA 😁
Tweet media one
44
65
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
5 months
Asante Wagonga Nyundo wa London Jana Dunia ilifurahi 😁
Tweet media one
33
52
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
7 months
Au Wenzangu Mnaonaje? 😁
Tweet media one
Tweet media two
52
53
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
6 months
“Maisha ya KATALISM Mwenye O anamtuma Mwenye Digrii 😁” Aliyepewa Kapewa -Dotto Magari
Tweet media one
53
55
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 months
Tuwakimbilie Waliotukimbilia Wakati Tumekimbiwa
Tweet media one
50
101
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
3 months
WANGEFUNGWA NINGEFURAHI WAMESHINDA BOSI WETU KAFURAHI HONGERENI GONGOWAZI KWA KUMFURAHISHA TAJIRI MNASTAHILI KUJENGEWA ULE UWANJA😁😁
Tweet media one
Tweet media two
43
57
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
9 months
Katika list ya mipango yetu ya kila siku usisahau kuweka na kifo
Tweet media one
52
64
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
6 months
Sisi ni Wale Bila Mungu leo na kesho ingekuwa Aibu
Tweet media one
27
70
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Tafuta Hela Nguo OG zipo Watoto Wazuri wapo 😁 #GsmSports
Tweet media one
Tweet media two
104
53
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Unapopunguza Maadui Hakikisha Unabakisha hata Wawili ili wawe wanapelekea Taarifa Makao Makuu kuwa pamoja na Vita vyao Bado uko Strong 😁😁 “Happy New Week “
Tweet media one
35
93
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
7 months
Ukivumilia Unaonekana Huna Pakwenda Na Ukienda Unaonekana Huna Uvumilivu 😁
Tweet media one
28
185
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Hii page imenunuliwa na Manchester kwa Muda kuweni wavumilivu nilikuwa nasubiri mmalize kuhesabiwa 😁
39
36
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
8 months
Ukiwa na Mpangilio Mzuri wa Fedha Zako Jiandae kuitwa Bahili 😁
Tweet media one
Tweet media two
65
103
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
3 months
😄😄
Tweet media one
13
45
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Najua Binadamu Tumeumbwa Kusahau na mimi kama Muungwana nimeona niwakumbushe leo si ndo TBT? 😂😂 basi @KingJames kani DM eti mbona nawapost Man U tu 😁
66
84
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Msimbazi Vs GongoWazi
Tweet media one
24
34
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
86
37
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
8 months
Tusiache Kuwaombea Dua Wengine hata kama Yakwetu hayajafanikiwa
Tweet media one
39
70
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Kwa Mliowahi kwenda kwa Babu mtaelewa…..😁
Tweet media one
27
40
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
8 months
Rockstarzzzz
Tweet media one
29
30
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
Niliwaambia Anaetaka Picha na @IamFistonMayele Connection Nnayo Wale wengine mpaka uwe na Passport sijui Visa na unaweza usiowane vile vile 😁😁
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
49
58
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Creative Director 😁
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
33
43
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 months
Miaka 10 baadae 😁
Tweet media one
Tweet media two
40
51
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
7 months
Ukitaka ufe haraka changanya wivu,chuki na Umasikini hata Daktari hawezi kuona ugonjwa ataamini umerogwa 😁 Jumaa Mubarak 📸 moments with UAE Ambassador
Tweet media one
19
54
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 months
Nani Katisha?👔 @millardayo
Tweet media one
Tweet media two
90
55
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Madam President ❤️ @SuluhuSamia
Tweet media one
9
28
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
11 months
Tajiriii Simu Huokotiii @MwanaFA
Tweet media one
21
35
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
AL Nasr Vs AL Hilal Derby #SaudiaProLeague
Tweet media one
Tweet media two
28
25
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
4 months
Waliokukopa Wanasubiri Mkopo Wakulipe Mkopo Wako 😁 LIFE!
Tweet media one
Tweet media two
25
59
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
7 months
Tushakosa Tulipodhani Tutapata Na Tushapata Tulipodhani Tutakosa…Wakati Wa Mungu Ndio Wakati Sahihi Tuendelee kupambana Hakuna kukata Tamaa 🙏🏽
Tweet media one
21
114
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
8 months
Tuwe Makini Katika Maisha Huenda kile unachokitafuta Kipo kwa Unaemdharau….Have a lovely day
Tweet media one
Tweet media two
46
82
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
2 years
This Friday 😜
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
108
84
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Adidas OG zipo GSM Sports
Tweet media one
23
24
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
4 months
Juzi kati nilipewa lifti na Mwanangu QWEVO 😁 @diamondplatnumz
56
72
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Ambwene @AyTanzania kwenye kitengo cha kusimamia hela za Wasanii 😁q
Tweet media one
53
20
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
7 months
Lawama Ni Nyingi Unapokosea Pongezi ni Chache Unapofanikiwa ….tuishi nao tu
Tweet media one
17
54
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Kaa na Mama yako vizuri muulize yule kijana anaemuhonga Msanii ni nani 😁
215
36
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
😁💰
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
68
38
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
State House Vibes
Tweet media one
Tweet media two
35
50
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
9 months
🎂🚀
Tweet media one
Tweet media two
98
40
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
1 year
Innalilaah Wainailaahi Raajuun R.I.P My Brother @AlbinoFulani 🙏🏽
Tweet media one
38
35
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
11 months
Thank you Legend All the best @D_DeGea
20
60
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
7 years
Mama 🔥🔥🔥🔥
73
109
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
6 months
Maisha Yanatufunza Tunapopitia Changamoto Mwiko Kukata Tamaa
Tweet media one
16
53
2K
@OmmyDimpoz
Ommy Dimpoz
8 months
Mtu akikuletea Dharau Zichukue Uzihifadhi ipo siku Atazihitaji😁
Tweet media one
26
50
2K