Eagle's Eye Profile Banner
Eagle's Eye Profile
Eagle's Eye

@Eagleseye02

25,660
Followers
5,539
Following
1,573
Media
136,993
Statuses

Singer, Entrepreneur and Life Coach ❤❤ #letloverule #❤❤

Joined July 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Nyiiiiiiiieeeeee 👇😂😂😂😂
Tweet media one
262
118
2K
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Kuna maelfu ya watu wamekufa kwa Corona ajali pressure cancer malaria depression nk: lkn Mungu ameniacha hai sio kwsbb ya uzuri wala wema wowote bali ni kwa upendo wake mkubwa na mipango yake nami sina neno zuri la kushukuru zaidi ya kusema Asante MUNGU🙏 Happy Birthday to Me💜
Tweet media one
226
80
1K
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Jamani anaye juwa hii ni bible gani anijuze kwenye comments hapo tafadhali imenivutia kuisoma zaidi 🙏🙂😎
Tweet media one
112
102
811
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Ila watu wa malori hapana aisee @Ireneigora sijapenda hii tabia yenu 🙌😂😂😂😂😂😂
Tweet media one
53
71
816
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Ili kupata unachotaka unahitaji kuwa na ujasiri wa hali ya juu kukubali kukabiliana na kila kikwazo kinacho jitokeza kukuzuia usifikie lengo kwani vitu vyote bora na vya thamani havitoki mahali pa rahisi😎💪
Tweet media one
56
126
769
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Kuna vitu unaweza kuvichukulia poa kwenye maisha yako visikuletee madhara yoyote ila sio kupuuza suala la uhusiano wako na Mungu kufanya ibada na kumuhusisha kwenye mambo yako kuna mahali utakwama kwa sababu una vingi usivyo viona na wa kukuepusha ni Mungu pekee🙏 ❤️❤️❤️❤️❤️
Tweet media one
102
94
763
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Good morning vipenzi 🌻❤️❤️ Hatuishi kwsbb sisi ni wema sana sio kwsbb tuna nguvu ya kupambania uhai sio kwsbb tuna miliki chochote bali ni kwsbb mwenye amri ya mwisho juu ya maisha yetu ameridhia tuishi nami namshukuru kwa kuniongezea mwaka mwingine Happy Birthday To Me 🙏❤️❤️❤️
Tweet media one
261
110
735
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Kwenye hii dunia hakuna kitu ambacho ni kikubwa kuliko wewe ikiwa bado Mungu anaendelea kukupa uhai basi amini kuwa wewe ni mmiliki wa malengo yako ni suala la muda tu 😎😍
Tweet media one
49
56
712
@Eagleseye02
Eagle's Eye
3 years
Wanaumeeeeeee🙌🤣🤣🤣🤣 Kuna mwenzenu huku anapokea mahari ya mke wake kwa mzungu yeye kakubali kuwa Kaka mtu 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️😂😂😂😂😂😂😂
140
27
676
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Pambana upambanavyo ili kuboresha maisha yako ila usipuuze suala zima la wewe kumwabudu muumba wako kuna siri kubwa mno ya ustawi wa maisha yako imefichwa ktk ibada na kumcha Mungu iwe siku njema kwetu sote NAWAPENDA WOTE🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
105
93
687
@Eagleseye02
Eagle's Eye
3 years
Hakuna mwanamke anayejuwa kutafuta pesa ambaye hajui budget ukiona mwanamke wako matumizi yake hayaeleweki eleweki wee mpe idea ya biashara tu hata km ni ndogo sn akishaanza kuifanya utaona atakavyoanza kujuwa kwa usahihi matumizi ya lazima ni yapi na yasiyo ya lazima ni yapi😎😂
Tweet media one
145
63
671
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Wanaumeeeeee👇🙌😂😂😂😂
Tweet media one
62
33
653
@Eagleseye02
Eagle's Eye
7 days
Hello Dears ❤️ Hii week imezidi kunifunza maana halisi ya neno KILA HATUA DUA Alhamis nimemzika kaka yangu ambaye alilala J3 akiwa haumwi hata kichwa ila J4 hakuamka my dear kuna uzi mwembamba sana uliopo kati ya uhai na kifo usiache kufanya DUA kila wakati AMANI IWE NANYI🙏❤️
Tweet media one
147
106
681
