🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋 Profile Banner
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋 Profile
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋

@iam_rousey

54,563
Followers
11,086
Following
443
Media
78,912
Statuses

🌷I BELIEVE IN GOD✊💪||💐PSALM 51 🙏💐||UDSM Alumni||🍃Textile Expert||🍃Bespoke Tailor||Lady of Ambitions🍃|

Mwanza, Tanzania
Joined August 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
13 days
Mwenyezi Mungu abariki harakati zetu AMEN🙏🏽.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
22
59
113
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Hiki kifaa kinaitwajee?!
Tweet media one
430
79
2K
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Comedian gani kati hawa anakuvutia sana kwa sasa?!
Tweet media one
448
62
2K
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Hiki kifaa kinaitwaje wakuu?!
Tweet media one
365
96
2K
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
10 months
Hii nchi Yaani malaya wanaishi maisha mazuri kuliko wasomi😂😂😂😂
Tweet media one
74
129
1K
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Kwanini wanaume wengi hampendi kuvaa suruali za vitambaa?!🌚🤔
128
85
1K
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Very short story
Tweet media one
163
118
1K
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Kwenye gari la familia ikitokea mama yako mzazi na mke wako wapo. kwa wakati huo anayetakiwa kukaa pale seat mbele ni mama ako mzazi au mke wako?!🤔
275
87
1K
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
4 months
😂😆🙌hii ni balaa
Tweet media one
101
72
852
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
4 months
🤔🤔🤔
Tweet media one
226
60
845
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Kuna uhusiano gani kati ya kufanya mapenzi na kukata kiuno😂😂💔?!
75
60
766
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Ni utoto gani huwezi acha ata ukiolewa ama ukioa?😂😂😂😂
135
61
794
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Hivi ni Kwanini mtoto wa kike akichelewa kurudi nyumbani tu kidogo ni atasemwa au kupigwa Ila mtoto wa kiume akichelewa hawafanywi chochote?!🤔🙄🤣🤣
153
106
726
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Tangulia kutoka kwanza wewe,mimi nitakufata nyuma😂😂
Tweet media one
31
31
730
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Hivi kwanini kwenye PhD,ile h ni Herufi ndogo?!🤔🤔🤔
52
58
706
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
SIJAWAHI KUONA MMASAI KICHAA😂😂😂😂 Hawa watu hawanaga stress kabisa?!!
75
76
674
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Kama unakumbuka vizuri hiki kifaa kinaitwaje?!🌚
Tweet media one
208
63
664
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
huo ubusy unatokeaga wapi tukizoeana?!
Tweet media one
44
37
666
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
😂😂😂
Tweet media one
70
50
638
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Kwanini vijana hampendi kuvaa mashati ya Vitenge??😂😂😂
109
51
614
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Huwa unamjibu vipi mpenz wako akiwa anakuomba hela na huna kwa wakati huo😂😂
91
60
605
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Unamwambia mtoto wa watu aje kulala kwako akikufia je?!🤣🤣🤣😂
92
58
577
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Taja Kauli yoyote wanayotumia makondakta wakati wa kuomba nauli😂😂😂😂
62
45
544
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
4 months
nimecheka sana😂😂
Tweet media one
11
30
562
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
MLANGO GANI HAIJAWAHI KUINGIA HAPA?! 1���⃣kanisani 2️⃣Club 3️⃣Guest 4️⃣shule 5️⃣Jela 6️⃣Hospital
191
47
521
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Ukiachana na Dar mkoa gani tena vijana hawana nguvu za kiume😂😂🥹
66
58
506
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Ndevu hazimuoti mwanaume mwenye Tabia za kike😂😂😂💔
80
51
492
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Tatizo ni kwamba watu sahihi wanakuja maishani kwetu wanakuta tayari tumeshaacha kuwaamini watu💔🤣
34
79
486
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Hivi kati ya baba au mama nani anatakiwa kumpa mtoto jina pale ambapo ameshazaliwa?!🤔
58
75
495
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Hivi ni nani aliwaambia watanzania kwamba chupa ya konyagi ikishatumika ndio wauzie ASALI😂😂
57
62
486
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Yaani Ukiona kwenu ninyi ni maskini jua mama yako Alimpendea baba yako vitu vya kijinga Kama vile ndevu na kifua😂😂😂💔
83
60
469
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Hivi kirefu cha TANESCO ni kipi?!
47
51
467
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Hicho kijiko hapo katikati kinatumikaje?!🤔🤔
Tweet media one
86
37
469
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Maisha yako ya sasa yanaendana na methali gani?!😂😂💔
101
66
448
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Happy birthday to me ❤️🙏
142
86
452
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Hivi Sukumawiki kwa kiingereza inaitwaje?!🤔
121
49
456
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
“Sitampigia kama yeye hajanitafuta” hii kauli ndogo imevunja mahusiano mengi sana kuliko hata kucheat🥹take time mtafute mwenzio🌚acha kiburi
41
91
451
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
10 months
Ukienda ukweni,chukua simu yako ,washa recording Afu uniache hapo ujifanye unatoka nje ‘sitawafunza kila kitu hii ni ya mwisho’😅😂😂😂😇😊
39
69
462
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Unakula nini leo mchana?!
Tweet media one
66
49
423
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Hivi kwanini ugali kinafanywa kama chakula cha mchana mara nyingi?!😂
