Tanzania Leaks Profile Banner
Tanzania Leaks Profile
Tanzania Leaks

@TanzaniaLeaks

70,682
Followers
121
Following
1,403
Media
2,313
Statuses

Tanzania Leaks: Inform. Share. Embrace confidentiality. Whistleblowing. Tuna tunza siri. Inbox or Email Leaks: tanzanialeaks @iCloud .com.

Joined August 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
1 year
Our Objective is to Save #Tanzania Public from the Chronic Corruption and miss management. We are welcoming any document or news that will expose those vises. Be assured that your privacy is of Paramount importance. Submit Leaks inbox or: tanzanialeaks @iCloud .com #TanzaniaLeaks
26
73
408
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
8 months
BREAKING: JWTZ limemtaka Rais Samia kutoa tamko Juu ya mkataba wa bandari. Sababu kubwa ni kwamba Rais hajatoa tamko lolote licha ya kelele kuzidi kuhusu DP World. Jeshi limechafukwa sana baada ya kupata uelewa kuwa ni swala la kiusalama wa mipaka yetu ya majini na nchi kavu.
Tweet media one
544
328
4K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
1 year
Mama yetu Rais Samia yupo wapi? Ikulu na TISS tuambieni Rais @SuluhuSamia yupo wapi? Kama anaumwa tuambieni. Ni zaidi ya siku kumi Mama yetu hajulikani aliko. Mama yetu yupo wapi?
Tweet media one
485
178
3K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
“Nashangaa mtu leo marehemu kila kona anashambuliwa. Wengine wanasema tukazikwe naye. Huko Marekani wanatengeneza filamu feki kusema alikufa na COVID. Hivi huyu Greenberg alikuwa ni Daktari wa Magufuli? Tunataka kifo cha Magufuli kichunguze ili tujue kilichotekea” Askofu Gwajima
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
360
265
3K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
“Tanzania inapitia wakati mgumu sana. Changamoto ya Uongozi uliopo kwa sasa, inaonyesha wazi kwamba Katiba Mpya inahitajika haraka sana. Kwa hali ya sasa ni kama nchi inajiendesha yenyewe kwa autopilot.” Hamisi Kigwangalla #TanzaniaLeaks
Tweet media one
277
293
3K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
10 months
Rais Samia yuko Oman tangu 28 July. Aliondoka na Ndege ya Serikali 5H-ONE kwenda Dubai. Baada ya kumaliza vikao na DP World, alienda Saudia na kuacha ndege ya serikali kisha kupanda ndege za raia (Public) kwenda Oman. Hatujui kuna shida gani! Kuna taarifa ana matatizo ya kupumua.
Tweet media one
282
173
3K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
10 months
BREAKING: Spika Tulia katuma mtu kumuhonga Wakili Mwabukusi Tsh 100M ili aindoe kesi ya bandari. Mwabukusi kagoma na kaweka wazi hakuna pesa inayoweza kununua uzalendo wake. Baada ya msimamo mkali wa Mwabukusi, Tulia amefanya kikao na AG Feleshi kumnyang’anya Mwabukusi leseni.
Tweet media one
Tweet media two
221
254
2K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
1 year
WaTanzania jiandaeni kisaikolojia, kuna issue nzito sana ya kitaifa na ya kuogopesha tunaifanyia kazi katika saa 48 yajayo. Either Watanzania wataingia barabarani au Rais atajiuzulu. Ufisadi Tanesco na Wizara ya nishati unaogopesha sana. Ifike sehemu tuseme basi, hii haikubaliki.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
246
146
2K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Jakaya, wewe ni wa kumuumiza Freeman kiasi hiki? Umesikika ukisema Freeman alikusumbua sana 2010 - 2015 na kama atakua nje, uchaguzi wa mama utakua mgumu sana 2025. Najua unaongoza nchi na Sirro anaonngoza TISS kwa sasa. Usiipasue nchi. #TanzaniaLeaks
Tweet media one
Tweet media two
212
219
2K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
8 months
BREAKING: Salim Kikeke, Kila la kheri bwana mdogo. Siwezi kuandika mengi mambo yakaharibika. Maana Wanasubiria #TanzaniaLeaks iandike kisha wakane au watumbue. Hata andiko hili linaweza kuwa limekuharibia, lakini lazima tufanye kazi yetu, #TanzaniaLeaks
Tweet media one
99
77
2K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
“Kila siku wapigakura wangu wananiomba hela ya kula kutokana na ugumu wa maisha. Hali ni mbaya sana mtaani. Kama serikali haiwezi kuondoa hizi kodi za kipuuzi ndani ya siku 7, mimi ntaingia mtaani kuandamana bila kikomo hadi kodi zote kandamizi kwenye mafuta ziondolewe” Lusinde
Tweet media one
338
151
2K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Kosa kubwa la kwanza la Rais @SuluhuSamia .
