Bunge la Tanzania Profile Banner
Bunge la Tanzania Profile
Bunge la Tanzania

@bunge_tz

555,652
Followers
9
Following
2,865
Media
3,013
Statuses

Bunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake.

Dodoma, Tanzania
Joined October 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
26 days
Mkutano wa Kumi na Tano wa Bunge(Mkutano wa Bajeti Aprili 2 hadi Juni 28, 2024) unaweza kufuatilia matangazo ya Bunge live kupitia hapa👉
2
1
14
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
4 years
Maelezo ya Mhe. Spika kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliovuliwa uanachama
319
88
962
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
1 month
TAARIFA KWA UMMA
Tweet media one
626
83
886
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akiwarejesha ng’ombe wake kutoka malishoni wakati wa mapumziko ya mwisho wa wiki jimboni kwake Kongwa Mkoani Dodoma.
Tweet media one
122
28
809
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
2 years
Tangazo kwa Waheshimiwa Wabunge
Tweet media one
70
76
693
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
"Tumesikitika zaidi kwa kuwa matamko haya ya dharau yametolewa na CAG akiwa huko Marekani. Ni utamaduni wa kawaida kila anayesafiri kutoisema vibaya nchi yake wala Taasisi muhimu kwa nchi" alisema Spika wakati akizungumza kuhusu kauli za kudhalilisha Bunge alizotoa CAG.
211
63
607
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (Mb), leo tarehe 7 Jan, 2019 saa 7.00 mchana ataongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma kuhusu kauli za kudhalilishaji Bunge zilizotolewa na Prof.Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Mhe. Halima Mdee, Mbunge wa Kawe.
205
81
607
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
4 years
Taarifa kwa umma kuhusu Wabunge wa CHADEMA ambao hawajahudhuria Bunge kwa muda wa wiki mbili.
Tweet media one
Tweet media two
163
59
608
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
3 years
Taarifa kuhusu Waheshimiwa Wabunge kukatwa Kodi
Tweet media one
295
56
579
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai amelieleza Bunge kuwa amepokea taarifa ya ukaguzi wa hesabu za Ofisi ya CAG na anaiwasilisha Kamati ya PAC ili iweze kufanyiwa kazi
96
53
579
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Spika wa Bunge, Naibu Spika na Katibu wa Bunge wakifurahia jambo na Ndg. Peter Mollel alimaarufu kama Pierre Liquid Jijini Dodoma, kabla ya kumualika kutembelea Bunge.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
56
47
517
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
10 months
TANZIA
Tweet media one
67
33
466
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
11 months
WITO KWA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU AZIMIO LA BUNGE KUHUSU MAPENDEKEZO YA KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA TANZANIA NA DUBAI KUHUSU UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI TANZANIA
Tweet media one
475
97
460
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
7 years
Kesho Tarehe 26 Machi 2017 Spika wa Bunge atazungumza na Waandishi wa Habari katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (Terminal One)
Tweet media one
51
96
400
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
2 years
Tunawatakia Waislam na Watanzania wote Sikukuu njema ya Eid - Al - Adha.
Tweet media one
90
12
365
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
3 years
Tangazo la kuita Waheshimiwa Wabunge kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Mbili.
Tweet media one
Tweet media two
58
31
363
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Mhe.Joshua Nassari amepoteza sifa ya kuendelea kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki
Tweet media one
78
77
346
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akiagana na Mbunge wa Misugwi Mhe. Charles Kitwaga katika Uwanja wa Ndege wa Jijini Dodoma kabla ya kusafirishwa kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa  matibabu zaidi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
50
26
318
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
4 years
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akitangaza kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Sumve, Mhe. Richard Mganga Ndassa.
27
31
311
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
4 years
Maelezo ya Mhe. Spika kuhusu Wabunge wa CHADEMA walioamua kutohudhuria vikao vya Bunge kwa muda wa wiki mbili.
81
39
290
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Spika wa Bunge ameipongeza Timu ya Simba kwa ushindi waliopata dhidi ya As vita na hatimaye kutinga katika hatua ya Robo fainali ya Klabu Bigwa Afrika
Tweet media one
15
26
299
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
7 years
"Kama Bunge tuko tayari kutoa usaidizi kwa Mheshimiwa Tundu Lissu kama tunavyofanya kwa Wabunge wengine"-Spika Ndugai
14
40
298
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Spika wa Bunge Mhe. Job Y. Ndugai (Mb) atazungumza na Waandishi wa Habari jambo muhimu kuhusu Bunge, kesho Jumapili tarehe 14 Aprili, 2019, saa sita na nusu mchana, katika Ofisi Ndogo ya Bunge Jijini Dar es Salaam.
