JKT Tanzania Profile Banner
JKT Tanzania Profile
JKT Tanzania

@JKT_Tanzania

202,516
Followers
2,101
Following
990
Media
5,582
Statuses

Official Account of JKT Tanzania in @X Mabingwa Championship 2022/2023 🇹🇿

Dar es salaam, Tanzania
Joined July 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
8 months
TAARIFA KWA UMMA
Tweet media one
72
65
1K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Hivi ndivyo nchi inawakilishwa 💪🇹🇿 Hongera sana Simba 🦁
153
338
6K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Pumzika kwa Amani mpendwa wetu #RIPSonso 🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️
Tweet media one
181
221
5K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
1 year
Tanzania Prisons toeni timu huo ni mtego 😂😂
276
183
5K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
1 year
Tumepata taarifa kuwa wakubwa wenzetu wameenda Tunisia wengine Guinea Sasa tunapenda kuwatangazia timu zilizobaki kuwa sisi ndo team on duty (TOD) hivyo tutaongoza ligi mpaka watakaporudi wenzetu asiyetaka alete timu hapa Jamhuri🏟️, Morogoro tupige mechi ya chap😅
Tweet media one
353
207
5K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
⏳:dak 14' Yanga wanacheza pasi za nyuma kutuvuta twende lakini sisi tunaishia hapa kati ya uwanja Mwenye shida atamfata mwenzake
530
250
4K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Hata sisi tulipambana sana ilibaki kidogo tushinde lakini wapi🙌😅
361
182
4K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
1 year
🕯️🕯️ TANZIA 🕯️🕯️ PUMZIKA KWA AMANI GIRA
Tweet media one
144
142
4K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
RUVU SHOOTING TUMEBAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
285
140
4K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
⏳:dak 74' Dodoma jiji wanakamia wakati ligi haina mdhamini, chezeni polepole aiseee
720
254
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
1 year
🕯️🕯️TANZIA🕯️🕯️
Tweet media one
259
176
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
⏳:dak 76' Haya matokeo yasitoke nje ya nchi ibaki kuwa siri yetu humu ndani sawa Watanzania wenzangu maana hamna jambo dogo nyie🙌
318
181
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Jamani kama wameanza kulia hiyo mechi tukacheze tu sisi alafu tutawapa hilo kombe😅
225
124
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
TUNAONGOZA LIGI KUU YA NBC🇹🇿 2022/2023 Baridi la huku kileleni ni kali sana jamani😅 #NothingCanStopMpapaso
Tweet media one
368
132
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Mpira ashike Mayele, Penalty wakapewa kina Mayele Sisi tukapewa kadi ya njano🟡 🙌🏽🙌🏽 Malipo hapa hapa duniani🤲 Usiku Mwema Mashabiki wetu
Tweet media one
266
110
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
1 year
⏳:dak 17' Huu mtumbwi tuliopanda leo Simba la pili hapa Ruvu shooting 0-2 Simba
301
108
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Kheee, kumbe Mbeya Kwanza ni wa mwisho na hamsemi😂😂 Sasa hiyo "Kwanza" wanaacha lini kuitumia wawe Mbeya Mwisho tu😅
233
112
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Hawa majamaa wamedhamiria kwa kweli😅 Fanyeni mtoe timu shauri yenu
198
96
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Hongera @yangasc1935 kwa kutwaa ubingwa🏆 wa NBC premier league🇹🇿 2021/2022
68
155
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
⏳:dak 04' Huyu Inonga kapangwa namba gani kwani Yupo huku juu kwetu
203
71
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Ruvu shooting🔥 tunawatakia ushindi wawakilishi wetu katika mashindano🏆 ya #CAFCL timu ya SimbaSC🦁 @SimbaSCTanzania katika mchezo wao leo nchini Botswana🇧🇼.
