Rastafarian culture Profile Banner
Rastafarian culture Profile
Rastafarian culture

@Ireneigora

82,599
Followers
4,228
Following
4,925
Media
151,486
Statuses

Take it Easy I didn't mean to hurt you ๐ŸงŽ๐Ÿคฅ

Tanzania
Joined July 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Ireneigora
Rastafarian culture
6 hours
Inywe bantu ba kagera Mwazibona enshenene? Ninguza kubandiza 5000,10000,15000,20000, Ni za msimu huu Delivery ipo Location dar es Salaam kwa Aziz Ally Mikoani tunatuma pia Njoo WhatsApp 0626010537 Rt Dar unaletewa pia nishajaza mafuta kwenye Vitz yangu sema uko wapi
Tweet media one
Tweet media two
15
70
112
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณhuyu jamaa Hana mpinzani kwenye maji
Tweet media one
340
69
2K
@Ireneigora
Rastafarian culture
6 months
Namtafuta huyu mwamba hakika ana Jeans zake nyingi kwangu T shirt na mashati atakayochagua yeye nitampa Bure ๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸฅฐRt imfikie yeye au kwa anaemjua
Tweet media one
81
270
2K
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Kupanga meno hivi ni sh ngap?
Tweet media one
211
89
2K
@Ireneigora
Rastafarian culture
4 months
Video ya homeboy hiyo hapo kwenye comments kama hujaiona ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡
Tweet media one
111
55
2K
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Kwahyo chege chigunda kaona wanaotoa connection wanafaidi kaamua nayeye atoe๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
126
75
2K
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Kuna Hawa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Tweet media one
211
105
2K
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Tiyari nishajipanga kwenye howo langu kutokea mkoa wa baridi niwatakie usiku mwema followers wangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ›Œ๐Ÿ›Œ
Tweet media one
180
75
2K
@Ireneigora
Rastafarian culture
4 months
Inaitwaje hii movie na nini kiliwapata hawa ๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ
Tweet media one
142
75
2K
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Hakuna kitu kinaniuma kama naenda kuomba kazi naulizwa eti mbona we mtoto๐Ÿ’”๐Ÿ’”Mi sio mtoto ndio umbo langu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
Tweet media one
130
52
2K
@Ireneigora
Rastafarian culture
6 months
Nani anaedit hizi picha ?
Tweet media one
80
68
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
11 months
Hatujakuzoea hivi kaka toa kitu Jiji limepoa sana ๐ŸŽง๐ŸŽง๐ŸŽง๐Ÿ˜‚
Tweet media one
32
33
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Zamani Malaya walijificha kwenye kuuza bar sasa hivi wauza bar wengi ni singo Maza wanatafuta matumizi ya watoto na malaya wamejificha kwenye saluni na umama ntilie wanauza chakula na chakula pia baadhi Yao lakini๐Ÿ˜๐Ÿคฅ๐Ÿ’”
172
108
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Mi huyu nikiwa twita nabishana na matajiri wakubwa na wanasiasa๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ’”๐Ÿ‘‡
Tweet media one
81
62
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Kuna watu ni majasiri nyie Kuna mwana aliuza gari congo Yan akauza lori la watu akatimkia sauzi ๐Ÿ˜น๐Ÿ’” mwana akafaiti uko akatoboa bhana siku moja boss alishangaa anaambiwa tuma dereva boda nimekununulia chombo mpya naomba unisamehe sana Sasa hivi nae ana vyuma vyake 7
119
58
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Tafuta ela usije ambiwa na ndugu zako ukasimamie nyumba zao zinazojegwa๐Ÿคฅ๐Ÿ’”๐Ÿคก
112
158
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Kumekucha Sasa tuanze kuruka na Shaffie Dauda na Prisca kishamba watuelezee ni wapi wanapataga habari zao ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ’”
77
81
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
4 months
Nimesikiliza Interview ya huyu jamaa itoshe kusema usirudi kwa Ex wako hasa kama we ndo ulimkosea ๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚๐Ÿฅฒ
Tweet media one
41
62
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Hakuna kitu kinauma Kama kumpenda mtu na kuwa na hisia nae Sana afu ye Hana nguvu za kiume๐Ÿ˜ฃ๐Ÿคฅ๐Ÿ’”
163
81
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Haka kajini huwa kananichekesha Sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Tweet media one
155
53
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Mwaka Jana kuna mdada nlikutana nae sokoni alikuwa na mtoto mgongoni anaonekana kakata Tamaa kuna kitu nlikuwa nanunua Ile nakikagua na muuzaji ananipiga sound za hapa na pale nae akadakia akasema ni kizuri Sana japo Hajawahi kitumia
173
96
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Zaeni na wanaume wenye akili๐Ÿ˜๐Ÿ˜ona la kwangu๐Ÿšฎ๐Ÿ’”
Tweet media one
157
66
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
3 months
Hii ikijengwa na serikali itatumia sh ngap?