Tweet media one
139
83
2K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 days
BREAKING: Baada ya kutoa taarifa kuhusu Rais kuwa Dubai kwa matibabu, tumepenyezewa taarifa mpya kwamba, Ndege ya Tanzania imeonekana Terminal 3 (VIP) Dubai, ikiwa na ulinzi mkali; inaashiria kuwepo Kiongozi wa Nchi anayeondoka.Bila Shaka, Rais atawasili Dar leo usiku kimya kimya
Tweet media one
159
90
2K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
8 months
BREAKING: Taarifa tuliyopenyezewa ni kuwa UHAI wa Tundu Lissu upo hatarini. Tumetonywa kwamba kuna mpango mchafu wa kumuwekea Tundu Lissu sumu au kumchoma sindano. Lissu, tafadhali, usile chochote huko polis. #TanzaniaLeaks
Tweet media one
Tweet media two
176
229
2K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Ripoti ya uchunguzi wa fedha BoT kutokea Januari hadi Machi 2021, ilikua ilitingishe Taifa. Ripoti ilikua inaondoka na Makamu wa Rais- Mpango, Waziri Mkuu, Bashiru na wenzao. Fedha nyingi iliibiwa BoT kwa muda mfupi. Rais @SuluhuSamia amekuta Hazina hakuna kitu. #TanzaniaLeaks
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
178
175
2K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
1 year
Tumemaliza kusikiliza wimbo wa unaoitwa “NIPENI MAUA YANGU” mida hii. Tumesikiliza zaidi ya mara saba. Roma ana stahili kupewa PhD ya heshima. @Roma_Mkatoliki , vyanzo vyetu nyeti vimetutonya kuwa Rais @SuluhuSamia kasikiliza wimbo wako. Ameupenda.
Tweet media one
97
99
2K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
8 months
BREAKING: PM Kassim, umedharauliwa. Endelea kuwa mvumilivu, usibwage manyanga, maana wanataka uwe frustrated ujiuzulu. DON'T. Zengwe lingine wanatafuta watu wa karibu wakudanganye kwamba utautwaa Uongozi kupitia Zambarau, maana wafuasi wa shujaa wako nyuma yako. Kataa #Wahuni .
Tweet media one
95
90
2K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
BREAKING: Mlinzi wa Majaliwa- PM (Pichani) ametekwa, kateswa sana. Mlinzi mwingine, Maftah Kaswaka, yupo Mzena ameshambuliwa na watu wasiojulikana. Amefanyiwa upasuaji kwa masaa mengi. Majaliwa na Mwinyi walikua wameandaliwa na Magufuli. Vita ya Urais 2025 ni kubwa sana #TzLeaks
Tweet media one
235
175
2K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Chanzo chetu kimetutaarifu kuwa Majaji wote watatu kwenye kesi ya Bandari iliuofunguliwa Mbeya wameitwa Ikulu ndogo Mbeya muda huu kwenda kuonana na Rais Samia.
Tweet media one
160
192
2K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
BREAKING: Mwanasheria @PMadeleka ametekwa na watu wasiojulikana Serena hotel muda mfupi uliopita. Watu hao wametokomea kusikojulikana na wakili Peter Madeleka. #FreeMadelekaNOW #TanzaniaLeaks
Tweet media one
139
276
2K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Zitto aliwadanganya TISS kwamba anammudu Mbowe na viongozi wakuu wa CHADEMA. Akapewa hela ili awasaidie kufanya lobbying ya kuzungumza na viongozi wa CHADEMA awambie Rais anataka kumwachia ila kwa sharti mmoja tu: akitoka asizungumze kabisa kuhusu Katiba Mpya. #TanzaniaLeaks
Tweet media one
Tweet media two
144
160
2K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Ugomvi mkubwa wa Rais @SuluhuSamia na Ndugai ni kitendo cha Samia akishirikiana na Rais @DrHmwinyi kupeleka hela nyingi za mkopo Zanzibar Kuna fukuto kubwa wabunge wa Tanganyika wanam-support Ndugai. Mpasuko ni mkubwa sana, hadi Idara ya Usalama imegawanyika sana #TanzaniaLeaks
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
272
131
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
8 months
THREAD: Mama Regina Lowassa mme wake alikuwa waziri Mkuu. Akiwa Chadema alipewa fursa ya kuwa Mbunge viti Maalumu. Akakataa na kusema yeye atamaliza maisha yake na familia. Mama Salma Kikwete mme wake Jakaya alikuwa Waziri na Rais term mbili…
Tweet media one
Tweet media two
60
86
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Tulia, Johari Hamza, Msukuma, Mrs. Maua Kitenge na wengine mliokula hela za DP-World. Jiandaeni kuanza kuzitapika ili ndege yetu irudi.
