Dickson Didas Profile Banner
Dickson Didas Profile
Dickson Didas

@didas4_didas

5,871
Followers
5,125
Following
1,759
Media
29,379
Statuses

controller|Busara za mtoto wa Marandu|Maarifa ya mwana wa Marselina|Akili za mjukuu wa Maria Ayshi|Liverpool 🔥|Lionel Messi 👑⚽|content za jamii na futiboli.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@didas4_didas
Dickson Didas
8 months
Under Jurgen Klop Jude Bellingham angekuwa bora zaidi ya kucheza under Carlo ancellot, japokuwa amekuwa moto sana akiwa na uzi wa Real Madrid,ila naona kabisa Uwezo wa Jurgen Klop kuendeleza wachezaji ukimpa Jude Bellingham nafasi kubwa kwenye majina ya waliotawala dunia!
Tweet media one
57
14
246
@didas4_didas
Dickson Didas
13 days
Naona uchambuzi mwingi sana unataka Feisal Salumu awe mchezaji bora wa msimu,kitu pekee kitampa Feisal mchezaji bora wa msimu ni , Uzalendo wa wanakamati, wanakamati wengi kuwa mashabiki wa Msimbazi, huwezi kumyima top assister na top score,top chance's creator,tuzo, Itakuwa aibu
Tweet media one
35
25
560
@didas4_didas
Dickson Didas
1 month
Ukiwa unawaangalia hawa makocha kwenye the likes of Milan,Madrid, Barcelona, Bayern unaweza kusema ni world highly class Manager's until wapewe the likes of Everton ndo utajua nje na team support kwenye transfer market hawawezi, unajua kwanini Wenger na klop ni bora zaidi yao!
Tweet media one
99
16
471
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Madhara ya CEO Barbara kumuondosha Haji Manara klabuni Simba sports,Simba kupoteza mvuto kwa asilimia 10-25 ,Timu kukosa ushawishi kwa mashabiki (mahudhurio uwanjani),Yanga wameipoteza kabisa Simba midomoni mwa washabiki tangu ratiba ya robo fainali ipangwe na CAF, Manara🙌!
Tweet media one
75
20
337
@didas4_didas
Dickson Didas
25 days
Kwa uhalisia wa mpira,Cole Palmer,Moses Caicedo,Enzo Fernandes wangekuwa na uwezo wakuzipa faida Liverpool na Arsenal katika mbio za ubingwa,namaanisha ukitoa kuyumba kwa wachezaji waliobaki wa Chelsea,hii safu ya kiungo ina uwezo wakuanza top 5 leagues team yeyote duniani, Fact!
Tweet media one
44
22
339
@didas4_didas
Dickson Didas
6 months
He offer 90% for city to win 3 points,he can defend well, carry the ball,creat chance's,also he can score,Pep has been brilliant about false number 9, changing player's position,but on Rodri it seems like a huge for him,he can't be replaced, lost 3 game's without Rodri,👏 Villa
Tweet media one
7
8
331
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Kwakuwa point kubwa imekuwa Chama amecheza vizuri wenzake ndo wamemuangusha,kesho tunaomba takwimu za big chances created between him and Aziz ki,ili tusimuonee mtu,maana ukisema hivyo hata Aziz ki atakuwa na Nafasi ambazo wenzake hawakumalizia kuwa goal's, Goal's and Assist 🔥Ki
Tweet media one
20
12
300
@didas4_didas
Dickson Didas
1 month
Wakati Dickson Job anashinda tuzo ya beki bora wa msimu,yaliibuka maswali mengi sana, George Job kuwa kwenye kamati ya tuzo, wakala wa Job,kulinda heshima ya wazawa maana alikuwa anaenda kutwaa Henock Inonga mara mbili mfululizo,Robo CAF, muendelezo bora,Inonga alinyimwa tuzo🤝!
Tweet media one
42
9
293
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Katika mechi 137 ,goli 50 , assist 64 ,huyu ni Jardon Sancho, Alafu anakuja kocha ambae anachuki binafsi tu na mchezaji anakwambia hana nafasi first eleven,unamuanzisha Anthony ambae ana msimu mzima hana hata goli 2 wala assist zakutosha,Erik ten hag hawezi kudanganya ulimwengu!
Tweet media one
17
9
290
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Nilisema Unai emery hakupewa mda wakutosha kama Mikel Arteta,ila Unai emery tactical ni bora kuliko Mikel Arteta,nikapewa kashfa kibao,haya Home and away kamtuliza Mikel Arteta,Leo amezima ndoto za ubingwa kabisa kwa Arsenal, kushinda Ueropa league back to back mara 3 sio ajali!
Tweet media one
39
8
280
@didas4_didas
Dickson Didas
3 months
Kuna sababu inafanya hawa wanabaki kwenye ligi ya NBC pekee,kiburi,majivuno, ujuaji,unataka kusema kocha hatambui kama mchezaji flani atanipa nnachokitaka akicheza nafasi flani,kucheza Yanga tu unakuwa kiburi, Ingekuwa Al ahly,Au hata Mamelody sundown,Job ni msaliti iko wazi!
