Naomy Profile Banner
Naomy Profile
Naomy

@CarenUswege

6,288
Followers
4,491
Following
565
Media
26,576
Statuses

watu hubadirika usibaki ulivo👊👊

Joined April 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@CarenUswege
Naomy
3 years
Moyo mzito sana leo, natamani nipate kazi niliyosomea hata kwa kipindi changu kifupi kilicho baki. Ni karibu miaka 20 darasan nimemsliza bado kazi sipati. Nahisi naweza kufa bila kupata kazi😭😭😭 maisha ni fumbo kesho yangu siijui
214
79
1K
@CarenUswege
Naomy
2 years
Kuna watu wanafikiri ni story ya uongo huyo ndo mtu niliye mtumia hela tarehe hiyo. Nilijinyima vingi hii hela inaniuma😭😭
Tweet media one
183
91
1K
@CarenUswege
Naomy
2 years
Leo nimeamka nina hasira, moyo unauma nahisi maumivu nachukia chukia staki kuulizwa chochote. Hata sjui nifanyeje nashindwa kujicontrol nina hasira za wazi na moyo unauma sana😭😭😭
309
35
965
@CarenUswege
Naomy
3 years
Ole wangu nikifurahi siku moja, siku sita nitalia wiki iishe. I'll never be in love again🙏🙏🙏
Tweet media one
204
31
874
@CarenUswege
Naomy
3 years
Asante Mungu, sasa nimetimiza miaka 30 nasema asante kwa safar hii umenirinda na kuntunza mengi nimeomba umejbu asante na naomba uendelee kua na mm siku zote na nnapokosea nisamehe ila staomba mume kwako tena ukmleta ntampokea aspokuja jna lako ltukuzwe. Happy birthday to me
Tweet media one
143
25
590
@CarenUswege
Naomy
8 months
Mwaka haukuisha vizuri kwangu na madeni ya Tin no ya biashara, lessen na Kodi ya pango la biashara na nyumba ya kuishi. Vimefanya niishie hivi Sina tumain la kuendelea nawaza kufunga ila nikipata hiyo 500000 ntaendeleza biashara yangu maana sjavuka na deni nililipa yote🙏🙏🙏🙏
@IdrisSultan
Idris
8 months
Sijui umeanza vipi mwaka ila natamani nikusaidie kuuboresha zaidi. Naomba nikupe 500,000/=, nioneshe biashara yako ilipofikia na ungependa kufanya nini zaidi. Mwenye comment yenye most retweets (nahesabu kama ndo kura za wananchi) kabla ya 07:00am Ijumaa, atapata haki yake.
515
408
2K
37
486
533
@CarenUswege
Naomy
8 months
Sjui niseme nini, Asante ni neno linalotoka moyoni pamoja na machozi, nawashukuru sana🙏🙏🙏
Tweet media one
31
76
467
@CarenUswege
Naomy
8 months
Nimepokea michango inayoingia kwenye AC yangu nashindwa kuposti kwaajili ya heshima za watu ila atakaye niruhisu mi ntapost Asanten sana 🙏🙏🙏🙏 Asante sana
14
48
359
@CarenUswege
Naomy
3 years
Ilimradi sibebwi🙈🙈🙈
Tweet media one
66
9
343
@CarenUswege
Naomy
3 years
Msaada jamani hivi inatakiwa utendwe mara ngap ili uuambie moyo stapenda tena, 🙆🙆🙆🙆🤦🤦
61
17
317
@CarenUswege
Naomy
2 years
Hata sasa bado wewe ni MUNGU wangu. Nashukuru kwakua unaendelea kua na mimi, pamoja na yote uko na mimi siku zote. Asante kwa mwaka mwingine kwangu. Happy birthday to me🎂🎂🎂🍽🍽🍷🍷🍹🍹
Tweet media one
61
30
317
@CarenUswege
Naomy
1 year
Mungu we unajua🙏. Tunaweka 🤣 mahari ilitakiwa😭😭 ili maisha yaendelee. Mlale salama🙏🙏
Tweet media one
109
12
329
@CarenUswege
Naomy
1 year
Nashindwa kujibu jaman ila ilianza hiv
Tweet media one
89
8
325
@CarenUswege
Naomy
1 year