Tweet media one
291
75
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
4 months
Sema hii picha inazungumza mengi sana ๐Ÿ™‚
Tweet media one
28
58
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Jamaa ana lidude bhana๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
118
40
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Kuna huyu dada shanga imefunguka kwenye daladala mzigo wote chini watu woyoo mi kimya nimeinama Kama sijaona kitu๐Ÿ˜ฉ๐Ÿคก
116
69
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
8 months
Mange amesema Nini kuhusu huyu jamaa?!!!
Tweet media one
83
43
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Tafuta msukuma wako mmoja tulia nae hawana mambo mengi wakipenda๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ
146
99
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
4 months
Hayuko sahihi muda wote ila ukimzingatia Ana madini sana I appreciate ๐Ÿฅฐ
Tweet media one
37
100
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Hawa wanafunzi wa chuo wanajua kuvaa utupu uhasibu ikifika mida kama hii๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ™Œ
55
45
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Ooooh my๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿงธnshapelekwa Dubai na mimama kula bata
Tweet media one
83
54
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
9 months
Sema lijamaa lilikuwa linampenda sana mke wake sijui ndo alilifundisha mahaba ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ™ŒKila siku I love you
Tweet media one
66
50
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
9 months
Hapa natembea Kwa tahadhali Chelsea wakiniona nimeisha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
114
87
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
3 months
Kwanini watu wanamchukia huyu dada?
Tweet media one
127
28
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Huyu jamaa navomtumiaga usiku nkitaka kulala natakiwa nimlipe aisee sauti yake inanibembeleza sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Tweet media one
59
26
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
5 months
Hatimae nimemaliza nyumba yangu asanteni kwa dua zenu ๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚
Tweet media one
125
64
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Unapata mwanaume anakuhonga pesa nyingi unadhani anakupenda Sana kumbe mwenzio anatoa kafara ya ngono na anachukua nyota yako utajiri wake uongezeke kaeni kitaalamu ๐Ÿคก๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ
96
75
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Nimeenda makumbusho Kuna pisi Kali itoshe kusema my wangu ananivumilia sana ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿšฎ
58
44
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
10 months
Wanaume wenye malengo makubwa na maisha hawanaga bahati ya kupata wanawake wenye akili ๐Ÿฅฒ๐Ÿ˜น
100
130
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Hawa madereva malori ni Malaya sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’” ladies kama una bwana Ako anaendesha hizo gari mkumbushe tu atumie Kinga asikuue maana hauko peke Ako mko kama mia
104
52
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Kuna mtu ameenda kuomba odds serikalini?? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Tweet media one
175
65
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Kama mwenyezi Mungu akiniuliza ni zawadi gani nataka kwenye maisha Yangu nitamuomba anioneshe Mama Yangu hata Kwa picha Tu nione alikuwaje na anafananaje๐Ÿ˜ฃ๐Ÿคก๐Ÿฅฒ
190
88
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Leo nimekumbuka mwaka 2017 Kuna rafiki angu mmoja alikuwa na matatzo baba mtoto kamkimbia nlimsaidia nkampangia chumba nkamtafutia kazi pale kwetu alivofika akaanza kutembea na boss wangu akanisiginia mpaka nikafukuzwa kazi Mimi pale kitengo changu akakaa yeye ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
137
93
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
5 months
Kumamae yule jamaa wa vifurushi nitapeli msithubutu
207
89
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Kwan diamond anawafanya nini wasanii na wafanyakazi wanaotoka kwake mbona wanajaa upepo wa chuki kubwa namna hiyo๐Ÿคฅ๐Ÿ’”?