52
69
416
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Dunia haikupi mwanamke/mwanaume mzuri mara mbili.Ukishindwa kumtunza ulienae kwa sasa,utapata wa kuendana na laana zako kama zawadi😂😂😂🤣.
40
108
417
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Kama umeamka salama shusha handle yako tusalimiane🤗🙈😎
130
74
407
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Ukiwa huna hela ukicheka sana machozi yanatoka😂😂💔
41
66
420
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Sex kabla ya ndoa ni dhambi,lakini mtoto aliyezaliwa baada ya dhambi ni baraka.Swali langu dhambi inaweza kuleta baraka?!!🌚🤔
69
46
403
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Imagine unaamka asubuhi unaenda kuwafungulia Kuku waende wakajitafutie chochote kitu afu wewe unarudi kulala😂💔
53
78
393
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Wanaume walivyo waongo usikute hata kutafuta pesa sio kazi ngumu😂💔🤣
79
67
406
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Swali unalojiuliza wewe na mm najiuliza swali hilo hilo😂😂🏃‍♀️💨😂
Tweet media one
63
42
408
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Kati ya Tems na Ayrastarr nani unamkubali sana?!
Tweet media one
90
56
404
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Taja sifa za wadada waliotoboa hivi🌚🌚
Tweet media one
92
50
406
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Twitter bila followers utajiongelesha sana mpwa weka handle yako tukuinue😝😂😂
Tweet media one
231
71
399
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Lakini matako makubwa ni ya nini sasa😂😂🥹
56
35
370
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Unadate na mtu lakini utasema unadate na Refa kila saa anatafuta makosa🚮💔😂
43
74
388
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
“Mtembea bure sio sawa na mkaa bure” amegongwa na Gari hapa kaambiwa miguu ni ya kukata😂💔
40
58
370
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
4 months
🤔🤔🤔
Tweet media one
69
55
387
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Twitter bila followers utajiongelesha sana mpwa weka handle yako tukuinue😂😂🫰
Tweet media one
173
60
371
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Je unaweza kumkopesha pesa mpenzi wako?!🤔
65
59
369
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Unakumbuka uliwahi peleka nini kwa mwalimu wa stadi za kazi kipindi upo shule ya msingi?!
59
63
366
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
“Bwana ndie Mchungaji wangu”yupo DM anataka connection
36
27
354
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
3 months
🤔🤔
Tweet media one
198
47
368
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Ukiachana na Niko ndani,Niko bize,Niko nje. Ni Niko gani mwingine unayemjua?!😂😂🙌💔
126
49
349
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Hivi kuna tofauti gani kati ya toilet na washroom?!😂😂
29
38
345
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Dada,unataka mkaka handsome unaweza kumtunza?!😂💔
38
43
351
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Hii ndio January ninayo ijua Mimi sasa kuna mtu kanipigia simu anauza TV Flatscreen ELFU 25😂😂😂😂
42
59
351
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Kama Umeamka salama Drop Handle Yako Tusake Followers asubuhi hii❤️❤️
Tweet media one
155
51
347
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Wanaume wana mioyo ya uvumilivu sana anaweza kukosa mapenzi na mwenza wake lakini akaendelea kutoa huduma muhimu bila kulalamika🥹🌚
39
80
345
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Hivi ule ubusy unatokeaga Wapi mkishakaa muda kidogo kwenye mahusiano?!🥺maana kipindi mahusiano yanaanza hutomsikia akikwambia yuko busy😂😂
47
55
331
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Kuna aina hii ya wanaume wakiombwa hela unawasikia subiri kidogo niko mbali na wakala.Niamini mimi hapo hamna mtu😂😂😂😂
43
34
341
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Kama umeamka salama shusha handle yako tusalimiane❤️
93
72
326
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Weka handle yako tusake followers asubuhi 🫰😂
Tweet media one
173
70
335
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Unamlipia demu wako saloon alafu kuna kijana anazishika hizo nywele kama pembe muda wa doggy STAY STRONG BRO😂😂😂😂💔🥹
49
52
337
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Usithubutu kumuumiza mtu,mtu ambaye yupo tayari kufanya lolote ili kukuona tu ukiwa na furaha❤️🥺. Good morning friends😀
54
82
328
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Umepanda daladala ,mara kidogo mshikaji sana wako akaingia kwa hiyo daladala ila kituo tofauti na ulichopanda wewe mkawa mnapiga story.Mara konda akapita kukusanya nauli unampa akaulza nikate ya wawili ukicheck mshikaji wako nae kajikausha na utafanyaje?!
54
59
341
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Nipo katika umri ambao mpenzi wangu akiacha simu yake mahali bila lock,naichukua na kuilock matatizo niliyonayo yananitosha🥹😂😂💔
31
69
329
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Tuweke handle zetu tugawane followers kidogo❤️😍
Tweet media one
98
42
333
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
Uamuzi upi bora?Utafute maisha ukiyapata ndio uoe au uoe ndio mtafute maisha pamoja?!🌚😅
44
66
324
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
2 years
KINDLY RETWEET 🙏 ✨Karibu upate dagaa watamu wenye viungo mbalimbali waliokaangwa kutoka Mwanza. ✨Bei kwa package ni Tsh 1500,Tsh 3000 na Tsh 6,000. 📍Napatikana Kimara,Dsm. 🚛Delivery ipo 📞📩Call:+255756302998. KARIBU NIKUHUDUMIE🙏
Tweet media one
Tweet media two
46
223
316
@iam_rousey
🦹‍♀️𝑯𝑬𝑹𝑶𝑰𝑵𝑬𝑹𝑶𝑺𝑬 🦋
1 year
Je,ni sawa kwa mwanaume kupaka mafuta mdomoni?!😂😂
50
41
324