125
184
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Nguvu zetu tumehamishia kwenye ligi kuu NBC premier league🇹🇿 Hakuna kurudi nyuma💪
Tweet media one
125
48
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
⏳:dak 87' Hii mechi tungeicheza Kigoma tu
283
78
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
MPO WAPI SASA😂😂 THIS IS RUVU SHOOTING🔥
98
45
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Haya mambo ya kuwatakia watu ushindi alafu hawashindi tunachoka sasa itabidi muanze kutulipa kama Blue tick tu😅 Naona wimbi la tabia ya mtu kutembea huku anaongea peke yake linaongezeka sana😂
107
123
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
⏳:dak 45' Ni 🖐️ wazee Ruvu shooting🔥 0-5 Simba
287
70
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Ruvu shooting🔥 tunapenda kuwatoa hofu mashabiki wetu kuelekea mchezo wetu dhidi ya Namungo, wachezaji wetu wote wamepata mabegi yao kwa wakati kabisa na viatu vyao pia vipo na tumeweka viatu vikubwa kama dharula ikitokea vikiwabana😅 Hakuna namna Namungo atakwepa kipigo😅
Tweet media one
207
125
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
1 year
Kipindi hiki chote ambacho timu kubwa wenzetu hawapo nchini, kocha wetu ataitwa Profesa Makata mpaka pale Profesa atakaporudi na kiungo wetu Shabani Msala ndo mzee wa kazi chafu💪 Pingamizi lolote liletwe hapa Jamhuri🏟️ ukiambatanisha na timu yako kwa ajili ya mechi ya kipimo
Tweet media one
Tweet media two
152
116
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
1 year
Safari ya mwisho ya kumpumzisha mpendwa wetu Graham Enock Naftari 🕯️🕯️ PUMZIKA KWA AMANI GIRA 🕯️🕯️
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
128
95
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
1 year
Daah kwaiyo kukikucha tu ndo kizaazaa na Wananchi eeh Kazi ipo😅
123
57
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Hiko mlichokutana nacho Mtibwa Sugar leo hata sisi tulipitia Tunajua hali mnayopitia kwa sasa poleni kuleni tu miwa yenu😅 Mbeya City jiandaeni na nyie kukutana na kipigo kizito💪
87
103
3K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
⏳:dak 93' Wawa anatafutia namba kwenye mechi yetu🙌
172
60
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Huyu aliyepiga huu mpira huku kambini mida ya usiku na kuzua taharuki hapa ni nani? Anyway Habari za asubuhi familia ya watu wa Twitter 👋
172
75
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
⏳:dak 22' Mpaka sasa Ruvu shooting tunaongoza ligi kuu ya NBC🇹🇿 msimu wa 2022/2023 Hapa TFF hata wakisimamisha mashindano tuanze ligi mpya hatuna neno sisi😅
156
62
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Habari za asubuhi humu ndani,👋
262
47
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
KUMEKUCHA SASA Yamebaki masaa machache kabla ya kuwafanya wakaandike ubingwa basi kwenye kurasa zao😅
174
71
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
⏳:dak 24' Goli limewaponza tunawatafuta vibaya mno sasa😅
212
34
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Kwaiyo sisi Barcelona ya bongo "Ruvu shooting🔥" tunaenda kucheza na timu ya kocha wa zamani wa Real Madrid pale CCM Kirumba🏟️ siku ya tarehe 19/11/2021 Basi ni el clasico sasa😅 Watu wa Mwanza mnakosaje burudani kama hii mje kushuhudia el clasico ya kwanza kufanyika Tz🇹🇿
Tweet media one
154
106
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
6 months
Ooooh JKT Tanzania timu ndogo ndo maana mkapigwa tano😅 Haya kuleni mkono🤚 huo😅
159
265
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Ruvu shooting🔥 tunawatakia ushindi wawakilishi wetu katika mashindano🏆 ya #CAFCC timu ya SimbaSC🦁 @SimbaSCTanzania katika mchezo wao leo pale uwanja wa Mkapa🏟️ Dar es salaam.
78
107
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Hivyo viporo vyenu viishe sasa na sisi tuonekane Azam Tv Tumechoka kusubiri aisee😅
140
80
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Zamu yetu mzee😂
Tweet media one
147
51
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Afisa habari wetu akiliangalia kwa umakini kombe🏆 bora kabisa ambalo tutalichukua msimu ujao Kwa kuwa msimu huu tulikuwa hatujui kombe tutakalopewa tukichukua ubingwa🤝 #NothingCanStopMpapaso
Tweet media one
193
94
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Kumbe kesho kuna shughuli nzito huko Dar es salaam na hamniambii😅 Watu ni wasiri sana humu
98
40
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
😅😅😅 Shikilieni hapo hapo
160
63
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Habari za muda huu watu wa jamhuri ya Twitter 👋
241
52
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Ruvu shooting🔥 ni timu ya wananchi ila ni vile tunapatikana kwenye kambi ya jeshi hayo mawazo yenu mfute tushawashtukia😅 Tunaendelea na maandalizi ya mzunguko wa pili wa NBC premier league🇹🇿
