EL-BIKE⁰⁰¹🤔 Profile Banner
EL-BIKE⁰⁰¹🤔 Profile
EL-BIKE⁰⁰¹🤔

@Official_ElBike

12,612
Followers
5,655
Following
2,774
Media
28,695
Statuses

A boy from Kigamboni Alhamdulillah 🙏 Content Creator, C.E.O🗝️, Dm for promo, Football Addicted ⚽, Unstable relationship💔

Jeddah, Saud Arabia
Joined January 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
1 year
SHAIRI: ZAMA 1. Zama zimekwenda, hazirudi nikavunga. Zama nikila kimbonda, na pepeta za kutwanga. Zama porini nawinda, walinitambua ninga. Zama wananikanda, ngumi zetu za kupinga. Kindly repost And good work done by El-Bike 🤔
Tweet media one
5
19
34
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Teacher:who killed Goliath? Me:Daud Teacher:Na mbona umeandika sniper 😂😂😂
Tweet media one
34
50
463
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Kwa hiyo mmesema Mama siku hizi haupigi mwingi ila anabutua butua tu?
Tweet media one
8
18
305
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Short story
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
29
23
263
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Tuombe vita ya kirafiki na urusi sasa😂😂😂
Tweet media one
25
24
240
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Kama unamjua huyu wewe ni legend wa twitter, na Vipi rambirambi ulitoa? join June mtupishe kidogo
Tweet media one
37
5
242
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Dalili ingine ya Umasikini nikuita kila mtu mkuu 😂😂
31
27
232
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Nyama ipo jikoni,unanishauri niongeze nini hapo?
Tweet media one
63
6
218
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Kati ya infinix na Tecno ipi hupiga pasi vizuri?
27
26
195
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Kudate na mdada ambae hawezi kukupa msaada wa kifedha pindi unapokuwa na shida ni total waste of time!!
Tweet media one
14
9
197
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
1 year
Zamani mtu akinambia "tangia jana sijala kitu" nilikuwa nazani ni uongo 😂
23
56
198
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Hizi earphones tunazopewa kwenye ndege za hovyo sana yani jana tu leo hazifanyi kazi 😂😂😂
17
23
172
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Kijana kama unajambo linakutatiza ususite kuomba ushauri, Binafsi ukihitaji ushauri nipo muda wote,usisite ukitaka tuongee kwa simu ntakupigia natoa hiyo offer muda wowote kutoka sasa na ni endelevu...
9
10
176
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
#TwitterVAR Bongo sihami
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
33
12
171
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Uongo mwingi unabebwa na sentensi "Kwani huniamini"✍️
15
30
159
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
1 year
Huyu jamaa alichokutana nacho ataenda kuhadithia😂 Video nimekuwekea kwenye Comments
Tweet media one
3
13
175
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Huyo Boy wako mnakula naye chips yai na mnashiba ndie anakwambia atalilinda penzi lako na unaamini Dada 💔😂
12
20
160
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Basis ndipo Ben aliposema "Nimechoka kukimbia" Nae Ronaldo mwana mfalme akanena "Lala ili ukue" kisha Ronaldo akaenda zake
Tweet media one
13
22
161
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Tafuta pesa ujuane na ndugu zako😂
19
30
151
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Imagine Tanzania without Wasukuma, tutapata wapi madem wanaeza piga kuku kofi na akafa? 😂😂😂
Tweet media one
19
3
149
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Mademu wenu sa hii wamevaa tshirt kubwa kubwa wakipikia maboy wao breakfast.😀😀💔💔
Tweet media one
9
6
146
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Mwanaume uko mweupeee Hauna ndevu,hauna nywele kifuani wala miguuni Sasa tofauti yako na Skonzi ni nini? 😅😅
25
19
147
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Mlisema iPhone ikiwa na home button, hiyo tuachane nayo sio
Tweet media one
7
6
145
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Kwako kuna blender ama unakula matunda kama nyani ?
