JE NI KWELI NELSON MANDELA ALIFIA GEREZANI MWAKA 1985???🤔
Thread 🧵
Habari zenu ndugu zangu, katika pitapita zangu nimekutana na machapisho mengi ya watu wa afrika ya kusini yanayodai kuwa mtu anayefahamika kwa jina la Nelson Mandela, si huyu tuliye mfahamu sisi, Nelson