Tweet media one
191
199
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Usiku huu mida ya saa 4, Tulia Ackson akiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni Usalama, wakiwa na V8 mbili, wameenda nyumbani kwa Jaji mmoja na kumchukua. Ingawa wamejaribu kuzuga, wameonekana wakielekea upande wa Ikulu ndogo ya Mbeya. Tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu.
110
176
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
8 months
BREAKING: Taarifa za uhakika toka ngazi ya juu ndani ya jeshi la polisi ni kwamba, Chuo Cha Polisi, Kilwa Road Kurasini wamepewa DP World. Pale patakuwa container terminal au ICD yao ya kuhifadhi baadhi ya Mizigo. DP World hawarudi nyuma. Kanusheni na hii habari. Tutawaumbua.
Tweet media one
152
179
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
TAHADHARI. Rais Samia, tunapokea taarifa za kuogopesha ambazo hatuwezi kuanika hapa kwa maslahi ya nchi. Tunakusihi sana, tumieni busara na siyo nguvu. Achana na DP-World. Wape wananchi KATIBA mpya. Utatushukuru baadae, kuna mambo mazito yanapangwa na watu wanaokuzunguka chamani.
Tweet media one
149
174
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
10 months
Nadhani kwenye mambo ya kitaifa tusiweke mzaa. Watu ndani ya chama wanakuwa waoga kuuliza Rais yuko wapi? Wachache tukihoji tunaonekana wapinzani. Je, Rais Samia yuko wapi? Na Ndege yetu kwa nini imepakiwa Saudia?
Tweet media one
Tweet media two
118
119
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
10 months
Chanzo chetu ndani ya TISS kimetueleza, Dr. Slaa atakamatwa muda wowote kuanzia sasa. Moto wa press alizofanya umeivuruga sana serikali. Alikuwa akamatwe tokea majuzi- Jumanne. Hili la mkutano wa Temeke limeivuruga serikali zaidi. Polis wamepewa maagizo wazuie huo mkutano.
Tweet media one
100
204
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 days
BREAKING NEWS: Taarifa za uhakika toka Idarani ni kwamba, Tarehe 29 April Usiku Rais Samia akiwa Nairobi Kenya, aliugua Ghafla ugonjwa wa Moyo. Madaktari wake wakishirikiana na wakenya, walijaribu kumuokoa Nairobi Hospital, ila baadae alikimbizwa UAE kwa matibabu zaidi.
Tweet media one
Tweet media two
277
103
2K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Mama, tunakupa salamu za pole na kheri ya Christmas & Mwaka Mpya. Tunafahamu umewekewa vizuizi vingi vya watu kukutembelea kwa sababu ya mazingira ya kifo cha mmeo. Mfumo hautaki na unazuia watu wengi wasije kukusalimia/kukupa pole. Jiulize kwa nini mfumo hautaki uje upewe pole?
Tweet media one
83
91
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Jaji Tiganga na Jaji Kiongozi Siami WAMERIDHIA agizo la Ikulu kumfunga Mbowe kwa namna yoyote. Jaji Tigana ataingiza “Detention Register” KIHUNI hata kama alishaitolea maamuzi ya kuikataa. Amekubali kuvunja dhana ya “Functus Officio” ili kuficha aibu ya Rais SSH. #TzWikiLeaks
Tweet media one
Tweet media two
96
222
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Msiri wetu ndani ya system anatutaarifu kwamba, mambo yamekuwa mabaya mno kwa Rais Samia. CCM na TISS wamekiri kwamba wameelemewa hoja kwenye swala la DP-World. Kwa hiyo, wamekubaliana TISS na Polisi, watumie mkono wa chuma kuwadhibiti wananchi. More arrests are coming.
Tweet media one
128
204
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
11 months
BREAKING: Taarifa tulizo zipata asubuhi hii kuna mjadala mkali Bungeni wakitaka kushinikiza Dr. Slaa akamatwe au aitwe Dodoma kwa kulidharau Bunge. Kauli aliyoitoa Dr. Slaa jana kuwa “Hili ni Bunge la hovyoo” imewakera sana wabunge na Speaker Tulia.