63
56
992
@Ireneigora
Rastafarian culture
10 months
Natafuta mtu wa kushare nae Kodi ya nyumba Yan tuishi wote jinsia yoyote awe dar๐Ÿ™๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜‚naona peke angu siwezi Tena
151
50
1K
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Nimegonga๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ
102
37
999
@Ireneigora
Rastafarian culture
10 months
Kuendesha gari la serikali sharti uwe na cheti Cha form 4 ila kuwa mbunge cheti kinaanzia la Saba ๐Ÿค•๐Ÿค•๐Ÿค•
Tweet media one
56
80
990
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Sio mdaka mishale Tu anaweza kumdaka mpaka Mgunda ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿ’›๐Ÿ’š๐Ÿ’›
Tweet media one
83
68
973
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Kwahyo bwana Ako ana miliki Alphad na Noah na una amini Hana familia? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
61
57
981
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Huyu Kila akifunga lawama wanapewa makipa kuwa ni wabovu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Tweet media one
40
47
970
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Mniombee sana mwenzenu naumwa nimepoteza fahamu jana na Leo bila sababu nimeenda hospital hawaoni ugonjwa pia๐Ÿ™๐Ÿ™Hali hiyo ukinitokea napoteza uwezo wa kuona kinafata kizungu zungu then shwaa naisha kama dk 2 ndo nazinduka๐Ÿ’”๐Ÿ’”
345
96
970
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Ukizaliwa wa kwanza kwenu na bahati mbaya familia isiwe na uwezo jiandae kuwa daraja la ndugu zako kuvukia pambana sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’” japo Kuna muda inauma ila hakuna namna
73
136
960
@Ireneigora
Rastafarian culture
5 months
Utasikia eti yan bro we maisha hayajakutesa kama mimi nlikuwa nalala chini yaan chini๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Tweet media one
57
74
961
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Hakuna mademu wanaojiona wameyapatia maisha Kama hawa wanaouza simu kwenye Yale maduka ya kariakoo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”vinajionaga Kama vinauza ticket za kwenda mbinguni yan
95
66
934
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Just imagine kupata choo ngumu inavoumizaga sana Yan ka choo tu unatamani utie vijiti utoe afu Kuna mtu eneo lile lile anapitishiwa mashine ya inchi 6 ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜‚
102
50
943
@Ireneigora
Rastafarian culture
10 months
Marafiki zetu wakifungua biashara be like "God did"๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž Wakitoka hapo Sasa wakaenda Kwa god mwenyewe๐Ÿ‘‡
Tweet media one
118
57
949
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Mnapataga wapi nguvu za kuzungumzia matatzo yenu mkiwa mnaongea na simu kwenye daladala?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™ŒYan unakuta mtu anafunguka mpaka abiria wote wanageuka kumwangalia๐Ÿ™Œ๐Ÿ’”
90
65
944
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Leo isingekuwa Kula faini lunch ingenipita hivi hivi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿšฎ
Tweet media one
107
34
935
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Nimepita chocho moja hapa River naskia demu anasema eti ๐Ÿ˜ฃMaliza haraka hii ni Qm sio uwanja wa mazoezi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿคก
61
42
929
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Jana Tunda limeliwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅfear women
Tweet media one
64
28
938
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Ushawahi kumhug Baba ako na kupiga nae selfie?๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ
88
83
920
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Kwa furaha mliyonipa Leo ntafollow Kila mtu atakae weka handle ๐Ÿ˜‚๐Ÿคก
292
109
923
@Ireneigora
Rastafarian culture
6 months
Siku hizi Umalaya umehamia kwenye "tunafanya usafi majumbani"๐Ÿคช๐Ÿคฃ
59
50
943
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Hawa wadada wa south Africa na Naija manyonyo makubwa wanayapata wapi๐Ÿฅณ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
63
42
929
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Yesu alikuwa na mitume 12 kwenye picha Ile iliyopigwa kidunia wakati anafanya karamu yake ya mwisho walionekana mitume 13 mmoja akiwa mwanamke je huyo mwanamke alikuwa Nani??
