Mfanyakazi Online Media Profile Banner
Mfanyakazi Online Media Profile
Mfanyakazi Online Media

@MfanyakaziNews

424,222
Followers
0
Following
1,174
Media
1,638
Statuses

UKWELI NA UWAZI : : mfanyakazimedia @gmail .com

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
5 hours
"Wakati nchi nyingine zikipambana kufanya internet iwe bure/nafuu sababu ni chanzo cha mapato/maarifa/taarifa kwa dunia ya sasa, sisi tunapambana mitandao ifungwe eti haina maadili. Mtandaoni unapata ukitakacho, kama ni mzinzi utapata video za ngono, fikra finyu sana," Madenge
Tweet media one
2
2
28
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
7 months
AGONGA PHD AKIWA NA MIAKA 31 TU Anaitwa Dkt Neema Mduma. Ni mmoja wa Watanzania wachache waliopata PhD wakiwa na umri mdogo sana Alizaliwa mwaka 1989. Alipofikisha miaka 31 tu akagonga PhD Ni mhadhidi katika Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela, Arusha
Tweet media one
104
81
2K
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
5 months
NINA MABOSI WANNE TU WANAOWEZA KUNIITA NA KUNIHOJI - BASHE * Hajamtaja Mwenezi wa CCM kwenye orodha yake "Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu. Hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote,” Waziri wa Kilimo Hussein Bashe
Tweet media one
211
113
1K
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
2 months
MAKONDA ATUHUMIWA KUTAKA KUMUUWA MDOGO WAKE GSM Paul Makonda amefunguliwa RB polisi Dar es Salaam kwa tuhuma za kutaka kumuuwa Salaah Mohamed, mdogo wa mfanyabiashara maarufu GSM Anadaiwa kutenda kosa hilo wiki iliyopita akiwa Mwenezi wa CCM kabla ya kuteuliwa kuwa RC wa Arusha
Tweet media one
82
92
1K
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
7 months
"Siku hizi mtu hajatoka chuoni anataka awe na gari. Nawaambia hata watoto wangu, ukiwa hupati take home (net salary) ya Shilingi milioni 6 au 7 ukataka kuendesha gari lako mwenyewe Dar es Salaam, kuna mawili -- ama utakuwa mwizi au mtumwa. Hakuna la tatu," Jenerali Ulimwengu
Tweet media one
59
188
1K
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
FAMILIA YA LOWASSA YAMTENGA KIKWETE Familia ya Edward Lowassa imetoa kijarida cha msiba cha kurasa 23, nukuu za waombolezaji na picha 47 za Lowassa akiwa na viongozi wote, lakini hawajaweka picha hata moja ya Lowassa na Jakaya Kikwete 🔴 Familia ya Lowassa haijamsamehe Kikwete
Tweet media one
101
114
1K
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
6 months
Alichokisema aliyekuwa Rais John Magufuli kuhusu namna ambavyo mbunge wa CCM wa Morogoro Mjini, mfanyabiashara Abdulaziz Mohamed Abood, alivyopata pesa kununua mabasi Video: kutoka maktaba
58
270
1K
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
7 months
"Makonda anazitumia ziara hizi kujenga taswira kuwa serikali ipo chini yake kwa kutoa maelekezo kwa mawaziri na viongozi waandamizi wa serikali. Kumruhusu aendelee kufanya hivyo ni kurudia makosa aliyoyafanya Rais Mkapa kwa kumjenga Magufuli kisiasa," mwandishi Eric Kabendera
Tweet media one
100
89
965
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
7 months
"Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) imekuwa ni EXTENDED HIGH SCHOOL. Kama kwa kozi ya miaka minne, basi wangesema ni FORM 10. Chuo kikuu ambacho HAKINA MIJADALA, publication of RESEARCH, hakuna production of KNOWLEDGE ili iwe shared na jamii," Jenerali Ulimwengu, mhitimu wa UDSM
Tweet media one
55
178
930
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
"Hakuna vazi lolote duniani linaloitwa la taifa lililoundiwa tume. Hakuna! Kuwafanya Watanzania watumie muda wao kusaka vazi la taifa ni wild-goose chase (wehu) na diversionary tactic ili wasahau mambo muhimu yaliyowashinda watawala. Tusipotezeane muda wetu," Jenerali Ulimwengu
Tweet media one
55
177
900
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
3 months
"Makonda alimwambia GSM kuwa Rais Magufuli anataka amjengee nyumba. GSM akanunua nyumba akaibomoa akajenga mpya. Ilipokamilika, Makonda akabadilisha hati akaweka jina lake, JPM alipokuja kufahamu akamwambia GSM yeye hakuagiza amjengee nyumba. Haya mambo yanajulikana," Tundu Lissu
Tweet media one
46
94
880
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
7 months
SUZAN KAGANDA KUWA IGP WA KWANZA MWANAMKE? Suzan Kaganda, Kamishna wa Polisi (Utawala na Rasilimali Watu), anatajwa kuwa na nafasi kubwa ya kuwa mwanamke wa kwanza nchini Tanzania kuteuliwa kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi atakayefuata baada ya IGP aliyepo sasa, Camillus Wambura
Tweet media one
96
50
757
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
TUNDU LISSU AKIRI WATOTO WAKE NI RAIA WA MAREKANI NA WANASOMA MAREKANI "Vijana wangu ndiyo wana uraia wa Marekani. Wana uraia wa kuzaliwa Marekani. Kuna kipindi nilifanya kazi miaka ya 1990 Marekani, kwa hiyo vijana walizaliwa Marekani na ndiyo maana wanasoma huko (Marekani)"
Tweet media one
48
37
768
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
6 months
MFAHAMU MKE WA PROF. MOHAMED JANABI Sophia Khalid Byanaku ana digrii ya sociology na master's (digrii ya uzamili) ya health policy planning and management. Ni Mkurugenzi Mtendaji wa Doctor's Plaza. Alikuwa Miss Tanga 2001 na aliingia 10 bora ya Miss Tanzania Umejifunza nini?
