😊😊when something good happens, travel to celebrate. When something bad happens, travel to forget it. If nothing happens, travel to make something happen 🫴🫴👊👊
Sema vijana wa makumbusho sijawahi kuwaelewa kabisa.😀🙌
Unakuta anauza makava ya simu tu,lakini sasa
1. iPhone 15 pro max ,pods kali na Smart watch
2. Gari Kali -Crown anthlete-Mafuta ni full tank
3. Anaishi kwenye Apartments
4. Ana Miliki demu mkali-Slay Queen
5. Ana
Egypt with its 110 million inhabitants could theoretically open up the Rafah border crossing and let in some refugees from Gaza (population 2.3 million).
For some reason, they aren't doing it.
Any ideas on why?
"Natamani Chid kama angekuwa mtoto wa shule nimwambie nenda kasome baba, nenda kasome uende kazini ukakae NSSF, sijui benki, achana na hii kazi yetu sisi ya kupendwa kwa sababu kuna watu wanaotaka kupendwa na hawapendwi kwahiyo wanakufanya wewe unaependwa uwe mpumbavu, mjinga,
Chama Cha Madaktari kimepokea kwa masikitiko taarifa ya vifo 13, wawili kati yao wakiwa ni Madaktari Dkt. Godfrey Chillya & Dkt. Mirumbe Winani vilivyotokana ajali iliyohusisha Basi la Abiria na Treni leo eneo la Manyoni mkoani Singida
Chama kinatoa pole kwa familia na majerehi.
Kwa namna ya kipeke niwapongeze baraza la madaktari Tanzania (MCT) chini ya Dr. David Mnzava Kwa kutoa fursa Kwa madaktari watarajali kujichagulia Vituo vyao Vya mafunzo ( internship centers).
Ujue kuna furaha zingine tumezishikilia sisi sio lazima pesa.
Wewe ni msichana and you know kuna boy huwa anakupenda sana na anakutafutaga sana, mtumie message "Hellow dear" akikujibu mwambie nilikiwa nakusalimia tu.
You can make a day kwake pengine ukamfanya akawa na furaha😊