Tweet media one
116
21
273
@didas4_didas
Dickson Didas
8 days
Tuna safari ndefu sana kuondokana na utumwa wa Simba na Yanga,kuna makosa mengi sana yamefanyika dhidi ya Azam Jana,ukiacha offside ya Aziz ki kuwa ya hovyo kuwahi kutokea,Unajiuliza kwanini Dickson Job alimaliza 90 minutes, alistahili red card second half,makosa mawili yote!
Tweet media one
86
16
277
@didas4_didas
Dickson Didas
1 year
Mafanikio makubwa ya wanachama wa Chadema ni kufa kwa Dr John Joseph Pombe Magufuli,lakini unajiuliza wao Mbowe akifa atakuwa kakifanyia nini chama chake kukaa madarakani mda wote?, Magufuli ameacha alama kwenye nchi hii hakuna wakumpita hivi karibuni miaka 6 kama 60 legend 🔥
Tweet media one
Tweet media two
40
31
265
@didas4_didas
Dickson Didas
1 month
Ukitaka kujua Vinicius hana hata dalili yakufikia kitu Mbappe kafanya kwenye soka,mchukue, Deschamps, Mourinho,Klop,Pep,Mikel, ETH, Ferguson, Wenger, waambie una option moja kati ya hawa wawili wide position,wote wanaanza na Kylian Mbappe, quality over Pr, Mbappe prove since 18s!
Tweet media one
55
8
271
@didas4_didas
Dickson Didas
3 months
Akiwa kama mchezaji kashinda kombe la dunia,akiwa kama kocha kashinda kombe la dunia,kafika fainali mbili mfululizo kombe la dunia,fainali Ulaya, Mashabiki wa Arsenal wanaweza kusema lolote kuhusu Deschamps lakini namuelewa sana kutompanga William Saliba,kwa France bado sana!
Tweet media one
21
4
232
@didas4_didas
Dickson Didas
1 month
PSG kutofanya vizuri UEFA isiwe kigezo cha kumshusha uwezo Mbappe dhidi ya Vinicius , Mbappe kucheza na Neymar, Messi isiwe kigezo cha kufananisha Vinicius kucheza na Modric na Toni au Jude, Mbappe amemzidi Vinicius 1. Eye for the goal 2. Dribbling ability 3. Physical battle!
Tweet media one
68
16
229
@didas4_didas
Dickson Didas
15 days
Kwanini Dickson Job haitwi Star's, 1. Kukataa kucheza full back Star's na kukubali akiwa Yanga 2.Kuruhusu Ego kumtawala kwenye maarifa yake ya maamuzi, 3 .walioko nyuma yake wanamkingia kifua ili hali ni wazi yeye ndo anamakosa, 4.Ameshindwa kujua kocha ndo in charge,Amestahili!
Tweet media one
36
5
226
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Wakati majukumu ya wachezaji yakiongezeka kila siku, keeper sweeper imekuwa kitu muhimu kwa kila timu kujenga mashambulizi kuanzia nyuma,Makipa sweeper bora Duniani 1.Manuel 2.Allison 3.Ter stegen 4.Onana 5.Ederson 6.David Raya 7.Courtois 8.Oblack 9.Donnarumma 10.Diarra, Soccer!
Tweet media one
73
8
223
@didas4_didas
Dickson Didas
3 months
Kizazi chetu, Ibrahimu Ajib ndo mchezaji aliyebarikiwa kipaji kuliko wote (pure football),lakini alishindwa na Samatta kwenda mbali Zaidi kisoka (Uvivu wa mazoezi), Sijawahi kuona hata ulaya mchezaji agome kucheza nafasi flani,Job atoke hadharani atutake radhi au asiitwe tena!
Tweet media one
79
14
213
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Naheshimu sana kazi anayofanya Mukwena pale Mamelody,lakini kwa faida aliyokuwa nayo dhidi ya Gamondi wa Yanga,kupatiwa mahitaji yake vizuri,kuwa na vipaji bora kuliko mpinzani, Gamondi alifanikiwa kwa mbinu zake dhidi ya Mukwena,Miguel Gamondi anamzidi Mukwena kimbinu, uhalisia!
Tweet media one
15
12
208
@didas4_didas
Dickson Didas
9 months
Usajili bora kwa nafasi ya kiungo imefanywa na Liverpool pekee msimu huu,huyu ni ingizo bora jipya ukilinganisha na usajili wa timu 20 English premier league!
Tweet media one
36
11
198
@didas4_didas
Dickson Didas
3 months
Amri kiemba alishawahi kuzungumzia mara nyingi swala la vilabu vidogo viongozi wao kuwa Simba au Yanga,mara huwa wanashangilia vyumbani na kuwaambia wachezaji leo mmecheza vizuri baada ya kupoteza mchezo dhidi ya hivyo vilabu,Nashangaa George Job kukosoa uhuru wa maoni wa Dube!
