bob mello Profile Banner
bob mello Profile
bob mello

@Bobmellotz

2,556
Followers
613
Following
757
Media
54,067
Statuses

Joined May 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Bobmellotz
bob mello
1 year
hapa ndo nilijua kwanii Mayele akitetema watu wanakasirika ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ jamaa aliniboa sana anachezaje hvyo kama makomando
Tweet media one
43
49
454
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Hv mabint dakika zenu huwa mnampgia nan , mtu anakpgia hlf utaskia nipigie anakata simu leo ameyakanyaga sipigi simu๐Ÿค”๐Ÿค”
41
70
309
@Bobmellotz
bob mello
1 year
pale unaposikia watu wakipiga makofi na vigelegele kwa jirani unapochungulia unaona ni mtoto wako anaambiwa cheza tukupe chai ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
38
31
287
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Ukisikia kwenye kikao mtu kaongea kauli hii "mimi yangu ni hayo tu "oyaa jua suala lako limekwama ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
32
48
243
@Bobmellotz
bob mello
1 year
jana ndo nilijua kazi ya zile filimbi wanazokuwa nazo wadada Club๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜aisee kazi yake nzuri mno ,
24
33
182
@Bobmellotz
bob mello
1 year
mtu kapewa utelezi kakosa sehemu ya kwenda kuushughulikia , getho hana hela ya chumba nayo hana ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜hii bahati kwann isiwe...
27
37
182
@Bobmellotz
bob mello
1 year
zamani nilikuwa najua uongo kmbe kweli bhn mama mjamzito akijifngua mtoto wa kiume Mkunga aliyekuwa anamhudumia anapewa posho ๐Ÿ˜๐Ÿ˜oyaa wanaume kuhonga tumeanza muda
20
42
159
@Bobmellotz
bob mello
1 year
ukiwa na hela bhn nmeamka nmeshiba tu sina hamu na chai enye weyi ntakula zangu mchana tu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
24
56
144
@Bobmellotz
bob mello
1 year
kama hujazaliwa Dar ,Mwanza ,Arusha ,Dodoma , Mbeya na Tanga na mpaka sasa upo hko ambako cjapataja mpwa ww haupo Tanzania tusifichane tu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
24
37
144
@Bobmellotz
bob mello
1 year
ukivka miaka 40 ndg yangu sahau kuhusu utajiri ww ishi ukisubili kifo tuu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
40
43
140
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Twitter kisomo taja jina la Philosopher anatokea India alihalalisha viboko viendelee kwa wanafunzi ,kama kweli ulikiwa unasoma GS au ulikiwa unasinzia tu kwenye kipindi baada ya uji ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
20
31
139
@Bobmellotz
bob mello
1 year
kwa uzoefu wangu ukiktana na binti mtandaoni anajiita Bad Girls ,Pisi mbovu huwa na mademu wakali balaa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ila hawa miss cjui nn ooooh hakna kituuu
20
40
132
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Namna ya kucheza na katoto ka kambo๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Tweet media one
30
52
130
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Ukiwa huna hela punguza wivu kuna mwenzenu kazimia huku ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
16
30
126
@Bobmellotz
bob mello
1 year
ukiwa na hela bhana unafiti kwenye mfumo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Tweet media one
26
39
123
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Wazazi na Walezi tuwe makini na watoto wapunguze michezo inayowapotezea muda piah tuwapunguzie kazi maana hapana haya matokeo sio mazuri
Tweet media one
16
41
124
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Kumbe kupanda ndege kuna raha hivi naona hadi miti kiufupi nafanya utalii nikiwa juu ya mwewe
Tweet media one
28
43
119
@Bobmellotz
bob mello
1 year
yaan leo kupendeza tu nmeenda sehemu nimeambiwa karibu mtumishi nikahudumiwa chapu kwa haraka kmbe watmishi wanafaidi bhn ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
13
38
115
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Wenzako wanapambana kutafta pesa ww unafungua Parody lako ili kuwalia nauli , oyaa shitukeni wapwa๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
15
36
115
@Bobmellotz
bob mello
1 year
nadhani kupitia Morocco tumejifnza kitu ,ukianza kupata mafanikio punguza dharau kwa wengne , kuna watu maombi yao yanasikilizwa haraka sana๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Tweet media one
18
26
117
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Kasema kipigo walichokipata France wao kama Bayern watakilipiza kwa Barcelona ๐Ÿ˜๐Ÿ˜hawa watu na Barcelona ugomvi wao ulianzia wap
Tweet media one
12
28
113
@Bobmellotz
bob mello
1 year
nyie haya mapenzi bhn kuna mtu hapa kalala barabarani agongwe na dinga afe kisa kaachwa na sisi tumemuacha tuone mtu anayokata roho๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
18
48
110
@Bobmellotz
bob mello
1 year
content ni mistari miwili tu kama huwezi jua ulifeli uandishi wa simu za maneno ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜rudi shule
12
26
105
@Bobmellotz
bob mello
1 year
twitter kisomo taja corruption 5 ambazo zipo official nchini ,na pia wanafunzi wanafndishwa mashuleni kama GS ulielewa au kwako ulitaka "S"๐Ÿค”๐Ÿค”
15
42
104
@Bobmellotz
bob mello
1 year
kaniomba 10K namm akiba nna 10K ile kauli ya wahenga "wema usizidi uwezo" imenijia hapa bora lawama kama ananiacha aniache tu๐Ÿค”๐Ÿค”
