Yaani mimi hukuwa deep slipper to the point sikuskia my parents wakigombana alafu vyenye nimeamka sahi napata mum analia kwa kiti na washagawana vitu kila mtu aishi kivyake ...waaaah kumbe kilikuwa kiumane..yenyewe shetani si wa rika yngu.
21 fucking years.done and dusted.