Cypher PX Profile Banner
Cypher PX Profile
Cypher PX

@TanganyikaKid

4,058
Followers
3,407
Following
483
Media
20,334
Statuses

Who JAH bless No Man Curse, We are all in One Titanic. @manUTD @realmadrid @simbaSCTanzania .

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@TanganyikaKid
Cypher PX
5 months
Kuzaliwa Tanzania ni moja kati ya Laana kubwa niliyonayo 🚮
14
14
67
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
Twitter Football naomba mnitajie App ambayo nitaweza kucheki mechi za Ulaya za Premier league na za UEFA isiwe ya kulipia lakini
Tweet media one
51
76
528
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
Hii nchi vijana walishavurugwa siku nyingi sana😂😂🙌🙌 Video ipo kwenye Comments
Tweet media one
21
27
308
@TanganyikaKid
Cypher PX
2 months
Yani Mondi anafanya Show off ya Magari na Rick Ross sema kib9ngo bongo huyu mwamba sio mwenzetu tena😂🙌
23
32
252
@TanganyikaKid
Cypher PX
4 months
Kuna watu huwa wanahisi Post zao (biashara) ni lazima sisi tu-RT ila za kwetu wanaziona ni options kuRT makuma nyie.🚮 tusipangiane
Tweet media one
50
67
246
@TanganyikaKid
Cypher PX
6 months
Mfano ungekua ni wewe ungemaliziaje hapo😂😂😂
Tweet media one
72
32
231
@TanganyikaKid
Cypher PX
7 months
Broh nakuwashia Wi-Fi kumbe unaingia Tik Tok
Tweet media one
33
39
209
@TanganyikaKid
Cypher PX
1 month
Ukiachana na huyo demu wako mswahili anaekuzungusha mwezi mzima afu haeleweki 😂
30
19
205
@TanganyikaKid
Cypher PX
7 months
"Nikamkuta Casino la wadachi na walatino, akigonga mvinyo, Na pamba za maandalinyo, Hashpapi haspinyo Macho yalinitoka mithili ya zingonginyo"
Tweet media one
26
34
200
@TanganyikaKid
Cypher PX
7 months
Machambuzi ya kimataifa yanasubiri kwa hamu pakuche😂😂🙌
Tweet media one
26
42
167
@TanganyikaKid
Cypher PX
7 months
"Kwa hiyo Baby umesema Baba ako na mama ako ndo wazazi wako"😅
Tweet media one
26
37
142
@TanganyikaKid
Cypher PX
5 months
Mademu zenu👇 muendelezo upo kwenye Comments
51
20
141
@TanganyikaKid
Cypher PX
1 month
Mnaosikiliza ngoma za huyu manzi, zina upekee gani? Kazi zake ni kali kuzidi kina Rema, Fireboy,Omah Lay, Ruger au? Amekua wa moto sana🙌🏾
Tweet media one
13
12
139
@TanganyikaKid
Cypher PX
4 months
Unakumbuka wapi😅👇
Tweet media one
40
15
131
@TanganyikaKid
Cypher PX
7 months
Hizo Rudisha amesema ulete Nyundo😂😂😂😂
Tweet media one
26
35
130
@TanganyikaKid
Cypher PX
7 months
Sifa yao ya kwanza ukiwakopesha kulipwa usahau😂
Tweet media one
32
41
127
@TanganyikaKid
Cypher PX
5 months
Unaondoka na ipi hapa
Tweet media one
67
18
124
@TanganyikaKid
Cypher PX
6 months
Mara nyingi ndoto za kila Mzazi ni kuona Mwanae ukifanikiwa na kuishi maisha ya furaha, Mungu awajalie wazazi wetu kila jema popote walipo.🙏🏾
16
37
120
@TanganyikaKid
Cypher PX
3 months
Huwezi kuacha Nyeto kama huna demu, tafuta kwanza Demu mkuu lasivyo utasikia tu wenzako wanaacha nyeto ila wewe hutaweza😂😂
23
20
114
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
📌Pichani👇ni Bill Edgar raia wa Australia Kazi yake kubwa ni kutangaza Siri za marehemu wakati wa mazishi Watu wanaokaribia kufa humwambia siri nzito nzito ambazo hawawezi kuzisema wao wenyewe na kumlipa dola $10,000 ili atokee siku ya mazishi yao na kuutangazia uma siri hizo.