Tweet media one
13
8
190
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Van djik pound million 75 , Premier league champion, Jack Grealish pound million 100, premier league champion, Pual Pogba pound million 87 , Ueropa league champion, Declan Rice pound million 105 ,Four game's to go,at the end of the season we will be back to collect his impact 😭!
Tweet media one
18
4
184
@didas4_didas
Dickson Didas
7 months
I'm convinced After Klop and Pep Guardiola the next manager to be afraid of is Mauricio Pochetino,I didn't see it coming, between Manchester United, Arsenal and Chelsea the team to win soon EPL, 1. Chelsea 2. Manchester United 3. Arsenal If not City or Liverpool Pochetino next!
Tweet media one
57
14
171
@didas4_didas
Dickson Didas
1 month
Good thing we won it all under Jurgen Klop, friendly asking was it Gasperin master class over klop or a lucky win?🤝
Tweet media one
@George_Ambangil
George Ambangile
1 month
Hata Gian Piero Gasperini alimu outclass Jurgen Klopp , imagine hata Danielle De Rosi ambaye ameanza kazi katikati ya msimu kacheza nusu fainali Europa 😀😀
50
12
565
11
1
173
@didas4_didas
Dickson Didas
5 months
David Moyes mid coach deserve to be sucked by United,Luis van gaal best manager didn't got enough time,Jose Mourinho the real Sir alex Ferguson replacement didn't get enough time and backed,Ole got sympathy because he was United legend, ten hag Eredivise manager with 0 ability!
Tweet media one
20
3
163
@didas4_didas
Dickson Didas
22 days
Kwa upande wako lazima iume ni kweli ulikuwa unataka Arsenal atwae ubingwa maana ulikuwa na Maneno yako yakuwapamba 1. Best team off the ball 2. Best team in Europe so far Last season 3. 90% Arsenal to be the champion,bro Arsenal will never help you fullfil your bet 🤝!
Tweet media one
@George_Ambangil
George Ambangile
23 days
Eti wanasema wananipika kuwapa Arsenal ubingwa ... si ndio raha sasa .! Yani kupikwa kwasababu ya Arsenal ... hebu tena anzeni mapema .! 😀😀😀😀 Unakaa kimkakati unachagua ipi bora . Kupikwa kisa ASNO sio bingwa au upikwe na wana Arsenal kuwa mabingwa kweli ? 😀😀😀
110
52
1K
6
5
162
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Professor Nabi,Miguel Gamondi,F. Mayele,Aziz ki, Pacome,Max nzegeli,Diara, inaweza kuwa usajili bora kabisa wenye matokeo chanya tangu historia ya NBC premier league, labda top 10 CAF stage transfer business, nadhani Engineer sio mwenyekiti wa vilabu afrika kwa ajali,watani 🤝🙌
Tweet media one
4
14
159
@didas4_didas
Dickson Didas
5 months
Well about Tanzania current best pundits, 1. George ambangile 2. Amri kiemba 3. Edgar kibwana 4. George Job 5. Geoffrey Lea 6. Mwamnyanyi 7. Bin kazumari 8.Farhan kihamu 9.Mzee wa Jambia 10.Hans Raphael Wengi wanahadithia mpira,hawachambui , George(A/Job,Amri k) wanafanya vizuri!
Tweet media one
41
9
160
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Pointi 10 kutoka top 4,na game mkononi,ana fixture ya Arsenal,ana kazi yakumshusha,Aston villa, Totenham hotspurs, Newcastle united,Erik ten hag aanze safari ya pre season tu ajiandae na msimu ujao,top 4 hakuna namna 🤝!
Tweet media one
@rayasel94
Ray Asel 🕳️
2 months
Man United wakikaza top four wanaweza kufika. Tottenham hawako serious kabisa 😄
21
6
107
11
0
151
@didas4_didas
Dickson Didas
3 months
We are waiting George Job to defend Dickson Job why he didn't make it into the National team call up and George ambangile to defend Erik ten hag on Jardon Sancho saga, let's wait and tune Wasafi FM 🤝!
11
3
145
@didas4_didas
Dickson Didas
5 months
Yes he's not playing for Barcelona or Real Madrid or Manchester United but Kevin de bruyne is miles ahead of Iniesta, Modric and Steve Gerrard im sorry we have to be innocent 🙌🥶
Tweet media one
36
13
140
@didas4_didas
Dickson Didas
4 months
Talented wise Mainoo might be better than Rodri and Declan Rice,plus Wataru Endo, he's been blessed with Skills,Ball receiving,ball carrying,we can all agree Rice and Rodri are better on fulfilling their duties,but mainoo will surely finish he's carrier above them,baller 🤝!
Tweet media one
30
10
123
@didas4_didas
Dickson Didas
12 days
Hapa ndo mjue maana ya mtu kuwa bora kwenye mpira,huyu huyu Pep Guardiola ameshindwa kumpigia debe Mikel Arteta apate timu kubwa kuliko Arsenal,ila kampigia debe Vincent kompany, haya sasa na Pep anamchukia Mikel Arteta mbona asimpe chapuo kwenye kibarua cha Bayern Munich 😭!