Tweet media one
265
153
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Muombeeni aliyekua Spika wa Bunge, Job Ndugai. Baada ya kuwekwa kizuizini na kuzuiwa kuongea na vyombo vya habari, ameugua sana. Hali yake sio nzuri. Alipo shinikizwa aandike barua ya kuachia ngazi, alikataa. Wala hajawahi kuandika barua ya kuachia ngazi. #TanzaniaLeaks
Tweet media one
327
160
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
11 months
BREAKING: Ufisadi wa Bandari ni mkubwa zaidi tujuavyo. Prof. Mbarawa alikusanya wabunge wa kamati ya miundo mbinu na kuwapeleka kukutana na Watawala wa Dubai.Wakapewa fedha nyingi sana, baadhi yao kama Msukuma alipewa V8 na pesa Taslimu. Kashfa ni kubwa zaidi ya Richmond, IPTL nk
Tweet media one
135
133
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Mmemfungia Spika Job Ndugai na kumuwekea ulinzi mkali. Muachieni huru ili aongee. Ameapa akiwa huru ataongea tu. Akiongea nchi itatikisika. Ndugai hakuandika barua ya kujiuzulu. #FreeNdugaiNow #TanzaniaLeaks
Tweet media one
126
118
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Tumedokezwa kwamba Mh. Mbowe na Lissu wanaweza kukamatwa muda wowote. Sababu kubwa ni DP World. Dr. Slaa, Mwabukusi, Madeleka, Mdude Nyagali wako mikononi mwa polisi. Dr. Nshala yupo EXILE. Samia usiwatese Watanganyika kwa maslahi ya Waarabu. Angalia Afrika Magharibi.
Tweet media one
151
244
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Chanzo chetu ndani ya System kinatutaarifu kwamba, Baada ya Rais kumaliza shuguli zake na mtawala wa Dubai kule Ngorongoro na Loliondo, wanaelekea Kizimkazi Zanzibar ambako Bwana AL Maktoum amemjengea Rais Samia hoteli ya kifahari.
Tweet media one
127
112
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
3 years
Tukio la leo linahitaji Tume Huru ya Uchunguzi. Yule kijana amedhulumiwa na Polisi. Jeshi la polisi linajua na halitaweza kujichunguza. #TanzaniaWikiLeaks tumetaarifiwa na family member: “Tukio limesababishwa na kisasi. Dhuluma ni sababu ya kisasi” #TanzaniaWikiLeaks
Tweet media one
Tweet media two
49
136
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
10 months
BREAKING: Mwanaye Samia aitwaye Abdul, ndio kiungo kikubwa kwenye Sakata la DP World. Dogo kafungua ofisi Sharja kwa ajili ya deals zake huko Emirate. Abdul ana jumba la kifahari Dubai aliyopewa na watawala wa Emirate. Mchongo wa DP World alipewa na Rostam Aziz.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
228
142
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
UFISADI: SSH alifanya kikao na mmiliki wa Gran Melia Hotel siku alipofungua hotel hiyo Arusha. Sasa SSH yuko Ngorongoro kumalizia deal na Albwardy Investment kumiliki hotel ya Ngorongoro Crater Lodge. MPANGO: Albwardy Investment kumiliki Ngorongoro Crater Lodge na SSH kupewa hisa
Tweet media one
158
106
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
10 months
BREAKING: Chanzo cha kuaminika inatutaarifu kwamba Speaker wa Bunge, Tulia Ackson alikutana na viongozi wa DP World Nchini Morocco. Kikao kilifanyika usiku wa Tarehe 12 June 2023. Kilichozungumzwa bado ni siri. Ikumbukwe kuwa, Tulia amekuwa ni mmoja wa wapiga DEBE wa DP World.
Tweet media one
155
160
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Taarifa tulizo zipokea muda mfupi uliopita ni kwamba, Ndege kubwa ya Mizigo imeondoka toka Loliondo kuelekea UAE jana usiku. Ndege hiyo imebeba Sheena kubwa sana ya wanyama pori. TISS na JWTZ wako wapi?
298
175
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Maandalizi yanaendelea Ngorongoro kwa sasa. Maafisa wa usalama wengi wamemwagwa. Wamo pia watu wanaosadikiwa kuwa ni wanajeshi wa kiarabu wanaofanya maandalizi ya kuja kwa mfalme wa Dubai. Samia anakuja kukutana na DP World Loliondo. #TanzaniaLeaks
Tweet media one
76
117
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Dr. Slaa na mkewe walikubaliana na Magufuli walipwe 250M ili waondoke CHADEMA. Walipewa 150M mkononi, cash. Ahadi 100M wakifika Canada. Walipo fika Canada Magufuli akawaambia wawasiliane na Katibu Mkuu Kinana ili walipwe zilizo baki. Dr. Slaa akamtuma mkewe aongee na Kinana…
Tweet media one
Tweet media two
142
143
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
10 months
TAHADHARI! Tulia Ackson, chochote kikitokea kwa Judge, Wakili au yeyote anayepinga DP World Mahakamani Mbeya, utajibu. Mipango ya kumtengenezea ajali itakuja kukutafuna. Hizo $2.5million za Rushwa utatapika tu. Sura kama Kenge.