Tweet media one
Tweet media two
16
42
109
@TanganyikaKid
Cypher PX
3 months
Napenda Movie zenye Kash kashi kama hii, nipe ya kwako unayohisi itaizidi hii🔥🙌🙌 TRAIN TO BUSAN - 9½/10🔥
Tweet media one
19
23
107
@TanganyikaKid
Cypher PX
7 months
📌Mwaka 2014 Huko China katika Sikukuu "VALENTINES DAY" Jamaa mmoja alilipia Siti zote za Pembeni katika ukumbi wa kuangalia Sinema. Yaani alikuwa analipia Siti moja alafu ya pembeni yake anaiacha halipii kwa lengo la kutenganisha wapenzi walioenda kuangalia Sinema wasikae pamoja
Tweet media one
20
30
105
@TanganyikaKid
Cypher PX
7 months
Mara paap!! me na wewe tumeokota Milioni kumi, milioni mbili yako utaenda kuifanyia nini
Tweet media one
27
24
101
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
Kama wewe ndiye Dereva wa Mwendokasi ungemfanya nini huyu jamaa😂,😂
9
15
101
@TanganyikaKid
Cypher PX
9 months
"Samahani kuna mgonjwa mwenzio anaomba mbadilishane Vichwa'😊😂
Tweet media one
10
11
99
@TanganyikaKid
Cypher PX
2 months
Kwani ni kweli Mwamba wamempakua,,? au ni uzushi tu
Tweet media one
10
9
97
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
Muda wako ukifika hata Tenga litabeba maji kwa ajili yako Morning.. .
23
39
96
@TanganyikaKid
Cypher PX
7 months
Hapa niuze zangu Figo yangu moja milioni 100 nikawekeze kwenye kilimo cha matikiti Baada ya mwaka napata faida ya Milioni 500, natoa milioni 100 naenda kuinunua tena ile Figo yangu na bado nabaki na faida ya milioni 400 juu, nimetoboa sijatoboa
Tweet media one
26
43
95
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
Kama We ni Legend Umemtambua Rapper gani hapa👊🏼
Tweet media one
26
33
95
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
Baada ya kunikaba na kuchukua pesa zangu zote walinilazimisha kucheza amapiano ili waamini kama sijakasirika
Tweet media one
32
43
94
@TanganyikaKid
Cypher PX
4 months
1. Leonel Messi 2. Lucas Modric 3. Kevin De Bruyne Kwenye timu yako unaenda na nani
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
32
13
93
@TanganyikaKid
Cypher PX
10 months
@DullahTheking2 Country kakupika kabla haujaiva kakupakuaa🤣🤣🤣aah msodoki afukuzwe nchini bhana
5
1
91
@TanganyikaKid
Cypher PX
6 months
@omwambaKE @TanganyikaKid I'm so fast 👊🏿👊🏿🙏🏾
2
0
85
@TanganyikaKid
Cypher PX
7 months
Wakati mwingine kushindwa ndio kushinda, kuna vita nyingine sio lazima ushinde inabidi ushindwe ili ujifunze.
22
50
88
@TanganyikaKid
Cypher PX
2 months
Mtu aliye_Join Twitter leo lazima achanganyikiwe😂
19
15
88
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
📌 Pichani 👇 anaelia anaitwa "Richard Thomas" hiyo ilikuwa mwaka 2013' akiwa mahakamani baada ya kupokea hukumu yake ya kifungo cha Miaka mitano (5) jela kwa kosa la Kubaka. Kilio hicho kilianza baada ya kupewa taarifa kwamba binti aliyembaka alikuwa ni Mgonjwa wa UKIMWI
Tweet media one
12
21
86
@TanganyikaKid
Cypher PX
6 months
Sio kila Mtihani wa Maisha utakuhitaji kukopi majibu ya mtu mwingine, fahamu kua kila mmoja ana majaribu/ Maswali yake.
20
34
81
@TanganyikaKid
Cypher PX
5 months
Baraka tele✌🏾 Mwambieni akini- unblock atakua ni Kuma² tena 🔥
Tweet media one
16
14
82
@TanganyikaKid
Cypher PX
4 months
💥💥Mashati Tsh 28,000 tu Delivery ni free💥 mikoa yote Tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana✊🏽📌📌 0688536227 0695582990 RT RT RT🙏🏾 📌
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
14
86
77
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
Kuna watu wanajua kukera 🤣😂🙌 imagine upo na mtoto mzuri afu anapita mwana anajiongelesha shanga kama hizi 😂 Video kwenye Comments👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
11
77
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
📌 Pichani👇 ni kundi la Mwewe Mwaka 2017' mwana mfalme kutoka katika familia ya kifalme ya 'Saudi arabia' aliwatengezea passport Mwewe hawa themanini (80) na akawalipia Siti katika shirika la ndege la "Fly Emirates" na Kila Mwewe alikuwa na siti yake
Tweet media one
21
27
76
@TanganyikaKid
Cypher PX
4 months
@Exquisite_255 Nikitaka kucheka tu napitia post zako😂
16
0
77
@TanganyikaKid
Cypher PX
10 months
Ukitaka Account yako ikue chap dondosha handle kwa Wahindi au waarabu Alooh! 😅
Tweet media one
26
10
74
@TanganyikaKid
Cypher PX
9 months
📌 Pichani👇huyu ndo Kuku aliyefahamika kwa Jina la "MIKE", aliishi kwa muda wa Miezi 18 bila ya kuwa na kichwa. Alikatwa kichwa April 20, 1945 na kufa March 17, 1947.
