Kuna dame flani alinichapia story vile Mnaija aliwatenda mpaka nikashtuka. Ati walikuwa kwa club, madem watatu, then Mnaija akawaapproach akawaambia ‘I’ll give you $1000 if you come to my house with me’
1. I am still a Virgin - SCAM
2. Nitaingiza kichwa tu - ALL TIME SCAM
3. Am going to see *A* friend - SCAM💯
4. Lets chat niko place noisy -issa SCAM
5. She's/He's just a friend -Major SCAM
6. Babe hata uyo dame si msupuu kukuliko -SCAM !!
Huyo dame akanisho ju walikuwa watatu wakaona haina noma ju wanaeza fight incase of anything, wakaenda na yeye kwa flats fulani ziko na lift. The guy alikuwa anaongea vi gentleman kabisa so hawakuona shida yoyote. Acha nimalize sapa alafu ntaendelea na hii thread
Wakarudi living room ndio sasa wapewe pesa yao waende, wakapata Wanaija wengine ka 7 hapo washatoa nguo wanangoja dry fry 😭😭😭 Ati ata hakuna kuongea, waligeuzwa kugeuzwa. Ukidhani uko safe na mmoja, unaskia Mnaija ameita beshte zake ‘This one is sweet ooooo!’ Wanakuja tena 😭
Okay. Nimeshiba ugali mayai 😝 Sipendi umbea btw but acha tuendelee. So huyo Mnaija akawaonyesha nyumba yake, first thing alifungua closet imejaa different types ya bundukis. Ndogo, kubwa, zote. Na briefcase imejaa pesa. Akawaambia wakuwe tu comfortable