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Usione aibu kumwabudu Mungu wako popote pale ulipo ktk hali yoyote na mazingira yoyote kwani yeye ndio sababu ya wewe kuwepo leo 🙏 iwe siku njema kwetu sote NAWAPENDA WOTE🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
92
51
629
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Kama huna sababu yoyote ya kukufanya umiliki hii kitu achana nayo kabisa maana hii dunia Ina watu wanakera kiasi kwamba wanaweza kukusababisha uitumie bila kupanga🙌🙌😎
Tweet media one
105
34
640
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Kwenye maisha unaweza ukapoteza kazi pesa biashara marafiki nk: lakini kamwe usikubali kupoteza Imani yako kwa Mungu anakulinda na vingi vibaya usivyo vijuwa siku sio nyingi kuna mtu amekiri kwangu namna alivyo hangaika kwa waganga juu yangu bila mafanikio🙌 Mungu yupo nyie🙏🙂❤️
Tweet media one
96
93
645
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Mche muumba wako ukiwa bado una nguvu zako una afya yako na akili zako timamu usisubiri mpaka maisha yakuvuruge uwe hoi ndio uanze kukumbuka kuna Mungu🙂 Tumche Mungu ndugu zangu na iwe siku njema kwetu sote NAWAPENDA WOTE🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
79
83
639
@Eagleseye02
Eagle's Eye
3 years
Jamani leo ni birthday ya Mama yng nisaidieni tu kumtakia heri na afya njema kwsbb kwa jinsi nilivyokuwa mtundu na mkorofi km sio yeye kuniombea kwa Mungu na kusimama kwenye nafasi yake kikamilifu km Mama leo nisingekuwa hivi nilivyo NAMPENDA SN MAMA YANGU HAPPY BIRTHDAY MAMA❤️❤️
Tweet media one
124
21
597
@Eagleseye02
Eagle's Eye
7 months
Good Morning Dears🌹❤️ Inawezekana unaamini ukiwa na pesa una kila kitu Nakukumbusha tu kuna ambao wamemalizia billions za pesa hospital kunusuru uhai wao na bado walikufa Mche Muumba wako Tenda Mema Ishi vizuri na Watu hiyo ndio kila kitu Muwe na siku njema NAWAPENDA WOTE 🤗❤️
Tweet media one
113
112
619
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Hukumu za wanadamu juu yako zisikufanye ujione huna thamani mbele za Mungu kwasababu anaye kujuwa vizuri na kuijuwa thamani yako ni Mungu pekee na yeye haangalii kama wanadamu waangaliavyo Jipende halafu mche Mungu iwe siku njema kwetu sote NAWAPENDA WOTE🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
78
63
582
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Hata kama huishi aina ya maisha ambayo ulitamani kuishi bado yakupasa umshukuru Mungu kwasababu hiyo kuishi tu ni moja ya baraka kubwa aliyo kupa Mungu IWE SIKU NJEMA KWETU SOTE NAWAPENDA WOTE 🤗❤️❤️❤️❤️❤️
Tweet media one
93
51
576
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Nilikuwaga siamini juu ya hili ila sasa naamini baada ya kusikia kwa masikio yng Dada m1 jirani ni pisi na nusu yaani siku za karibuni anaumwa umwa kila akipima anaambiwa U. T.I mara typhoid juzi akaamuaa apime wadudu si akakutwa nao anasema atahakikisha anaondoka na kijiji🙌😔
Tweet media one
135
42
570
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Wazazi wote mnakaribishwa🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️😂
Tweet media one
133
36
552
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Haijalishi una umaarufu mkubwa kiasi gani una cheo au mamlaka gani una nguvu gani au unamiliki kitu gani mwanadamu huna cha kumpa Mungu zaidi ya ibada tumche Mungu ndugu zangu 🙏 NA IWE SIKU NJEMA KWETU SOTE NAWAPENDA WOTE 🤗❤️❤️❤️❤️❤️
Tweet media one
74
63
556
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Kumsahau Mungu baada ya kukutendea mema ni kuruhusu adui zako wawe na nguvu juu yako hakuna kinga iliyo thabiti kwenye maisha yako zaidi ya Mungu haijalishi upo kwenye level gani ya maisha kamwe usikubali kuachana na Mungu🙏 Iwe Siku Njema Kwetu Sote NAWAPENDA WOTE 🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