Tweet media one
Tweet media two
28
33
75
@TanganyikaKid
Cypher PX
4 months
Kama sijakufollow dondosha handle yako niruke nayo🔥🔥
Tweet media one
32
18
69
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
📌Pichani👇ni "Michel Lotito" kutoka ufaransa, Alikuwa maarufu kwa kula chuma na glass Alianza kula chuma na glass akiwa na miaka 9 Miongoni mwa vitu ambavyo amewahi kula ni baiskeli 18, TV 7, Vitanda viwili,Computer 1, vitoroli 15 vya supermarket na ndege (Plane) 1 Alikufa 2007
Tweet media one
Tweet media two
25
37
71
@TanganyikaKid
Cypher PX
5 months
Kama unahisi nimemuonea leta timu yako 😂
Tweet media one
14
12
73
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
Tunakuza idadi ya maadui kwa tamaa za kutaka kuwa na marafiki wengi. Good Morning watu wa Mungu
16
42
72
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
Wazee wa location mpaka hapa nishawapoteza😁
Tweet media one
21
26
70
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
UNALIJUA HANDAKI LA KIYOTAKI (KIYOTAKI TUNNEL) Nadhani kuwa hii ni moja ya barabara za misukosuko zaidi kwa madereva Duniani Kwa ufupi KIYOTAKI Ni handaki ambalo magari yanapita kama njia Liko nje ya mji wa Kyoto Nchini Japan UNATAKA KUFAHAMU VIMBWANGA VYA KIYOTAKI??SHUKA NAYO👇
Tweet media one
Tweet media two
16
26
72
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
Mwambie huyo tweep hapo juu☝ akapige mswaki kwanza simu ipo tu🤣
13
27
67
@TanganyikaKid
Cypher PX
6 months
Kuhesabu madhambi ya Watu wengine hakutakufanya wewe kuwa Mtakatifu 📌
16
40
69
@TanganyikaKid
Cypher PX
2 months
Videmu vya Chuo ni mfano halisi wa Malaya📌
16
19
67
@TanganyikaKid
Cypher PX
9 months
Sawa sina ndevu ndo uniite mimi Emoji 😔
Tweet media one
18
21
64
@TanganyikaKid
Cypher PX
7 months
Ramos kampiga Puyol kofi la uso, Pepe tayari kashamweka Messi chini, cavalho anamnyang'anya Refa kadi nyekundu Oyaa 🙌🙌 sahivi Boli limepoa sana wazee😂😂
Tweet media one
8
13
63
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
UNAIKUMBUKA STORY YA MILIONEA ELIE TAKTOUK (So Sad) Ukiona wanaume wanamsifia Ashraf Hakimi na kutaka apewe Uchezaji bora wa Afrika wa muda wote pamoja na kujengewa mnara mkubwa kuliko yote Ulimwenguni usihisi ni wapuuzi,watu wamekutwa na mengi STORI YA TAKTOUK ILIKUWA HIVI👇
Tweet media one
9
19
62
@TanganyikaKid
Cypher PX
7 months
Familia yako ndo timu yako hata ikishuka daraja shuka nayo wakati wa matatizo ndo inakuhitaji zaidi, MORNING HUSTLERS
9
20
60
@TanganyikaKid
Cypher PX
7 months
let's follow each others
27
22
57
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
📌 Pichani👇 hii ni simu ya kwanza kabisa ya mkononi kutengenezwa, ilikuwa mwaka 1973 simu hio ilikuwa inachajiwa kwa masaa 10 na ikijaa ilikuwa inaisha chaji kwa dakika 30 tu. Ilitengenezwa na kupigwa kwa mara ya kwanza na "Martin Cooper" April 3,1973 Ilikuwa inauzwa shiling 23M
Tweet media one
22
41
61
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
Sio kwamba waliniacha tu waliamua mpaka Kuoana na sasa hivi wana mtoto wamempa Jina langu
Tweet media one
22
29
58
@TanganyikaKid
Cypher PX
4 months
Drop your handle and let's gain Massive @TanganyikaKid 🍇
40
29
52
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
📌 Pichani👇 huyu ni "Masanobu Sato" binadamu anaeshikilia rekodi ya Dunia ya kupiga punyeto kwa muda mrefu zaidi akitumia "Masaa 9 na dakika 58" Alivunja rekodi yake mwenyewe ya awali aliyokuwa amepiga punyeto kwa "masaa 9 na dakika 33"
Tweet media one
31
36
56
@TanganyikaKid
Cypher PX
8 months
📌 April 18,1930 shirika la utangazaji la Uingereza BBC LONDON walisema Leo hakuna habari wakapiga piano badala yake
Tweet media one
15
39
60
@TanganyikaKid
Cypher PX
7 months
"Watu hawaheshimiwi kwa kua wanatia huruma wanaheshimiwa kwa kua wanaweka kitu mezani,, AMKENI HUSTLERS TUKAPAMBANE👊🏼
7
17
59
@TanganyikaKid
Cypher PX
9 months
📌 Pichani 👇 Ni Manusura wa ajali ya meli "Titanic" Bwana "Masabumi Hosono" ambae alipata kadhia ya kutengwa nchini kwao kwani alionekana ni muoga kufa na wenzake.
Tweet media one
Tweet media two
19
27
58