Sema kuna vingi sana tunaforce, just imagine uko kwenye mahusiano na mtu. Unamwambia naumwa, hata haulizi unaumwa nini anasema pole. Anakuja kukutafuta baada ya wiki😂😂. Unataka kujua kama nimekufa🤔🤔🤔
74
35
314
@CarenUswege
Naomy
3 years
Yaya mwenye degree nawatakia asubuhi njema, 😍😍😍😘😘
Tweet media one
36
9
269
@CarenUswege
Naomy
2 years
Nta retweet na kucoment biashara za humu ila kununua no no nasema no😫😫 nimepigwa 55000 na mtu msimu huu, najua unaona hiyo hela inaniuma nikiikumbuka mpaka mwili unauma bas. Hujui tu napata pesa kwa tabu kiasi gani na kwa maumivu yap ila sawa najua ipo sku utalipwa sawa sawa 🙏
60
25
282
@CarenUswege
Naomy
1 year
Tunahisi hatujibiwi maombi sababu tunaomba tunavyovitaka na MUNGU anatupa tunavyostahili. Niwatakie sabato njema😘😘😘
Tweet media one
20
16
284
@CarenUswege
Naomy
3 years
Twitter mapishi ukizidisha chumvi unatakiwa uweke nin ipungue🙋🙋
49
5
252
@CarenUswege
Naomy
2 years
Happy girlfriend day my love si unajua ninavokupenda😘😘
Tweet media one
11
7
268
@CarenUswege
Naomy
3 years
Tumebaki tusiku sjui tuwili sjui tutatu ifike birthday yangu🎂🎂 na kitakachopunguzwa kitapunguzwa tu sababu bado hikijapata suruhu. Hatuta kata 🎂 naisubili kwa hamu sana😍😍
Tweet media one
32
8
254
@CarenUswege
Naomy
1 year
Siku zetu wanadamu si nyingi sana. MUNGU tufungue fahamu tujue kuhesabu siku zetu. Pumzika kwa Amani rafiki yangu😭😭😭😭😭😭
Tweet media one
40
12
259
@CarenUswege
Naomy
1 year
Asante Mungu 1+🎂🎂
Tweet media one
72
34
250
@CarenUswege
Naomy
1 year
We mvua tulia kidogo sjauza hata mia leo😭😭😭
Tweet media one
18
8
242
@CarenUswege
Naomy
8 months
Habari ya jioni na wengine habari ya ibada kwangu ni nzur, natoa shukrani zangu za dhati Kwa michango yenu Ile hela nimeitoa na na nimenunua vitu. Huu ndio muonekano mpya wa duka langu. Asanten sana 🙏🙏🙏🙏 @nyuki_malkia
53
71
245
@CarenUswege
Naomy
2 years
Najuta kutoka leo bora ningelala tu leo😭😭😭😥 najuta najuta tena najuta
21
17
218
@CarenUswege
Naomy
3 years
Mwili wangu hata sio mzito kwahiyo hizo kelele za pungua kidogo sjui punguza kula staki sjaomba msaada wa kunibeba
Tweet media one
38
8
214
@CarenUswege
Naomy
3 years
Baba, Utubariki tutokapo na tuingiapo 🙏🙏. Asubuhi njema
Tweet media one
8
21
214
@CarenUswege
Naomy
1 year
Shukrani zangu kutoka moyoni kwa watu wangu wa nguvu. Nimepata wateja kutoka humu, wengine wa mchele, wengine mafuta na wengine vyote Mungu awabariki mpate zaidi ili mje tena🙏🙏🙏🙏
Tweet media one
22
43
210
@CarenUswege
Naomy
3 years
Maisha ni furaha na huzuni, niko na homa kidogo
Tweet media one
42
8
190
@CarenUswege
Naomy
3 years
Naomy
Tweet media one
22
10
184
@CarenUswege
Naomy
3 years
Linda sana moyo wako kuriko yote ulindayo. 🛐🛐
Tweet media one
33
16
176
@CarenUswege
Naomy
2 years
Kwa namna nilivoikosa hii kazi tena niliitegemea na nimetumia na cost kabisa. Nikihesabiwa ni labda waje na mwanajeshi🙏🙏
51
16
186
@CarenUswege
Naomy
2 years
Nimenunua dawa ya panya ni wiki sasa natega wanakula hawafi mpaka nataka nilambe nione kama ni sumu.
36
16
174
@CarenUswege
Naomy
2 years
Jaman nisaidien mtoto wa baba angu mdogo huyu. Mi mawazo yangu kama ya mzee tu maana nikweli kabisa, wafipa wanasema mwasoma sana mwapata chani?
