Foundation for Civil Society Profile Banner
Foundation for Civil Society Profile
Foundation for Civil Society

@FCSTZ

17,866
Followers
812
Following
4,184
Media
11,388
Statuses

Foundation for Civil Society (FCS) is an independent Tanzanian non-profit organization that provides grants and capacity building services to CSOs

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2010
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
3 months
Let's envision Tanzania's future together! Participate in the #CSOWeek2024 where we'll amplify citizen voices & collaborate for Vision 2050. Register now at @CSOWeek
Tweet media one
0
54
54
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
Afisa Programu wa FCS Shamsia Manu alitembelea shirika la Upendo Community Survival, Chanika, DSM. Wamefuatilia mradi wa ujenzi wa tanki la lita 150,000 katika mtaa wa Kichangani kata ya Majihe wenye gharama ya TSH 229,667,088 #ZiaraYaKutembeleaMiradi
Tweet media one
6
36
1K
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
Wanawake huchangia kwa kiasi kikubwa ktk kilimo na ni uti wa mgongo wa mifumo ya uzalishaji wa chakula. Wanawake wanahaki ya kumiliki ardhi ili waweze kulisha familia zao na jamii , kuinuka kiuchumi na kuchangia pato la taifa. #AZAKITanzania #FursaYaKilimo #NaneNane
Tweet media one
7
39
968
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
The potential of the agricultural sector to end poverty is undisputed. Our Grantee NELICO in Geita works on advocating for the rights of people with albinism to realize livelihood opportunities for a more inclusive community. #NaneNane
Tweet media one
3
26
644
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
Jikinge, wakinge wengine na Ugonjwa wa Corona #JikingeTunzaAfyaYako
Tweet media one
5
48
492
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
Ni muhimu kwa wanawake kushiriki ktk michakato ya kimaendeleo ikiwa pamoja na kusoma mbao za matangazo na kujua zaidi kuhusu matumizi ya fedha katika sekta mbalimbali. Miundombinu wezeshi ni muhimu pia ktk kuongeza ushiriki wao #IWD2020 #NguvuYaWanawake
Tweet media one
0
28
444
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
The #CSOWeek2022 will be held in Arusha from October 24 to 28 . The online registration is officially open. To register click the link >> . Register early to book your seat. #WatuNaMaendeleo #WikiYaAzaki2022
1
43
420
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
Tukutane Arusha #WikiYaAzaki2022 #WatuNaMaendeleo . Jisajili sasa kupitia tovuti ya>>
Tweet media one
1
35
415
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
Jikinge, wakinge wengine na Ugonjwa wa Corona #JikingeTunzaAfyaYako
Tweet media one
2
33
399
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
#CSOWeek2022 seven days to go! Register Now to attend the @CSOWeek Event in Arusha from 24 to 28 October. CSO Week 2022 registration process will be closed today 17th October 2022 #WikiYaAzaki2022 Click >>> to register
Tweet media one
1
33
401
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
#ZiaraYaKutembeleaMiradi @FCSTZ inafanya Ziara ya Kutembelea miradi 151 inayofadhili katika mikoa mbalimbali #Tanzania na Zanzibar. Ziara hizi ni muhimu kwani FCS pamoja na wafadhiliwa wanashirikiana kuimarisha na kujenga ufanisi kwa lengo la kufikia matokeo yaliyokusudiwa
Tweet media one
5
12
362
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
#ZiaraYaKutembeleaMiradi Meneja wa Tathmini, ufuatiliaji , Utafiti na kujifunza wa @FCSTZ @GuesturdH 'Nikiwa katika ofisi ya mtakwimu wa mkoa wa Rukwa Bwana James Kapenulo tukijadili changamoto mbalimbali za upatikanaji wa takwimu hasa za watu wenye ulemavu mkoani humu'
Tweet media one
1
8
316
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
Jikinge, wakinge wengine na Ugonjwa wa Corona #JikingeTunzaAfyaYako
Tweet media one
1
22
266
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
Women Land Forums (WLF) have helped women access and own land in Arusha, Alumeru District in Makiba ward. Ms Janeth is tending to her livestock on the land she acquired with the support of WLF. She is also a member of the forum and has helped other women own land #IWD2020
Tweet media one
2
15
270
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
Zawadi Juma ( left ) from Ilala, DSM, #TZ manufacturing paper bags with her peers in her youth group. Youth groups have given women an #equal opportunity to get involved with economic activities, enhanced their entrepreneurship skills and access markets #IWD2020 #AzakiTanzania
Tweet media one
3
16
223
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
Mifumo Dume katika Jamii inawaweka wanawake na wasichana katika hatari ya ukatili wa kijinsia. #TogetherWeCanEndGBV #16Days #16DaysOfActivism #MabadilikoYanaanzaNaMimi
Tweet media one
10
15
225
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
Child Protection Every child should live free from all forms of violence. It is their right. #GenerationEquality #azakiTanzania
Tweet media one
1
15
214
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
Foundation for Civil Society- December  2020 Newsletter -
Tweet media one
1
5
212
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