Tweet media one
@FabrizioRomano
Fabrizio Romano
12 days
🔴🤝 Bayern have asked Pep Guardiola's opinion on Vincent Kompany after internal discussions revealed on Monday. The relationship between Bayern and Pep remains excellent. Guardiola spoke highly of Kompany as talented coach, smart guy, ideal candidate for the job.
Tweet media one
748
3K
52K
72
5
125
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Ubora wa Pep na Mourinho dhidi ya makocha wengine ni kwamba wakishaona nafasi yakutwaa ubingwa,wanaichukulia personal zaidi, sikumbuki mara ya mwisho kocha tofauti na Mourinho na klop kuchukua ubingwa mbele ya Pep akishatengeneza kikosi chake,mpeni ubingwa,hatupendi ila mpeni!
Tweet media one
21
6
125
@didas4_didas
Dickson Didas
1 year
@SuluhuSamia Kweli Amelala kama shujaa,na shujaa hasifiwi na wageni bali wazawa, ahsante Dr Samia suluhu Hassan umemkumbuka kwa neno bora zaidi ni mfano wa kuiga.
Tweet media one
Tweet media two
3
5
124
@didas4_didas
Dickson Didas
27 days
Msimu huu Arsenal wasali sana wachukue hili kombe,maana kama sio msimu huu,ni miaka mingine 15 zaidi, Liverpool, Chelsea wanajipata,United under Inios,City under Pep next season,naweka msimamo hivi 1. Manchester city 2. Liverpool 3. Chelsea 4. United 5. Spurs 6. Arsenal 🤝!
Tweet media one
46
3
126
@didas4_didas
Dickson Didas
4 months
@ayubu_madenge @Driejanja Anasikilizwa na wanawake ma single mother,waliokimbia ndoa wakajifariji Yesu ndo atawasaidia,waliambiwa waheshimu waume zao hawakutaka saivi wanatafuta waume kwa wachungaji,afrika na dini ni ugonjwa kabisa,ukiona neno anasilizwa na wengi ujue ni single mothers ndo wamejaa.
24
5
123
@didas4_didas
Dickson Didas
7 months
Since the establishment of EPL we've seen the greatest and best LFB,but when it's come to two top name's,we have Robertson and Evra,I'm struggling to understand which one is better between two of them,but one thing for sure Andrew has got Energy and Endurance ahead of Evra!
Tweet media one
78
3
121
@didas4_didas
Dickson Didas
20 days
Nimependa Mahojiano ya Pep Guardiola,Anakiri kabisa bila Manchester city kumpa kila anachotaka asingefikia mafanikio hayo,ni vise versa kwa Jurgen Klop,kumkosa Aurelio Tchouamen,Jude Bellingham, Caicedo,Enzo Fernandes,sote tunajua technically Jurgen Klop might be a head of him🤝!
Tweet media one
20
7
122
@didas4_didas
Dickson Didas
1 month
We can all agree top 5 currently the best player's in terms of performance for the season 2023-2024 1.Jude Bellingham 2. Kylian Mbappe 3. Phil Foden 4. De bruyne 5. Virgil van dijk 6. William Saliba 7. Rodri 8. Odegaard 9. Kane 10.Vinicius junior See you 2024-2025🤝!
Tweet media one
57
4
120
@didas4_didas
Dickson Didas
1 month
Makosa ambayo vilabu barani ulaya waliwafanyia wachezaji wakubwa katika historia ya vilabu vyao,kutoa namba kwa Mid player's 1. Manchester United Ronaldo 7 to Mount 7 2. Barcelona Messi 10 to Ansu fati 10 3. Arsenal Thierry Henry 14 to Nketiah 14 Jezi kama hizi hustaafishwa!
Tweet media one
26
4
117
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Sijawahi kuona popote Mwalimu kasifiwa sababu ya ufaulu wa mwanafunzi Genius,Xavi Hernandez,sergio Busquet, Iniesta,Messi,hakuna sehemu utaona Pep anapewa credit,hao ni special group,ndo maana pep hajatengeneza another Prime Barcelona tangu aondoke La masia, maanake sio yeye 🤝!
Tweet media one
@George_Ambangil
George Ambangile
2 months
Naambiwa hiki ndio Guardiola alifanya kwa Busquets nothing else 🤔🤔haya ngoja niendelee na Sports Arena
25
7
351
19
0
114
@didas4_didas
Dickson Didas
3 months
For over 20+ year's watching EPL , Kobbie Mainoo and Palmer might be the best ever upcoming players in EPL history,I'm sorry my fellow LFC fans,at some point we have to accept, rivals have got the germ in their hands, Kobbie better than any version of UTD midfielders, Maestro!
Tweet media one
21
15
113
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Kwanini kamati ya usajili ya Simba wasingemuongezea mkataba Mkude ili acheze juu ya Mzamiru,tukiwa wakweli Luamba ngoma bado hana footwork nzuri kuliko Jonas mkude, Uwekezaji mkubwa matokeo Madogo,napendelea Utatu wa mzamiru x mkude x kanoute,mbele Chama,Moses phiri,mnaonaje?