83
51
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Kwa hapa Bukoba sisi wa timu nyingine huwa tunajificha wapi ili tuteteme😂
116
75
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Huku chini joto ni kali sana jamani muwaulize ndugu zetu wajelajela🙌
Tweet media one
219
98
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Habari za asubuhi 👋 Mashabiki wa Ruvu shooting🔥 bila kuwasahau friends of Ruvu shooting🔥 ambao wanabadilika kutokana na mechi😅
134
65
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
1 year
Hongera sana Yanga Sc wakubwa wenzetu kwa ushindi wa leo
59
70
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Ruvu shooting🔥 tunawatakia ushindi wawakilishi wetu katika mashindano ya Kimataifa ya CAFCL, 🦁Simba Sc na 🔰Young Africans Sc, katika michezo yao ya leo kwenye hatua za awali ya CAFCL #UzalendoKwanza #NothingCanStopMpapaso
54
74
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
⏳:dak 66' Tumekoswa tena Kipa wetu apewe maji anywe jamani
313
117
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Ruvu shooting🔥 tunawatakia weekend njema 🤝Mashabiki zetu wote🙌 Tunaenda kwenye mapumziko🧘🏾‍♂️ mafupi tukiwasubiri 🎋Mtibwa Sugar waje Mabatini🏟️ watueleze kwanini Sukari ilipanda bei😅 na nani alificha Sukari☕😅😅 #NothingCanStopMpapaso 🔥
Tweet media one
296
145
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
⏳:dak 31' Haya ndo matatizo ya kuingilia ratiba za CAFCC Wangepewa viporo tu ukute wanajua hii ni CAFCC
251
129
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
😅😅😅😅 Msimu uanze au bado hamjazoeana wapinzani
119
81
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Kama ni kweli haya yanayoendelea hii ligi imekuwa ngumu mapema sana😅 Na sisi tuwarudishe wachezaji wetu tu
101
46
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
⏳:dak 12' Harmonize tukitoka hapa baada ya mechi tuonane na wewe si jeshi eeh😅
69
41
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
🗣️JIONI YA LEOOO SEMBAA ATAFONGWA ATAFONGWA NYINGI SANAAAA ACHEAAAA MWENYE BISIBISI ASICHEZEEEEE 😅 Tunatest mitambo hapa
191
64
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
1 year
Ihefu wanashangaa sana hizi taa😅 Na haya mabango hapa Chamazi
80
49
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Iweee bojo bojo bojo🙌😂
143
79
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Tumeni maombi muandikwe kombe la Diwani huku mlandizi bingwa anapata ng'ombe 😅 Msimu unaisha huu mnaweza msiambulie kitu
202
127
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Siku ya Mashindano ya Kimataifa kwa timu za Tanzania🇹🇿 Ruvu shooting🔥 tutakuwa jukwaani leo kujifunza ili mwakani tusipate taabu
68
74
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
⏳:dak 90' Wameanza dharau na muda umekwisha refa
153
60
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
1 year
😂😂😂😂😂 Kazi mnayo leo si mshazoea kutubamizaga sisi tu
301
134
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
⏳:dak 75' Biashara United wanategemea jua limmulike kipa wetu usoni ndo wafunge lakini Kipa anadaka vizuri tu
133
53
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Habari zenu👋 mashabiki wetu wa Ruvu shooting🔥 bado tupo pamoja katika kipindi hiki ambacho upepo mbaya unatupitia Tutarudi imara zaidi💪
115
37
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
⌛:FT Mpira umemalizika tumetolewa kwa kishindo🙌
Tweet media one
195
68
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
1 year
Moyaaaa (1) moyaaaa (1) 😂😂😂
92
47
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Vile tunaangalia msimu mpya wa ligi kuu ya NBC🇹🇿 2022/2023 tutaanza kumpapasa nani hapa Mabatini🏟️
Tweet media one
79
39
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
⏳:dak 84' Kipa wetu anapewa kadi nyekundu🔴 baada ya kumdaka Morrison wanapata penalty Hapa sasa tumalizie mechi tu
256
80
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
⏳:dak 74' Hata tukipita kwenye bonde la uvuli wa mauti, hatutaogopa mabaya, Tuendelee kupiga kazi wanangu wa Ruvu
115
65
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
⏳:dak 35' KMC wanatuvizia wakati tunakunywa maji wanapiga kona wanapata bao
366
90
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
⏳:dak 66' Wanacheza kama mtego hivi hapa wanataka tuwafate lakini hatuendi
140
36
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Mohamed Makaka🧤 {GK} Ruvu shooting🔥 tuna mipango ya muda mrefu na huyu kipa wetu hivyo vilabu vya ulaya muache kutuma ofa kwa sasa labda mjaribu mwishoni mwa msimu🤝. Kwako @FabrizioRomano
Tweet media one
115
41
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Mbeya kwanza wanatuchelewesha kuanza Mpira wanashangaa sana uwanja wa Azam hapa😅