Advocating for the elimination of violence against women is a strategic priority for @FCSTZ #TogetherWeCanEndGBV #16Days #16DaysOfActivism #MabadilikoYanaanzaNaMimi
Tweet media one
0
11
173
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
Jikinge, wakinge wengine na Ugonjwa wa Corona #JikingeTunzaAfyaYako
Tweet media one
1
12
168
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
6 years
Vijana wanahitaji kuonyeshwa njia na kupewa nafasi tu. Mengine yote waachie wenyewe! Shughuli za ujasiriamali za vijana wa Ngwachani huko Kusini Pemba. Wanalima mbogamboga, matunda na hata karafuu chini ya mradi wa asasi ya JUKAVIPE @YUNA_Tz @MsichanaUwezo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
21
172
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
Ending gender based violence is a priority that requires collective action. Lets support and help them break the silence . #16DaysOfActivism #16days #TogetherWeCanEndGBV
2
9
168
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
The #CSOWeek2022 is the largest annual event organised by a consortium of more than 25 local & international CSOs to enhance multi sectoral partnerships in the interest of steering the development agenda. Register to attend the event >> #WikiYaAzaki2022
Tweet media one
0
12
164
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
Mhe @hpolepole amekua na kupikwa ndani ya Asasi za kiraia na anaheshimu mchango wake.
18
19
143
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
We join national efforts in the elimination of Gender based Violence. Through collective action women and girls can be protected #16days #Tanzania #TogetherWeCanEndGBV
1
8
145
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
Mafunzo muhimu kwa Vijana: Mwalimu @MabalaMakengeza anazungumzia Stadi za Maisha, kipengele muhumu sana katika Mradi wa FAYA unaolenga watoto/vijana @FeminaHip @TYVAvijana @YUNA_Tz @VijanaForum @MsichanaUwezo @policy_F @sikika1 #AzakiTanzania
6
28
141
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
Tweet media one
4
20
128
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
3 years
“Sheria inakataza mwajiri kumfukuza kazi mfanyakazi kwa sababu za kuumwa au kupata ulemavu awapo kazini, anapaswa tuu kumbadilishia majukumu, kumfukuza kazi ni kosa kisheria.” #JukwaaLaWakurugenzi
3
33
121
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
3 years
#IDPD2021 More than 1 billion people experience disability. Its important to have mechanisms in place to respond fully to the priorities & requirements of persons with disabilities.
Tweet media one
2
7
115
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
6 years
Ni rahisi kwa Kiongozi kufanya kazi na watu anaofanana nao mawazo. Lakini ni vyema kufanya kazi na watu wenye mawazo tofauti ili ujifunze na kupata changamoto. @RebecaGyumi #WikiYaAzaki2018
Tweet media one
2
41
113
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
6 years
"Vision yetu ni kuona kwamba wananchi wa Tanzania wako katika driving seat ya kujiletea maendeleo ndio maana tunaencourage ushirikiano na kujitoa (philanthropy)" - Dr Tenga, Rais FCS #AZAKITanzania #CivilSocietyTanzania
1
10
103
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
10 months
People-Led Development: A conversation with @FrancisKiwanga Join us as @FrancisKiwanga discusses the essence of reimagining philanthropy from a community driven perspective. #AzakiNaJamii
Tweet media one
6
66
104
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
3 years
Today the Danish Embassy in 🇹🇿 signed a grant agreement with @FCSTZ for DKK 4,280,720 - TZS 1.6bn in additional funds to contribute towards sustainable development in TZ. The additional funds bring the total of the 🇩🇰 Embassy’s financing to @FCSTZ to approx. TZS 4.4bn for 2021
Tweet media one
Tweet media two
7
23
101
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
3 years
Heri ya Siku ya Wanawake Duniani 2022 #IWD2022 ''Tunashukuru uongozi wa Gereza la Segera kwa kutupokea na tunawatakia wanawake wote maadhimisho mema’, Nasim Losai
Tweet media one
0
14
92
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
Despite the powers conferred by the 1999 Land Act (no. 4 and 5 RE. 2002) for women to access and have equal rights to land in 🇹🇿, most women in rural areas still face a number of challenges in accessing, ownership and controlling land #IWD2020 #IWD
Tweet media one
2
12
95
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
Deadline for submission of call for project concept notes is 16th June 2022 #FursaZaFCS
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
47
91
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
Land is the most important resource for rural women in Tanzania. That is why,promoting access to land and property rights for women in the country has been one of our key result areas under our governance programme. #IWD2020 #IWD
Tweet media one
1
12
93
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
7 years
Meet Dr. Stigmata Tenga, she is the current President of the Foundation for Civil Society. She has been in the role since 2014 & has a PhD in Agriculture with specialization in food technology & anthropology from the University of Oslo in Norway & the Russian Peoples University.