Tweet media one
140
177
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Paulo Makonda yupo nyumbani kwake. Uzito wa mahusiano yake na Rais @SuluhuSamia miaka ya nyuma ni kizingiti kwa mahakama. #TanzaniaLeaks
Tweet media one
Tweet media two
91
136
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
LEAK: Nabii Josephat Mwingira awe muangalifu anapo kwenda kuhojiwa na polis. Pia, aongeze ulinzi binafsi. #TanzaniaLeaks tumepewa taarifa kuwepo kwa nia ovu dhidi ya uhai wake. Kunampango mbaya sana wa kumpokonya haki yake ya kuishi. Lengo: kujenga hofu watu wengine wasiongee.
Tweet media one
Tweet media two
101
149
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Baada ya #Tanzanialeaks kutoa taarifa ya mipango jana usiku. CC ya CCM imebadilisha gear angani. Wanasubiri muda muhafaka kutoa matamko yaliyoridhiwa, ambayo tulisema kuwa umma ujiandae kwa Big Announcement.
Tweet media one
42
104
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
1 year
BREAKING: Watanzania, hii ni moja ya ndege Kubwa zaidi duniani na imetua KIA tangu tarehe 22 Alhamis mwezi huu. Jiuluzeni limekuja kufanya nini kwenye ardhi yetu. Wazalendo wote mlioko KIA lazima tuzuie huu ujangili wa hawa Waarabu. Tunaomba ushirikiano wenu kufichua haya maovu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
142
122
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Kuna mnyukano mkubwa sana unaendelea ndani ya Serikali kuhusinana na dhamira ya Waarabu wa UAE ndani ya Tanzania. Wanachokifanya Loliondo la kuwatorosha wanyama imewakera sana wanajeshi. Tegeni masikio kama yatamwagika nje.
145
150
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
1 year
Huyu ndiye mtoto wa kigogo tunayemzungumzia. Miradi mikubwa ya Serikali, lazima apitishe yeye. Ameleta hofu kubwa ndani ya chama. Ni link kati ya Tanzania na Waarabu. Abdul amedhamiria TISS na baraza la Mawaziri livunjwe ili watu wake waingie. Soon mamake anatangaza Baraza jipya.
Tweet media one
154
71
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
6 months
Kunawaka moto. Kinana hana furaha. Bashite katuvuruga. Chongolo kaamua kucheza kwa uangalifu lakini kakalia kuti kavu. Sabaya na Hapi wanarudi. Ridhiwani na January wanapasha kwaajili ya 2025. Mama hesabu haziendi. JK anataka kutimiza lengo lake la kumuweka kijana wake Magogoni.
Tweet media one
94
82
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
8 months
Kassim Majaliwa Majaliwa. Kiongozi wangu, Jivike Ujasiri, Uzalendo na Unyenyekevu mbele za Muumba. Hawa wahuni hawawezi kukuchezea wakati Tupo. Muda sio mrefu tunaanika njama zao. #TanzaniaLeaks
Tweet media one
40
84
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
8 months
BREAKING: Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akamatwa na polis.
Tweet media one
85
170
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 months
BREAKING: RAIS Samia, na Waziri mkuu Majaliwa. Ramadhani Ntunzwe amekufa, ameuwawa alikokuwa amejificha Tabora. Inawezekana vipi mtu anawaletea kesi ya Ujambazi mkubwa wa TRA, mkampuuzia, anatishiwa, mali na fedha zake hajarudishiwa hadi anauwawa. Watanzania wakimbilie wapi?
Tweet media one
62
104
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
10 months
BREAKING: Chanzo cha kuaminika ndani ya Ikulu kinatutaarifu kwamba, Rais Samia amesafiri kwa Dharura baada ya kuitwa na watawala wa DUBAI kuzungumzia moto wa Bandari zetu na DP World. Safari imefanywa siri KUBWA na Rais ametumia Ndege ya Serikali.
121
143
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
Kuna Jaji mzalendo jina kapuni, Amegoma kabisa kununuliwa. Tulia katumia kila njia kagoma. Samia katuma watu amegoma. Tusubirie ili tusivuruge kesi. Huyu Jaji mtamjua tu. Ni mzalendo wa hali ya juu. Vitisho vya Tulia na usalama havijamteteresha.
Tweet media one
65
130
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
Rais Samia, unakosea wapi? Kosa kubwa ulilolifanya ni kumkamata Dr. Slaa na Kumpa kesi ya UHAINI. Umekuja kurudia kosa kubwa zaidi la kumvua Ubalozi. Kataa hawa washauri wako. Hili ni kosa kubwa sana la kimkakati. Umemfanya Dr. Slaa kuwa na nguvu sana. 2025 ndiye King Maker.