69
47
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
⏳:dak 91' Tatizo la sisi timu kubwa ni lile lile tu muunganiko kama wenzetu
156
51
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Vile Ruvu shooting🔥 tumebaki peke yetu kwenye mbio za ubingwa wa NBC premier league 🇹🇿
Tweet media one
59
26
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
⏳:dak 38' Mambo yamebadilika sana hapa uwanjani kwa kweli
114
28
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
⏳:dak 70' Huyu mwenye kesi atoke jamani
212
46
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
😂😂😂😂
162
54
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Shabiki wa Ruvu shooting🔥 unalalaje mapema jamani😅 Mheshimiwa @MwanaFA upo wapi tuongee kidogo leo😅
51
28
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Tuendelee na mazoezi tu dalili zote za kulipiza zile goli saba zinajionyesha😅
72
40
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Habari za asubuhi 👋 Tunawapa taarifa njema kuwa katika michezo iliyosalia hakuna timu itanusurika kupapaswa💪
147
48
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Nilitaka nisiseme iwe siri mpaka siku ya mechi ila nimeshindwa kuvumilia 😅 jamani kwa haya mazoezi ambayo Ruvu shooting🔥 inaendelea nayo ni balaa tupu Yanga watatueleza wanachotetea msimu huu ni nini💪 #NothingCanStopMpapaso
111
60
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Jamani tuwaongezee muda wawakilishi wetu #CAFCL 😅😅 #TanzaniaUp 🇹🇿
83
87
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
1 year
Mchezo huu hatoki mtu, kipigo hakikwepeki kwa Simba hakuna wa kuwaokoa na kichapo Ruvu shooting🔥 tumedhamiria kutoa kipigo kizito sana kupata kutokea msimu huu #NothingCanStopMpapaso
Tweet media one
143
49
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
TUNAOMBA MAKAO MAKUU TWITTER IKIWEZEKANA LEO USIKU KUWE NA SPACE MOJA TU TUANZE KUZUNGUMZIA FAULO ILIYOFUNGWA NA KIJANA WETU ABRAHAMAN BRUNO MUSSA🙌
45
46
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
⏳:dak 09' Msalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 😅😅😅 Mapema tu tunawatungua kwa mbali sanaaaa kipa wao anashushia na maji hapa Yanga 0-1 Ruvu shooting🔥
163
88
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Haya mashindano tuwaachie timu ndogo msimu huu wakubwa wenzetu tushindanie ligi kuu😅
85
42
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Mechi inayofuata ni dhidi ya Polisi Tanzania🇹🇿 ambao ndiyo wenyeji wa mchezo utakaochezwa 🗓️12/12/2020 majira ya saa🕰️ 10:00 jioni Ruvu shooting🔥 tunajipanga kwa ajili ya kuchukua point 3️⃣ Hii ni vita ya maafande👮🏽‍♂️ kuna sisi wajenzi wa Taifa🗺️ na wao wasimamizi wa uchaguzi🗳️ 😅
269
99
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Tukiwa katika maandalizi ya kushusha wachezaji wa viwango vikubwa kabisa hapa Ruvu shooting🔥 Tunakanusha kuwa tajiri ndo admin wa ruvu shooting🔥 hizo sio taarifa za kweli
99
51
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
TAARIFA Msiba upo nyumbani kwa marehemu Kigogo, Luhanga #ApumzikeKwaAmani 🕯️🕯️🕯️
Tweet media one
60
66
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
🐈 Umelala iyoo 😅😅😅
153
66
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Michezo yetu inayofuata ya mwezi wa 5 Vs Yanga Vs Simba Vs Geita Gold Vs Kagera Sugar Vs Azam Fc Vs KMC 😅😅😅 Maake hapo kwanza ncheke🙌 #NothingCanStopMpapaso
252
68
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
⌛:FT Ruvu shooting tumemaliza jambo letu katika uwanja wa Majimaji🏟️ Ushindi muhimu kwetu na pia kichapo muhimu kwa Mbeya Kwanza ili kuruhusu timu zingine kuja ligi kuu🇹🇿 Ukitaka kushusha timu ligi kuu tumeacha namba zetu mtatupigia😅 #NothingCanStopMpapaso
Tweet media one
135
71
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Ongeeni vizuri na watu, sehemu za pre season zipo nyingi tu😅 Timu bora inapatikana kwa pre season bora, Msimu huu tusipobeba kombe🏆 basi Kombe litajibeba lenyewe kuja Mlandizi
Tweet media one
Tweet media two
94
40
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
Mambo mazuri hayahitaji haraka KIMYA KIMYA hata @FabrizioRomano hajui nini Ruvu shooting🔥 tumefanya
99
52
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
@YourFrenchFry : Where is the remote? @rollymsouth : Ruvu shooting🔥 @YourFrenchFry :What do you mean? @rollymsouth : I mean, it's on top of the table #NothingCanStopMpapaso
Tweet media one
145
107
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
2 years
😅😅😅 Haya mmefikia wapi wenzetu huko Dar es salaam au tusubiri kukuche
87
33
2K
@JKT_Tanzania
JKT Tanzania
3 years
Mashabiki wa Ruvu shooting🔥 endeleeni kupumzika muda wa kuamka bado Wengine mmeamkaje huko😅
Tweet media one
61
35
1K