Lakini Uhunye will be missed bana. Kuna siku akiwa Mombasa alienda Ferry on foot, amevaa Ile kofia yake ya Cowboy adi watu hawamjui.
Amefika ferry anapata polisi wanazuia wamama bana. Kidogo kidogo some guy akamnotice, akauliza shida iko wapi hapa, polisi alitense mbaya sana,