104
94
565
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Kile unachokiona kwenye nafsi yako na imani yako ukitia bidii hicho kitakuwa chako👍🙂
Tweet media one
50
40
549
@Eagleseye02
Eagle's Eye
11 months
Kuna mdada anaweza kula pesa ya huyu kijana na bado akamwacha na maumivu ya kumcheat kwa kigezo cha pesa anayo mpa ni ndogo haikidhi mahitaji yake🙌🤔
Tweet media one
86
80
548
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Kama moyo wako haumjui Mungu kibinafsi kuwa na dini hakuna maana yoyote kwako😎❤️❤️
Tweet media one
83
36
519
@Eagleseye02
Eagle's Eye
11 months
Good Morning God's People🌹❤️ Mwache Mungu abaki kwenye nafasi yake kwako bila kuchagua nyakati wala mazingira kumtafuta Mungu saa umebanwa tu ni aibu😎 NIWATAKIE SIKU NJEMA MUNGU AWALINDE NAWAPENDA WOTE🤗❤️
Tweet media one
99
82
532
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Ila wanafunzi wa kisukuma jamani 🙌😂😂😂😂😂 shule yoyote aliyopo msukuma walipishwe ada tofauti na wengine🙌😂😂😂
Tweet media one
107
61
515
@Eagleseye02
Eagle's Eye
8 months
Good Morning Dears🌹❤️ Moja ya neema na baraka kubwa alizo kujalia Mungu ni kukupa nafasi ya kuendelea kuishi hata kama kuna unacho hitaji na hakija timia bado hakizidi thamani ya uhai usiache kumshukuru Mungu iwe siku njema kwako Mungu akulinde NAWAPENDA WOTE 😍❤️❤️❤️
Tweet media one
106
93
527
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Sio kila mwanamke anafaa kuwa mke na sio kila aliye zaa anaweza kuwa mama Mwanaume unapofikiri suala la kuoa mwombe sn Mungu akupe mwanamke atakaye kuwa mke mwema kwako na mama bora kwa watoto wenu hakuna kitu kitakuvuruga kwenye maisha km kuoa mwanamke asiye sahihi kwako 😍😍
Tweet media one
96
71
517
@Eagleseye02
Eagle's Eye
4 months
Hello Dears ❤️ Dini hutukutanisha waumini ila Imani humkutanisha mtu na Mungu hakikisha msingi wa Imani yako umeujenga kwa Mungu sio kwenye dini Muwe na siku njema NAWAPENDA WOTE 🤗❤️
Tweet media one
118
113
512
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Mimi huyu huyu tuwe tumefatana wawili wa3 nisirushe jiwe hapo labda sio mimi 😂😂😂😂😂
Tweet media one
86
27
483
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Mungu akiamuwa kukustawisha utastawi na kufanikiwa popote pale haijalishi mazingira yakoje wala kuna ugumu gani haijalishi nani anataka nani hataki kikubwa jifunze tu kumtanguliza Mungu ktk utafutaji wako ipo siku utaona miujiza yake iwe week ya baraka kwetu sote Mungu awe nasi🙏
Tweet media one
77
100
480
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Hello Dears I wish you a cheerful holiday with lots of fun and happiness Merry Christmas 🎅🤶🎄🌹WAPARE AIWAHUSU😂😂😂
Tweet media one
103
31
481
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Kama kuna jambo ulimwomba Mungu jana na hujapata majibu haimaanishi kuwa hawezi kukujibu leo au kesho ni suala la muda tu usichoke kumwomba wala usichoke kuwa na subira saa usiyo dhani wakati wa Mungu utatimia kwako🙏 iwe siku njema kwetu sote NAWAPENDA WOTE 🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
84
75
489
@Eagleseye02
Eagle's Eye
3 years
Kwenye maisha yako wapo wanaokupenda lkn sio km Mungu wanakujali lkn sio km Mungu wanakuwazia mema lkn sio km Mungu wanaweza kukupa vitu vya thamani lkn sio km Mungu Mungu pekee ndiye anayeweza kukufanyia hayo yote kwa ukamilifu wake bila kujali hali yako tumche Mungu🙏❤️
Tweet media one
76
41
485
@Eagleseye02
Eagle's Eye
3 years