19
18
141
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Hiyo sadaka Kata ya wawili 😎
Tweet media one
21
24
137
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Nyie kumbe kuna style inaitwa KUMUACHISHA MTOTO ZIWA na hata hamsemi nyie watu wasuri mno😎
11
15
137
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Aliniambia tuachane ndo nikajua kama tulikuwa tunadate, mie nilijua ananipa kama rafiki yake tu😂
15
22
131
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Tuliojiunga Twitter kwa kumfuata kigogo,Hatima yetu sasa tunaishia kuagiza sabuni za @mpambazi_ aiseee kweli riziki ikipangwa hakuna wa kuipangua...
4
2
142
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
1 year
Atakae sema sijuwi kupika anakula buloku😡
Tweet media one
35
39
151
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Mademu wenu saa wamevaa ma T-shirt makubwa makubwa wanapikia breakfast mabwana zao.
8
17
138
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Sema hapa kama tumefungwa kamba 😂😂😂😂 What you see.....
Tweet media one
Tweet media two
36
11
146
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Leo kwa mara ya kwanza nimeangalia hizi episodes za DANGA, tuache ukuda hii kitu ni moto now naenda angalia episode ya 3. @IdrisSultan hapewi heshima yake kwenye hii nchi.
15
1
146
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Lijimama lako likifa ni kama umefukuzwa kazi, au nyie hamjagundua hilo🤔😎👀
12
21
141
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Bro kama hatoi povu mdomoni kama mtu amekunywa sumu uko bedroom..wewe hakuna kitu umefanya😂😂😂
24
18
131
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Si mkamilishe hapo mbona mnaroho mbaya nyie watu
Tweet media one
18
2
131
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
1 year
Cheki dogo alichokifanya 😂 Video nimekuwekea kwenye Comments👇👇
Tweet media one
12
10
139
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
5 years
Leo napenda kuwapa respect wafuatao sababu wapo peace for all tweeter user @LusakoWaKwanza @chibelube @mpambazi_ @rollymsouth @Mosesgideon17 @DosaRahma @sophysadam @Msumari9 @abdulazackabdul @OfficialNancy2 @MwanaFA Nawaelewa. Sana amani kwenu wakuu mmekua chachu.
6
10
126
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Imagine ungekuwa unafanana na hardwriting yako 😂😂
20
21
127
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Tweet media one
16
10
132
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Welcome to Tanzania where "Subiri kidogo nitakupigia" means have a good day 😂😂😂.
Tweet media one
6
13
133
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Naomba unikopeshe 10K na kama hauna nipe hiyo ulonayo hizo zingine ntakudai😎
Tweet media one
25
13
121
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Mimi ukisha niona siku tatu tu jua usha jua nguo zangu zote😂
17
25
115
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Uongo mwingi unabebwa na sentensi "Kwani huniamini". 😂😂😂
15
18
124
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Unapost picha na demu wako alafu unanitag, bro Kwani me ni condom??
17
13
120
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Umechill zako home mara unaona breaking news eti Demu wako amemuua bwana yake na si wewe😀😀😀
Tweet media one
14
7
123
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Dalili nyingine ya umasikini ni kutumia simu yenye double line😎
14
19
113
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Kuishi na demu nyumba moja kama hajakuzalia huyo sio mpenzi, you are just roommates 💔😂
8
18
110
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Mbaki salama na boss kichefuchefu domo LA Mange fyuuuu!
Tweet media one
9
12
119
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Leo ni kama nimekunywa chai iko na sabuni maana najiskia roho safiii😂😁
10
13
111
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Umasikin ndo unakufanya usipike maharage kwenye jiko la gesi 😁😁😁
Tweet media one
10
7
115
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Na ikiwezekana na Raisi wa Zanzibar ahamie hapa Dodoma.. Subiri kidogo ataongea tu...