Tweet media one
Tweet media two
101
128
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Kesi ya Mbowe, KWA SIKU, nje ya mishahara: 💵 Jaji analipwa Tsh 500,000/=, malazi Tsh 250,000/= 💵 Mawakili wa serikali wanalipwa Tsh 120,000/= kila moja 💵 Madereva wa Jaji & mawakil wanalipwa Tsh 80,000/= kila moja Hadi sasa kesi imegharimu Taifa zaidi ya Tsh 200,000,000/=
Tweet media one
105
194
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
“Kwa mwaka mmoja tumekua tunakatwa hela ya bima ya afya tukiahidiwa huduma kwenye hospitali kubwa za mikoa & Wilaya. Hadi sasa hatupewi huduma kwenye hospital za Wilaya wala Mikoa. Tukiwa likizo kwenye mkoa/Wilaya isiyo na jeshi hatupati huduma za afya.” Askari wa JWTZ
Tweet media one
56
94
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
10 months
Usiku wa leo, Tulia Ackson amefanya kikao cha siri na watu wa Kitengo kwaajili ya kumshugulikia Nazir Karamagi. Mr. Karamagi, huu mwezi wote, usikutane na watu. Ikibidi, kaa nyumbani au sehemu yako ya siri kwa mwezi mzima. Huyo mla rushwa wa DP World ni hatari. $2.5M siyo mchezo.
Tweet media one
Tweet media two
70
145
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
Daudi Albert Bashite, kama nakuona unavyochekelea kwenye kona. Nami nasikilizia Radio mbao yangu.
Tweet media one
45
55
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Taarifa za uhakika toka kwa informer wetu ni kwamba, aliyekuwa DG wa TPA, Ndg. Eric Hamisi aliondolewa kwenye nafasi yake baada ya kutokuridhishwa na mkataba wa DP World. Mr. Hamisi aligoma kabisa kuwa sehemu ya hayo majadiliano sababu aliona uozo kwenye mkataba.
52
133
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
3 years
Fred Kapara yupo kwenye payroll ya TISS. @Tigo_TZ anafanya kazi kama shushushu, sio mwanasheria. Barua nyingi zikifika Tigo zinamfikia yeye. Akizifanyia kazi hampatii hata dereva kupeleka kwa kamishna wa makosa ya mtandao.Huwa anapeleka yeye mwenyewe kwa mkono. #TanzaniaWikiLeaks
Tweet media one
Tweet media two
71
156
999
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
Kasheku Musukuma, wa DP World. Mmoja wa Wabunge aliyehongwa na DP World, alionja joto la Jiwe. Amezomewa vibaya mno na wananchi wa jimbo la Geita, kijiji cha Katoro. Naona wananchi wameanza kuamka na kuanza kuwakataa mafisadi waliokula rushwa kuuza Tanganyika. Bado Tulia Ackson.
Tweet media one
71
126
1K
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
8 months
BREAKING: DP World wanaenda mbali sana. Hapa tunapo-tweet, Chuo Cha Polisi kishauzwa kwa DP World na kinachofatia ni Ofisi za Baraza la Maaskofu kurasini. Hawa watu wamepokea fedha nyingi sana na inaonekana hawajali chochote. Chanzo chetu ni cha kuaminika ndani ya Polisi HQ.
Tweet media one
127
137
999
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
8 months
BREAKING: Wahuni wanatenda yao kuhakikisha Rais Samia anashindwa kabisa. Taarifa za uhakika ni Kwamba, #Wahuni wamehujumu mitambo ya kufua umeme ya Tanesco UBUNGO unaopelekea kukosekana kwa umeme maeneo mengi nchini. Kadhalika, moja ya visima vya gesi asilia kule Mtwara kimekauka
Tweet media one
Tweet media two
63
71
995
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
8 months
BREAKING: Kutoka kitengo tumedokezwa usiku huu kuwa, DPP anabadili mashtaka ya Wakili Peter Madeleka kesho asubuhi na kumpa kesi isiyo na dhamana. Mnaziba huku, wanatoboa kule.
Tweet media one
72
133
991
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
10 months
Wazee Mbeya wanaendelea na vikao vya siri kuhakikisha wanamshughulikia Tulia kabla ya 2025 kwa sababu amekosa uzalendo. Tulia kahongwa na waraabu $2.5M kisha kugeuka na kuwa dalali wa kuuza nchi. Wazee wanasema wangemsamehe kama angekuwa kaiba pesa za kodi, sio hii ya kuuza nchi.
Tweet media one
Tweet media two
48
106
997
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
1 year
1-2. BREAKING: Waziri wa Fedha, MWIGULU, #Wahuni wameshaamua wanakuondoa. Nadhani unaelewa. Unakuwa kikwazo kwenye ndoto yao kuelekea 2025. Muda wowote wanakushugulikia. Usipuuzie, angalia vifo kwa CAG wiki jana.