Tweet media one
2
23
84
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
3 years
Karibu kwenye Uzinduzi wa Jukwaa ambalo linakutanisha Asasi za Kiraia, Serikali, Wadau wa Maendeleo na Wananchi, kujadili kuhusu ushirikiano, Mchango wa Azaki na namna sekta hizi tunaweza kushirikiana kwenye mchakato wa maendeleo. #UzinduziWikiYaAzaki2021
Tweet media one
4
35
87
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
Jikinge, wakinge wengine na Ugonjwa wa Corona #JikingeTunzaAfyaYako #Tanzania
Tweet media one
0
6
83
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
6 years
Mkianza kutotii mambo mliyokubaliana, hamuwezi kuwa Tanzania au hata Jumuia ya Afrika Mashariki yenye nguvu. Watu waliopoteza uhuru na wajinga hawawezi kuwa na taifa la viwanda. Bw. Butiku. #WikiYaAZAKI2018
Tweet media one
7
47
81
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
Tweet media one
0
10
76
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
7 months
FCS is pleased to announce the appointment of @justicerutenge as our New Executive Director with effect from 1 May 2024. Read more #AzakiNaJamii
Tweet media one
2
39
80
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
7 years
#FoundationFact We have empowered more 250,000 women on land rights, resulting in reduced land conflicts in the country.
Tweet media one
1
6
78
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
Happy International Women's Day 2021! #IWD2021 #ChooseToChallenge #GenerationEquality
Tweet media one
0
25
73
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
3 years
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ndio yenye dhamana ya kusajili jumuiya zote za kijamii nchini kupitia ofisi ya Msajili wa Jumuiya za Kijamii. #JukwaaLaWakurugenzi
0
20
72
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
6 years
#BreakingNews ! Social Accountability Programme3 (SAP3) launched @FCSTZ , @Twaweza_NiSisi and @policy_F to receive Tzs 18bil boost from Switzerland for improvement of accountability in #Tanzania . This is a 4yr programme #CivilSocietyTanzania
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
23
72
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
Leo Wadau mbalimbali kutoka NEC, TACCEO, Asasi za Kiraia (AZAKI), Mdau kutoka Jeshi la polisi wanashiriki kwenye Warsha ya Wakurugenzi wa AZAKI kujadili mchango wa AZAKI katika uchaguzi na Ushiriki wa wananchi na makundi ya pembezoni katika chaguzi kuu #CSOsDirectorsForum
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
19
71
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
3 years
Shirika Lisilo ya Kiserikali likipata fedha kiasi zaidi ya milioni 20 kutoka kwa mfadhili linapaswa kumjulisha Msajili wa NGOs na Msajili wa Hazina, siku 10 kabla ya kuzitumia ni sio baada. #JukwaaLaWakurugenzi
4
23
68
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
An Ex -Ngariba speaking about how she used to earn a living with through FGM and how she stopped the practise due to Tusonge's interventions. #EndFGM
Tweet media one
1
12
72
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
1 year
''Tumechukua jitaihada za makusdi kujengea uwezo AZAKI kuhusu sheria ya NGOs na matakwa ya kodi. Tunafanya kazi na ofisi ya msajili katika kuzipatia AZAKI mafunzo ya sheria zinazoongoza AZAKI'' ~ Nicholaus Mhozya #ZANGOF2023
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
36
72
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
#HabariZaHiviPunde @FCSTZ imesaini mkataba wa miaka 3 wenye thamani ya sh billioni 1 na @THRDCOALITION kutekeleza mradi wa mpango mkakati wa kuboresha mifumo na kuimarisha usalama wa watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania. #AzakiTanzania
Tweet media one
Tweet media two
7
26
71
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
Wafadhiliwa wanaripoti kwamba 71% ya vijiji ambako miradi ya FCS ya SAM/PETS imetekelezwa wanachapisha taarifa za matumizi na mapato zilizohuishwa. Jambo hili limekuza sana uwazi na uwajibikaji jamii katika matumizi ya mali za umma! #2019FCSresults #CivilSocietyTanzania
Tweet media one
1
10
66
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