Tweet media one
Tweet media two
79
47
747
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
7 months
BREAKING NEWS!! 𝗞𝗮𝘁𝗶𝗯𝘂 𝗠𝗸𝘂𝘂 𝘄𝗮 𝗖𝗖𝗠 𝗗𝗮𝗻𝗶𝗲𝗹 𝗖𝗵𝗼𝗻𝗴𝗼𝗹𝗼 𝗮𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu. Taarifa zilizotufikia ni kuwa Chongolo amewasilisha barua ya kujiuzulu kwa Rais Samia Suluhu Hassan leo usiku
Tweet media one
96
60
731
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
2 months
Kitakachomkuta Paul Makonda baada ya kuhojiwa kwa zaidi ya masaa matatu jana na Kamati ya Maadili ya CCM huko Dodoma kinapatikana kati ya herufi Y na I kwenye keyboard
Tweet media one
38
18
660
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
3 months
HII NI UGANDA, HII NI AFRIKA ✔️ Baba (Yoweri Museveni) ni Rais ✔️ Mama (Janeth Museveni) ni Waziri wa Elimu ✔️ Mtoto (Muhoozi Kainerugaba) ni Mkuu wa Majeshi, CDF
Tweet media one
57
37
605
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
5 months
"Dar es Salaam usafi huwa ni Jumamosi ya mwisho wa mwezi, siyo Jumanne na Jumatano. Haya mambo tunachukulia poa ila siku watu wakichoka tutatumia nguvu nyingi sana kuweka mambo sawa," Roland Malaba, maarufu kama Madenge
Tweet media one
28
69
528
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
"Edward Lowassa alitoka Chama Cha Mapinduzi kwenda kugombea (urais) kupitia upinzani kwa sababu hakutendewa haki (ndani ya CCM) na alitaka kutuma message (ujumbe) kwamba lazima hali ibadilike," Rostam Aziz
Tweet media one
12
37
499
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
2 months
KAMATI YA MAADILI YA CCM YAANZA KUMHOJI PAUL MAKONDA LEO DODOMA Ametenda makosa makubwa manne: 1. Amemchonganisha Rais na Baraza la Mawaziri 2. Ameidhalilisha Serikali 3. Ameibua taharuki kwa wananchi 4. Ameonesha utovu wa nidhamu kwa viongozi wa Serikali na CCM hadharani
Tweet media one
62
48
495
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
6 months
"Hivi kuna umuhimu gani wa kuwa na Chipukizi mwenye umri wa miaka 8 hadi 10 katika kipindi hiki badala ya kumuacha mtoto huyo asome? Sisi tukiwa na Chipukizi, je CHADEMA wakiwa na Chipukizi, je CUF wakiwa na Chipukizi hawa watoto watasoma saa ngapi?” John Magufuli, 23 Julai 2016
Tweet media one
24
57
469
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
5 months
🔴 BREAKING NEWS KIGWANGALLA KUITWA TAKUKURU TAKUKURU itamhoji mbunge wa Nzega, Hamisi Kigwangalla, ambaye ni waziri mstaafu, kuhusu kauli yake kuwa kuna viongozi wa Serikali wananunua nyumba Oysterbay/Masaki, Cape Town na Dubai kwa mabilioni ya shilingi ili asaidie uchunguzi
Tweet media one
101
64
453
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
7 months
POLISI WENYE BUNDUKI WADAIWA KUVAMIA BAA YA BOARDROOM SINZA, WAUWA MLINZI Wateja wa baa maarufu ya The Boardroom iliyopo Sinza, Dar es Salaam, wamerekodi tukio la hivi karibuni la askari polisi akiwatishia wateja na bunduki huku akisaka wanawake wenye nguo fupi akisema wanajiuza
67
125
440
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
3 months
“Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, haiwezekani wagombea wa upinzani tu ndio hawakujua kujaza fomu ipasavyo halafu wagombea wa CCM wakaweza kujaza fomu ipasavyo kila mahali. Mtu kama unajiamini kwa nini upite pasipo ushindani?" Dkt. Faustine Ndugulile
Tweet media one
45
62
433
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
12 days
PAUL MAKONDA APINGWA KILA KONA Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Heri James, amesema kuwa kitendo cha kiongozi kufanya mikutano ya kusikiliza kero ni ishara kuwa kiongozi huyo ameshindwa kutatua kero, kwani angeimarisha mifumo ya kutatua kero asingehitaji mikutano ya kusikiliza kero
245
61
423
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
7 months
MBUNGE AELEZA JINSI ALIVYONUNUA KURA ZA WAJUMBE Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa na kigogo Dodoma kuapishwa kwa siri
95
92
410
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
3 months
MHIFADHI MKUU WA CHAKULA CHA TAIFA HUYU HAPA Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), Dkt. Andrew Komba, amesema kuwa kazi kubwa ya wakala huyo ni kununua chakula na kukihifadhi kwenye maghala ili kitumike wakati wa njaa au uhaba wa chakula
