@mfa_tanzania
MFA Tanzania
5 years
Karibuni Tanzania kujionea Pundamilia wa ajabu ktk mbuga ya Serengeti. Pundamilia huyo ameingia ktk mbuga hiyo akitokea Kenya.
Tweet media one
Tweet media two
20
56
173

Replies

@NoreenToroka
Noreen Toroka
5 years
0
0
0
@BestaMlagila
Besta Mlagila
5 years
@foreigntanzania @omarilyas Jamani aangaliwe asirudi tena alikotoka
1
0
0
@BestaMlagila
Besta Mlagila
5 years
@foreigntanzania @omarilyas Wanaoichukia serikali wanatamani huyu punda afe
2
0
2
@bin_AK47
Dr.Fidel Castro๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ
5 years
@foreigntanzania Vingine tunakamata ila vingine ni vivutio au tumejirekebisha ki diplomasia sasa hivi tunatumia hekima na busara vip vingekuwa ni vifaranga vimeingia nchini je vingekuwa kivutio au vingeishia kuwa majivu? #ChangeTanzania #tutaelewanatu
0
0
0
@MaryMuyonga
Mary Muyonga
5 years
@foreigntanzania @Semkae Mlimpata vipi??๐Ÿค”๐Ÿค”
0
0
0
@BarakaMwamlima1
Mwamlima
5 years
@foreigntanzania @Semkae Simba wanaweza wakamtafuna
0
0
0
@bwana_bayah
Sulley Bayah
5 years
@foreigntanzania Kama taifa tumejipanga vipi kumlinda huyu Pundamilia kama wenzetu wameweza kaa nae kwa zaid ya mwezi mmoja sisi tuna mikakati ipi maana anaweza potea bila kujua kwa kisingizio cha kutoingilia asili maana kuna fisi na kuna poacher @HKigwangalla
0
0
0
@iChenko_SM
Chenko
5 years
@foreigntanzania @KennedyMmari Unakaribia Tanzania, then boom pundamilia anarudi Kenya!
0
0
0
@KIOKOjosephK
Joseph kioko
5 years
1
1
0
@DeusKulwa1
Deus Kulwa
5 years
@foreigntanzania Huyo pundamilia ni Mwana Afrika Mashariki halisi, kazaliwa Kenya anaishi Tanzania. Kwa sababu ni wa aina ya pekee atunzwe kwa makini asiliwe na simba, chui, mbwa mwitu, fisi, n.k. Ni vizuri TANAPA, Wanyamapori wachukue jukumu hilo.
0
0
0
@danfordkavishe
Antananarivo
5 years
@foreigntanzania @bajabiri Muhamishieni mikumi asihamie tena kenya
0
0
0
@gizanene
Gakpo
5 years
@foreigntanzania Itokee aliwe na simba... Huyo simba si atafunguliwa mashtaka
0
0
1
@SonStumay
Uncle Mau๐Ÿ‘จโ€๐ŸŒพ
5 years
@foreigntanzania Wenyew wanajua Lakini msije Badae mkaanza Siasa Za kusema wakenya Walituazima kwaajili ya Pandikizi
0
0
1
@siasazetu
๐’๐ข๐š๐ฌ๐š ๐™๐ž๐ญ๐ฎ - ๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š
5 years
@foreigntanzania Yaan ushauri wangu wamchukue wapeleke MIKUMI huko.. hakuna kutoka tena
0
0
3
@elia_ngalu
elia
5 years
@foreigntanzania @JonatusJr Ataitwa pundamilia au pinda vidoti??
0
0
0
@alfredkikoti
alfred kikoti
5 years
@foreigntanzania @rutaraka Huyu sio punda miria tena bali ni punda vidoti
0
0
1
@GiftedsonMeela
Gifted
5 years
@foreigntanzania @TTBTanzania Alafu sasa simba wa Tz walivyo wapoloo wanaeza wakamla ๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ
0
0
0