Tweet media one
5
3
116
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
11 months
Siku ya kwanza kufika Dar watu wengiii kila kona nkajua ni siku ya Mnada 😀😀😀
Tweet media one
14
32
126
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Alikuwa akiamka the first thing anafanya ni kunipigia ,wakamroga💔
14
17
108
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Leo ntalala bila nguo ndio nione hicho kikulacho kitakula nini sasa 😎
17
15
108
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
1 year
Nyie mnaona kundi gumu ila sisi Yanga tunajiandaa kutoa jezi mpya 😂😂😂
Tweet media one
10
25
121
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Huyo Bae wako unaekula nae chips yai na mnashiba ndie anaekwambia atalilinda penzi lako na unaamini dada💔
12
22
114
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Unaona hao wanachuo wakitafuna mahindi unadhani ni ya enjoyment kumbe ni lunch😂😂😂
7
15
107
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Kwanini nyumba nyingi vitasa vyake vimechoka kwa kufunguliwa sana? Elewa swali
17
13
97
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Tuache mazoea ya kutiana hasara eti mgeni akija uchinje kuku wakija week mzima je?? Mimi nina wazo tubadili mboga ya wageni, vipi tukifanya DAGAA iwe mboga ya wageni wakija majumbani mwetu , Mbona zuri tu. Mimi naanza najua @abdulazackabdul yupo pamoja na mimi, vipi @mpambazi_ .
Tweet media one
13
5
106
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Kama simu yako iko na camera chini ya tatu you need to work extra hard na huo ndo ukweli😂
13
16
105
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Ukikutana na msukuma yuko na allergy ya chakula chochote kile jua tu huyo ni tapeli 😂😂😂
15
10
107
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Wapwa kisheria unatakiwa ukae muda gani kisha ndo uje utweet ile tweet uliyocopy.
Tweet media one
7
5
103
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Kwa hiyo mumesema those who have iPhone 5 and 6 hawana tofauti na watu wa Infinix?
Tweet media one
6
6
112
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Kama madawati ya shule uliyosoma yangekuwa hivi,nyakati hizi ungekuwa unalima mazao gani..?
Tweet media one
11
5
109
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Me bila kutag watu kwenye tweet zangu sitoboi sijuwi nakwama wapi 😂
Tweet media one
7
5
111
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
1 year
Unarudia rudia nyimbo kwa radio 📻 mpaka radio inahema 😂😂😂
16
55
115
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Unaniambia nijisikie Kama nipo nyumbani wakati King'amuzi hujalipia, Sijapenda hii
Tweet media one
3
7
114
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
In case you missed it 😂
Tweet media one
25
9
106
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Ukimpa Mzungu Lift Kwenye Gari Yako Unaonekana Kama Wewe Ndo Mfanyakazi Wake. 😂
13
21
103
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Usiogope kurudia hizo nguo bro, watajua aje kama ni zako😎
6
7
105
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Ile barabara ya mtaa wa Congo ilifata nini Tanzania?
11
16
100
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Tangu ninunue gari natumia ufunguo wake kuashiria ama kuonyesha kitu alafu mtu anasema eti naringa😂😁😀😁😂🔥👌🏾💪🏾🤒💜
12
12
102
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Inasemekana hizo ndo status za mwisho huko green app kabla hajaondoa uhai wa kijana mchapa kazi, Inaonyesha fika alikuwa na dhamira ya kufanya tukio hivi viumbe basi tu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
18
6
102
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
1 year
Bongo mwalimu wa English anafundisha kwa Kiswahili Dah 😂😂😂 Made in Tanzania
18
42
113
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Muda wa maandalizi,Leo tupo na vipopoo,Hayo ni maandalizi ya Awali kabisa.