56
35
289
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
2 years
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WITO KWA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MAREKEBISHO YA SHERIA MBALIMBALI NA. 7 WA MWAKA 2021
Tweet media one
54
43
278
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
3 years
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango  akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya  Mpango, Kiwango  na Ukomo wa Bajeti  kwa mwaka wa Fedha 2021/22 katika Ukumbi wa  Pius Msekwa Jijini Dodoma
Tweet media one
Tweet media two
18
31
281
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
3 years
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akifafanua kuhusu uhalali wa Wabunge wa CHADEMA Bungeni
149
48
268
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
3 years
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumzia utaratibu unaopaswa kufuatwa na Vyama vya Siasa katika kuwavua uanachama Wanachama ambao ni Wabunge.
152
41
263
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
2 years
TANZIA
Tweet media one
54
55
265
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
6 years
Spika wa Bunge la Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai anawatakia Waheshimiwa Wabunge na Watanzania wote kheri ya Pasaka
Tweet media one
32
26
270
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Assad akiwa mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kufuatia kauli za kudhalilisha Bunge alizozitoa akiwa nje ya nchi.
Tweet media one
54
23
266
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
7 years
Utaratibu wa Kibunge wa matibabu ni wakupeleka kwanza Mgojwa Muhimbili na akishidikana rufaa inatolewa kumpeleka Apollo, India-Spika
25
18
266
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
3 years
Tweet media one
17
22
239
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Unaweza kufuatilia Bunge live kupitia hapa
Tweet media one
17
15
232
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
6 years
Unaweza kufuatilia Bunge live kupitia hapa
Tweet media one
41
28
224
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
4 years
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akikagua ukarabati wa jengo la Bunge leo Jijini Dodoma. Pamoja nae katika ukaguzi huo ni Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai, Wakurugenzi na Maafisa wa Ofisi ya Bunge na Mahandisi wanaofanya ukarabati huo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
84
12
216
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
6 months
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini @TuliaAckson akiwa amepakatwa na Mama yake mzazi Bi. Nkundwe Mbonile akimpongeza kwa Ushindi wa Urais wa IPU baada ya kumtembelea nyumbani kwake Rungwe Mkoani Mbeya leo
Tweet media one
59
29
220
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
4 years
TANZIA
Tweet media one
19
29
214
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
6 years
Taarifa kwa Umma kuhusu kujiuzulu kwa Ndg. Lazaro Nyalandu
Tweet media one
77
21
215
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
4 years
Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akitoa hotuba ya kulivunja Bunge la 11 Jijini Dodoma.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
23
213
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
7 years
Mhe Makonda amewasili Bungeni muda huu na kupokelewa na Mkuu kitengo cha Habari-Bunge Owen Mwandumbya kuitikia wito wa Kamati ya Bunge.
Tweet media one
Tweet media two
35
60
213
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
4 years
Waheshimiwa Wabunge wapatiwa  tablets kwa ajili ya kuwasaidia katika matumizi ya shughuli za Bunge lengo likiwa ni kuondoa matumizi ya karatasi. Zoezi hilo limefayika siku moja kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge Jijini Dodoma.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
47
24
203
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
6 years
TAARIFA KUHUSU KUITWA KWA WADAU KUTOA MAONI KUHUSIANA NA MISWADA MINNE YA SHERIA
Tweet media one
Tweet media two
16
58
200
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Maneno haya yanayosambaa katika mitandao ya kijamii ni uongo na uzushi mtupu. Mheshimiwa Spika hajazungumza popote maneno kama haya tunaomba mpuuze.
Tweet media one
42
20
206
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
7 years
#Bungenileo Wabunge sisi ni Viongozi, tujizuie kuandika Vitu ambavyo vinaleta migongano na uchonganishi ambao hauna sababu-Spika
15
26
190
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
21 days
TANZIA
Tweet media one
19
9
192
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
7 years
Baada ya majadiliano Bunge limeazimia kuwa Mhe Mdee asamehewe kwa masharti kwamba akirudia kosa anadhibiwa bila kupelekwa Kamati ya Maadili
14
28
187
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
7 years
#HojayakuahirishaBunge Mhe Spika "Kama kuna Afisa anamhitaji Mbunge lazima anijulishe kwanza. Hatuwezi kwenda kibabe tutavuruga nchi"
20
76
190
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai amemwandikia barua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kumtaarifu kuwa Jimbo la Singida Mashariki lipo wazi kufuatia aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Lissu kutokuwepo bungeni bila taarifa, na pia kutojaza fomu ya tamko ya mali na madeni.
66
32
180
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
7 years
Mkuu wa Mkoa wa Dar Mhe. Paul Makonda akihojiwa muda huu mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka kujibu tuhuma zinazomkabili.
Tweet media one
Tweet media two
24
54
184
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 months
Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe, Dkt, Tulia Ackson (Mb) anawatakia Watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Uhuru.