📢Call for Concept Note is open. Call for concept note to implement projects under governance, gender equity, youth inclusion & peace building is open. To access the detailed call, you must be registered in the FCS partner portal via #FursaZaFCS
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
28
69
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
3 years
‘Tumeona tushereke siku ya #IWD2022 na wanawake wafungwa wa Gereza La Segera. Tumewaletea baadhi ya mahitaji kama maziwa ya Watoto, sabuni, miswaki, dawa za miswaki, pampaz, na taulo za kike. Msaada huu umetokana na michango ya wafanyakazi wa @FCSTZ '' , Nasim Losai
Tweet media one
Tweet media two
3
21
64
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
6 years
Mafunzo Mtaji Nafasi Ndio mahitaji ya vijana ili kubadilisha maisha ya jamii zao Hawa ni vijana wa Busokelo - Mbeya. Wanafuga samaki, wanalima chai, wanatengeneza mvinyo na kaukau (crisps) za ndizi chini ya mradi wa asasi ya PPJ @YUNA_Tz @MsichanaUwezo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
31
64
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
Today is the International Day of Zero Tolerance for #FGM . We are working with our grantees in various regions in #TZ to ensure the lives of women and girls are protected. #EndFGM
Tweet media one
0
27
67
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
3 years
Ofisi ya Msajili wa Jumuiya za Kijamii ina kazi ya kupokea na kuchambua maombi ya usajili, kutoa vyeti kwa jumuiya zilizokidhi vigezo vya kusajiliwa, kupokea na kuchambua taarifa za mwaka za jumuiya za kijamii zilizosajiliwa #JukwaaLaWakurugenzi
0
21
63
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
6 years
Tukiwa tumebakiwa na chini ya masaa 24 kabla ya kutangaza nembo yetu mpya, hebu tuambie: Je, nembo hii ya sasa imekuwa ikimaanisha nini kwako? #AsasiZaKiraiaTanzania #CivilSocietyTanzania
Tweet media one
6
15
65
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
7 years
#Miaka15YaFCS kutoka ukumbi wa Julius Nyerere.
1
32
64
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
Tusonge Org is working to make MTAKUWWA committee active in Arusha Chini. These committees are responsible for ensuring the National Plan of Action to End Violence against Women and Children in Tanzania (NPA-VAWC) 2017/2018 – 2021/22 is implemented at the local level. #16days
Tweet media one
2
10
63
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
6 years
"Uchaguzi unawapa wananchi nafasi ya kuwaadhibu wanasiasa walioshindwa kutekeleza makubaliano na wapiga kura wao" - Richard Mbunda, Mhadhiri UDSM Wananchi wana sauti kwa wanasiasa. Si wanyonge @MariaSTsehai @CarolNdosi @allysalehznz
8
20
61
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
7 months
“Bodi ya Wakurugenzi ya Foundation for Civil Society (FCS) kwa furaha inatangaza uteuzi wa Bw. Justice Rutenge kama Mkurugenzi Mtendaji mpya wa FCS, baada ya kufanya mchakato wa takribani miezi mitano wa kutafuta kiongozi mpya. Bw. Rutenge ni mtaalamu na mtafiti wa kipekee
Tweet media one
8
26
65
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
3 years
" Siri kubwa ya taasisi yoyote kukua ni kufanya kazi vizuri .Ukifanya vizuri watakuja wadau wengine kukufund. Ili wazo lako liweze kukua lazima uweze kuja na mawazo mapya " @KiwangaFrancis #WikiYaAzaki2021
Tweet media one
4
18
65
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
Mkurugenzi Mtendaji wa @FCSTZ @KiwangaFrancis katika📸ya pamoja na wawakilishi wa Azaki kutoka NACONGO, @policy_F , CBM Tanzania, @InstituteWajibu ,na Afisa Tathmini na Ufuatiliaji wa ofisi ya msajili wa NGOs mara baada ya kutoka bungeni kusikiliza bajeti ya @maendeleoyajami
Tweet media one
0
22
64
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
“Ni Lazima kutembea pamoja ili kufika pamoja, ndio dhumuni la #KikaoKaziWizaraNaNGOs kukutana, na kujadili pamoja” Dkt. John Jingu
Tweet media one
0
29
64
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
In order to create awareness, various grantees have established #GBV club for secondary school students where students through drama, songs, and plays learn about GBV and how to protect themselves and others. #16DaysofActivism2019