Tweet media one
193
21
405
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
6 months
RAIS MSTAAFU APOKONYWA MAFAO, APANDA PICK-UP BADALA YA BENZ Rais mstaafu wa Zambia Edgar Lungu amefutiwa mafao na Serikali, ikiwemo walinzi, matibabu, wasaidizi na posho baada ya kurejea kwenye siasa Sheria ya Zambia inasema Rais mstaafu akijihusisha na siasa anafutiwa mafao
Tweet media one
14
28
366
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
2 months
Baadhi ya malejendari wa Clouds Media waliotangulia mbele ya haki 🕯️Ruge Mutahaba 🕯️ Ephraim Kibonde 🕯️Gardner G. Habash 🕯️DJ Stevie B (DJ Skills) 🕯️Fred Fidelis (Fredwaa) Walale mahali pema peponi, Amin 🙏
Tweet media one
20
13
365
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
9 days
"Nchi inapokuwa na Bunge dhaifu na wananchi wanaofuatilia zaidi mpira kuliko masuala nyeti yanayohusu fedha na rasilimali za nchi, upigaji wa fedha za umma kupitia miradi ya maendeleo unakuwa juu na ufukara unakuwa ndiyo hali halisi ya mamilioni ya wananchi," Dkt. Ananilea Nkya
Tweet media one
51
45
361
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
MAKONDA HASTAHILI KUWA MTATUZI WA SHIDA ZA WANANCHI - FELESHI Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Eliezer Feleshi, amewashangaa wananchi kujisomba kwa Paul Makonda eti kutafuta utatuzi wa shida zao. Jaji Feleshi ametaka utitiri huo wa wananchi kuacha kwenda "mahala pasipostahili"
Tweet media one
99
44
355
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
2 months
"Anapotokea mwanasiasa mmoja na kusema Rais ni mama yake na ikazoeleka hivyo ni hatari kwa Urais. Kwanza kwa sababu tu ya historia ya nyuma, Makonda si aina ya mtu ambaye Rais au Urais inatakiwa kujihusisha moja kwa moja naye... Urais hauna ubia," Ezekiel Kamwaga
Tweet media one
42
46
350
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
6 months
KAULI YA DKT. MPANGO KANISANI DODOMA LEO "Walisema nimekata moto, nimezima, lakini wakati wa Mungu ndio utaamua... Mimi ni mzima kabisa, nilikuwa nje ya nchi kwa KAZI MAALUMU" Mpango alienda moja kwa moja Kanisa Katoliki Parokia ya Kiwanja cha Ndege baada ya kuwasili Dodoma
Tweet media one
28
19
293
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
7 months
"Wenzako wanakuchagua kwamba unafaa kuwa Rais, lakini huwezi kujua kila jambo, lazima utegemee sana ushauri.. Ukikosa ushauri mzuri au ukipata ushauri mzuri ukaupuuza, hii nchi itakwenda kusikotakiwa kwenda. "Jakaya Kikwete, Novemba 22, 2023
Tweet media one
39
38
291
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
3 months
Rais mteule wa Senegal Bassirou Diomaye Faye (kulia) amekutana na Rais anayemaliza muda wake Macky Sall kwa mara ya kwanza leo kwenye Ikulu ya nchi hiyo jijini Dakar, wakajadili kukabidhiana madaraka
Tweet media one
2
7
287
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
MAKONDA ALIKUWA KIONGOZI ZAMA ZA KUTEKANA - WASAFI FM "Mimi nilimshangaa Makonda kushangaa (watu kutekwa) kwa sababu yeye alikuwa kiongozi katika zama za kutekana. Mnakumbuka enzi za Makonda akiwa kiongozi jinsi teka teka ilivyokuwa imetamalaki nchi hii," Gerald Hando, Wasafi FM
Tweet media one
18
48
288
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
6 months
MTOTO WA MWALIMU NYERERE AKOSOA CHIPUKIZI YA CCM "Enzi za TANU tulijiunga na Young Pioneers, bila kuwepo utaratibu wa sasa wa kututumbukiza kwenye kampeni za uongozi. Kwa maoni yangu watoto waachwe kubaki watoto mpaka watimize umri wa kupiga kura," Madaraka Nyerere
Tweet media one
13
24
279
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
MABALA AMKEJELI CHALAMILA Mwanaharakati Richard Mabala aunga mkono kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila kuwa wananchi wanyimwe sukari kulinda afya zao. Ameshauri wanyimwe pia mchele na sembe, lakini serikali iendelee kuruhusu sigara na pombe kwani kodi ni tamu
Tweet media one
6
43
273
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
3 months
Mkuu wa Jeshi la Polisi la Tanzania, IGP Camillus Wambura, amemhamisha Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe, SACP Theopista Mallya, kwenda makao makuu ya nchi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma
Tweet media one
7
7
269
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
3 months
Gorofa kali labomolewa Mbezi Beach Africana Dar es Salaam leo baada ya Wizara ya Ardhi kuthibitisha kuwa aliyejenga alivamia kiwanja cha mama ambaye alipigania haki yake kwa miaka 20
43
43
269
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
5 months
"Mimi nitashiriki maandamano ya amani tar 24 Dar, ili kupinga miswada mibovu ya sheria ya uchaguzi .. kama nikiwakuta wanajeshi wanazoa takataka mitaani kama anavyosema huyu Chalamila, basi nitatumia ushawishi na kuwaomba Wajeda nao watuunge mkono kwa maslahi ya taifa," Sugu
Tweet media one
5
57
269
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
5 months
NYUMBA YA SHILINGI BILIONI 25 DUBAI "Nimepata taarifa kuwa kuna mtu (kiongozi wa serikali ya Tanzania) amenunua nyumba Palm Jumeirah, Dubai, by the beach (ufukweni) kwa $10 million (zaidi ya Shilingi bilioni 25). Unajiuliza huyu kiongozi amepataje hizi pesa?" Hamisi Kigwangalla
Tweet media one
40
41
265
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
2 months
YANGA YAPORWA USHINDI Dunia nzima imeona kuwa VAR imewaibia Yanga, shuti la Aziz Ki lilivuka mstari. Lile lilikuwa ni goli halali. Soka ya Afrika ni majanga
10
62
260
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
7 months
"Kuna wanawake 19 ndani ya Bunge ambao hawana chama kabisa, lakini bado wanaendelea kupata mishahara yao.. Chama chao kimewakataa, hakuna chama mbadala kimesema hawa wangu. Bora CCM wangefanya mpango wawape fomu usiku wajaze waseme hawa ni wetu,* Jenerali Ulimwengu on The Chanzo
Tweet media one
13
29
257
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
1 month
MBOWE NA LISSU WAKISHINDWA KUELEWANA NANI AGOMBEE URAIS KATI YAO, JENERALI ULIMWENGU AWE MGOMBEA WA CHADEMA "Wakiniomba niwasaidie mtu wa kuazima nitawashauri wakamuazime mtu anayeitwa Jenerali Ulimwengu halafu wao Freeman Mbowe na Tundu Lissu wote waende majimboni," Bob Wangwe
Tweet media one
56
16
256
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
16 days
KIBURI CHA MAKONDA RC Paul Makonda amempuuza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mwenyekiti wa Taifa wa UWT, Mary Chatanda, na kusema kuwa yeye ni mvivu na mzembe anayetetea mvivu mwenzake baada ya Chatanda kukosoa udhalilishaji wa kijinsia wa Makonda kwa mtumishi wa umma mwanamke
Tweet media one
75
15
245
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
1 month
"Ndoto yangu ni kuona nchi yetu inaongozwa na chama cha upinzani hata kwa mwezi mmoja tu, ili tupate utengano wa chama na dola. Turudie misingi yetu kuwa Tanzania, serikali na rasilimali zake ni mali ya Watanzania, siyo mtu mmoja," mwanaharakati Mwanahamisi Singano
Tweet media one
11
43
243
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
" Taifa twaomboleza kifo cha kiongozi statesman (Lowassa). Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo uwezekano kutangazwa mshindi ukitokea upinzani haupo. Ukanijibu unajua ila hutaki manyanyaso kuendelea" Prof. Tibaijuka
Tweet media one
6
30
236
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
3 months
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabby, ambaye anamiliki Hoteli za Morena na mabasi ya Shabiby ameinunua hoteli maarufu ya Arusha ya Impala na sasa anauza vitu ndani ya hoteli kwa mnada kabla hajabomoa jengo na kujenga hoteli nyingine ya kisasa zaidi
18
36
239
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
5 months
MWENEZI HAWAGUSI HAWA Mawaziri watatu ambao Mwenezi wa CCM, Paul Makonda, anawagwaya, kamwe hawezi kuwapigia simu jukwaani kuwapa amri waende haraka alipo kujibu kero za wananchi Akithubutu, watamtoa nishai 1. Hussein Bashe 2. January Makamba 3. Nape Nnauye Chanzo: Lumumba
Tweet media one
43
24
230
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
2 months
Mwaka 2022 wakati matokeo ya uchaguzi wa Kenya yanakaribia kutangazwa, Francis Ogolla, alikuwa ni miongoni mwa watu waliotumwa na Uhuru Kenyatta kuishawishi tume ya uchaguzi isimtangaze William Ruto kuwa Rais Ruto alipokuwa Rais bado akamteuwa Ogolla kuwa CDF Aprili 2023
Tweet media one
