Dr. Naitwa Kiokote PhD Profile Banner
Dr. Naitwa Kiokote PhD Profile
Dr. Naitwa Kiokote PhD

@Kiokote03

9,772
Followers
4,979
Following
2,352
Media
24,225
Statuses

A project manager/data analyst/telecom expert (&Full-time Dad) impersonating a comic magazine character MOTTO hapa pumba tu point peleka kwako

all over the world 😅
Joined October 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Baada ya kukuta petrol imefichwa bafuni😅😅😅
Tweet media one
123
69
1K
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Nasema hivi hakuna mwanamke mlevi asiye Malaya. Hayupo nishasema
104
39
884
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Naombeni kujua hii dawa ni ya nini maana nimetoka safarini nilikua mbali na mke wangu miezi mitatu nimerudi nimekuta hivo vibox vinne chumbani. Siyo meme hii tafadhali🙏🙏
Tweet media one
192
47
836
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Mdau kutoka DM anaomba ushauri, tafadhali msaidie
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
422
94
726
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
1 year
𝗕𝗥𝗔𝗭𝗜𝗟 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗜𝗨𝗭𝗜𝗔 𝗥𝗢𝗛𝗢 𝗬𝗔𝗢 𝗡𝗜𝗞𝗘 Brazil, nchi ambayo watu wake ni crazy kuhusu soka. Crazy kiasi kwamba bunge lao liliwahi kuchunguza sababu za timu yao kupoteza fainali ya kombe la dunia ya 98 dhidi ya Ufaransa. Hii ilitokana na mvutano kati ya NIKE
Tweet media one
11
84
731
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Hawa ni maafande wa nchi gani?
Tweet media one
97
26
681
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Jana luku imeisha halafu mwenye zamu yake kaenda kununua mshumaa😰😰 Upangaji ni ufala😫😫
35
27
551
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Kama unaifahamu hii picha naomba utuoneshe ilipopaki viieitee yako ilipopaki😅😅
Tweet media one
66
29
550
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
No this is too much. Mnatupa mitihani sasa kwenye hizi public transport. Au mi ndo mshamba?🤔🤔
Tweet media one
104
28
518
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Tafuta demu wewe huo mkono hautokupa familia😅😅
42
19
496
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Ukipewa milioni 100 umpige Kofi mpenzi wako utakubali?🤔🤔
146
15
474
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Umepata kazi huko Switzerland mshahara ni Dola 10k (tshs milioni 22) kwa mwezi, babe wako anakuzuia kwenda akisema ukienda tu ujue mmeachana. Je utaenda au utabaki?
161
17
477
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Twitter kiingilishi naomba mumshauri mdada😅😅
Tweet media one
213
27
466
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Mshanichanganya aisee, inamaana bao la kwanza standard ni dakika ngapi?🤔🤔
56
10
461
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
1 year
PUMA Vs ADIDAS : UGOMVI WA KIFAMILIA ULIOBADILI ULIMWENGU WA MICHEZO kutoka kushona viatu katika kichumba kidogo nyumbani hadi brand kubwa za vifaa vya michezo ni jambo la kushangaza Twende sote kwenye uzi huu kuhusu mgogoro kati ya ndugu wawili uliougawa Mji wa herzogenaurach
Tweet media one
12
118
473
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Daaah, the guts 😅😅😅
Tweet media one
100
16
426
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Ila sisi wanaume bwana, Kuna mwamba kampa mimba housegirl wa mchepuko wake, sijui mmenielewa?😅😅😅.
45
17
403
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
UZI! mwanangu mmoja kapokea mshahara last week, sasa anademu wake ndo walikuwa wameanza kudate tu, kamuambia waonane sehem demu kamwambia wakutane Capetown fishmarket(hapajui). Mchizi akamwambia demu atangulie aanze atamkuta. Mchizi akachukua kama laki unusu halafu akajisogeza👇
Tweet media one
63
46
404
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Usikute Neema ndo alichoma soko la kariakoo 😅😅
31
18
395
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Dada kutoka DM, nnaomba tumshauri bila kumshambulia tafadhali
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
116
45
388
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Mnaosema Singida Kuna Watoto Wazuri huwa Mnamaanisha Watoto Gani! Yani Nipo Singida Tangu Asubuh Nakutana Na Punda Tu😰😰
57
14
389
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Sijawahi kuona mmasai anastress za mapenzi, sijui hawana moyo🤔🤔🤔
51
23
370
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Wekeza kwa mke wako ili siku ukifulia unauza hata mawigi yake mawili🤓🤓
25
15
364
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Mapenzi ni kampuni ya utapeli yenye makao makuu yake nchini Tanzania 😓😓 Sipendi Tena🚮🚮
38
18
362
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Mitandao imeharibu sana watu, kuna jamaa kakutana na demu amependeza akamwambia "woow nice photo".😀😀😀😀
31
14
339
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
1 year
@ARandomRyan_ @captaink99 @BBCSport Ever heard of trans women? You can become one too if you really hate it😅😅. And for the karma thing, why don't you become a sorceress?
