| A Leader | Seventh Day Adventist | A Friend | Politician & Public Figure | “In liFe No One is Ignoring you. There just Waiting For you to have Money”
Ikianza kuchange from “Goodnight Babe” to “Sorry nilipitiwa na Usingizi” iyo ni Second wave.
3rd wave ni “Simu ilikuwa Silent”
4th Wave “Leo sijiskii vizuri nawahi kulalaa”
5th and Final Wave “Kwan kuna ulazima wa kuongea kila siku??”
Nikikutumia Text alafu ukinijibu “K” badala ya OK, Au “P” badala ya POA, au “PG” badala ya Piga. To be Honest usitegemee kupokea tena msg yangu yoyote na Number yako nafuta.
Dear
#Brother
’s ❤️
Usimtongoze Binti yoyoye yule na kuingia nae kwenye Mahusiano KAMA huna DHAMIRA ya Kumuoa. Dhambi hii haina tofauti na Dhambi nyingine. Asante
Unajitutumua tena kwa kujibana na unamtumia vocha, ukipiga Simu hazipokelewi, Ukituma msg hujibiwi, After 3Days unaambiwa “Sorry nilikuwa naumwa” wakati kila siku yuko Online na anapost Status za whatssup na vocha yako uliyo mtumia.
Dear Brother’s
Mwanamke wako akikuomba pesa usiseme huna, Usimpe visingizio ambavyo havimuhusu, mara sina, Mara nimetuma kwa wazazi, mara nimenunua Gesi, mara nimetoka kumuazima rafiki angu kapata ajali ya Boda, mara hivi mara vile Tafuta HELA umpatie hayo mambo yako hayamuhusu
Tulikutanishwa na
@masoudkipanya
mwaka 2014 kwenye shindano la Maisha Plus, ukitokea Nchi ya Rwanda, tukawa ndugu na Marafiki. Leo Ajali imeondoa Uhai wako, R. I. P Brother, tuonane Asubuhi iliyo njema. Asante MUNGU kwa maisha yako ya hapa Duniani, Lala Salama Chief.😭😭😭
Mtu Akishindwa Kukusaidia usimgeuze kuwa Adui Yako. Kuna Wengine Wanatamani Kusaidia Ila unapohitaji Msaada wao, nao wanakuwa katika Changamoto Nzito Usizozijua!
Dear Ladies, ……….……
Kuna utaratibu na namna ya kumuomba mwanaume Hela/Pesa, Either awe Mumeo, Rafiki, au Danga. Sio unaomba ombaaa hela kama umeweka kwake. 🚶♂️
Dear
#Brother
’s ❤️
Kabla HujaOA hakikisha una uwezo wa Kuacha home
#200K
/300K iwepo tu Home kama
#Emergence
mbali na mambo mengine.
Thanks Me Latter, 🙋🏾♂️
Usijione wewe tu ndio una stress za MAISHA na mitihani yake. Kila mtu ana pambana na zake, tofauti ni kuwa wengine tunajifunza kuziacha ndani tunapotoka nje. Tunajifunza kucheka kwa sauti baada ya kutoka kulia, Tunajifunza kubeba tabasamu hata kama tuna Maumivu.
Nimekuja kugundua sisi Vijana ambao maisha ndo kwanza tunapambana nayo kuyaweka sawa tunahitaji
#Wanawake
wenye uelewa wa hali ya juu sana, ili waweze kutuvumilia. kwasababu Akili na nguvu zetu zote zipo kwenye kufanikiwa na sio Mahusiano.
Mnasema Mnapendana, Mkipigiana Simu mnaongea nusu Dakika (15 to 30 seconds), wallah nakuapia hamuwezi kufika mbali. Mapenzi ya kweli watu wanazungumza zaidi ya 30Minutes to 1hour.😎
Jumapili ya leo, Pichani kushoto ni Mh Mkuu wa Mkoa wa Katavi pamoja na Baba Askofu wa Jimbo la Mpanda katika picha ya pamoja na mimi baada ya misa takatifu ya leo.
Nyanya ikiwa gengeni ina bei yake, ikiwa shambani ina bei yake, ikiwa 'supermarket' ina bei yake. Klichoibadili bei ni mazingira. Kuna wakati kubadili mazingira kunaweza ifikisha thamani yako stahiki. GdMorning? ❤️
Jumapili ya Leo nilipata Mwaliko wa kushiriki Misa maalumu takatifu iliyo salishwa na Mhasham Baba Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo kuu la Tabora na Kardinali mteule Baba Protaz Rugambwa katika Kanisa Kuu la Jimbo la Mpanda. Imekuwa Ibada yenye mibaraka tele.
Dear
#Ladies
❤️
Nakupigia Simu Unakata, Message’s zangu unaziona lakini hutaki kunijibu. Kama hunipendi its
#BETTER
ukanambia kuliko kupotezeana Muda, muda ni Mali, Period.
Dear
#Ladies
, ❤️
Hakuna Mwanaume Anaye
#KUPENDA
direct, bila
#KUKUTAMANI
kwanza. Tamaa kwa Mwanaume ndiyo Source ya Upendo wake kwako. 🥂
Niongeze Mwanga AU Unatosha. 📌
Ukimuona mtu amejenga kajumba kake, anamiliki kausafiri kake ka kumpeleka hapa na pale, ana familia yake hata kama hawali milo mitatu yapaswa aheshimiwe na apewe maua yake. Huku kwa ground mambo ni magumu.
Jumamosi ya leo nimepata heshma ya kuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya Shule ya Sekondary Kashaulili iliyoko Manisapaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi. Tumezungumza mambo mengi sambamba na kutoa maelekezo ya Serikali pamoja na salamu za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 📍
Kuna umri ukifika stress zako zinatakiwa ziwe kuhusu kutimiza ndoto zako, majukumu ya familia yako, kazi na pesa na sio kwa ajili ya nani anakupenda na nani hakupendi au nani anaongea na nani haongei na wewe. Angalia na zingatia maendeleo na ukuaji wa maisha yako. GoodMorning ❤️
Dear
#Ladies
. ❤️
Hakuna Mwanaume Anaye Ridhika na Mwanamke Mmoja. Ukiona katulia na mwanamke mmoja basi kuna mawili, Ana Matatizo AU Uchumi wake uko Vibaya.
Nimeona Post kadhaa zikisema “Inawezekana kutimiza ndoto zako na kuwa mtu unaye taka kuwa” my take safari ya kuipambania ndoto yako sio rahis hata kidogo hasa kwa watoto wa Familia za hali ya chini, wengi wao ndoto zao hazijatimia kwasababu nyingi na tofauti kama Umaskini.