Eddo Profile Banner
Eddo Profile
Eddo

@Eddo142

135,709
Followers
10,271
Following
7,243
Media
182,529
Statuses

#Justsmile / once i was a superstar😎/ King of Toronto Tabora 1800's

Sudoměřice u Tábora, Česká rep
Joined January 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Eddo142
Eddo
5 days
NAOMBA REPOST PLEASE 🙏 NYUMBA MPYA YA KUKODISHA Loc: KIGAMBONI (Ungindoni) Kodi: 700,000/= Tsh per month ( sio laki 7 na nusu tena🚫) Nyumba inavyumba vinne vya kulala viwili master, sebure,jiko, Dining na parking & fance. Nyumba inajitegemea kwa kila kitu (maji yapo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
39
44
@Eddo142
Eddo
11 months
Dj walete wazeee wa "ukipiga kitufe cha like inakuja ya black"🤣🤣
Tweet media one
41
118
5K
@Eddo142
Eddo
1 year
Kwanini wachezaji wa bongo hawapigagi picha na pisi zao after ubingwa...!!?? Au kama mko na picha naombeni...!!
Tweet media one
229
137
4K
@Eddo142
Eddo
2 years
Unaambiwa sahv mwamba RAJABU anaitwa WARAKA WA PETRO 😀😀
Tweet media one
311
147
4K
@Eddo142
Eddo
9 months
Ndo Hadi kabadili rangi ya like na repost 🤔🤔
Tweet media one
43
182
4K
@Eddo142
Eddo
1 year
Picha ambazo wadada hawataki kuziamini au kuzipost😂...!!!
Tweet media one
59
217
3K
@Eddo142
Eddo
2 years
Wataalamu wa location, hapa ni wapii 🤔
Tweet media one
493
97
3K
@Eddo142
Eddo
13 days
MASTAA ENZI WAKIWA MOTO VS BAADA YA KUSTAAFU 😂🔥 Kumbe Kila mtu ni mnene aise 😂 Namba 6 na 12 ni huzuni sana 1. Ronaldo Nazario
Tweet media one
Tweet media two
48
106
2K
@Eddo142
Eddo
2 years
Simu kashikilia mwenyewe, anajirekodi mwenyewe, kakubali mwenyewe, lawama kwa wanaume 😀😀🚮
Tweet media one
305
101
2K
@Eddo142
Eddo
1 year
Huyu mtanzania wa mkoa Gani...!???🥱
Tweet media one
223
59
2K
@Eddo142
Eddo
1 year
Wakali wa location, hapa ni wapii kabsa...!!?
Tweet media one
647
134
2K
@Eddo142
Eddo
21 days
These players had no idea where their careers would take them. 🤯 A thread. 🧵 1. KANTE
Tweet media one
27
74
2K
@Eddo142
Eddo
11 months
Mwenyewe ile clip imeunganishwa ya goalkeeper wa arsenal katunguliwa goal la mbali na onana katuliza Kwa kifua pls naomba 😂😂
Tweet media one
54
72
2K
@Eddo142
Eddo
4 months
Tuone kama mzazi wako alipoteza ada, taja jina la huyu ndege Kwa kingereza 😂😂👇
Tweet media one
462
91
2K
@Eddo142
Eddo
2 years
Mganga wa manara Yuko mkoa gani kwani...!! Back to back hii 😂🙌
Tweet media one
127
84
2K
@Eddo142
Eddo
5 months
Himid Mao Mkami vs Hamnidai Mkome 🤣🤣
Tweet media one
Tweet media two
69
144
2K
@Eddo142
Eddo
1 year
Mwenye picha ya mayele akipewa kiatu cha ufungaji Bora kombe la shirikisho pls nisaidie Niko na kazi nayo...!!!