Tweet media one
0
11
63
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
Mhasibu kutoka FCS anamjengea uwezo mhasibu wa Mass Media Bariadi kuhusu masuala ya usimamizi wa fedha. #ZiaraElekezi
Tweet media one
0
25
62
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
“Kabla ya kusambaza picha ya mtoto chini ya miaka 18, ni lazima upate idhini ya mzazi au mwalimu wake kama umemkuta mazingira ya shule” Tusekile Anangisye #AzakiTanzania #AzakiNaJamii
Tweet media one
2
27
60
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
6 years
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe.Stella Ikupa amewasili tayari kuhudhuria mdahalo na Taasisi ya SHIVYAWATA #WikiYaAzaki2018
Tweet media one
1
21
55
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
7 years
"Siku ya Wnawake Duniani ni siku ya kujivunia kama mwanamke, kupigania haki zake na kupinga ukandamizaji wa kijinsia kwa mwanamke" - Aziza #WakatiNiSasa #TimeIsNow #IWD2018 #PressforProgress #InternationalWomensDay
Tweet media one
4
25
62
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
1 year
Ujumuisho wa walemavu unahusu kuunda mazingira ambapo watu wenye ulemavu wanaweza kushiriki kikamilifu na kuchangia vipaji na mitazamo yao ya kipekee . #AzakiNaJamii
Tweet media one
3
30
61
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
Suala la Uwazi kwa NGOs litasaidia uwajibikaji na usimamizi mzuri wa rasilimali fedha ili kufikia malengo. Dkt. Godwin Mollel. #KikaoKaziWizaraNaNGOs
Tweet media one
0
17
57
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
1 year
#UraiaWetu project focuses on promotion of citizen's voice in development processes. We cannot achieve development without the participation of the citizens. let's participate in community discussions & in national issues.Proposing solutions to challenges faced ~ @KiwangaFrancis
Tweet media one
3
41
58
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
Tweet media one
0
3
58
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
Edna Chilimo kutoka FCS akimsikiliza mnufaika wa mradi unaokelezwa na ZAFELA akielezea jinsi alivyoweza kupata ushirikiano na ushauri anapokwenda mahakamani #ZiaraElekezi
Tweet media one
0
15
59
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
3 years
Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation for Civil Society, Ndugu @KiwangaFrancis #UzinduziWikiYaAzaki2021
Tweet media one
2
16
57
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
1 year
Tumeweza kutembelea mikoa 15 kuwapatia AZAKI elimu na mafunzo ya sheria zinazoongoza AZAKI na asası zaidi ya 600 zimefikiwa. Katika mafunzo haya tumeshirikiana pia na ofisi ya mkoa na ofisi ya Msajili wa NGOs ~Nicholaus Mhozya #ZANGOF2023
Tweet media one
Tweet media two
0
35
59
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
“Kabla ya kutumia picha kwenye mtandao, ni muhimu kupata idhini ya mhusika” Tusekile Anangisye #AzakiTanzania #AzakiNaJamii
Tweet media one
2
28
56
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
10 months
Mwalimu Mkuu Msaidizi, Shule ya Msingi Gezaulole Kigamboni, Roda Mebula, anafurahi kupokea ugeni na kushukuru kwa msaada wa kitengo cha elimu maalumu uliotolewa kwa shule yao. @GivingTuesdayTZ #GivingTuesday
Tweet media one
1
39
57
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
7 years
Kesho tunasherekea #Miaka15YaFCS !! Jiunge nasi kwenye ukurasa wetu kupitia #Miaka15YaFCS
Tweet media one
3
22
57
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
As an philanthropic org, @EAPhilanthropy connects philanthrophy actors, grantmarker and development actors to assess the gaps and contribute towards the development of the philanthropic sector- Mike O'maera #TPO022 #TPF22
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
24
54
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
6 years
Happening now! Foundation for Civil Society @FCSTZ signs a TZS 14billion contract with Embassy of Sweden @SwedeninTZ in #tanzania , to support civil society building in the country
Tweet media one
Tweet media two
0
22
54
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
3 years
Foundation for Civil Society- March  2022 Newsletter -