Tweet media one
73
7
169
@CarenUswege
Naomy
2 years
Ila nyie watoto wa chuo🤣🤣🤣 wanabuni namba za watu wanapiga wanatafuta wanaume watoto wenye cheti nyie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
23
10
155
@CarenUswege
Naomy
3 years
Aliyekufa hajui lolote, ila tulio hai tunajua ipo siku tutakufa. Salimia watu vyote vitabaki🙏🙏
15
13
150
@CarenUswege
Naomy
8 months
Natumain mmeamka salama, Asanten tena Kwa michango yenu Mungu awaongezee mlipo punguza .🙏🙏🙏🙏 Kiasi kilichopatikana mpaka sasa ni hiki
Tweet media one
9
40
156
@CarenUswege
Naomy
1 year
Zile Ada miaka mitatu ya chuo niligawa kwa wavaa suti, saiz hicho ndo cha mchana😥😥
Tweet media one
12
7
148
@CarenUswege
Naomy
1 year
Najiuliza kwanini watu wengi wakikutana na mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 30 hajaolewa swali la kwanza hua, Au una wakataaa🤔🤔🤔 ivi hua hakuna sababu nyingine ni hii tu
Tweet media one
40
6
148
@CarenUswege
Naomy
2 years
Nikiwa chuo rafiki yangu aliniambia. Usikate tamaa hakuna mtu amewai kusoma akamaliza akazeeka na kufa bila kupata kazi ila sasa, najiona mimi🤥🤥🤥
Tweet media one
13
15
144
@CarenUswege
Naomy
3 years
Sabato njema, hiyo picha imepigwa miguu💃💃💃👯
Tweet media one
10
4
138
@CarenUswege
Naomy
3 years
Mwenzio sipiginagi mwenyewe ninapiganiwa na baba. Asubuhi njema
7
9
138
@CarenUswege
Naomy
2 years
Usitafute kupendwa na watu wote, omba Mungu akupe roho ya uaminifu na kukubalika na yeye tu.
Tweet media one
11
12
140
@CarenUswege
Naomy
2 years
Inatosha sasa nirudi kwa uswege sikuua mim🙆🙆🙆
14
2
131
@CarenUswege
Naomy
2 years
Ukweli ni kwamba nimechoka hii kazi, 24/7 working mshahara nashindwa hata ku save😭😭😭 Mungu lini, nilijua laki ni hela na naweza kutunza ila do hata giza silioni tena kiufupi nataman kuacha kazi ila sjui pa kuanzia
Tweet media one
28
11
128
@CarenUswege
Naomy
2 years
Wakikwambia hawaoni unachofanya waambie hufanyi kwaajili ya vipofu
6
10
131
@CarenUswege
Naomy
2 years
Neema na iwe kwenu na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo. Niwatakie asubuhi njema na kazi njema
7
4
124
@CarenUswege
Naomy
2 years
Mtembea bure katika one & two
Tweet media one
12
6
127
@CarenUswege
Naomy
3 years
Ukihisi umeachwa na watu wote🙇🙇. Kumbuka Mungu bado yuko na wewe
13
13
119
@CarenUswege
Naomy
2 years
Niko tayari kujitolea sasa. Mkiskia sehem wanahitaji mhasibu niambien ila iwe ndani ya hii mikoa. Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma Rukwa na Katavi🙏🙏🙏
11
11
126
@CarenUswege
Naomy
8 months
Asante sana Kwa maono Yako. wapo pia walionishika mkono kupita wewe na Kiasi kilichopatikana ni 482,183 kwenye hii pesa nilikua na Senti tu. Waliochangia ni wengi mno naomba unisaidie kushukuru pia kama utaweza.
Tweet media one
@IdrisSultan
Idris
8 months
Mbali na hayo haimaanishi biashara nyingine hazina uhitaji ila hatuwezi kuwawezesha wote kwa wakati mmoja. Nashawishi wengi wenye uwezo hata kidogo tu, wafuate na kuendelea tulipoanza. Tunapowasema sana vijana tuwape na uwezo wa kujirekebisha sasa. Huu ni mwanzo 😊🙌🏽
22
40
374
7
25
131
@CarenUswege
Naomy
9 months
Toka 2008 mpaka Leo hata nikiamshwa saa nane usiku nataja namba yake mwanzo mpaka mwisho bila kukosea😔😔😔 najaribu kufuta imegoma, miaka kumi na kidogo 😔 naifutaje🙆🙆😭
26
14
131
@CarenUswege
Naomy
1 year
Shetan alipoona wengine hawataki kubeti, akawaletea matako
Tweet media one
21
9
123
@CarenUswege
Naomy
8 months
Sina neno zaidi ya Asante MUNGU awabariki mno 🙏🙏🙏🙏.
