๐๐ฉ๐๐ฃ๐๐๐๐ ๐
1 year
Wengine hutuumiza kwa maneno yao, wengine kwa vitendo vyao na wengine kwa ukimya wao. Ila Maumivu yanayoumiza zaidi ni yale ya watu wanaotuumiza kwa Kutudharau wakati tunawapa thamani kubwa kwenye maisha yetu.โ