Kuna kuoa kuna kuolewa halafu kuna kuoana kuna mtu anabisha?😎
Tweet media one
104
3
467
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Ikiwa una Mungu kwenye maisha yako haijalishi nani yupo kinyume na wewe au anaye kupinga ana nguvu kubwa kiasi gani kilichopangwa na Mungu kwako kamwe hakuna anaye weza kukibadilisha tumche Mungu ndugu zangu yeye pekee ndiye anaye tuwazia mema nyakati zote 🙏 NAWAPENDA WOTE🤗❤️❤️
Tweet media one
84
79
468
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Aihitaji elimu kubwa sn mtu kujuwa kwamba kumcha Mungu ni kwa faida yetu wenyewe hata km una kila kitu ambacho unahisi kinairidhisha nafsi yako mche Mungu tu kwsbb yeye ni zaidi ya kila kitu ulicho nacho🤗 Let Us Worship God And ❤️ #letloverule #❤️
Tweet media one
74
46
461
@Eagleseye02
Eagle's Eye
3 months
Wanaume hamjawai kukosa namna ya kuepuka vipengele vya kuwafunga uongo kwenu ni kama umekanyaga povu kwenye tiles shwaaaaa 🙌😂😂😂😂😂😂😂😂
Tweet media one
116
61
479
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Kutoka kwako asubuhi kwenda kutafuta ni jambo moja ila kurudi na riziki mikononi mwako unahitaji mkono wa Mungu ukupe riziki hiyo hivyo kila utokapo usiache kumtanguliza Mungu kwenye utafutaji wako🙏 ni mwezi mpya Mungu ametupa na ukawe wa baraka na neema kwetu sote🙏😍
Tweet media one
79
90
462
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Wanaume wa kibongo mna nini lakini? 👇😂😂😂😂😂😂
Tweet media one
46
33
461
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Hata kama unapitia magumu kiasi gani wakati huu usiache kuamini kwamba Mungu yupo anakuona anakusikia na ipo siku na saa ambayo atakujibu kama ameweza kukupa uhai hakuna anacho shindwa kukupa tumche Mungu ndugu zangu na iwe siku njema kwetu sote Nawapenda wote 🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
102
62
452
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Ukimpenda Mungu utajipenda ukijipenda utaweza kupenda wengine zimebaki siku chache tumalize mwaka epuka kuwa na kinyongo samehe walio kukosea sahau waliokuumiza kwani unahitaji kuwa fresh akili nafsi na moyo wako ili kuweza kukabiliana na mwaka mwingine atakaokupa Mungu🙏❤️❤️❤️❤️
Tweet media one
90
44
452
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Ukipata fursa ya kuaminiwa mahali jiamini halafu onyesha uwezo wako wote kitu kikubwa kuliko vyote usiache kuwa mwaminifu uaminifu ni kama master key hufungua kila mlango wa fursa mbele yako 👍😎
Tweet media one
50
76
453
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Dhiki zinazo kusonga kwenye maisha zisikufanye umpe mwanadamu mwenzako nafasi ya Mungu hakikisha Imani yako na matarajio yako makuu ni kwa Mungu aliye kuumba na kukupa uhai ni kweli tunategemeana lkn tusivuke mipaka tumsujudie Mungu pekee siku njema kwetu sote NAWAPENDA WOTE 🤗❤️
Tweet media one
101
66
440
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Usiangalie mafanikio ya watu wengine ukaanza kujihukumu kujidharau na kukata tamaa kuwa huenda ww hujaandikiwa kufanikiwa hata matunda yanayo zaliwa na mti m1 huwa hayaivi yote kwa wkt m1 kila moja huiva kwa wkt wake ni suala la muda tu mafanikio yako yapo kikubwa imani na bidii
Tweet media one
74
57
435
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Good morning vipenzi 🌻❤️❤️ Asubuhi ya leo nipo hapa kuwakumbusha kuwa mwisho mwema hauji kimiujiza mwisho mwema utengenezwa kwa mtu kumcha Mungu kufanya ibada na kuishi utu wema 🙏 Niwatakie siku njema Mungu awalinde NAWAPENDA WOTE 🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
94
72
446
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