Tweet media one
40
40
2K
@Eddo142
Eddo
1 year
Oya mwenyewe clip ya hapa msaada pls, Niko na kazi nayo 😂😂
Tweet media one
36
48
2K
@Eddo142
Eddo
1 year
Nilikuwa wa kwanza kujua kuwa Farhan anaenda wasafi 😎🥳
Tweet media one
47
47
2K
@Eddo142
Eddo
11 months
Kwani hizi Picha za goalkeeper katoka kabla penalty kupingwa mnazitoa wapiii...!??? Mwenye clip naomba nione vzr, Jana nilikuwa naangalia kishabiki , sikuona 😂😂
Tweet media one
Tweet media two
142
110
2K
@Eddo142
Eddo
2 years
Kuna pisi Kali kuzid hii kwa ambazo zinacheza Mpira !!??🙌
Tweet media one
117
52
2K
@Eddo142
Eddo
22 days
Usiwe Bubu Unapokutana Na Mwanamke Kwenye Outing Zenu! Uliza Haya Maswali 16 Ili Kuendelea Kumvutia.. Kumbuka lugha ya mwili na sauti isiwe kama Afande anahoji Jambazi.. UZI
Tweet media one
129
404
2K
@Eddo142
Eddo
1 year
Nikikumbuka Bishara mara walikosa hela ya kwenda kucheza mechi ya marudiano na ndege zilikuepo nachoka 🤣💔
Tweet media one
156
103
2K
@Eddo142
Eddo
2 years
Naendelea kutoa elimu kwa first year, namna ya kufanya assignment nusu saa kabla ya kukusanya😂😎
Tweet media one
137
78
2K
@Eddo142
Eddo
11 days
KUMBE HAKIKA DAR NI TAMANIO LA KILA MTU WA MKOANI..!! 😀😂 WAKIWA MIKOANI VS BAADA YA KUFIKA DAR THREAD 😂👇 1. Sure Boy & John Bocco
Tweet media one
Tweet media two
47
78
2K
@Eddo142
Eddo
5 months
MUKOKO TONOMBE VS MKOPO TUOMBE 😂
Tweet media one
Tweet media two
76
178
2K
@Eddo142
Eddo
6 months
Na Hawa chipukizi wanalipwa mshahara...!?? 🤔
Tweet media one
177
56
2K
@Eddo142
Eddo
10 months
Short story thread 🧵 Sundaying 😁
Tweet media one
Tweet media two
32
96
2K
@Eddo142
Eddo
8 months
Moja ya watangazi waliofanya watu wengi kuanza kufuatilia matangazo ya mpira wa miguu bongo..!!!
Tweet media one
74
89
2K
@Eddo142
Eddo
7 months
Kuna kazi ya kuchora tattoo, then Kuna hii ya kupiga picha 😀🙌
Tweet media one
122
55
2K
@Eddo142
Eddo
2 years
Record breaker, atavunja record za hao mbuzi 🐐 wenu....kwa ufupi ndo upcoming GOAT 📌💪
Tweet media one
108
49
2K
@Eddo142
Eddo
10 days
SEMA KUNA MAJIJI NI YAKO NA VIEW KALI HATA KAMA PICHA IMEPINGWA NA DULLAH 😀 BAADHI YA PICHA ZA MAJIJI ZIMEPIGIWA ANGANI NAMBA 7 YA MOTO SANA 🔥 THREAD 🔥 1. Rovinj, Croatia 🇭🇷
Tweet media one
54
82
2K
@Eddo142
Eddo
1 year
Mwenye picha ya FEI ambayo inaonesha kaenda kusikiliza wito wa TFF, pls naomba nitumie 😇🙏🙏
Tweet media one
43
27
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Hi Senegal inamhitaji Sana sakho aise 😰😔
Tweet media one
79
51
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Kazi mliyonituma watanzania nimemalza salama, asanteni kwa support yenu🙌 NB; Kwan wao walikuwa wanataka kiatu gani 😂😂
Tweet media one
174
96
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Mbona wabongo kwenye comments ndo wanaumia Sana!!???