10
4
337
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Mzigo una alcohol 40+% 🙆🙆 Mtag mtu mmoja humu anaetumia hii kitu😅😅
Tweet media one
70
9
328
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
🤓🤓
Tweet media one
53
12
322
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
1 year
CRUYFF & PUMA Vs ADIDAS Ingawa wanamichezo wanasifiwa kwa viburi na misimamo lakini hakuna anaemzidi Johan cruyff. Huyu ni baba wa total football na legend wa AJAX na Barcelona ambaye aliwavuruga ADIDAS  kwenye kombe la dunia 1974. Twende pamoja kwenye UZI  huu ambao ni mfano
Tweet media one
12
58
335
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Mapenzi bwana😅😅, mdada anampima jamaa kwa kumuomba hela na jamaa anampima demu uvumilivu kwa kumnyima héla😅😅
28
18
295
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Natamani kuacha pombe lakini nakumbuka waiter nae anafamilia inamtegemea😜.
Tweet media one
12
12
296
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Leo Simba akishinda napiga nyeto🤓🤓
38
7
291
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Mwanaume mzima huoni aibu kusema unapenda mihogo?🤔🤔
31
4
286
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
1 year
@TiffMoodNukes @LaurenWitzkeDE How is that even racial
17
4
284
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
JINSI YA KUBAKI KUWA MASIKINI. 1. Kamwe usiamke mapema, endelea kulala na kujinyosha mpaka pale njaa itakapokuuma. 2. Kamwe usipange jinsi ya kutumia pesa zako, wewe zitumie tu pale unapozipata. Na zikiisha kaa chini na jifikirie umezitumiaje. 👇👇😍
46
89
279
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Vijana tuoe🤓
Tweet media one
18
9
278
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Kama stress za mapenzi zingekuwa zinaua ungekufa mwaka gani?😅😅
39
6
261
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Retweet kuwalinda wanaume.😅😅
Tweet media one
16
72
277
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Hivi basi moja linauzwa bei gani? Huu mshahara wa laki na nusu ninataka unipe utajiri huu😅😅
29
8
251
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
1 year
@Sprinter99800 Russians reaction should be👇👇
1
7
266
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
wadada nioneeni huruma basi, nimechoshwa na nyeto😰😰.
31
10
260
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Jamani nliwaambia nikimpenda mtu mniite mbwa? Basi nafuta kauli jamani mapenzi matamu🤓🤓
19
5
254
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
1 year
@tundeseries3 @UtdDistrict Bro I can do that for 5%😅😅 Now, where do I sign?😅😅
7
2
260
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Nimegundua housegirl wetu anavaa chupi za mke wangu. Je nimwambie wife?🤔🤔
42
3
239
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Hivi mnaonaje tukiitisha kikao na wazazi wa wachezaji wa Yanga kuhusu mwenendo wa watoto wao🤔🤔
17
13
241
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Kuna pisi imetupita hapa mpaka wife kanishtúa niitazame, aisee kuna watoto wameumbika aisee🙌🙌
Tweet media one
14
5
234
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Hivi zile petisheni zetu hazikufika? Mbona dayamondi bado yumo kwenye tuzo? kwanza BET lenyewe bayaaaa😅😅
22
7
230
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
4 years
Hivi tukiwatukana TANESCO kwa huu ufala bado tutakamatwa?