From January to December kuna ndugu jamaa na marafiki tuliwapenda sn lkn leo hatunao sio kwsbb walikuwa wabaya klk sisi au sisi tupo kwsbb ni wema sn tupo kwsbb Mungu ameruhusu tuendelee kuwepo haijalishi tupo ktk hali gani tumetimiza malengo yetu au laah tumshukuru Mungu🙏🌹❤️
Tweet media one
91
30
434
@Eagleseye02
Eagle's Eye
3 years
Mahusiano ya watu wengi yameharibika kwsbb wanataka treatment za kwenye tamthilia wanazo ziangalia za kihindi kiphilipino kituruki na kikorea my dear Nakukumbusha tu you are Tanzanian 😂😂😂😂🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
68
34
435
@Eagleseye02
Eagle's Eye
3 years
Kuna siku miaka yako yote uliyo ishi pa1 na kila kitu ulichowahi kufanya vitaenea kwenye kipande kdg tu cha karatasi kitakacho somwa km historia yako mbele za umati wa watu kwa dkk zisizo zidi 5 hivyo tujiepushe na kiburi dharau na majivuno tuishi kwa upendo na Tumche Mungu🙏❤️❤️
Tweet media one
103
51
435
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Heri ya siku ya wanawake duniani💃Ujumbe wangu kwa wanawake ni huu ikiwa mwanaume uliyezaa nae ana matatizo jitahidi sana watoto wako wasiwe wahanga wa maumivu yako kwa kuwalisha sumu ya ubaya wa Baba yao acha wao wabaki wakijuwa nyie ni wazazi wao matatizo yenu yabaki kwenu🙏❤️
Tweet media one
72
74
442
@Eagleseye02
Eagle's Eye
10 months
Good Morning God's People 🌹❤️ Dua na ibada vitaikuza Imani yako kwa Mungu na Imani ikiwa kubwa mambo yako mengi yataenda kwa wepesi usiyatenge maisha yako na Mungu kwani yeye ndiye mwenye ratiba ya maisha yako 🙏 MUWE NA SIKU NJEMA NAWAPENDA WOTE 🤗❤️❤️❤️❤️❤️
Tweet media one
107
72
436
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Tunaishi kwenye dunia ambayo unaweza kumwongezea mtu damu ili asife ila akiishi anatafuta namna gani akuuwe, unamwinua aliye anguka akisimama anatafuta namna ya kukuangusha, unamfundisha mtu biashara akishaelewa anatafuta namna ya kuuwa yako ili biashara yake ishamiri 🙌🙌😎
Tweet media one
71
107
438
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Good morning Dears 🌻❤️❤️ Kama Mungu angekuhukumu kama wanavyo kuhukumu km angewaza km wanavyo kuwazia km msaada wake kwako ungetokana na maoni yao trust me usinge kuwa hivyo ulivyo leo😎 Hii inaonyesha ni kiasi gani Mungu anakupenda😍 Muwe na siku njema NAWAPENDA WOTE🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
104
65
433
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Vijana kuweni makini kwenye mishe zenu kuna jamaa ametema mate kwa nguvu zake zote akajuwa ametema mbali vibaya sana kumbe yamedondokea hapo kwenye ndevu tu😔🙌
Tweet media one
66
27
424
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Usimtafute Mungu kama mganga wa kienyeji kwamba una muhitaji saa umekwama tu saa mambo hayaendi saa umebanwa jumla ya maisha yako yote ni Mungu bila yeye huna ujanja kumcha Mungu hakuna msimu tumche Mungu ndugu zangu na iwe siku njema kwetu sote NAWAPENDA WOTE 🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
75
70
436
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Wanaume kama hamtaki kutupa hela mseme tu sio kututesa hivi🙌😂😂😂😂😂😂😂🙅‍♀️
Tweet media one
52
23
434
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Epuka kwa nguvu zako zote kufeki maisha kama kuna maisha flani unatamani kuyaishi yapambanie kwa nguvu zako zote ili uyaishi kiuhalisia maisha ya kuigiza yana gharama kubwa na yatakupotezea muda wa kujiishi wewe halisi mpambano uendelee ndugu zangu na Mungu atusaidie 🙏😍
Tweet media one
73
57
412