Tweet media one
75
55
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
36 years old vs 37 years old 🙄👇
Tweet media one
Tweet media two
55
73
1K
@Eddo142
Eddo
9 months
Aloo duchu anaishi 🙌🔥🔥
Tweet media one
64
57
1K
@Eddo142
Eddo
1 year
"Mheshimiwa waziri kusema kweli hizi Kodi zinatukondesha Sana "
Tweet media one
160
99
1K
@Eddo142
Eddo
8 months
Huyu mudau ndo anafaa kuwa mrithi sahihi wa kapombe pale Simba 🔥🤝
Tweet media one
95
58
1K
@Eddo142
Eddo
1 year
Wa kwanza kusikiliza ngoma ya Roma... Aise katisha sana 🔥🥱
Tweet media one
71
60
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Karani; Umesema uko na miaka 38 !!? Me; ndiyo Karani; kwahyo hapa ni kwako!?? Me: hapana n kwetu, wazazi wako kazini 😀👇
Tweet media one
92
125
1K
@Eddo142
Eddo
30 days
MIONGONI MWA DESIGN KALI KUWAHI KUTOKEA DUNIANI 🙌🔥 NAMBA 10 YA MOTO 1. GATE TOWER BUILDING IN OSAKA, JAPAN hapa flyover inapita katikati ya ghorofa 16, just imagne design hii 🙌
Tweet media one
28
113
1K
@Eddo142
Eddo
10 months
Chama tueleze Kwanini upost Aziz..!? Chama: Itakuwa ni mkude maana Yuko na password zangu
Tweet media one
57
77
1K
@Eddo142
Eddo
10 months
Onana ONANA 😂😂😩 Cheki video kwenye comment 🥱😂
Tweet media one
27
44
1K
@Eddo142
Eddo
7 months
Kumbe Uzi unakaa bhna 🔥🔥 Mwanzo tulikuwa tunaangalia na hasira za goal 5 tu 😂🙌
Tweet media one
74
86
1K
@Eddo142
Eddo
8 months
Kiungo Bora barani Africa 🔥
Tweet media one
34
46
1K
@Eddo142
Eddo
1 year
Kutana na mzee fikri, mtu wa kwanza kuwa na madeal mengi mjini, lkn hakuna deal hata moja ambalo lilifanikiwa kumpa hela 🤣🤣
Tweet media one
116
86
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Tukiwaambia muoe wasukuma hamtaki, ona mnakosa vitu vizuri😂😂
Tweet media one
107
76
1K
@Eddo142
Eddo
1 year
Ivi huyu jamaa ni nani na ni wa wap....!!? maana anatrend Sana na hizi picha zake za kulia😂
Tweet media one
141
75
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Enzi za seminary, Pale unapoenda kutubu kwa Padre ambaye ndo headmaster, kuwa ww ndo ulikunywa divai na mikate ya ekaristi😂💔
Tweet media one
59
71
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Ni pisi Kali sana pia inajua bolu balaa🔥😍🙌
Tweet media one
57
54
1K
@Eddo142
Eddo
10 months
SHORT STORY THREAD🧵 shuka nayo Mdogo mdogo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
54
118
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Simba leo wanaweka record ya kuzindua jezi saa tano then saa kumi jioni zinaisha.....watu kwenye foleni n wengi sana hapa vunja Bei dukani 😀😀
Tweet media one
86
108
1K
@Eddo142
Eddo
1 year
Super star kapiga Picha na super star....kwa kuangalia unahc Nan kaomba Picha 😂😂
Tweet media one
94
24
1K
@Eddo142
Eddo
1 year
Umeelewa Nini kwenye hii picha...!??😆😆
Tweet media one
37
40
1K
@Eddo142
Eddo
4 months
Ikiwa AFCON inafikia final Leo 11 Feb 2024 AFCON ilikuwa na pisi Kali kinoma 🔥🙌 THREAD 👇👇
Tweet media one
Tweet media two
64
65
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Mpe neno moja 😀😀😀
Tweet media one
277
48
1K
@Eddo142
Eddo
1 year
Kwa ushindani wa maneno na michambo ya Instagram Rayvanny Yuko vzr😂, Ila ki uhalisia kwenye mziki mwamba kondeboi Yuko mbali Sana 🙌
Tweet media one
111
86
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
If mbeya was a person....!!!😂👇
Tweet media one
171
108
1K
@Eddo142
Eddo
6 months
Dhambi Gani mwandishi anamaanisha....!?? 😂😂
Tweet media one
30
47