26
44
102
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Dalali wa mademu wa kaunta kwenye Club kazi yake anaifanyaga sawa sawa ,naomba hyo hyo atumike kuleta mabeki3 ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
15
30
100
@Bobmellotz
bob mello
1 year
oooh mm masomo 7 ndo yangu Art pure haya swali la kfngia mwaka "why African resistance" ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
17
47
100
@Bobmellotz
bob mello
1 year
nawatakia usiku mwema ila sitalala ntakuwa namalzia kipengele flani hv ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
25
39
99
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Wapwa tuendelee kuupga mwingi nifollow @Bobmellotz naisaka 2K , Good Morning
35
42
93
@Bobmellotz
bob mello
1 year
mtu anakpgia simu kukuulza kama umekula , kwan mm cjui afya yangu , ndio sijala mpaka sasa na natambua nn nafanya sitaki kuwa bonge๐Ÿ˜๐Ÿ˜
18
40
91
@Bobmellotz
bob mello
1 year
wadada mliokja na madela club siku ya Xmas naomba na kwenye mkesha wa mwaka mpya mje nayo maana mnaturahisishia kazi๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
13
32
90
@Bobmellotz
bob mello
1 year
no body iz perfect , i am a no body so i am perfect , Good Morning
21
39
91
@Bobmellotz
bob mello
1 year
halafu kuna watu utawasikia kabla hjafa jaribu kufika Singida ๐Ÿ˜๐Ÿ˜na hapa sijakutana na punda
Tweet media one
19
35
91
@Bobmellotz
bob mello
1 year
hv ni utaratibu au sheria kuwa siku za sikukuu chakula cha mchana lazima kiliwe kuanzia saa 9 maana nna njaa na nilipoalikwa ndo wanamenya ndizi ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”
18
23
86
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Hakuna kitu kinawachanganya wanawake kama kuona matiti yanakuwa makubwa kuliko makalio ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
17
30
90
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Asante Mwenyezi Mungu kwa ulinzi wako Happy Birthday to me ๐ŸŽ‚ Nawatakieni sikukuu njema ya Xmas na heri ya Mwaka mpya
Tweet media one
21
34
86
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Waliosema Tanga raha naomba wawekewe ulinzi maana walisema ukweli mtupu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
23
32
87
@Bobmellotz
bob mello
1 year
nmeona sio mbaya kumpgia imenibd nifanye hvyo wapwa mlifikiri tafuata ushauri wetu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
8
31
81
@Bobmellotz
bob mello
1 year
usitafte mke siku ya sikukuu ,harusi au sherehe vizia tu siku anafua ndo utajua nan n nan ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
10
31
80
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Mwez huu kupata utelezi lazima utoboke sana ,mm nasubir mwez wa 1 mwez dume ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ kiuraini tuu ,msije sema sikuwaambia
16
33
81
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Haya shusha handle huku ukinifollow @Bobmellotz onyesha upendo wako
21
37
79
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Dada kama umeshawahi kula nauli ya mbeba zege naona ufe huko uliko๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’maana sio mchezo hii kazi
21
42
77
@Bobmellotz
bob mello
1 year
ukisikia Dunia ipo mwisho uwe unaelewa imagine watu wanakodiwa kwenda kulia msibani ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ na imekuwa kazi kama kazi zingne.
14
34
78
@Bobmellotz
bob mello
1 year
vp amektafta au ndo hvyo mnavyoishi ,lkn usikonde mwisho wa Good morning ni 11:59 ww endelea na mihangaiko yako ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
19
33
78
@Bobmellotz
bob mello
1 year
nmeamka asbh kwenda kumdai mtu deni langu nmemkta anabrushi meno na chumvi ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค” Huu mwaka mbona balaa lipo
23
42
78
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Mwanaume hakikisha una waleti hata kama una 1K weka kwenye walet ukiitoa kumlipia mtu wako anafurahi sio unatoa 5k imejikunja kunja kama sigala๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
18
22
75
@Bobmellotz
bob mello
1 year
hii nchi uhuru umepitiliza imagine kuna mdada hapa kisa anatako kubwa hajapanga foleni kanyoosha moja kwa moja kwenye huduma na kahudumiwa ,nimemwambia dada 1 wa kichaga aende aisee kasema yy anafuata utaratibu ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
16
31
75
@Bobmellotz
bob mello
1 year
umuhumu wa sungusungu TL siuoni kabxaa badala ya kulinda acount za wapwa , wao wapo bize space wanarusha nyavu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
12
23
70
@Bobmellotz
bob mello
1 year
gusa @Bobmellotz naifatuta 2K fanya upendo shusha handle yako ,twenzetu pa1
25
40
75
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Kuona mala 1 ni bora kuliko kusikia mala 100 usisiklize maneno ya kuambiwa ๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’
15
33
67
@Bobmellotz
bob mello
1 year
Hapa John ajichanganywe kwenda mtamsikia Mtaa wa pili ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Tweet media one
19
34
73
@Bobmellotz
bob mello
1 year
enzi hzo school tmeshiba sasa makande jion tunaanza kubishana kuwa ndizi ni tunda au chakula huu mjadala ulikuwa haushi mpaka tunalala๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
18
33
70