Tweet media one
6
32
121
@CarenUswege
Naomy
3 years
Kaza mwendo jipe moyo, yadunia yanapita. Good morning dear's
13
7
109
@CarenUswege
Naomy
1 year
Mi nilijua hiki kidogo changu mi naye ila kumbe ya starehe mbele, akaenda zake na mpenzi wake dar. Sema ninacho shukuru mpaka hapa hamna hata mia yake. Ntafika tu usjali🙏🙏🙏🙏
Tweet media one
14
12
116
@CarenUswege
Naomy
3 years
Litatoka wap tena😥😥😥
Tweet media one
12
1
108
@CarenUswege
Naomy
1 year
Maisha, unawai ofisin unaambiwa mhusika hayupo subili, unasubiri toka saa moja masaa matatu mtu haji. Sema nina karoho kadogo sana huyo mtu nikimuona naweza anza kutoa machozi bila kupigwa🚮🚮😫😫🤦
7
9
114
@CarenUswege
Naomy
2 years
Uwe na asubuhi njema
Tweet media one
10
14
110
@CarenUswege
Naomy
3 years
Jaman my account iko na shida kwa mnaojua hao watu niliowafollow wameenda wap? 😭😭😥😥😭😢😢 nafanyeje jaman
17
0
101
@CarenUswege
Naomy
2 years
Umefunga na kujinyima mwezi mzima arafu leo unamaliza kwa kujipongeza na boy/girl wako🤣🤣🤣 ndugu yangu wewe na yuda tofauti yenu nin?
20
15
108
@CarenUswege
Naomy
3 years
Marko 12:29-31 naomba usome kwa mda wako leo si nukuu. Naikaza imani yangu kuwapenda wote ila usitumie kama udhaifu ili unitese🙏🙏🙏🙏
9
10
97
@CarenUswege
Naomy
3 years
Undugu sio damu moja undugu ni ______?
24
2
101
@CarenUswege
Naomy
3 years
Yaan usiku umeanza kua mzur🤣🤣😂 kuna blue tick imeanza kunifollow na hii sio ya kwanza🙋🙋🙋 furaha imekuja ghafla😍😍😍
12
3
98
@CarenUswege
Naomy
3 years
Ukiamka salama cha kwanza au cha asubuhi shukuru Mungu mengine waachie wazungu🙋🙋🙋, mmeamkaje
13
6
103
@CarenUswege
Naomy
7 months
🙏🙏🙏🙏
Tweet media one
13
17
111
@CarenUswege
Naomy
3 years
Because he lives i can face tomorrow. 🤣🙈it's all most 29 years ago💪💪💞💞. He holds the future
Tweet media one
10
9
96
@CarenUswege
Naomy
10 months
Hakuna siku inawai kuisha kama jumapili ukiamka tu tayari jion hii hapa. Kazini kumekucha😭😭
11
10
106
@CarenUswege
Naomy
3 years
Jaman kuna mpira kweli au nimepigwa🤔🤔🤔🙄 eti unaisha saa saba
16
4
99
@CarenUswege
Naomy
2 years
Tamaa iongozwe na akili, vinginevyo kuna kitu kitaumia zaidi kwenye maisha yako. Asubuhi njema
8
9
98
@CarenUswege
Naomy
2 years
Nampenda ila sio mwanamke wa hadhi yake acha nizidi kuumia😥😥😥
13
5
96
@CarenUswege
Naomy
3 years
Sema saiz napitia wakati mgumu wa kuamka saa 11, lweli nilizoea vibaya
11
5
88
@CarenUswege
Naomy
2 years
Mwanzo mgumu. Please rt my pinned post mdogo wangu apate simu
Tweet media one
9
26
97
@CarenUswege
Naomy
1 year
Happy Sabbath.