158
64
903
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Jana nimekutana na masanja sehemu moja hivi zile Spana nazompiga twita nlishindwa kumpiga live Yan ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’” nikawa namwangalia Kwa mbali Tu keyboard ina nguvu kuliko uhalisia๐Ÿšฎ
53
78
891
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Tweet media one
77
52
896
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Dear my followers ningechukua nafasi hii kuwambia Sina mahusiao na Eddo Kila kitu kilikuwa drama za kusaka followers humu na tunashukuru tumewapata Kila kitu kimeisha msinitag sehemu yeyote kunihusisha na hayo mambo we don't even know each other ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
160
49
901
@Ireneigora
Rastafarian culture
11 months
๐Ÿคฎ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
152
75
897
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Mwenye Ramani ya vyumba vitatu kimoja masta jiko,dinning room, sebule, public toilet na kastoo ka mchongo anipe tafadhali Ramani zinauzwa bei Kali kuliko Hela ya msingi wa nyumba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’”
107
58
898
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Sumu inatumaliza madereva congo sulphur inatuua taratibu tu watu tumekimbia kazi madereva wanakufa madhara nilishaanza kuyapata pia๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”
118
69
895
@Ireneigora
Rastafarian culture
7 months
Mafinga ๐ŸŒน๐ŸŒนSao Hills 9.12.2022
Tweet media one
112
71
885
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
๐Ÿ˜๐Ÿ˜aisee
Tweet media one
115
53
861
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Unamuonesha mtu picha ya my wako kwenye simu anaangalia kisha anasema hongera sio mbaya sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
63
74
864
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Fyucha hazband unaona hiyo spana inayokosekana hapo kazi iliyoenda kufanya? Bhas nami ntakuwa nakufanyia hivo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Tweet media one
85
51
865
@Ireneigora
Rastafarian culture
5 months
Chino akichekeshwa na Marioo kidogo ๐Ÿ™‚๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡
Tweet media one
83
51
894
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Nani anisomeshe nikimaliza chuo anioe?๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‚
134
64
868
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Unaweza kumwambiaje mtu kuwa unanuka kikwapa bila kumfanya ajiskie vibaya au unaweza kumsaidiaje bila kumuudhi?๐Ÿ’”๐Ÿ’”
139
59
872
@Ireneigora
Rastafarian culture
11 months
Nimepata funzo Moja Kwa ndugu yangu wa karibu alichukua mwanamke kijijini kuoa Kwa madai ya wanawake wa mjini hawajatulia alitaka mtu ambae Hana ekisipozha ili amhudumie Kwa Kila kitu hataki msomi sawa tukampa Baraka zetu kaenda kijijini kuoa mwanamke mzuri tu ๐Ÿ‘‡
127
84
878
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Nimeota nimerudiana na advencha๐Ÿ˜บ๐Ÿ˜ญyaan mwili wote unauma Kila Kona nadhani ntakuwa nilijinyonga usingizini kuliko kuwa nae tena ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
64
67
858
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Watoto wa nje ya ndoa Wana akili Sana kuliko waliozaliwa kwenye ndoa๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kubali kataa fanya uchunguzi
130
63
865
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Hivi nikweli majini ukaa baharini? Nani anaejua kiundani zaidi๐Ÿ˜ฃ
75
45
854
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Mkimaliza kuwavutisha shisha wapeni bhas na ela za kusafisha Meno๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”khaa mtaani mademu wote wamekuwa Kama shumileta
52
54
853
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Kuna mshikaji wangu aliwahi kunywa sumu kisa demu wake kachukuliwa na tajiri mmoja baadae wakamuwahi na kumpeleka hospital akapona kumbe iliacha madhara Tumboni hiyo sumu sasa figo zinafeli Yuko anahangaika kujitibia kashatumia gharama nying Sana had kafilisika๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿคก
123
82
853
@Ireneigora
Rastafarian culture
3 months
Mkutano wa wazazi. 2030 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
42
39
882
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 month
Hizi za hivi zinavuja pia?