Tweet media one
29
4
111
@didas4_didas
Dickson Didas
9 months
Sancho amegombana na kocha wake Erik ten hag, Greenwood kaondoka kwa kashfa ya udhalilishaji, Anthony ana kesi ya kumjeruhi mpenzi wake wa zamani huko Brazil, Rashford ana mgomo kwanini hajapewa unahodha, Manchester United inagawanyika,mpaka wajipate misimu 7 mbele tena😭!
Tweet media one
18
2
113
@didas4_didas
Dickson Didas
7 months
Active managers with high level of Tactics and management in Europe 1.Jurgen Klop 2. Pep Guardiola 3. Carlo ancellot 4. Luis Enrique 5. Roberto de zerbi 6. Unai emery 7. Mikel Arteta I respect Don but his time at Everton was not good, Jurgen Klop ahead of pep bcz head to head 🙌
Tweet media one
51
8
109
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Wasafi wafanyakazi wao wengi hawajui protocol za kazi, hawajui mazingira na timing yakuposti vitu, hawajui wanaweza kukwaza wasikilizaji wa pande zote mbili au pande moja, wakati flani kama huna content tulia usubiri kipindi Jumatatu,be professional nyie ni both side not fan's!
Tweet media one
@AhmedAbdallahTL
AHMED ABDALLAH
2 months
The one n only RONWEN WILLIAMS.
Tweet media one
124
29
2K
47
6
105
@didas4_didas
Dickson Didas
27 days
Goodnight title contender, Arsenal you have one in hand, against Everton,I'm sorry but Pray for Westham 😭!
Tweet media one
10
8
103
@didas4_didas
Dickson Didas
3 months
Sajili za Klop zimefanya vizuri,hata za Pep Guardiola,Kwa Mikel wanafanya vizuri hata sasa,ila ukija kwa Erik ten hag yeye ni ugomvi na wachezaji,unataka kusema Jardon Sancho sio world class player kuichezea United,Ole, Ragnick, ETH wote walimkosea Jardon Sancho position Played!
Tweet media one
16
2
98
@didas4_didas
Dickson Didas
1 year
@SuluhuSamia Huyu hapa mwenye uthubutu Nyerere atapumzika sasa,alipenda sana Ikulu ifike Dodoma hongera Amiri jeshi mkuu Dr Samia suluhu Hassan ✊.
Tweet media one
3
3
100
@didas4_didas
Dickson Didas
9 months
Wakiwa Wasafi pale wanasema wanaishi apartment milion 3, wanatumia kwa siku hadi milion 1,wameweka kucha hawawezi kuosha hata viombo,wigi la Brazil,wakiumwa wanaanza kuomba misaada,Mungu anisamehe sina msaada nao 🚮!
Tweet media one
16
15
99
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Congratulations Manchester United for the second final in two seasons consecutive,but mostly congratulations to Coventry city for best and emotional game ,come back Tomorrow and you'll confess to me this game Coventry city vs Manchester is the best weekend game than El classico!
6
0
99
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Kwa uhalisia Chama hakuwahi kuwa bora tangu Aziz ki aje nchini, kulinganisha na Kiwango cha Aziz ki,kama hakuwa top assist au score alikuwa na impact kwenye timu (NBC, CAF final), msimu huu ndo kamuacha mbali kwa kila kitu,ukimtetea chama kwa ubovu wa timu,kumbuka kuna Palmer!
Tweet media one
20
11
98
@didas4_didas
Dickson Didas
1 month
Kama Manchester city atashinda dhidi ya Fulham basi itakuwa mwisho wa Liverpool kwenye mbio za ubingwa msimu huu,sio mbaya kwa project mpya kumaliza nafasi ya 3, wengine walimaliza nafasi ya 7, wengine ya 8,Msimu ujao tunaanzia tulipoishia kwenda nafasi za juu, EPL, UEFA, FA 🤝!
Tweet media one
29
8
98
@didas4_didas
Dickson Didas
8 months
@Phbhimself Wizara ya elimu kitu wanapenda kutuambia ni mlikuwa watawaliwa,mlifungwa minyororo,mkafa,mkabeba mizigo mkoa hadi mkoa,historia kama hizi wanaweka ili nani aje asome 😭.
4
4
96
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
He's him 👏!
Tweet media one
3
1
93
@didas4_didas
Dickson Didas
3 months
Wachambuzi wengi walipinga hata ligi yetu kuwa namba 5 kwa ubora afrika,kusema kuna wachezaji wanakaa benchi Mamelody wanaanza Yanga,lazima ujue kitu kimoja wachezaji mda mwingine wanakaa nje kwa mfumo sio kiwango,Diara,Pacome,Aziz ki wanaanza Mamelody sundown,kwa mfumo wao 🤝!
Tweet media one
14
4
90
@didas4_didas
Dickson Didas
5 months
Only Foden is capable of reaching Mo salah level if he keep consistency and having permanent start,ball control, passing,open defensive line, quick, flexible, he's got what big player's does always 🤝!