Tweet media one
Tweet media two
16
3
95
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Hakuna MAREHEMU tajiri, matajiri wote ni HAYATI sauti ipo sawa 😎
12
14
90
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Imagine akili huwa inasahau alafu inakumbuka imesahau😂😂😂
11
15
94
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Akikuambia "You don't trust me anymore" Jua mko wengi kwenye. hiyo relationship. 😂😂😂
12
15
90
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Wale walidungwa chanjo wanangoja sisi tufe ndo waseme corona is real,,na sisi tunangoja wao wafe ndo tuseme akili sio matako 😂😂
8
16
92
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Mbeya Boy Lirolimodo la Mbeya Icon kama icon Watu wa Mbeya Mnywe maji mengi ili moyo uelee 😂 😂😂 😂
Tweet media one
Tweet media two
17
1
94
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Wahaya bia zenu mnatupa lakini kama mnatusimanga hivi enewei wachaga watarudi tu😁😁😁
8
11
92
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Kama Mwanaume huna ndevu, mweupe wewe tunakuhesabu kama Zuchu mwenye kikojoleo kirefu tu....
Tweet media one
21
2
98
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Utamu wa relationships ni kuachwa na ku-heartbreakiwa😂😂😂😂
7
14
90
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Zamani nilikuwa najiuliza kwanini Baba hanunui unga na mchele mwingi tutumie mwaka mzima,sasa hivi baba ndo Mimi nyie.
14
15
93
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Sasa ni mwendo wa kuinuana,Dondosha handle yako kwenye comment,kisha follow watakao like, Note: follow back in 9sec, Mambo yasiwe mengi. #WapwaTuinuane
Tweet media one
42
6
95
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Haya sasa muda ndo huu naweka mzigo,Wapwa upendo ukipata moja inatosha sawa, mzigo huo.👇👇👇👇
Tweet media one
Tweet media two
12
3
92
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Kublock Ex wako then una-Mu-Unblock kucheck kama ameku-unblock pia alafu unamblock tena hii ndo kitu nainjoy😀😀😀
10
14
89
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
1 year
Kuna demu wa jamaa yangu jana kakutana na kiredio, si kaambiwa amtaje jamaa ake, I wish story niikatishe nimelekee uji jamaa yangu.😂
12
43
101
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Mnaopt kuoa yatima ndio msilipe mahali .. wanaume tumezidi😂
13
15
84
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Mkimaliza kutoa baraka nambieni nataka kuanza kutweet upuuzi kwenye hii App 😂
19
24
86
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
4 years
Historia Ya Sex. Mnamo Mwaka 1782 Mwanamke MRussia Aliyekuwa Amepewa Talaka Kwa Jina La Rozhdestvenskij Sziroexzhkin . Ngoja Kwanza 🤔 Mbona Umeruka Hilo Jina 👆? Siendelei Na Story 😒 Sipendi Watu Wavivu 😂😂
Tweet media one
18
5
95
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Kwani popcorns hupikwaje ndo ziache kurukaruka juu, sababu hii ni mara ya tatu naziongeza maji na haziachi?🤔💔
6
16
89
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Bro ikikupendeza vua viatu kwenye nyumba safi na yenye tiles nyeupe😎 Hii tweet is not about house😂
10
17
81
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Maisha ni kama boxing ,hakuna sub, pambana na ulichonacho ✊🏿
10
12
83
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Madem warembo wanakuaga na visirani sana heri hao mademu wenu . 🤣🤣
14
15
86
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Ushafungua Box lako au jana ulifungua zipu imetosha?
7
15
92
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Kuna tomboy hapa amesahau yeye ni demu akatoka nje bila shati😁😁😁
Tweet media one
5
2
94
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Usikute hadi leo wasukuma hawajui wanasukuma nini😂😂😂
20
18
84
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Hicho chakula cha usiku unachopewa walikula wenzako mchana😋 By the way this tweet is not about food😂
14
11
85
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
3 years
Umasikin ndo unakufanya uone vitu vya mtumba (Used) imara kuliko kutoa kitu chenye maganda (New one)
Tweet media one
4
2
95
@Official_ElBike
EL-BIKE⁰⁰¹🤔
1 year
Comments ziwe fupi fupi 🙏
Tweet media one
20
30
95