Maombi, Subira, Uvumilivu na Imani vitumie kama petrol ya kuchochea bidii zako kupitia unachofanya na mungu atafanya wepesi kwa kila hatua.
Good Morning.
Kila unapoamka Asubuh jifunze kupiga goti na kumshukuru Mungu kwa kukuamsha salama, kwa sababu wapo watu walitamani kuamka wazima kama wewe lakn wameishia usingizini.
Pumzi unayovuta ni ya muhimu sana!
Good Morning Champ's.
Kuamka kwako leo ni ishara kwamba bado una kazi kubwa ya kufanya na ndoto za kutimiza. Usiache kupambana na kuweka bidii kwenye malengo yako.
Good Morning.
Wapo watu wengi walitamani kufika Jumamosi ya leo lakin muda huu hawapo tena duniani (wamekufa)๐ญ Je wewe ni nani hata uwe HAI mpaka sasa?
Chukua dakika chache kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake.๐
Good Morning.
Wakati mwingine Mungu hujibu Sala wakati ambao mtu hategemei kabisa na pengine
amekaribia kukata tamaa. Tembea kwa IMANI
Asubuhi ya leo huku ukijua baraka zako ziko njiani.๐
Good Morning.