Tweet media one
18
7
90
@didas4_didas
Dickson Didas
10 months
@chevi_masta @balozi__tz Hawa wanazingatia usafi wa nguo lakini mwilini wachafu, wanajifanya smart mbele ya watu lakini kichwani hawana u smart na masomo,wanapenda kuwa viongozi wa darasa mda wote kushinda ofisi za walimu,wengi wao wanajifanya kwao mambo safi kumbe mzazi Mwalimu anakopwa mshahara na gavo
9
5
84
@didas4_didas
Dickson Didas
7 months
Technically Unai emery is better than Arteta,I believe if Unai got supported like Arteta he would've won the EPL last season,the reason behind Arteta faith from Arsenal board is because he was a former player, Unai has showed progress than Arteta since he took Villa,Levels
Tweet media one
44
10
87
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Chama,Mgosi ndo wachezaji pekee wa simba wenye historia ya muendelezo bora,lakini inashangaza watu wanawaimba Kibu Denis, Morrison, Emanuel Okwi,watu pekee wanaosubiri game moja ya Yanga wafunge ndo wamemaliza msimu,sishangai kwanini tunakosa NBC miaka 3 mfululizo, hatujui ubora!
Tweet media one
25
8
86
@didas4_didas
Dickson Didas
1 month
Kama Manchester city watakutwa na hatia,basi watashushwa daraja championship,watapokwa ubingwa wao wa 2017-2018,2018-2019,2020-2021,2021-22 , Manchester United watapewa makombe mawili, Liverpool makombe mawili,hizo kesi hazihusiani na 2022-2024 , Arsenal wasiombee kabisa hilo!
Tweet media one
18
1
83
@didas4_didas
Dickson Didas
4 months
Basi kuanzia hapa mnaanza kumchukia Hans Rafael, washabiki wa Arsenal mnaweka sana chuki, kwanini mtu asiwe na Uhuru wa maoni yake,hata kama mnafanya vizuri mtu anaweza kuweka uatabiri wake,huu ni mpira!
@hamis_abas
Hamis A. Mponzi
4 months
Porto atashinda 2-0 dhidi ya Arsenal Leo Hans -mchambuzi wa soka Wasafi FM
23
5
75
12
1
82
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Misimu miwili, Derby nne ,zote Aziz ki ameibuka na kiwango bora dhidi ya Chama na viungo wote wa Simba sports , mjadala umefungwa katika utawala wa Aziz ki Chama hakuwahi kuwa bora,labda kama tutaanza kufukua misimu ile Kabla hajauzwa kwenda Berkane,hata hivyo hakuwa bora huko!
Tweet media one
7
9
83
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Mlisema mnalipa kisasi cha 10-2 , mlisema Arsenal wako na kiwango bora Kuliko Bayern,ni Kweli ila mmesahau, Liverpool bora iliyocheza mechi zote za mashindano, EPL, UEFA, carabao, FA cup,walikufa mbele ya Real Madrid chini ya ancellot, uzoefu, ukubwa wa Bayern,hii ni penati!
Tweet media one
9
3
81
@didas4_didas
Dickson Didas
1 year
@chevi_masta Kwa Jana alifanya kitu kinaitwa Demokrasia ile ndo demokrasia sio ile mtu anaitwa Ikulu kulamba asali anasema demokrasia imerudi anajali tumbo lake tu, ila jamaa kwaacha wafanya biashara wametema yamoyoni , nakumbuka Magufuli alisema nileteeni yule aliyechapa walimu ndo huyo ✊😂
2
1
77
@didas4_didas
Dickson Didas
7 months
Collecting 27 points in 11 games without Proper Dm is not for any manager, Jurgen has had a better start without Proper Dm, don't take it for granted,Pep lost three consecutive games without suspended Rodri,only for Rodri absence he lost his first game to Arsenal,Klop underrated
Tweet media one
17
5
76
@didas4_didas
Dickson Didas
4 months
He can play as Right full back, deep Defensive midfielder,pure DM, CM,he can also play wide, energy and physical fitness,as a manager can you teach why will you snub him for Declan Rice,any team need versatile player,in case of switching position, is Declan Rice versatile?
Tweet media one
14
4
77
@didas4_didas
Dickson Didas
6 months
Ferguson (United) ,Jose Mourinho (Inter) and Luis Enrique (Barcelona), the only fair and deserved Treble winner's, people might say I have unfair opinion towards Pep Guardiola,but winning controversial Treble with Manchester city may be the worst successful I have ever witness!
Tweet media one
24
4
75
@didas4_didas
Dickson Didas
1 month
Wenzetu kuongoza ligi mpaka Manchester city awe na kiporo, Manchester United mnajua chakufanya kesho,hii shughuli inaisha Jumanne, Totenham hotspurs stadium, mechi ya mwisho labda wakapige picha na familia zao tu Emirates, best team off the ball 😭!
