Jecha Patel Profile Banner
Jecha Patel Profile
Jecha Patel

@MoruoKing

31,364
Followers
1,900
Following
9,658
Media
544,495
Statuses

| NorthDweller | Watengwa Records | Fresh Ear Productions | Contributor - @morwosafaris | @mezahuru |

Banana Republic
Joined November 2010
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Askari wa Jiji wakimlinda mfanyabiashara aweze kufikia wateja wake bila bughudha yeyote ile
Tweet media one
119
177
944
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Hii kesi huyu manzi ameacha hapa atajua hajui
195
159
1K
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Jiwe Juu Ya Jiwe
Tweet media one
145
60
779
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Profesa Jay is performing like an angry and hungry underground artist looking for a Record label Put a Respect on this guy's name Mbaba 🔥🔥🔥🔥🔥
20
93
703
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Manzi kafuata ile kitu muhimu sana kwa mwenzake , Wigi
157
92
632
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Mambo inaenda kasi sana , Imagine Kuna nyakati tulikuwa na mjadala wa Kupima samaki kwa Ruler Hii nchi sihami
44
88
619
@MoruoKing
Jecha Patel
2 years
Ujumbe unafika hapo
99
87
620
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Kusaidia mtoto wa nursery homework ni ngumu. unamuuliza "Nina sweets tano, Nikigawia watu wanne nabaki na ngapi? Anakwambia toa kwanza nizione - V.R
49
61
614
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
" Mama anashangaa , Mtoto anashangaa , Maisha inaanzia hapo "
94
198
601
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Album Za Mr II (SUGU) 1. Ni Mimi (1995) 2. Ndani ya Bongo (1996) 3. Niite Mister II (1998) 4. Nje ya Bongo (1999) 5. Millennium (2000) 6. Muziki na Maisha (2001) 7. Itikadi (2002) 8. Sugu (2004) 9. Coming of Age-Ujio Wa Umri (2006) 10. VETO (2009)
44
110
574
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
MasalaKulangwa , a 45 year old fisherman from Kilombero comes to your health centre with the complains of Headache , fatigue , fever , palpitations and O/E reveals Palm Pallor , tachycardia and atrophy of the tongue papillae. Describe the management of this patient
120
51
543
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Denzel Washington hata aki act movie anapiga mluzi tu , nitaangalia
46
23
520
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Walinzi wa Kimaasai ukishawapa maelekezo kuwa labda ikifika saa mbili hapa asipite mtu , hata wewe uliyetoa maelekezo hayo ukipita mida zaidi ya hiyo huingii
45
79
492
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Kuna Bro mmoja hapa nakunywa nae Supu Last weekend ali park X6 Leo ame park Range Rover Vogue Ngoja niendelee kunywa Supu , mambo yanaweza badilika
52
29
465
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
USIJARIBU kamwe 1. Kupiga pasi nguo za kazini asubuhi 2. Kuswaki baada ya kujiandaa kutoka 3. Kulala mapema ili uamke alfajiri kusomea mtihani
46
75
469
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Switching from pencil to pen was the biggest achievement back in primary school
28
76
464
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
"Kazi kubwa ya Dalali ni kuhakikisha muuzaji/mmiliki na mnunuzi hawakutani"
31
72
467
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Nimeona mahali Brevis inauzwa 4.8m
71
13
448
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Vipaji Vipo Mtaa
13
111
447
@MoruoKing
Jecha Patel
3 years
Kwanza Tz ina jina refu sana , tuitwe CHATO tu
53
34
437
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
156
77
425
@MoruoKing
Jecha Patel
2 years
Al Kasus na ngamia
55
45
430
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Sidhani kama kuna msanii bongo ameshirikiana kwenye ngoma nyingi kama Lady Jaydee
33
15
420
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Huyu jamaa atapona kweli?
75
110
408
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
" Mungu na Teknolojia " - Ruge Mutahaba
52
71
398
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Wahudumu wa Migahawa wakishakuzoea wanakuwa na Huduma mbovu Sana
39
41
385
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Raw Talent
48
109
389
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
A good wife can make a poor man feel like a king.
18
47
389
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Hii ndo maana halisi ya kula tango pori
Tweet media one
50
22
386
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
My future wife thinks she will marry a Rich , handsome dude with six packs , I pity her my nigga
26
61
385
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Bank Teller: Hii pesa yako ni fake. Mimi : Shida iko wapi? Pesa ni yangu account pia ni yangu, weka tu!
32
75
376
@MoruoKing
Jecha Patel
1 year
Mwanangu suti ndo ushaachana nazo 😂
@rollymsouth
Madenge
1 year
Anko kikatuni #JotoLaAsubuhiEFM
Tweet media one
110
174
4K
8
5
394
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Kuna uhusiano kati ya Maisha Magumu na kutokuwa mstaarabu ?