Tweet media one
8
8
103
@CarenUswege
Naomy
3 years
Kuna wakati tujue kuna kutegemeana upo hapo sio kwaajili yako peke yako kuna watu nyuma na mbele yako. Jua kushukuru, kusamehe na kusahau. Nawatakia asubuhi njema😍😍😘
10
5
91
@CarenUswege
Naomy
11 months
Nahitaji nikonde Kwa gharama zote kama inawezekana naombeni muongozo
48
7
103
@CarenUswege
Naomy
3 years
Mi tukiachana nasahau kabisa hata sura yako ila sio kumsahau saul huyu mtt wa mtu huyu mganga aliyemtumia 🙆🙆🙆🙆 sjui karibu miaka 10 ila nashindwa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
15
5
86
@CarenUswege
Naomy
3 years
Angarau sasa hii homa ya kuvimbishana miili shida kwel, 🙏🙏🙏 asante Baba
Tweet media one
9
2
83
@CarenUswege
Naomy
8 months
@IdrisSultan Asante sana kupitia hili Kuna watu wamenichangia Toka Jana Kiasi hicho, Ubarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏🙏. Nitapambana kukuza biashara yangu Asante sana
Tweet media one
@CarenUswege
Naomy
8 months
Mwaka haukuisha vizuri kwangu na madeni ya Tin no ya biashara, lessen na Kodi ya pango la biashara na nyumba ya kuishi. Vimefanya niishie hivi Sina tumain la kuendelea nawaza kufunga ila nikipata hiyo 500000 ntaendeleza biashara yangu maana sjavuka na deni nililipa yote🙏🙏🙏🙏
37
486
533
1
26
94
@CarenUswege
Naomy
3 years
Maneno ya kitoto mtumzima kumwambia mtu mzima mwenzie ni dharau.
Tweet media one
4
4
93
@CarenUswege
Naomy
3 years
Sukuma mpaka kitu kitoke💪💪💪
17
3
91
@CarenUswege
Naomy
1 year
Hakuna haja ya kua kwenye mapenzi na mtu ikiwa unapohitaji uwepo wake ye yuko busy, kua single sio raha ila kuna wakati ni bora ili kujipunguzia stress. Asubuhi njema
Tweet media one
22
9
91
@CarenUswege
Naomy
3 years
Unaowaamini na kuwatetemekea ndo hao wanaotaka usifanikiwe kuwazid jitambue🙅🙅 jitambue
13
20
86
@CarenUswege
Naomy
3 years
Kwakua hua sitamani kulala na jambo, nyakati kama hizi ndo hua namic mtu anipigie nilie sumu itoke but so sad hayupo
19
3
81
@CarenUswege
Naomy
3 years
Ukianza na Mungu katika kila jambo utabarikiwa utokapo na uingiapo🙏🙏 Asubuhi njema
13
11
82
@CarenUswege
Naomy
2 years
Happy birthday july wetu
Tweet media one
8
12
89
@CarenUswege
Naomy
3 years
Akawaambia, Msiniite Naomi niiteni Mara,kwa sababu Mwenyezi Mungu amenitenda mambo machungu sana. Asubuhi njemaw
10
4
79
@CarenUswege
Naomy
3 years
Unapambana peke yako sawa, ila kuna group liko nyuma linasubili matokeo na hulion kwa sasa
5
12
81
@CarenUswege
Naomy
3 years
Tunaumizwa na tunaowapenda tunawaumiza wanaotupenda. Love ni kizunguzungu
14
13
88
@CarenUswege
Naomy
2 years
So sad, 😥😥 watoto mtaani wanenda kupotea Mungu ingilia kati watoto darasa la tatu hadi sita wako saba wakike 3 wakiume 4 wanaingiriana kibaya zaidi hadi kinyume cha maumbile tunaenda wap jaman jaman na yanafanyika nyumban wazaz wakiwa kutafuta wamejiachia wakijua niko kazin😭😭
16
4
84
@CarenUswege
Naomy
3 years
Ukijifunza kutafakari zaidi utapunguza maumivu🙏🙏
5
12
83
@CarenUswege
Naomy
3 years
Happy men's day kwenu wanaume wote mnaojielewa sjui niwataje🤔🤔🤔🤔🤔🤔
12
4
84
@CarenUswege
Naomy
3 years
Jivunie vile unavopambana. Sabato njema.
10
14
86
@CarenUswege
Naomy
2 years
Aje mmoja wa kuongea naye na mwingine wa kumuongelea😘😘
6
2
83
@CarenUswege
Naomy
3 years
Mmeamkaje?🤷🤷 Hamjambo? Uzima upo? Je ww umekumbuka kusali kabla hujatika kitandan
6
2
81
@CarenUswege
Naomy
2 years
Tl madaktari maskio yangu yanauma usiku umekua mgumu sana kwangu, nisaidieni dawa😭😭😭 yanakua kama yanaziba naskia kwa mbali arafu ngoma ya sikio inauma🙏🙏🙏🙏
Tweet media one
20
5
78
@CarenUswege
Naomy
3 years
Usingizi ni nusu ya kifo kuamka, salama ni kazi ya Mungu
9
3
81