23
4
226
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Mahusiano yanayoanza na doggy style hayafiki mbali😅😅
18
5
225
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Mpaka atajibu tu, we subiri
Tweet media one
39
17
230
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Ile K kwenye KFC inamaanisha kigoma?🤔🤔
23
3
216
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
4 years
Hali yako ya kiuchumi ndo itaamua kama utakufa au utafariki🤣🤣🤣
7
3
219
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
4 years
Simba akishinda napiga nyeto 🤓🤓
39
4
221
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Unatumia milioni 20 kwenye sherehe ya ndoa halafu unaenda kupanga mwananyamala😅😅
22
4
210
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Lissu anaamini bodyguard wa magufuli alikufa nayeye, sasa yule tulomuona ni Nani😲😲
12
3
204
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
4 years
Hivi hii IFM kumbe sio redio 😅😅😅😅
15
6
211
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Nyie mnaosema kila analoweza kulifanya mwanaume basi mwanamke analifanya kwa ufanisi zaidi. Hebu niambieni mwanamke anaweza kukojolea moto? 🤓🤓🤓
27
5
199
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Mapishi ya feminist 😅😅
Tweet media one
12
14
204
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Bro ogopa sana wadada waliookoka kwenye kunyanduana, Hawa huwa hawachoki aisee🙌
35
4
201
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Mi hata uende kunitangaza kuwa nlitumia dakika moja, nachokijua mimi nimekunyandua tu😅😅😅
39
7
190
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
1 year
Kwahiyo alienda ghetto kwa mchizi akaandika kwa kimba ""𝙖𝙠𝙪𝙢𝙗𝙪𝙠𝙬𝙚 𝙗𝙖𝙢𝙗𝙤""
Tweet media one
43
27
217
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Hivi kumbe naonekana Twitter for Android 😲😲, hii iPhone yangu inatatizo gani?😀😀😀
21
6
197
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Zaman ulikuwa ukitaka kuoa unawaomba wazee ushauri, ila siku hz lazma uonane na bodaboda wakueleweshe 😀😀😂😂😂
15
8
193
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Sitorudia tena kudate na demu wa kisukuma, nimeenda nae beach ananiuliza: "babe eti hapa ndo inapolala mvua?"😅😅😅
28
8
193
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Sema wanaume tunazidi kupungua aisee😰😰
14
8
196
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
6 months
Muwa unamenywa kama parachichi😅😅 Kila kitu China ni feki🤦
25
23
202
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
1 year
Huyu ni nani
26
72
202
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Nilishakwambia "hakuna watu matapeli humu kama Twitter standards so cheka nao ila usiwaamini kwenye Hela" We uliwapa za Nini?
Tweet media one
14
8
193
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Timu nzima demu mzuri mmoja tu kwanini wasimgombanie daily? Sijaitaja Simba😅😅
18
5
183
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
lugha za kuheshimiana ni muhimu hasa kwa viongozi wa dini lakini leo kuna kauli za viongozi wa dini zimejaa ukakasi. Yaani kiongozi wa dini unamuita raisi shetani, kweli?🤔🤔
40
8
184
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Huyu ndo mke wa zimbwe Jr. Ile nyingine imeletwa na mabeberu tu ipuuzeni Ukisema filter nakublock 😅😅
Tweet media one
17
2
182
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
1 year
@CloudsMediaLive Ni rahisi kumkabidhi binti wa miaka 16 mume wa miaka 30 na ni ngumu mwanamke wa miaka 30 kuolewa na kijana wa miaka 16. Sio kwa sababu wanawake wana akili zaidi bali ni kwa sababu wanawake wanaishi kwa kuwategemea wanaume kwa security (both financial and physical)
17
11
202
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Bodi ya mkopo ingekuwa chini ya mwamedi basi ukipost tu picha ya msosi ungeshangaa anakomenti "who paid for your chuo, haji?" 😅😅
22
5
174
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Jamani si mretweet tweets zangu, au ndo mnaogopa kuonekana mnajipendekeza kwa matajiri?😅😅
21
19
177
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
4 years
Kwa Mara ya kwanza ndo nimesikia kwa kigo mtu anaanza kufa kwanza kisha ndo anazidiwa😅😅😅,
17
3
178
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Nafungua space Kama huna degree huingii😅😅
23
2
177
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
GHARAMA ZA KUOA (je ni kweli?) 1. Kujitambulisha ukweni. Hapo utatakiwa uende kijijin alikozaliwa mkeo mtarajiwa ukajitambulishe huko. Kama Mfano Mkeo Anatokea Mwanza, Na Mnaishi Dar, Andaa nauli Ya Watu Wawili, Malazi kwa siku Mbili, Na Utagharamia Shughuli hiyo Ya Utambulisho
37
20
175
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Kwa uliyekosa followers shusha handle TUKUSAIDIE
44
9
173
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
4 years
Siku ikiletwa kodi ya nyeto hapo ndo serikali itajua vijana hatuthamini amani. KİTANUKA😅😅
17
2
175
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
4 years
Eti mwanamke akili şura hata mbuzi anayo😅😅. Kwenu mnambuzi wenye sura hii?🤔🤔
Tweet media one
22
4
174
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Kwahiyo nimesafisha ghetto bure?😰😰 Madem ni 🚮🚮🚮🚮
18
6
172
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Biashara zote ni nzuri na zinalipa ukiwa unasimuliwa😅😅
17
9
167
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Wanawake wanaopiga kelele sana kwenye sex ni matapeli 🚮🚮
31
2
168
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Sema mtonyo wa kusupport mashoga safari hii utakuwa umetoka mrefu sana, hadi leo kampeni inaendelea, na influenza wanazama hadi DM kushawishi Mi bado najiuliza unaombaje faragha unaacha pisi kama hizi?