Tweet media one
118
65
988
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Kutokana na kikao kilichofanyika cha siri Ikulu kikijumuisha baadhi ya viongozi wa ulinzi na usalama, Chama, Serikali na viongozi wa Dini, kuna Tangazo kubwa litafanyika siku chache zijazo. Hakuna mwenye nguvu Zaidi ya wananchi kwenye nchi yake.
39
123
986
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
Katelephone, Kipenzi cha Shujaa Wetu JPM, Kwani kuna shida?.... Kuwa macho na huo mchongo...!
Tweet media one
34
51
980
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
10 months
“Taifa lazima liwe na mikakati na maono ya muda mrefu. Tumekosa yote. Tumepoteza mwelekeo kuwakabidhi Waarabu bandari kwa mkataba mbovu. Tusimlaumu Rais. Tujilaumu wenyewe kwa kukosa uzalendo, vilio vya kuuzwa bandari vimesababishwa na ukosefu wa maono.” Askofu Gwajima, Bunju A
Tweet media one
91
129
968
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Habari tulizozipokea hivi punde toka Kitengo, ni Kwamba, Viongozi wa Kidini waliongea na Rais Samia kumuomba kwa Dharura afanye mabadiliko kwenye mkataba wa DPW na awaachie HURU wote anaowashikilia na kubambikiwa kesi za UHAINI. Rais Samia amewapuuza Viongozi wa Kidini.
129
123
947
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
TISS informer in Washington DC, Loveness who once boasted having received $300K from Tanzania government to silence Mange Kimambi, is on another mission to either eliminate or silence Liberatus. Libe, wherever you are, be wary of Loveness. She is on a mission. #TanzaniaLeaks
Tweet media one
Tweet media two
60
135
935
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Rais @SuluhuSamia akishirkiana na CCM asilia WAMEMPINDUA Spika Job Ndugai. Ndugai hakuandika barua ya kujihudhulu. Ametishwa sana na kushinikizwa aongee na Umma juu ya kuachia ngazi. Kagoma. Amewekwa chini ya ulinzi. Ameapa hatakaa kimya akiachiwa. #FreeNdugaiNow #TanzaniaLeaks
Tweet media one
147
115
924
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
8 months
ALERT! Mange Kimambi au rafiki zako wakufikishie salamu. Umeingia Choo cha KIUME. Unashugulikiwa mdogo mdogo, Either kumbeba Kipara au kuangamizwa. Hao watu siyo wa kucheka nao. Ignore this at your own risk maana hii issue imesukwa Tangu Feb 2022. Umekwepa Manara, hapa hauchomoki
Tweet media one
43
55
936
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Baada ya kushindwa kumnunua Wakili Mwabukusi, serikali iliwekeza nguvu kuwanunua majaji. Jaji mmoja bado ameshikiria msimamo kitu kinachomfanya Samia kwenda mwenyewe Mbeya na kuonana na Majaji. Hili ndio imepelekea kesi kuahirishwa.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
80
147
921
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Waarabu kupitia serikali ya Tanzania watangaza VITA RASMI kwa Mtanzania yoyote anayepinga mkataba wa bandari. Watanzania AMKENI. Acheni kuwa mafala na watumwa kwenye nchi yenu. PUMBAVU sana nyie.
159
160
922
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Kuna ufisadi wa kuogopesha tunawaanikia leo. Ni ufisadi unaohusisha: 1. Angela Kizigha, 2. Abdul (Mtoto wa Mama Samia) 3. Elvis Kilango 4. Hamad Masauni (Waziri) 5. Thania Abdula (Mke wa Masauni)
Tweet media one
58
114
921
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
3 years
CHADEMA, shahidi, Bi Gladys Fimbari- Airtel Legal Officer atakuja kutoa mawasiliano ya M’kiti wenu. Alisoma Jangwani, Kifungilo & UDSM. Namba za simu kutuma pesa sio ugaidi. Shida kubwa ni makampuni ya simu kutokutunza siri za wateja. Hili ndio mawakili wenu wanajaribu kuonyesha.
Tweet media one
36
123
892
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
10 months
BREAKING: Tumepokea taarifa toka chanzo chetu Magogoni kwamba Rais Samia atawasili kimya kimya toka Oman na Saudia. Atakuja na ndege za kawaida. Kwa maana hiyo ndege yetu itabakia Saudia kutuzuga. Hatujajua watasema ndege ilikuwa matengenezo au! Tunafatilia.