8
9
209
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
7 months
𝙈𝙗𝙤𝙬𝙚 𝙖𝙥𝙞𝙣𝙜𝙖 𝙠𝙤𝙙𝙞 𝙢𝙥𝙮𝙖 𝙏𝗥𝗔 𝙢𝙖𝙩𝙖𝙣𝙜𝙖𝙯𝙤 𝙮𝙖 𝙁𝙖𝙘𝙚𝙗𝙤𝙤𝙠 "Vijana wengi ambao wamejiajiri kupitia mitandao ya kijamii kuwatoza kodi kwa matangazo madogo wanavyofanya kutafuta wateja ni kung'oa mizizi ya biashara ambazo ndio kwanza zinachipukia"
Tweet media one
3
38
199
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
Dear @jmkikwete leo Februari 12, 2024 msibani kwa marehemu Edward Lowassa umesema kuwa nyie mlikuwa marafiki tangu mkiwa vijana. Kwa nini ulikata jina la Lowassa 2015 ukiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM na kuzima ndoto ya rafiki yako kuwa Rais wakati unamaliza muda wako madarakani?
Tweet media one
39
16
203
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
9 days
"Yaani (Peter Msigwa) anyimwe haki uchaguzi wa ndani CHADEMA aje atetewe mitandaoni na UVCCM? Hivi mnatuonaje, kwamba CCM ina uchungu sana na demokrasia ndani ya CHADEMA? Huu uchungu mlishindwa kuuonesha kipindi Magufuli anakata majina ya wagombea 2020?" Roland Malaba 'Madenge'
Tweet media one
22
27
203
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
6 months
BREAKING NEWS 𝗠𝗮𝗸𝗮𝗺𝘂 𝘄𝗮 𝗥𝗮𝗶𝘀 𝗣𝗵𝗶𝗹𝗶𝗽 𝗠𝗽𝗮𝗻𝗴𝗼 𝗸𝘂𝗿𝗲𝗷𝗲𝗮 𝗻𝗰𝗵𝗶𝗻𝗶 𝗹𝗲𝗼 * Ni mzima, ataonekana hadharani * Alikuwa nje kufanyiwa ukaguzi wa kawaida wa afya yake (medical check up) * Vipimo, matibabu baada ya check up chanzo cha kuchelewa kurudi
Tweet media one
60
25
199
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
7 months
ELIMIKA WEEKEND Jinsi ya kutengeneza dawa asili ya kufukuza mbu na wadudu wengine, ambayo pia ni air freshener ya nyumbani Vifaa vinavyohitajika: * Limao moja * Karafuu nzima * Mshumaa mmoja * Vijiti vya mshikaki au chelewa * Kiberiti
3
115
195
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
SEMA JPM ALITUKOSEA SANA Rais Magufuli aliamua kufuta upinzani uchaguzi mkuu wa 2020 na kuweka Bunge 99% CCM Leo Bunge linatoa maagizo kwa serikali inunue ndege ya viongozi, badala ya kupinga jambo hilo Leo Spika anaiongezea serikali muda hadi Juni 2024 kumaliza mgao wa umeme
Tweet media one
46
39
195
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
12 days
MTAKA AMPIGA SPANA TENA MAKONDA Bila kumtaja jina, Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, amesema viongozi wa mkoa huo wanasikiliza na kutatua kero za wananchi bila kujitangaza kwenye TV kama Paul Makonda na wanaheshimu utawala wa sheria na mhimili wa mahakama tofauti na Makonda
72
29
193
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
6 months
MAGARI YA MJASIRIA-IMANI Anajiita Prophet David Richard, mwanzilishi wa kanisa aliyepo Dar 1. Anzisha kanisa 2. Hubiri utajiri 3. Kusanya pesa za waumini 4. Nunua magari ya kifahari na nyumba kwa msamaha wa kodi kupitia kanisa Hata @mkandamizaji naye anataka apite njia hii
23
27
192
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
6 months
MZEE TIDO ASTAAFU Afisa Mtendaji Mkuu (Group CEO) wa Azam Media Limited, Tido Mhando, leo ametangaza rasmi kustaafu baada ya kuiongoza kampuni hiyo kwa miaka 9 Mzee Tido amewahi pia kuwa mtangazaji wa BBC, Redio Tanzania na Mkurugenzi Mkuu wa TBC
Tweet media one
5
9
169
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
Freeman Mbowe akila nyama kwenye mazishi ya marehemu Edward Lowassa leo Monduli Wamaasai walichinja ng'ombe kama 200 wakisema hiyo ni ofa yao kwa familia ya Lowassa kwa kuwa Lowassa alipokuwa hai alikuwa anachinja ng'ombe wake mara nyingi na kula nyama na Wamaasai
12
27
169
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
5 months
DANIEL CHONGOLO AIBUKA Chongolo ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza leo tangu alipojiuzulu kama Katibu Mkuu wa CCM Novemba mwaka jana. Chongolo ameonekana dukani kwa Chris Lukosi (kushoto) eneo la Salasala, Dar es Salaam. Lukosi huuza vitu vilivyotumika kutoka Uingereza
Tweet media one
6
10
165
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
2 months
VIDEO 👇
8
16
166
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
2 months
Rais Yoweri Museveni wa Uganda ambaye mwaka huu anatimiza umri wa miaka 80, akiendesha gari aina ya Toyota Land Cruiser akiwa na mke wake wao wawili tu.