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Ili uweze kuishi kwa amani kwenye hii dunia iliyojaa kero na vurugu nyingi ili uwe na nguvu saa unapo jisikia unyonge ndani yako ili uwe na ujasiri wa kukabiliana pale unapokutana na magumu vifanye Dua na Ibada kuwa mhimili wako mkuu kwenye maisha hutojutia I LOVE YOU ALL GUYS❤️
Tweet media one
96
54
416
@Eagleseye02
Eagle's Eye
3 years
Wanaume ambao hamjaoa wote muuliwe kumbe yule dada aliye kuwa anatembea na bango la kutafuta mume mpk leo hajapata 😂😂😂😂😂😂😂😂
96
26
398
@Eagleseye02
Eagle's Eye
3 years
Na mimi najiuliza swali hilo hilo😂
Tweet media one
110
15
397
@Eagleseye02
Eagle's Eye
5 months
Hello Dears ❤️ Sali sana Jipende Jiheshimu Jali afya yako halafu furahiya maisha yako kwa kile anacho kujalia Mungu kila siku Muwe na siku njema Mungu awalinde NAWAPENDA WOTE 🤗❤️❤️❤️❤️❤️
Tweet media one
97
114
428
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Mheshimu Mungu Heshimu maisha yako Heshimu watu wako Heshimu kazi yako Heshimu kipato chako Kwani furaha yako haitoki mbali na hapo iwe siku njema kwetu sote NAWAPENDA WOTE🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
83
78
422
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Uhai ni zawadi jifunze kushukuru kwa sababu hata kama kuna unacho hitaji na unaona kimechelewa kiasi cha kukufanya usononeke ni kwsbb tu upo hai kisicho na uhai hakihitaji chochote hujapata ulicho taka ila amekupa alicho taka yeye (UHAI) SIKU NJEMA KWETU SOTE NAWAPENDA WOTE🤗❤️❤️
Tweet media one
83
57
414
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Ni heri utofautiane na wanadamu kwa kumtii na kumpendeza Mungu kuliko utofautiane na Mungu ili uwaridhishe na kuwafurahisha wanadamu ambao msaada wao una kikomo kwako tumche Muumba wetu kwani yeye ndiye ameishikilia hatma yetu IWE SIKU NJEMA KWETU SOTE NAWAPENDA WOTE 🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
93
54
399
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Mtajuwa wenyewe km hamwelewi nimechoka mimi😂😂😂
Tweet media one
57
26
398
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Kusema ukweli weekend km hivi nikishashibaga nyama napenda kuongea ukweli tu😎 Wanaume wote mnatafuta pesa kwsbb ya wanawake ukitaka kuwa na watoto ukiwa na nyumba yako nzuri ili ivutie ukiwa na ndinga yako kali sometimes ili uenjoy lazima awe amekaa mwanamke hutaki Meza Moto🤸‍♀️😂
Tweet media one
92
26
404
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Wanaume wengi wanapoteza maisha kwsbb wanapitia magumu mengi yanayo waumiza moyo kusononesha nafsi zao kuathiri akili hata hisia zao kwsbb wanadhani hawana mtu wa kumwelezea yale wanayo pitia tafadhali sn usiwe miongoni mwao hii dunia bado Ina mtu kwaajili yako usife kimya kimya
Tweet media one
78
74
386
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Usiidharau hiyo kazi yako ndogo unayo ifanya kwa sasa hata km unaona haieleweki haikidhi mahitaji yako sawa sawa au haikuonyeshi matokeo uliyo yatarajia narudia tena usidharau jitihada zako hapo ndipo kitovu na chanzo cha maisha yale unayotarajia kuishi baadae😍
Tweet media one
57
91
389
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Msije kusema sijawafundisha mbinu jamani hii ndio buster ya ubongo ya kukuonyesha njia za hela zilipo 🤸‍♀️🤸‍♀️😂😂😂😂😂😂😂
Tweet media one
59
32
382
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Usipo simama kwaajili yako mwenyewe watakufanya usimame kwaajili yao usipojituma utatumwa usipopambania ndoto zako watakutumia kufanikisha ndoto zao amka simama kwaajili yako mwenyewe hakuna mwenye uchungu na maisha yako zaidi yako bado una nafasi ya kuwa wewe💪😍
Tweet media one
60
96
389
@Eagleseye02
Eagle's Eye
5 months
Jamani hivi ni kweli karanga mbichi zinasaidia kupunguza uzito au najitesa tu?