Tweet media one
39
21
175
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
1 year
Salamu za Pasaka. Nawatakia Watanzania wote heri ya Sikukuu ya Pasaka.
Tweet media one
22
12
177
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
2 years
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai amewaomba radhi Watanzania na watu wote walioguswa na kauli yake kuhusu mkopo wa fedha za uviko-19 akisema alinukuliwa vibaya na kwamba hana ugomvi na Rais Samia Suluhu Hassan kwani ni mtu anayefanya kazi kwa maslahi ya Watanzania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
21
172
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
6 years
Spika Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Kongwa akivalishwa vazi rasmi la jadi la uchifu na kupewa mbuzi na wazee wa jadi kama ishara ya heshima katika Kijiji cha Nghumbi kilichopo wilaya ya Kongwa. Spika anatarajia kutembelea vijiji kumi na mbili katika Wilaya ya Kongwa.
Tweet media one
Tweet media two
10
14
170
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai amesema kuwa Bunge limesitisha uwakilishi wa Mhe. Stephen Masele (Mb) katika Bunge la Afrika hadi Kamati ya Maadili itakapomhoji kuhusiana na tuhuma za kinidhamu zinazomkabili.
35
26
162
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
2 years
TANZIA
Tweet media one
64
26
167
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
6 years
Taarifa kwa Umma
Tweet media one
28
23
164
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
2 years
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ameibuka mshindi kwenye mbio za mita 100 zilizoshirikisha Viongozi Wanawake wakati wa tamasha la CRDB Bank Pamoja Bonanza katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo Juni 25, 2022.
Tweet media one
12
10
165
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
6 years
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiosha magari tofauti tofauti wakati wa shughui ya kuosha Magari kwa ajili ya kuchangia fedha za kujengea Vyoo vya mfano kwa ajili ya watoto wa Kike na wenye mahitaji maalum. Shughuli hiyo imefanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
16
162
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
7 years
TAARIFA KUHUSU MIL. 43 ZILIZOCHANGWA NA WABUNGE KWA AJILI YA MATIBABU YA MHE LISSU
Tweet media one
32
21
167
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
1 year
Nawatakia Watanzania wote Krismasi njema na Mwaka Mpya 2023 wenye heri na Fanaka.
Tweet media one
16
11
163
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
7 years
Ufafanuzi kuhusu fedha zilizotumwa kutoka Ofisi ya Bunge kwenda hospitali ya Nairobi anapotibiwa Mhe Lissu
Tweet media one
Tweet media two
31
26
161
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
4 years
Bunge lapitisha Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2020/2021 leo tarehe 15 Juni 2020
Tweet media one
8
9
160
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
3 years
Mkutano wa Kwanza wa Bunge la 12, umeanza kwa kumchagua Mbunge wa Kongwa, Mheshimiwa Job Yustino Ndugai (Mb) kuwa Spika wa Bunge hilo kwa kura 344 kati ya kura 345 zilizopigwa ushindi ambao ni sawa na asilimia 99.7.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
22
9
157
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
3 years
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kamati ya Uongozi kilichokaa kujadili taarifa ya maandalizi ya ujio wa Rais, utaratibu wa kuingiza viongozi mashuhuri ndani ya ukumbi wa Bunge na mabadiliko ya ratiba ya Mkutano wa tatu wa Bunge.
Tweet media one
Tweet media two
9
13
157
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
6 years
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akutana na kuzungumza na Mwalimu Mchungaji Christopher Mwakasege pamoja na ujumbe wake, Ofisini kwake Mjini Dodoma
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
16
157
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
7 years
"Nawaomba Watanzania kuwa watulivu wakati Bunge tunafanya kila liwezekanalo kuhakikisha Lissu anarejea katika hali yake ya kawaida"-Spika
7
24
156
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
6 months
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 11 Novemba, 2023 ameshiriki matembezi ya Jeshi la Polisi yenye lengo la kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
71
14
153
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
6 months
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiendelea na zoezi la kujinadi kwa Wajumbe katika kampeni ya Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Oktoba, 2023 Luanda nchini Angola.
43
30
154
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Taarifa kuhusu kuanza kwa Mkutano wa Kumi na Nne wa Bunge Jijini Dodoma
Tweet media one
Tweet media two
11
30
149
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
3 years
Spika wa Bunge, Mhe.Job Ndugai (Mb) awaomba radhi Wakristo na Watanzania kwa ujumla
Tweet media one
99
14
149
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
6 years
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya M. Kikwete atembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea katika Viwanja vya Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
15
149
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
2 years
Bajeti Kuu ya Serikali Saa Kumi Kamili Jioni leo tarehe 14 Juni, 2022.
Tweet media one
18
22
146
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
3 years
TANZIA
Tweet media one
14
13
149
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza Bungeni kuhusu madai ya Mhe. Tundu Lissu kuwa Ofisi ya Bunge haijawahi kumjali kifedha tangu alipopata matatizo.