Tweet media one
26
12
175
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Pisi imetimba DM, nipeni hongera kabla sijaitumia mapene kwa makato ya sasa😅😅
Tweet media one
54
1
171
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
1 year
𝗞𝗜𝗔𝗧𝗨 𝗞𝗜𝗟𝗜𝗖𝗛𝗢𝗜𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢𝗔 𝗡𝗜𝗞𝗘 Imagine Ni mwaka 1980, NIKE badala ya kuingia soko la hisa na kung’ara ingefilisika. Kwa sababu walikuwa wametopea kwenye madeni yaliyotokana na figisu za wapinzani wao kama reebook na converse. Nike inalazimishwa kulipa kodi ya
Tweet media one
16
60
186
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Haya picha ya kuwaumizia hii, acha unyonge edit kidogo utupie🤓🤓
Tweet media one
16
3
166
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Jamani si mlisema mapenzi sio pesa? Mbona nimeachwa sasa?🥵🥵🥵🥵
15
7
164
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
1 year
𝗨𝗧𝗔𝗣𝗘𝗟𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗛𝗜𝗦𝗧𝗢𝗥𝗜𝗔 𝗬𝗔 𝗢𝗟𝗬𝗠𝗣𝗜𝗖 Kutoka katika mashamba ya minaz ya visiwa vidogo vya Tonga kwenye bahar ya Pacific hadi Sochi Russia kwenye michuano ya Olympic 2014 hii ni story ya ajabu na ya kipekee kumuhusu Bruno Banani
Tweet media one
8
46
170
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Hivi matrafiki waliofunga nao wanakula rushwa?
23
1
161
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
10 months
Kwanza alishakataa kuwa kioo cha jamii so msimlamishe😅
13
14
174
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
4 years
Kwa wale ndugu zangu mnaotoka Facebook, WhatsApp na Instagram, kama mnahitaji kupata followers wa kutosha mtukaneni tu @kigogo2014 . Jamaa hana noma ni mtu wa watu🤣🤣🤣
29
4
150
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
4 years
Hawa mbuzi ambao wanasema wanafollow back tukiwafollow, halafu tukishawafollow wanakausha. İmagine ingekuwa tunawakopesha hela😅😅😅😅
23
8
151
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Nyie hivi Hawa mademu huwa ni filters tu au kuna kingine? Maana live ni wabaya kinyama😀😀
10
3
149
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Nawaapia hii sijaidaunlod popote😅😅
Tweet media one
26
5
152
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Eti tuachane kisa unataka kumrudia mungu inamaana mi ni shetani?
12
4
150
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Kukwambia jisikie upo nyumbani ndo umpige mwanangu?
Tweet media one
8
9
155
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Ukipewa milioni 120 umuache huyo babe wako utakubali?🤔🤔
38
6
154
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
3 years
Naomba kujua babu tale alishindana na nani kwenye Jimbo lake, kuna kitu nataka nione😀😀
19
4
143
@Kiokote03
Dr. Naitwa Kiokote PhD
4 years
Ila wabongo 😄😄😄
Tweet media one
20
10
152