40
15
381
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Sijawahi amini itafika mahali charger za Pin Ndogo zitakuwa adimu namna hii , Heshimu Teknolojia
16
48
372
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Hii pic ni kali sana
Tweet media one
32
77
372
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Wakati nikiwa Kid , Mzee alikuja home akapiga ukuta Rangi akanionya nisichore chore ukuta Pablo nikachukua Mkaa nikaandika ukutani " USIANDIKE HAPA " kipigo nilipata , Sijawahi Sahau
47
56
362
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Kilimo cha Bangi kikiruhusiwa tu , Thamani inashuka , siri ya Bei yake ipo kwenye KATAZO lake
32
35
359
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Usipende kubonga sana mahali umefika kwa mara ya kwanza , Sikiliza Sana
5
60
354
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Kanye West kaja Uganda, kurekodi album yake Pablo siwezi hata kwenda Kibaha kunywa Fanta na kurudi , Hii maisha kuna mahali hatujaipatia
26
54
335
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Siku moja , inabidi Wasanii wa Tanzania watoe tuzo kwa Kiss FM Ngoma za Bongo zimelia sana pale African Beats
25
42
339
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Kitu moja muhimu sana kwenye hii Maisha ni Kupiga Sala na Kazi
13
66
332
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Hii picha kali sana
@CloudsMediaLive
Clouds Media
4 years
"Ushauri wangu kwa msanii hasa wa Hip Hop lazima kwanza awe anajua nini anachokifanya, na jambo la pili tusikaze vichwa tujifunze tufanye bongo zetu ziwe nyepesi kujifunza. Lazima utengeneze nyimbo ambazo TV na redio zitalazimika kukufuata" - @MoruoKing
Tweet media one
54
61
524
63
43
338
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Unachowafanyia wazazi wako ndicho utakachofanyiwa na watoto wako. -M.K
8
50
325
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
E fm wamemsajili Geoff Lea
16
7
331
@MoruoKing
Jecha Patel
2 years
Barongo miyeyusho sana
42
75
339
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Tweet media one
29
35
327
@MoruoKing
Jecha Patel
2 years
Marafiki zako wanatakiwa kukutetea against all enemies: Foreign and Domestic Waziwazi na mafichoni Anything less ni u Snitch
17
73
329
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Wanawake ni watu muhimu sana kwetu , let no one tell you otherwise
31
110
315
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
I think the best way to deal with problems is to do it quietly, patiently. No need to tell everyone. Find relief in God. You'll stand again.
5
76
322
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
ChundaBadi Singa Singa Maradona
59
94
318
@MoruoKing
Jecha Patel
3 years
Man's worst Fears - Empty Pockets - Unstable Erection
15
48
316
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Wasomi wengi hawatimizi malengo yao kwasababu ya Too much Logic , Questioning and Reasoning
20
83
311
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Hapa Hamis atakuwa alifanyiwa kitu gani kibaya hivi? 😂
Tweet media one
79
22
314
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Kwenye daladala Jamaa: hello ( akawa hasikii vizuri, ikabidi aweke loud speaker) Mke: Umeweka wapi soksi zako?? yaani nyumba nzima inanuka.
38
35
300
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Leo sijatumwa na mtu wala nini , nimeona mjadala unaendelea kuhusu Rapper Bora wa Muda wote , nikarukia tawi kama Nyani Swali la msingi , Ili tuseme Dubo au Barry Magiri ni Rapper bora wa wakati wote tunatumia vigezo gani? Karibu 👇
60
130
309
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
My Lil Man yupo JKT , hakuna mawasiliano nae Mimi na kaka yake mwingine wote hatujui Namba yake ya mtihani wa kidato cha 6 I don't know how this rascal tricked us tusijue chochote
50
7
303
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
"Treat her Nice , She'll do it Twice"
13
60
308
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
If a woman is mad at you she interprets everything you do as a signal.If you wear your NASA t-shirt she'll be like, "Oh, so you want space? - W.N
32
50
310
@MoruoKing
Jecha Patel
2 years
Hili gazeti lipo mtaani? I should get a copy Kweli zama zimebadilika
@MpokiThoms
Mpoki Thomson
2 years
Accountability should be a core part of our culture. Somebody slept on the job.