Tweet media one
6
6
159
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
Wamaasai wachinja ng'ombe 100 kwenye msiba wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa kijijini kwake Monduli, wasema ng'ombe wengine 96 wanasubiri kuchinjwa Wakataa ng'ombe wa Lowassa wachinjwe, wajitolea ng'ombe wao na kusema enzi za uhai wake Lowassa aliwachinjia ng'ombe wengi
Tweet media one
6
15
156
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
3 months
Rais mpya kijana wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, akiwa na wake zake wawili baada ya kutangazwa mshindi Faye ana umri wa miaka 44 na kuweka rekodi ya Rais mwenye umri mdogo zaidi kuweza kushinda uchaguzi Afrika nzima
10
21
156
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
5 months
UBABE WA KAGAME Walinzi wa Rais Paul Kagame wa Rwanda walivyomgomea mlinzi wa Tanzania na kumsukuma pembeni wakalazimisha kukaa kwenye jukwaa la viongozi wakati wa sherehe za Mapinduzi Zanzibar Tukio hili ambalo wengi hawakuliona, amelibaini mwandishi wa kimataifa @kabsjourno
27
33
152
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
2 months
🔴 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚 𝗡𝗘𝗪𝗦 PAUL MAKONDA ANG'OLEWA KWENYE NAFASI YA MWENEZI CCM * Ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Tweet media one
8
4
154
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
Mwamba atumia bulldozer kupambana na maji ya mafuriko yenye kasi kubwa na kuokoa maisha ya watu
3
29
153
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
3 months
NAMBA ZA 3D KUTOKA 'AUTHORISED VENDORS' NI RUKHSA Ufafanuzi wa Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Ramadhan Ng'azi kuhusu namba za 3D 📻 Clouds FM
25
29
154
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
TANZIA Dkt. Ibrahim Msabaha, aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati ambaye alijiuzulu 2008 pamoja na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa kutokana na kashfa ya Richmond, amefariki dunia leo 13 Februari 2024. Msabaha amefariki siku 3 tu baada ya Lowassa
Tweet media one
13
20
148
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
2 months
MAKONGORO NYERERE AMTAJA ZUHURA YUNUS KUHUSU UTENGUZI * Mkuu huyo wa Mkoa wa Rukwa awavunja mbavu watu kwa utani wake kuhusu tofauti ya uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan na utenguzi wa Zuhura Yunus
12
33
151
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
"Unawezaje kuandika historia ya marehemu Edward Lowassa ukasahau utumishi wake wa miaka minne kama mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na kama mgombea urais wa 2015 ambaye aliijenga demokrasia kwa kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na mgombea yoyote wa upinzani?" Freeman Mbowe
Tweet media one
4
16
147
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
1 month
"Lakini ukiachilia mbali kupotoka kwake, hatuna budi kumshukuru Tundu Lissu kwa kutuibia siri kwamba CHADEMA haina mpango wa kumteua Mzanzibari kuwa mgombea mwenza wa mgombea wao wa urais 2025, maana akifa je huyo Mtanganyika, Mzanzibari si atauza kila kitu?" Khalifa Said
Tweet media one
50
15
147
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
Edward Lowassa aeleza jinsi Kamati ya Bunge ya kina Harrison Mwakyembe chini ya Spika Samuel Sitta ilivyokuwa na ajenda ya siri ya kutaka ajiuzulu kama Waziri Mkuu kupitia uchunguzi wa kashfa ya Richmond
4
44
144
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
3 months
Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿
Tweet media one
8
8
146
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
2 months