80
95
921
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
“Spika kapatia kutujulisha hatari za mikopo. Atujulishe na hatari ya kulipa mishahara wasio wabunge. Amalizie kutujulisha uhalali wa sheria zinazotungwa na wasio wabunge.” Baba Askofu Bagonza #TanzaniaLeaks
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
21
131
887
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
Tulia Ackson unahangaika sana huko Mbeya. Kufanya njama kwenda mahakama Kuu usiku usiku na kuchukua mafaili ya kesi mbio mbio hadi kwenda nayo Uzunguni Ikulu ndogo haitaisaidia serikali. Sana sana unaenda kuichafua mahakama. Tulia ulimponza JPM na sasa unaenda kumponza Samia.
Tweet media one
78
136
917
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
8 months
Kassim, mosi, unaonekana ni mfuasi mtiifu wa Shujaa JPM, na nje ya Kipara, unaonekana unajipanga 2025. Lazima wakudhoofishe. Kukudhoofisha, umepewa msaidizi. Pili msaidizi wako amewekwa ili akusanye kura za Kanda ya ziwa. Ziara za Chadema zimechafua. Lissu kawavuruga balaa.
Tweet media one
50
81
907
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
10 months
Mh. Lissu, Punguza makali. Unatuumiza sana. Najua hauna tusi, lakini lugha yako inachoma. Hatuna cha kujibu ndio maana mkakati mpya ni kudai unamtukana mama. Punguza makali kidogo. Unatuumiza. Unatuacha uchi kijana. Nikuhakikishie tu kwamba, huu Mkataba utavunjwa.
Tweet media one
39
105
903
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
3 years
Jaji Siyami, mawasiliano yako na Jaji Joachim na TISS yametufikia #TanzaniaWikiLeaks . Tigo wametuwezesha kupitia number yako hii 071344*86. Jaji Joachim, usikubali uwe kiini cha kusababisha Tanzania kutikisika. #TzWikiLeaks
Tweet media one
Tweet media two
33
122
877
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Simu za Magufuli, Ndugai, @hpolepole nk zilirekodiwa na TISS. TISS wamemsikilizisha Rais @SuluhuSamia maongezi hayo. JPM & Ndugai walikua wanamuongelea vibaya sana Samia Maongezi ya sasa yanaonyesha mipango ovu ya Ndugai na kina Polepole. Polepole hata ongea tena. #TanzaniaLeaks
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
106
93
881
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
3 months
Kuna mnyukano mkubwa ndani ya familia ya Rais Mwinyi. Mzee aliandika wosia kwamba akifa azikwe nyumbani kwao Mkuranga, ila mtalii wa Zanzibar Hussen Mwinyi anataka babake akazikwe Zanzibar ili alinde urais wake. Tunasubiria kengele tu. Hatuji mshindi atakuwa mama Sitti au Hussen.
Tweet media one
47
67
889
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BREAKING: Taarifa za uhakika tulizozipata toka BoT ni kwamba akiba ya Dola za Kimarekani imekauka. Kadhalika hata TZS pia hakuna. Utawala wa BoT umechanganyikiwa kutokana na hali hii. Sababu kubwa ya Dola kuisha BoT haijafahamika.
Tweet media one
Tweet media two
108
100
884
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
8 months
BREAKING: Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana.
Tweet media one
34
119
882
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
11 months
Maulid Kitenge, Anza kutema hela za Propaganda ulizokula za DP World. Naona mmeanza kutajana hadi Bungeni. Na bado. Hili swala la Mkataba wa bandari na Waarabu litawatokea puani.
Tweet media one
66
86
889
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
3 months
Mbowe anasema kila sehemu Samia akienda na Kikwete yupo. Hili ni kweli kabisa. Samia akiwa New York- Kikwete yupo, Samia akienda Dubai- yupo. Samia akienda Ethiopia- yupo. Yaani kila sehemu. Mbowe anahoji, Kikwete ni msaidizi wa Samia? Yaani Mbowe wakusema CCM tumeishiwa pumzi!
Tweet media one
60
90
885
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
9 months
BABA Askofu Malasusa na Shoo, mmekula maharage ya wapi? Mnasikia watanzania wanalia? Inakuwaje mnaenda kula na kustarehe na upande wa dhulma? Mnakaa na kufurahia ya Mwijaku na Shilole Kizimkazi? Hata sisi waislamu, tunaona TEC ndio watumishi wa Mungu wa UKWELI. Shame on you
Tweet media one
122
127
873
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
2 years
Shahidi wa nane wa Jamhuri, Afande Jumanne Malangahe ni mmoja ya wahusika wa kumteka na kumuua Ben Saanane kwa maelekezo ya Paul Christian Makonda. Alihusika kumteka Tito Magoti na Erick Kabendera ambapo kama wanaharakati wasinge piga kelele mapema, wangeuawa. #TanzaniaLeaks
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
39
129
857