Mubabaddie. โถ๐
1 year
Wanaume ni wakora sana. Mtu clean clean anawacha gari nje ya church hapa Roysambu Alafu anachukua nduthi anaenda kwa kamtu kake na huko Ngumba juu bibi ametrack gari. So madam anaona mzee ameenda church na saa izo uncle ako clapping ya Hali ingine. Wueh.
Heh. Ogopa wamama