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Hata Kama tumefungwa Ila tuko na CEO mrembo mnoo 😀🙌
Tweet media one
118
45
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Huyu ndo mwamba Sasa, wakikaa kizembe weka wite, afu mrithi wa Mali zote ni ww🙌😀
Tweet media one
103
67
1K
@Eddo142
Eddo
11 months
Mzee wa kudele anakuambia za ndani kabsaa licha ya yanga kuweka viingilio vikubwa bado Simba day imeingiza mpunga wa kutosha kuzidi yanga...!!! Hii inamaanisha nn wakuu😂😂
Tweet media one
36
56
1K
@Eddo142
Eddo
1 year
Neno la kumshauri COSMAS kuhusu Hilo battle lake na dizasta..!!? 😂
Tweet media one
136
47
1K
@Eddo142
Eddo
8 months
Kuna Picha Kali ya mkapa stadium kuzidi hii...!??🔥
Tweet media one
27
77
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Comment chochote tu, Kama hauna retweet tu😂🔥🔥
Tweet media one
37
140
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Huyu mwamba Akienda YANGA naacha kushabikia mpira officially 😀✍️
Tweet media one
78
53
1K
@Eddo142
Eddo
1 year
Anaitwa Eddo camavinga, mwamba from TORONTO TABORA 🔥💪
Tweet media one
49
51
1K
@Eddo142
Eddo
9 months
Ni kitu Gani mwamposa hawez kufanya...!?? 🤔
Tweet media one
278
59
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
kawasili salama SUA 😂😂....
Tweet media one
114
98
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Kwanini couple nyingi za bongo zinaanzia ukubwani tu...!!?🙄
Tweet media one
85
49
1K
@Eddo142
Eddo
1 month
MSIMU UJAO 2024/2025 NAONA NI VITA YA KUTOA JEZI KALI TU 🙌 KILA TEAM IKIZINDUA UZI WAKE UNAKUWA WA MOTO Namba Tano ( 5 ) hutoamini 🙌 THREAD 👇 1. LIVERPOOL
Tweet media one
Tweet media two
17
53
1K
@Eddo142
Eddo
18 days
Ama kweli kumbe Duniani ni wawili wawili 🥱 Mastaa tofauti na picha za watu wanaofanana nao THREAD 🔥🙌 1. Ronaldo
Tweet media one
Tweet media two
30
52
1K
@Eddo142
Eddo
1 year
Wote wakisuka 🤣🤣 MWANZA VS ARUSHA
Tweet media one
Tweet media two
134
90
1K
@Eddo142
Eddo
11 months
Mazoezi ya kipa mpyaaaa wa Simba akiwa amaziba macho ni balaa anadaka🙌...!!! Video kwenye comment 🔥👇
Tweet media one
46
57
1K
@Eddo142
Eddo
1 year
Unaambiwa ukiachana na muziki, ZUCHU Ni mkulima anamiliki mashamba makubwa Sana huko Bagamoyo😂🙌
Tweet media one
60
70
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Tabora Saturday top view image😎🔥🔥🙌
Tweet media one
146
91
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Kwan wengine tumekosea wapiii....!??🤔🥺
Tweet media one
38
38
1K
@Eddo142
Eddo
1 year
Kwani Kuna Nini huko mtaani, wacha kiwake lkn tuone wapi panavuja 😄🤔
Tweet media one
42
30
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Itoshe kusema Simba day ndo sikukuu kubwa na yenye mvuto zaidi kwasasa duniani ,ndo world cup na UEFA zinafuatia 🙌🙌
Tweet media one
29
61
1K
@Eddo142
Eddo
1 year
Emu kuweni serious kidogo, huyu chino kipi cha maana kafanya mpaka aanze kupaishwa kiasi hicho...!?? Au mm ndo sifuatilii mziki 🥱🥱
Tweet media one
109
51
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Huyu mwamba tutampost Sana, inshort anajua mpaka anakeraaaaa🙌🙌
Tweet media one
25
56
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Unaambiwa Ile suruali ya MGUNDA inaletwa dar siku ya mechi, mechi ikiisha tu inarudishwa tanga 😂😂👇
Tweet media one
40
47
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Billion 7 zimelala hapo, na hapo limejengwa na wazalendo 😇🙌 Unasimama na Nani ..!!!??😂
Tweet media one
166
85
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Serena hotel ya singida😂😂...