Tweet media one
18
92
304
11
17
298
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
TUJIANGALIE
23
179
300
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
If you have a side chick a whole year w/o getting caught, your girlfriend must be cheating too. Faithful women investigate better than the CIA - Kinjekitile Ngwale , 1903
19
114
292
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
NAMNA WABONGO NA WAZUNGU WANAVYOELEZEA AJALI MBAYA MZUNGU: very terrible and deadly accident MBONGO: ile gari ilivyomgonga kwanza akapaa juu kimo cha ngamia hivi. Ile kutua chini tu hajaomba hata Maji ya kunywa Israel ashafika daah
45
24
305
@MoruoKing
Jecha Patel
3 years
Huyu Mollel ni wa wapi? Maana I'm sure sio wa kwetu
25
7
289
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Tweet media one
99
18
287
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Matajiri wanaazimana Magari Walalahoi tunaazimana USB
15
63
277
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Jamaa tumepiga nae tizi ya kufukuza upepo kufika destination saa ya kurudi kafuatwa na Bodaboda wake
26
23
282
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Kwenye mazoezi ya kujiunga na Jeshi la Polisi rafiki yangu alikimbia kasi mno akawa number 1 , afande akamwita akamwambia " kijana , hiyo mbio sio ya polisi ni ya mwizi "
22
44
288
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Tanzanians take pride in everything " Mtanzania wa kwanza kukutwa na Corona " " Chombo cha habari cha kwanza kumhoji mgonjwa wa Corona "
27
35
279
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
2020 tusijifanye tunajua kila kitu , vingine meza mate kausha It will save you from lot's a lot's a troubles
7
58
282
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Jamaa anakuambia "lemme call u back , am driving" kabla hajakata simu unaskia sauti inasema "hapo nyuma tukae wanne wanne"
27
43
277
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Bachelor na Mkate
Tweet media one
25
18
274
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Hii mambo nimezoea kuona kwa #DearCoco mazee Asante kwa huyu mdada Naomba @KagaArts nimjue Maneno imeisha arif Asante tena na tena Yo
@KagaArts
Kaga Arts
4 years
Kama una crush humu ndani na unajua ana birthday soon, you can always check us to make sure we create a masterpiece for them. Happy Birthday @MoruoKing . She hopes you like this gift.😁
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
67
73
414
82
36
278
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Watu wenye miguu midogo wanapata Viatu Vikali sana , KIRAHISI sana
41
28
263
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
3 Money Principles 1. Spend less than you earn. 2. Invest as early as you can. 3. Earn more.
6
59
272
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Baby Madaha made Amore and stopped making music
33
24
269
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Vitu Scooby anawafanya watu wapitie
90
70
268
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Tweet media one
38
39
277
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Prof. Mzungu akigundua wewe ni kichwa, atakutafutia mchongo ili ufanikiwe. Prof. Mwafrika atahakikisha unafeli mitihani yake yote.- @SwahiliBible
30
65
272
@MoruoKing
Jecha Patel
2 years
Manzi anaweza kukufanya ujisikie mkosefu kwa tatizo alilosababisha yeye Peculiar beings those ones
28
33
273
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
“Kweli tunazifikiria sana hizi pesa lakini kuna utu. Kuna muda pesa si kitu, nikidondoka nitasitiriwa na watu. Naishi na raia na si misitu.”
20
42
262
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Today , 17th September marks 3 years since your departure ! I'll mourn you till I join you Rest Well Mama ❤
77
42
257
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Namna RPC wa Kino kamwachia msala ThingsNow
33
62
260
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Sema wakati mwingine ukiona watu wanafurahia Downfall yako , Inabidi UJITATHMINI sana
14
48
257
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
The day Rick Ross will jump into the crowd while performing is when we'll know who his True fans are ..!
21
89
235
@MoruoKing
Jecha Patel
2 years
Bwana Khalid yupo Bongo anategemea tetesi za Soka la Bongo kutoka kwa mtu aliyepo Rwanda Interesting
@Khalidchukuchuk
KhalidChukuchuku93🇹🇿
2 years
🚨 BREAKING 🚨 Yanga Africans 🇹🇿 board are planning to sack their head coach Nassredine Nabi🇹🇷 after Tanzanian giant failed to enter in CAF Champions League Group Stage. @gateraedmond According to @EricNdagije250
Tweet media one
333
88
3K
13
6
252
@MoruoKing
Jecha Patel
7 years
Alisema anasoma UDSM Nikamuuliza "upo faculty gani ?" Akajibu "Bado tumechanganywa, hatujapangiwa madarasa" 😥😭- Unknown
19
60
252
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Kuna Bar moja hapa town counter ni Land Rover 109 Ni ubunifu fulani matata sana ila hii Mando nimeitamani sana
23
13
243
@MoruoKing
Jecha Patel
2 years
Rapa wetu wa mwaka ameimba "Siku hizi simu zinaita,siku hizi simu zinaita" mara kadhaa akajipata Ngwair mpya Mavijana,kuweni na heshima
54
20
253
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
PRIORITIES
30
79
249
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Wazeiya , Katika hii maisha , hata Kama huwasaidii wazazi wako chochote , jitahidi usiwasumbue
7
60
240
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Nikki Mbishi alitulia sana kwenye NYAKATI
20
16
243
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
" Mwanamke aliyeridhika , Hunenepa hata kwa Chumvi " #ElimikaWikiendi
11
57
244
@MoruoKing
Jecha Patel
6 years
Leo nimeoneshwa app ya Ku detect tochi za traffic police hapo Road - Binadamu Undefeated
24
43
243
@MoruoKing
Jecha Patel
7 years
Tuliwahi kuwahukumu walimu kwa kumshambulia Mwanafunzi kwa ushahidi wa Video ya mtandaoni Hii video ingine si Ushahidi? Tunasahau Haraka mno
15
114
242
@MoruoKing
Jecha Patel
5 years
Kwahiyo Rapper kwa kiswahili fasaha ni "Mkemaji" Dah 😂
32
28
229
@MoruoKing
Jecha Patel
4 years
Wazee DIZASTA ni hatari sana
39
16
235