36
24
147
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
7 years
Ufafanuzi kuhusu Gari la Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni
Tweet media one
Tweet media two
33
24
149
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
2 years
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akisoma Hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Tano wa Bunge ambapo Bunge limeahirishwa hadi Febuari Mosi 2022.
Tweet media one
Tweet media two
10
4
144
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (Mb) akitoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi
2
19
143
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
4 years
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akipita katika mashine maalum ya kunyunyuzia yenye dawa ya kujikinga na ugonjwa wa Corona wakati alipoingia kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Tweet media one
Tweet media two
13
14
143
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (Mb), akipokea msaada wa kompyuta kutoka kwa Balozi wa China Nchini Tanzania, Mheshimiwa Wang Ke.Msaada huo wa Kompyuta umetolewa na Bunge la China kwa Wabunge wa Bunge la Tanzania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
27
10
143
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
6 years
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai kwa niaba ya Wabunge wote anawatakia Waislamu wote Ramadhan njema
Tweet media one
5
10
147
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Kamati za Kudumu za Bunge tatu (3) zinawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Miswada Mitano (5) ya Sheria.
Tweet media one
Tweet media two
18
45
142
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
2 years
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiwa katika picha ya pamoja na Mtoto Barka Seif Mpanda (8) nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma, Mtoto Barka ni Mtanzania pekee aliyeanza kucheza mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka minne (4) na kupata mafanikio katika umri mdogo.
Tweet media one
Tweet media two
10
12
138
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
7 years
Ufafanuzi kuhusu matibabu ya Mhe Lissu
Tweet media one
19
25
137
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
2 years
Tweet media one
13
13
135
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
7 years
#PICHA : SPIKA JOB NDUGAI MGENI RASMI KATIKA UFUNGUZI WA KONGAMANO LA MTANDAO WA WANAMAOMBI TANZANIA (APN) MJINI DODOMA
Tweet media one
Tweet media two
23
6
137
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
7 years
Kamati ya Bunge ya mambo ya Usalama leo inakutana kwa dharura na mawaziri wa masuala ya ulinzi ili kujadiliana kuhusu mauaji ya Askari nane.
15
24
137
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Spika wa Bunge anatafakari hatua za kinidhamu atakazomchukulia Mbunge wa Kilombero Mhe. Peter Lijualikali kufuatia kauli za kejeli dhidi ya Bunge alizozitoa wakati akizungumza na Waandishi wa Habari tarehe 17 Machi, 2018
Tweet media one
48
20
137
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
7 years
Spika Ndugai afika nyumbani kwa aliyekuwa Naibu Waziri na Mbunge wa Mpwapwa Mhe. Teu kumsabai kufuatia msiba uliyoikumba familia yake.
Tweet media one
Tweet media two
6
12
136
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
6 years
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai amesema kuwa leo asubui amepokea barua ya kujiuzulu Ubunge wa Jimbo la Ukonga kutoka kwa Mhe. Mwita Waitara na hivyo atamwandikia barua Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ili aweze kuendelea na taratibu zingine.
Tweet media one
Tweet media two
6
17
137
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
4 years
Taarifa kuhusu ratiba ya Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge unaoendelea Jijini Dodoma
Tweet media one
11
19
137
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
3 years
Taarifa ya Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai kufuatia Msiba wa Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tweet media one
9
18
136
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
6 months
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amewasili Jijini Luanda, Angola kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 147 IPU. Katika Mkutano huo pamoja na mengine utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.
Tweet media one
29
15
137
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
3 years
Unaweza kufuatilia Bunge live kupitia
50
18
125
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
3 years
Watumishi Ofisi ya Bunge "wamkipokea kwa bashasha" Katibu wa mpya wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi alipowasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
11
7
126
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
2 years
Masafa ya Matangazo ya Vikao vya Bunge
19
14
125
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 years
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai  akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisi Ndogo ya Bunge Jijini Dar es Salaam kuhusu ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2017/18 .
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
40
11
124
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
2 years
Bunge la Tanzania timu ya wanawake yaifunga Bunge la EALA 92:12 katika Mpira wa Kikapu (Basketball) leo 14 Disemba Jijini Arusha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
11
8
125
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
20 days
Eid Mubarak
Tweet media one
4
8
127
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
3 years
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi ya Bunge hii leo kama sehemu ya maandalizi ya kuanza kwa Vikao vya Mkutano wa tatu wa Bunge la Kumi na mbili vinavyotarajiwa kuanza siku ya Jumanne tarehe 30 Machi, 2021 Jijini Dodoma.
Tweet media one
Tweet media two
5
12
129
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
3 years
Salamu za Pasaka
Tweet media one
21
17
120