Tweet media one
13
5
75
@didas4_didas
Dickson Didas
14 days
Kwa uwezo wa huyu kocha na profile yake , Msimu ujao top 4 itakuwa hivi kwa asilimia 95% 1. Liverpool 2. Chelsea 3. Manchester city 4. Manchester United depends on Erik ten hag situation, 5.Totenham hotspurs, ni mzuri kutumia sana vijana ,na kuendeleza wachezaji,tujipe mda 🤝
@FabrizioRomano
Fabrizio Romano
14 days
🚨🔵 Chelsea have agreed to appoint Enzo Maresca as new head coach, here we go! ❗️ Understand the agreement is now done on contract valid until June 2029, five year deal. It will also include an option to extend until June 2030. #CFC , set to pay compensation fee to Leicester.
Tweet media one
6K
15K
102K
21
5
75
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Wangapi wanajua kuwa Mikel Arteta alitaka kumuacha Saliba kwa mkopo msimu mmoja zaidi,kabla Edu hajaingilia kati, Uamuzi wakutoa Paun milion 65 kwa kai badala ya 40 kwa Maddison, Badala yakumsajili Ole Watkins aliendelea kumuamini Gabriel Jesus, wakati flani kocha anafeli mapema!
Tweet media one
14
4
74
@didas4_didas
Dickson Didas
1 year
@ayubu_madenge Kwa uzoefu wangu wa miaka 18 tangu natambua siasa za afrika,hakuna independent president wote ni kuchomekwa na Dolla yenye nguvu duniani Magufuli, Gadaffi,Mugabe walikataa huu utumwa wako mavumbuni kiukweli afrika haiko huru!
6
2
73
@didas4_didas
Dickson Didas
3 months
We forgot Young Africans joined force's with Sevilla to learn how to run the club professionally,We forgot when Engineer Hersi Saidi told us he's vision and mission to Young Africans,We forgot Dr Mshindo Msola revolution to Young Africans,They can't thanks Simba for anything!
Tweet media one
7
6
73
@didas4_didas
Dickson Didas
6 months
You have a players like Bruno Fernandes, Casemiro, Lisandro Martinez, Anthony 100 paun milion, Hojlund,Sancho 75 paun milion, Rashford,Aron wan Bissaka,and yet Copenhagen is progress to the last 16 ahead of your team, professional manager would resign a Job!
Tweet media one
12
4
73
@didas4_didas
Dickson Didas
4 months
Hawa ndo wachambuzi wenye utatu bora kabisa kizazi kilichopita na cha sasa,kwa wewe mdau wa vipindi vya michezo unawaweka kwa mtiririko upi, kutoka namba 1-6,ikiwa tutachanganya zama zao, Kwangu mimi 1. Kashasha RIP 2. Ambangile 3.Shaffi dauda 4. George Job 5. maestro 6. Kibwana!
Tweet media one
21
9
72
@didas4_didas
Dickson Didas
7 months
4-2-3-1 the only formation for Declan Rice to make Manchester city first eleven,we all know Pep Guardiola always use 4-3-3 and it's his successful formation,Pep is not kind of manager to switch formation for a single player,he may be an arsenal best signing but not for many clubs
Tweet media one
14
3
71
@didas4_didas
Dickson Didas
3 months
It's Fair to say Arsenal are flying,but for me Mikel Arteta needed this performance last season times like this,they we're dropping point unnecessary,Saliba injury,Saka fatigue,this season unfortunately they've got Liverpool and City as obstacles,they can't survive this Race!
Tweet media one
16
5
67
@didas4_didas
Dickson Didas
7 months
Since Pep, Klop arrived in England,you need at least 98 points to win the league,won at least 30 game in a season,at least 13 winning streaks in a season,Arsenal best season 90 points,city, Liverpool won 18 games in a row,can arsenal do it,can they overcome injury, Fatigue,G.luck
Tweet media one
5
3
66
@didas4_didas
Dickson Didas
3 months
Club with most Major trophies -liverpool, Club with most wins - Manchester United, Club with most UEFA champions league - Liverpool, Club with most EPL - Man United Club with biggest win in history Man United 9-0, Club with shocking results - Liverpool 7-0 a truly big Rival's 🤝!
Tweet media one
10
10
67
@didas4_didas
Dickson Didas
15 days
Kwa bajeti ndogo ya Fayernood,Arne slot ameweza kufika final ya Ueropa league, kapoteza dhidi ya kocha bora Jose Mourinho, msimu wa pili kachukua ligi, ameweza kushinda game 15 za mashindano ya ulaya,anamkuta, Allison Becker, Virgil van dijk, Robertson, Szoboszlai,Jota, mabingwa!
Tweet media one
24
5
67
@didas4_didas
Dickson Didas
5 months
Happy new year, TL football tacticos leading by George ambangile and all of you,May God bless your new year plan and desire,2023 was amazing ,ups and downs but we move,we are society,our difference's can't separate us from our strongest football gathering, Make it better 2024🤝!
Tweet media one
14
7
64
@didas4_didas
Dickson Didas
9 months
@mangiwakwanza @Benjaminkamo @ALugandu @DullahTheking2 @GilbertPaul95 @OriginoZee17 @Ag24seven @Malengoo @SadickTusia @Mzungu_pori1 @Uherry14 Tukubali una chuki nae , Martini huwa anajibu kutokana na unavyokuja,unataka ajibu kistaarabu wakati umekuja kishari, nyie wananchi huwa mnapenda maendeleo ya taifa mdomoni ila kwa vitendo mnatetea wasiostahili wameajiriwa wahuni wenye taaluma wanaachwa mnasema ni wivu, acheni.