Tweet media one
58
80
883
@Ireneigora
Rastafarian culture
8 months
Mnalala mna raha Gani nyie Amkeni uko insta kimewaka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ
64
37
868
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Nimefuta๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”nimetukaniwa mpaka wazee wangu
Tweet media one
61
28
860
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Mbinu mpya ya kutunza turubai lako ukipaki mitaa ya kuanzia picha ya ndege mpaka morogoro ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
102
40
864
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
๐Ÿค”๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ
Tweet media one
126
36
829
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Leo nimemuattack msanii ig mpaka kaja dm kuniuliza kama ninamchukia๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜ตHadi nimejiskia vbaya Yan Kwa mara ya kwanza nimeomba msamaha mtandaoni ๐Ÿ˜นila Haikuwa Kwa ubaya yeye kapuyanga ila nimetumia maneno ya kumvunja moyo kaja kiupole kanambia haya ni maisha tu nyiee
54
40
849
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Twita viatu naweza pata wapi hili zaga msaada plz ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ
Tweet media one
118
56
824
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Mabro wanauana uko๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
40
25
824
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Kusema ukweli Scania za Asas ni nzuri Sana mpaka roho inaniuma sijui mkubwa Wa kazi ni Nani pale Nile nae sahani moja๐Ÿฅฒ๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ’”
62
54
828
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
First day nimetoka na Eddo kwenda lodge wahudumu wote walikuwa wanamjua kuanzia bar,restaurants zote tulikuwa tunaenda wanamwita jina lake Hadi nanywea alinambia ni mademu wa marafiki zake๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
54
39
827
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Hii miguu na kiatu cha shaolin vinatakiwa vikalale Tunduma Leo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”na hii msiibe bhasi
Tweet media one
86
51
818
@Ireneigora
Rastafarian culture
1 year
Leo nami nimepanda basi baada ya miaka kama 5 hivi nimejishikilia hapa dereva akishika breki nami miguu yangu inashika breki nitafika hoi nawambieni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Tweet media one
Tweet media two
118
62
841
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Uzuri sio Sura Ila kuna Sura nyingine hapana Kwa kweli๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ’”
85
82
813
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Kuna mdada alipost picha FB akiwa kitandani Kwa boyfriend wake dada mwingine akaja kukoment eti eeh nawe unapajua Kwa afande furani๐Ÿ˜‘๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
43
63
816
@Ireneigora
Rastafarian culture
2 years
Basi bwana tukaenda zetu Tandahimba kupakia korosho kwenye harakati za hapa na pale mara kulikuwa na watoto wanacheza mbele ya gari๐Ÿ˜ฃsi Turnboy akawatimua pale na viboko wakaanza kulia wakarudi mwakwao ๐Ÿƒ๐Ÿƒtumemaliza kupakia chuma ishakula belt za kutosha iko tyar Kwa ajiri ya
51
44
805