HUO NI UJINGA! Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi amemkemea Mwenyekiti wa UVCCM wa Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, aliyesema kuwa watu wanaomtukana Rais Samia Suluhu Hassan "wapotezwe" na Polisi wasihangaike kuwatafuta
19
36
143
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
KADA WA CHADEMA AWAFOKEA VIJANA WA TANZANIA KWA KUSUSIA MAANDAMANO "Sukari tu ni bidhaa ya anasa, kijana mwenzangu unapata nguvu za kujadili masuala ya ngono na mahusiano? Pamoja na kwamba mmeamua kuwa kizazi cha nyege, basi wakati fulani tulisaidie taifa," Martin Maranja Masese
Tweet media one
7
16
143
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
1 month
LISSU KIKAANGONI Kamati Kuu ya CHADEMA kumuweka Tundu Lissu kikaangoni Jumamosi hii Ajibu hoja tatu: 1. Athibitishe tuhuma za rushwa ndani ya uchaguzi wa CHADEMA 2. Ajieleze kwa nini ametoa tuhuma hadharani badala ya ndani ya chama 3. Kukaidi maagizo kutofanya mkutano Iringa
Tweet media one
64
6
141
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
5 months
𝗪 𝗔 𝗝 𝗜 𝗨 𝗭 𝗨 𝗟 𝗨 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga, wanapaswa kujiuzulu mara moja kwa kuwatelekeza wakazi wa Dar na KUSHINDWA kupeleka huduma za uokoaji na dharura baada ya mafuriko
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
36
140
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
7 months
USICHOKIJUA KUHUSU DANIEL CHONGOLO * Alianza kazi kama mwandishi wa habari * Alikuwa Mkuu wa Mawasiliano CCM chini ya Mwenezi wa wakati huo Nape Nnauye, baadae Mkuu wa Wilaya * Anatoka familia tajiri inayomiliki mashamba makubwa ya miti ya mbao na mali nyingine * Hanywi pombe
Tweet media one
14
10
129
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
7 months
SAMIA KUMFUKUZA KAZI GEKUL Rais @SuluhuSamia anatarajiwa kufumua Baraza la Mawaziri Pamoja na mabadiliko mengine, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Pauline Gekul, atafutwa kazi kwa tuhuma za kumfanyia UKATILI kijana wa miaka 18 wa Babati na tuhuma nyingine za kukosa MAADILI
Tweet media one
17
15
130
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
5 months
Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) lamtambua Misso Misondo
Tweet media one
5
1
132
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
6 months
HAJI MANARA AIVAA TANESCO KUHUSU MGAO WA UMEME * Asema TANESCO inaigombanisha serikali na wananchi * Amtaka Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Doto Biteko kuingilia kati
35
36
127
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
5 months
Jenerali Ulimwengu akerwa na tabia ya viongozi na watu wengine kumsifia Rais kila wakati kuhusu kila kitu Utamaduni huu maarufu kama uchawa ulishamiri kwenye Awamu ya 5 na bado unaendelea kwenye Awamu ya 6
10
42
125
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
6 months
BORA NIBARIKI JIWE, KULIKO UCHAFU WA USHOGA - ASKOFU FLAVIAN KASSALA "Wamekuwa wakiharibu vizazi kwa kutoa mimba na sasa wanataka tubariki ndoa zisizo na maadili, kwangu bora nibariki jiwe lakini sio uchafu huo," Mhashamu Flavian Matindi Kassala, Askofu wa Jimbo Katoliki Geita
Tweet media one
7
17
120
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
5 months
"Sasa hivi unasikia viongozi ambao wamepata nafasi miaka hii ya karibuni wananunua nyumba za $6 million (Shilingi bilioni 16) Masaki na Oysterbay. Mimi nimekuwa waziri miaka mitano, hivi kiongozi ambaye siyo mfanyabiashara anawezaje kununua nyumba ya $6m. How?" Hamisi Kigwangalla
Tweet media one
10
20
115
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
3 months
Kitendo cha Mfalme wa Uingereza, Charles III, kupokea nyaraka za kujitambulisha kutoka kwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki, jana kwa mkono wa kushoto kimeibua mjadala. Mfalme Charles, ambaye hutumia mkono wa kulia, amekosea kupokea kwa mkono wa kushoto?