2
2
65
@didas4_didas
Dickson Didas
5 months
We can't underestimate de bruyne decision to leave Chelsea for Wolfsburg and then he made himself one of the best Midfielder in the world with low quality squad, Iniesta got the best chemistry team around him, we all know if de bruyne was barca player would've won balloon d'or!
Tweet media one
14
8
65
@didas4_didas
Dickson Didas
6 months
@godbless_lema @lewis_FN1108 Sema tangu mmeanza kusema watu kuingia barabarani ni kitambo sana , Ccm wanajua jinsi yakuishi na watumwa wao,wamewatengeneza wawe hivi, mwingine maisha magumu mwingine ananufaika hakuna umoja kwenye mahitaji ya maisha hasa Tanzania.
15
2
64
@didas4_didas
Dickson Didas
6 months
January transfer window on big six club's, Liverpool need, CD, DM, Arsenal,ST, addition Dm on Rice support, Manchester city need Kevin de bruyne back up (not easy task), Spurs need to be free from injury nightmare,(they need only top 4), Manchester United need,Dm,RD, AM, RW, LW!
Tweet media one
9
4
63
@didas4_didas
Dickson Didas
4 months
Wanatumika kingono,wanawekwa mainstream,wanapangishiwa apartment,wanafanya kazi bila mikataba halali, mwisho wanaachwa na maisha mabovu,viungo vimetumika,Ombea wanawake wa Taifa lako 😭!
Tweet media one
7
7
65
@didas4_didas
Dickson Didas
3 months
Sema watu niwabishi sana, Manchester city hana record yeyote anfield, Manchester city hajawahi shinda dhidi ya Liverpool iliyoko kwenye ubora,Pep Guardiola hana record nzuri mbele ya klop,ni msimu bora kabisa wa Liverpool kulinganisha na msimu Jana,chuki zenu kwa Liverpool 😭!
Tweet media one
9
8
65
@didas4_didas
Dickson Didas
7 months
I feel sorry for Arsenal and Manchester United fan's who laugh at us yesterday, you know you can't finish above us 😭!
7
1
65
@didas4_didas
Dickson Didas
10 days
The last dance,we deserve to retire with something to show 🤝!
Tweet media one
4
2
64
@didas4_didas
Dickson Didas
1 month
Katika msimu unaosemekana ni bora kabisa kwao,watafika point 89 tu kama watashinda zote, katika msimu wetu bora kabisa,99 points,97 points,92 points, maanake dhidi yao tungeshinda back to back 3 in a row,hawa ndo wanahisi sina haki yakuwa troll, Usitegemee Liverpool fan akupende!
Tweet media one
14
6
63
@didas4_didas
Dickson Didas
6 months
Stopping Saka , don't let Declan Rice have his best form,press Saliba with high quality, applying 2-3 formation in a matter of 90 minutes, Alexander need to keep his form against inform Arsenal, Salah, Gakpo, Nunez, VVD,we need them at their best day's,if not today no other day🔥
Tweet media one
10
4
60
@didas4_didas
Dickson Didas
3 months
Kupewa penati mbili mechi moja karne ya 21 nae ni anguko baya sana, vuta picha dhidi ya timu inayoenda kushuka daraja unapata shida kama hivyo, Manchester wakiingia top 4 itakuwa maajabu , hawawezi pata penati kila mechi, huyu kocha anapokea mshahara kuliko Roberto de zerbi😭!
Tweet media one
14
1
62
@didas4_didas
Dickson Didas
1 month
The day bayer Leverkusen won bundersliga unbeaten and Borrusia Dotmund reach Uefa champions league final will be the most precious time to judge Mikel Arteta and Erik ten hag how good are they when its come to find the best out of their player's,will see if they're mid managers!
Tweet media one
16
5
61
@didas4_didas
Dickson Didas
6 months
Kila hadithi nzuri huwa na mwisho,ukiacha kuwa na Mafisango (RIP),Okwi,katika siku za karibuni Mashabiki wa Simba wamekuwa wakifurahia mpira mzuri kutoka kwa Chama,alikuja akatawala ni mda sasa wakuachia vijana uwanja,kila la kheri shujaa,sio rahisi kuondoka alafu urudi upendwe!
Tweet media one
5
2
60
@didas4_didas
Dickson Didas
1 year
Tweet media one
1
0
57
@didas4_didas
Dickson Didas
2 months
Imeonekana Aziz ki ana msimu bora kuliko Chama wakasema takwimu msimu uliopita, msimu huu wenzake wanamuangusha,tumeomba nafasi alizotengeneza hawajatupa,haya tunaomba Chama leo onyesha kitu maana ukitoa FA game ,chama hajawahi kufanya vizuri kwenye Derby,huishia kwenye sub tu!
Tweet media one
12
4
60