Tweet media one
112
97
986
@Eddo142
Eddo
7 months
Zoom hiyo tattoo then nambie umeona nini...!!!??
Tweet media one
120
42
1K
@Eddo142
Eddo
11 months
Sema ukimtoa tundaman!!!!! Sizani kama Kuna msanii atakuja kutunga ngoma Kali kama ya Alikiba Kwa hizi team za bongo🔥
Tweet media one
20
61
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Respect your dady...!!☺️☺️
Tweet media one
44
109
972
@Eddo142
Eddo
2 years
Siyo kwa ubaya, Ila hii challenge ikifika Kilimanjaro na Arusha hatoboi mtu😂😂
Tweet media one
118
67
984
@Eddo142
Eddo
2 years
Ni kijana mdogo tu wa 2000( 21yrs ) soon anafika 22yrs....Ila kazi yake kubwa Sana 🙌🙌
Tweet media one
57
42
991
@Eddo142
Eddo
11 months
Just imagine uko hii ndo safu Yako ya ushambuliaji na 👉Chama 👉 Saidoo 👉 Miquissone 👉Onana 👉Kramo 👉Baleke 👉Phiri Hii Simba hii 🙌🔥
Tweet media one
53
66
999
@Eddo142
Eddo
2 months
Kama hujui mpira unaweza kuhisi Freddy hajui boli..!!! Ila shida Iko katikati ya herufi Q and R ( mara mbili )😂
Tweet media one
19
21
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Hawa ndo makocha Bora dunian kwa Sasa🙌 😀
Tweet media one
Tweet media two
36
63
973
@Eddo142
Eddo
1 year
Hatimae nabi kawaaga wananchi...!!!! All the best kwake, hatumdai 🙌
Tweet media one
24
33
1K
@Eddo142
Eddo
2 years
Ndoto ya kila backbencher enzi zake school 😂😂
Tweet media one
76
94
973
@Eddo142
Eddo
2 years
Au nirudishe tuanze upya kushindania🤔😂!!?
Tweet media one
68
51
938
@Eddo142
Eddo
8 months
First year wa SUA, bado ushauri wa wazazi home unafanya kazi 🔥🤣🤝
Tweet media one
56
75
962
@Eddo142
Eddo
8 months
Gwajima: nafuta jina la makonda KATIKA ulimwengu wa siasa 😂 Leo: makonda katibu mwenezi wa CCM 🤣
Tweet media one
81
46
956
@Eddo142
Eddo
2 years
Tukiwaambia sahv hii n GSM sports club hamtaki,angalia sahv hata logo ya YANGA haiwekwi ni mwendo wa GSM sports 😂😂
Tweet media one
135
61
917
@Eddo142
Eddo
1 year
Kiwenbe kimepita sana Kwa under 20 bhna 🤣😂
Tweet media one
62
39
943