Tweet media one
2
19
50
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
Neema Makando, from @FCSTZ presenting on 'the identification of responsibilities & roles of safeguarding policy in organizations' during Safeguarding Resource & Support Hub (RSH) Prevention against Sexual Exploitation & Abuse & Sexual Harassment (PSEAH) Training in Dar es Salaam
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
26
55
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
FCS has promoted livelihoods of youth and women by initiating projects that ensured they have increased access to assets, resources, opportunities & entitlements. #2019FCSresults #CivilSocietyTanzania
Tweet media one
1
8
48
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
4 years
CSOs have combined forces to support GOV initiatives towards the fight against #COVID19 in #Tanzania . The CSOs have collectively raised TZS 79 Million.The Funds were handled to the National Relief Fund through the Prime Minister’s Office today #COVID19TZA #JikingeTunzaAfyaYako
Tweet media one
3
27
54
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
Do you want to work with FCS in 2022-2026? Register your organization to become a potential partner in the grant application processes via #FursaZaFCS
Tweet media one
2
38
55
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
Afisa Tarafa wa Nyasa Bw. Ricardo Komanya amehudhuria semina zinazoandaliwa na CHAWATA Nzega na kuwapongeza " Mafunzo kweli yanalenga utoaji huduma kwa Watu wenye ulemavu na sisi elimu hii tunairudisha hadi kwenye vitongoji" #ZiaraElekezi2022
Tweet media one
0
19
53
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
1 year
Rehema Malongo & CPA Maria Chang'a kutoka FCS ktk kata ya Buyango kijiji cha Rushasha-moja ya kata ambao mradi unatekelezwa. Hapa ni ofisi ya mtendaji kata Bi Placidia Byarugaba, wengine ni Mwenyekiti wa kijiji,watendaji wa shirika la SMMK na kamati ya SAM #ZiaraElekezi2023
Tweet media one
0
37
52
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
Director @policy_F @Semkae according his views on the @commonwealthsec Parliamentary Association session here in Dodoma for the @CSOWeek #CSOWeek2019 #partneeshipsfordevelopment #WikiYaAzaki2019
5
18
53
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
5 years
Mgeni Rasmi Mhe Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwasili kwenye uwanja wa Jamhuri Dodoma kufanya ufunguzi wa #WikiYaAzaki2019 #UbiaKwaMaendeleo
Tweet media one
1
23
52
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
3 years
Mwanajopo mwingine kutoka moja ya Mihimili mitatu muhimu, Mh. Neema Lugangira, Mbunge Viti maalum kundi la Mashirika Yasiyo Ya Kiserikali. Atakuwepo kama mwanajopo kwenye #UzinduziWikiYaAzaki2021
Tweet media one
3
19
54
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
6 years
Ukiwa kiongozi kubali kutumika, kusikiliza. Jifunze, Soma vitabu. Maarifa yapo kwenye vitabu. Humphrey Polepole. #WikiYaAzaki2018
Tweet media one
2
16
51
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
21
49
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
@AD_Abinallah @MediaConvergecy facilitated a session with our partners in different regions in🇹🇿on communications, social media management & visibility. #AzakiNaJamii #AzakiTanzania
Tweet media one
1
39
50
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
2 years
'' Asasi ya TATHI inafadhiliwa na @FCSTZ kutekeleza mradi wa kuboresha mazingira na mawasiliano baina ya watoa huduma wa sekta ya afya na Watu Wenye Ulemavu katika manispaa ya Temeke na jiji la Dar es salaam'' Josephine Dungumaro- Afisa Mradi @FCSTZ #ZiaraElekezi2022
Tweet media one
Tweet media two
1
25
50
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
3 years
#WikiYaAzaki2021 #CSOWeek2021 Join us as we discuss the contribution of CSOs to Tanzania's economy. The session will explore CSOs' contribution to Tanzania's human development in numbers & stories. #AzakiNaMaendeleo
Tweet media one
2
21
53
@FCSTZ
Foundation for Civil Society
3 years
Excited to announce CSO Week official Launch on 29th July 2021. #UzinduziWikiYaAzaki2021
Tweet media one
0
25
51