Tweet media one
96
36
398
@Eagleseye02
Eagle's Eye
4 years
Maisha hayakupi kile unachotaka bali yanarudisha kwako kile unachotoa sahau kupata upendo ikiwa ww ni mtu unayetoa chuki sahau kupata furaha ikiwa ww ni mtu unayewasababishia wengine maumivu usitegemee kupata connection ikiwa ww una tabia ya kuwazibia wenzio njia za mafanikio🙂
Tweet media one
56
26
385
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Kumcha Mungu kunamtia mtu akili hata ya maisha haya ya kawaida tu tumche Mungu ndugu zangu ni faida kwetu iwe siku njema kwetu sote NAWAPENDA WOTE 🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
64
33
378
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Vile unavyo vihitaji visikusahaulishe vile ulivyo navyo ukakosa shukurani kwa Mungu ni kweli unavihitaji lkn usisahau kuna ulivyo navyo ambavyo wengine hawana amini tu km ulivyo navyo leo hukuwa navyo jana hata hivyo unavyo hitaji ipo siku Mungu atakupa I LOVE YOU ALL 🤗❤️❤️❤️❤️
Tweet media one
69
60
380
@Eagleseye02
Eagle's Eye
4 years
Hii dunia Ina kila kitu kwaajili ya kila mtu cha muhimu ni wewe tu kujuwa ukae kwenye angle zipi zitakazo kukutanisha na vitu vyako 🙂❤️
Tweet media one
60
13
374
@Eagleseye02
Eagle's Eye
9 months
Good Morning God's People 🌻❤️ Mwanadamu hana kitu chochote cha thamani anacho weza kumpa Mungu zaidi ya ibada tumche Mungu ndugu zangu 🙏 Niwatakie siku njema Mungu awalinde NAWAPENDA WOTE 🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
100
87
392
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Anayejuwa uhalisia wa maisha yako ni wewe na Mungu anayejuwa mahitaji yako kwa usahihi ni wewe na Mungu anayeweza kukutimizia haja ya moyo wako kwa ukamilifu ni Mungu hivyo basi usiache kuwa na uhusiano mzuri wewe na Mungu Tumche Muumba wetu ndugu zangu And 🤗❤️ #letloverule ❤️❤️❤️
Tweet media one
78
56
381
@Eagleseye02
Eagle's Eye
11 months
Wanaume wa bongo bwana sasa hii ni kitu ya kufanya uniambie niende kwetu 🤔😂😂😂😂😂😂😂😎
Tweet media one
102
33
383
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Asilimia kubwa ya walio tuzunguka wanatamani kuona tunaaibika tunashindwa tunalia tunafedheheshwa lakini Mungu anaaibisha tamaa zao kwa kututendea mema tumche Mungu ndugu zangu maana bila yeye tuna vingi vya kutudhuru kupitia wanadamu wenzetu siku njema NAWAPENDA WOTE 🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
84
61
374
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Wanaumeeeeee 🤸‍♀️🤸‍♀️👇😂
Tweet media one
133
24
356
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Hello Dears nimewamiss mno vipenzi😍 Niko hapa kukwambia hv usimtafute Mungu wkt ambao umebanwa tu mtafute Mungu wakati ambao bado unajiweza kwa kila kitu ili saa utakapo banwa Mungu akutafute wewe na kukusaidia IWE SIKU NJEMA KWETU SOTE NAWAPENDA WOTE ❤️❤️❤️❤️❤️
Tweet media one
71
35
366
@Eagleseye02
Eagle's Eye
3 years
Kila uamkapo asubuhi ni siku mpya na mambo yake ni mapya kabisa mipango ya Mungu kwako ni mipya pia nami namwomba Mungu atujalie sisi sote tabasamu mpya nguvu mpya na kila kilicho chema kipya kwani kwa nguvu zake hakuna kinacho shindikana MUWE NA SIKU NJEMA NAWAPENDA WOTE🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
70
20
361
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Kuna vitu tuna vigharamia kwenye maisha ili vitupe faida lkn tunajikuta vinatupa hasara ila jambo ambalo ukilifanya kwa gharama zozote zile na kwa moyo wako wote kamwe haliwezi kukuvunja moyo wala kukufanya ujutie ni kumcha Mungu tumche Mungu ndugu zangu And 🤗❤️❤️ #letloverule ❤️
Tweet media one
79
53
365
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Happy new year to everybody 2022 tumshukuru Mungu kwa kutupa kitu bora na cha thamani klk vyote (UHAI) nami namwomba Mungu awalinde awalinde awalinde rafiki zangu wote awajalie neema zake za kila namna afya uchumi biashara kazi kilimo ufugaji furaha amani upendo nk: NAWAPENDA❤️❤️