Tweet media one
82
20
114
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
5 months
MNYIKA ATOA MSIMAMO KUHUSU MAANDAMANO "Nje ya CHADEMA, hakuna mamlaka yoyote au mtu yoyote mwenye uwezo wa kusitisha maandamano ambayo tumepanga kuyafanya tarehe 24 mwezi Januari," Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika
Tweet media one
7
24
114
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
5 months
MIMI NI MTU WA MSIMAMO, KAMA MKITAKA NITIMUENI LEO - NCHIMBI AIAMBIA CCM "Kama mkitaka kunitimua kwa misimamo nitimueni leo leo. Kwenye mambo ya msingi lazima uwe na msimamo. Ndiyo moja ya viapo vya chama chetu, mwana CCM asiye na msimamo ni ndumilakuwili tu," Emmanuel Nchimbi
6
19
113
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
HOJA YA SERIKALI YA VAZI LA TAIFA YAZIDI KUCHANWA CHANWA "Utanzania ni vazi moja linalobuniwa na wabunge? Watatunga sheria ya kutulazimisha kuvaa hilo vazi? Kwa kweli sielewi kwanini tunawalipa Wabunge pesa na per diem ili kujadili tunachovaa" mwanasheria Fatma Karume
Tweet media one
6
26
114
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
4 months
HESABU ZA AZIM DEWJI HIZI HAPA Nyumba za Serikali Oysterbay thamani ya kiwanja wastani ni Dola Milioni 2 za Marekani. Serikali ikiuza nyumba 100 itapata Dola za Marekani milioni 200 (Sh. bilioni 520). Shilingi bilioni 520 zinatosha kujenga nyumba 10,000 za gharama nafuu Ruvu
Tweet media one
31
7
108
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
6 months
Wabunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee na Esther Bulaya, wamepiga picha ya pamoja nyumbani kwao leo wakijiandaa kwenda kuangalia mechi ya Yanga vs Al Ahly uwanja wa Mkapa Maswahiba hawa wamefanana vitu vingi: * Wote wabunge * Wote mashabiki wa Yanga * Wote nguo za kufanana
Tweet media one
41
2
108
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
3 months
MUSEVENI AMTEUA MTOTO WAKE KUWA MKUU WA MAJESHI WA UGANDA Rais Yoweri Museveni amemteua mtoto wake, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kuwa Mkuu wa Majeshi (CDF) wa Uganda. Kainerugaba mara kadhaa ameweka wazi nia yake ya kumrithi baba yake kama Rais wa Uganda kupitia Twitter (X).
Tweet media one
10
10
108
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
2 months
MANGE KIMAMBI AJITABIRIA KIFO KIBAYA * Aposti video akionekana kama mtu aliyechanganyikiwa akili baada ya kuchafua hali ya hewa na kumtukana kiongozi wa nchi * Wataalamu wa afya ya akili wasema anaonesha waziwazi dalili za mtu mwenye ugonjwa wa akili * Wananchi wasema aombewe
26
12
105
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
6 months
HOMESCHOOLING Alimaliza darasa la 7 kawaida akiwa miaka 13, akaanza homeschooling na kusoma O Level (Form 1 hadi Form 4) kwa MIEZI MINNE tu badala ya miaka minne A Level akagonga MWAKA MMOJA badala ya miwili na kuanza chuo kikuu akiwa na MIAKA 16 tu Akahitimu udaktari akiwa 21
Tweet media one
9
9
103
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
2 months
"Tunakwenda kutengeneza taifa la watumishi wezi. Wanalalamika kila siku suala la kikokotoo. Mtu anapata 30%, asilimia 70 unamtunzia. Maana yake kama alikuwa analipwa mafao ya shilingi milioni 100, anakuja kutoka na 30 ndiyo akaanze kujenga. Lazima niibe," Mbunge Joseph Msukuma
7
31
104
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
13 days
TANGULIA MSIGWA - LEMA Baada ya Peter Msigwa kushindwa kutetea nafasi yake ya Mwenyeki wa Kanda ya Nyasa na kuangushwa na Sugu, Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amejitabiria kuwa ataungana na Msigwa hivi karibuni kuwa mwanachama mwandamizi wa CHADEMA asiye na cheo
Tweet media one
10
1
100
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
6 months
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga @Ntobi_ amekataa mwaliko wa @zittokabwe wa kujiunga na ACT-WAZALENDO, akisema kuwa kama Boni Yai hatoki CHADEMA hata kwa winchi, basi yeye Ntobi hata utumie kifaru humng'oi CHADEMA, kwani kwake "CHADEMA ni lifestyle" yake na hawezi kukiacha
Tweet media one
4
11
97
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
7 months
MIAKA 33 YA NDOA💍 Mwanaharakati nguli, Jenerali Ulimwengu, na mke wake, Josephine Marealle ambaye ni afisa wa UN, wiki hii wanasherehekea miaka 33 ya ndoa wakiwa bado na mahaba mathalani ya penzi changa Je, kwa nini ndoa za vijana wa siku hizi Tanzania hazidumu hata miaka 3❓
Tweet media one
11
7
99
@MfanyakaziNews
Mfanyakazi Online Media
3 months
MANENO YA MWISHO YA MTANZANIA KABLA YA KUZAMA MAJI AKILA BATA MIAMI Abraham Mgowano: '"You inspire me, I'm a non-swimmer. I wish I was there, in the middle of the water with no protection" Rafiki yake: Don't fall in, don't flip over!
13
18
98