Tweet media one
75
35
355
@Eagleseye02
Eagle's Eye
6 months
Mwanaume ambaye upo kwenye kipindi cha kujitafuta usiogope kuitwa bahili usiogope kuambiwa maneno kama huna mapenzi ya kweli huna nguvu za kiume wewe nawe una jiita mwanaume una kibamia usiogope kuonekana mjinga wewe jitafute jipate jiimarishe halafu tulia ujionee mambo😎😂
Tweet media one
67
75
381
@Eagleseye02
Eagle's Eye
1 year
Ukinijibu hivi lazima nikuzabe hata kama nilikuwa nakuomba 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tweet media one
37
27
371
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Nyie vijana wa kisasa nyie mnao jiona mna akili sana kuliko Baba zenu nasemaje? Mtapigiwa sn tu na mtalea watoto wasio wenu sn tu hivi unamdate mdada anang'aa ananukia vizuri anakula na kunywa salon anaingia anavaa vizuri na huna unacho changia and upo busy kusema she is mine😂😂
Tweet media one
166
32
358
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Kama ningepaswa kushukuru mara elfu 1 kwa kuhesabu kila asubuhi ningefanya hivyo kwsbb kitendo cha kulala na kuamka kiukweli sijawai kukielewa kwamba nakuwa niko wapi ninakufa na kurejea pumzi au napoteza tu fahamu kisha zinarejea anyway niseme tu tumshukuru Mungu ndg zangu🙏❤️❤️
Tweet media one
75
35
350
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Kwenye haya maisha usiwe mtu wa ku focus tu kwenye matarajio yako na vile unavyo vihitaji wkt mwingine angalia nyuma uone umbali aliokutoa Mungu na mengi mazito aliyo kuvusha kisha umshukuru hii itakujengea ujasiri wa kujuwa kuwa hata yale unayo tarajia kwa nguvu zake utayapata❤️
Tweet media one
80
41
351
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Mmesema eti mnapendana ee😂😂
Tweet media one
86
16
350
@Eagleseye02
Eagle's Eye
3 years
Mche Mungu ukiwa bado na nguvu zako na afya yako na cheo chako na uzuri wako na fedha zako na hata km umezungukwa na shida mche Mungu kwsbb hajaruhusu zikuuwe usisubiri mpk mambo yaharibike ndio uanze kumtafuta Mungu iwe siku njema kwetu sote NAWAPENDA WOTE 🤗❤️❤️❤️
Tweet media one
59
22
355
@Eagleseye02
Eagle's Eye
3 years
Naomba nitoe siri 1 kati ya nyingi ninazo ongeaga na wanaume huko in box 80% ya wanaume wanasema hawawezi kuoa mwanamke anaye vaa nusu uchi kwsbb hawatakuwa na jipya la kuona lkn ikitokea mwanamke amepost kavaa nusu uchi likes zake na comment sasa hebu tuanzie hapo kwanza wanaume
Tweet media one
81
15
348
@Eagleseye02
Eagle's Eye
3 years
Mungu akulinde na wale wote wanaokuchukia bila sababu akuepushe na hila zote zinazo pangwa kwa siri juu yako ikawe week ya baraka amani na mafanikio kwetu sote NAWAPENDA WOTE❤️
Tweet media one
60
22
351
@Eagleseye02
Eagle's Eye
2 years
Mtu sahihi hakuchoki kila wakati yupo radhi kusahihisha kile kisicho sahihi kwako ilimradi tu asikupoteze vipi broo mnapendana au wewe ndio unapenda 😎😂😂 ifikie mahali sasa nioe ndevu zimezidi aisee 😎🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️😂😂😂😂😂
Tweet media one
86
26
351
@Eagleseye02
Eagle's Eye
4 months
Ni ushauri tu kama huna roho ya paka usiwekeze kwenye kilimo😂😂😂😂😂😂 mahindi imefika hatua hiyo sijui mvua imenyesha wapi huko imekuja maji moja hiyo mahindi yote yamebatizwa yana week sasa kila ukiangalia ni bahari 😂 kuna mzee mmoja tunapakana shamba leo kafa na pressure🙌
Tweet media one
104
73
367
@Eagleseye02
Eagle's Eye
3 years
Kila mtu anaweza akakuacha pindi utakapopitia kwenye wkt mgumu ndugu rafiki mpenzi wote hao wanaweza wakakukwepa lkn sio Mungu Mungu atakuwa na wewe kwenye kila sekunde 1ya pumzi yako hivyo hata km una watu unaowaamini sn ktk maisha yako hakikisha unamwamini Mungu kuliko yeyote❤️
Tweet media one
62
28
347