@Mapungo2020
Mapung'o
2 years
Rais mstaafu Kikwete ana onesha heshima kwa Rais Samia, halafu ana tokea kenge huko UFIPA ana fikiri anayo haki ya kuwatukana tu.πŸšΆπŸšΆπŸ™„
Tweet media one
24
16
205

Replies

@jking_unit
SI - UNIT
2 years
@Mapungo2020 @kigogo2014 Hivi unaandika kwa kushirikisha ubongo au ni ubongo ndio umeshirikishwa lkn umeoza?
2
0
2
@Mapungo2020
Mapung'o
2 years
@jking_unit @kigogo2014 Tukana halafu ndio utaelewa nimeandika nini?πŸšΆπŸšΆπŸ‘€
1
0
0
@Bsp13829166
Mwalimu wa Kiswahili
2 years
@Mapungo2020 Wafungwe tu, uhuru wa kujieleza unaushia pale unapogusa wa mwingine.
1
0
3
@DamienNtogwa
kusongwa D
2 years
@Mapungo2020 @kigogo2014 uo niuongoo nan katukanwa
0
0
0
@m_tripled
Jobless,,man
2 years
@Mapungo2020 We bwege na ww c ni wakala wa ccm
0
0
0
@MUSLIM58032595
MUSLIM
2 years
@Mapungo2020 Hii nchi ya hovyo Sana kila mtu mjuajiπŸ‘£πŸ‘£
0
0
0
@draugustine10
draugustine
2 years
Tweet media one
0
0
5
@ManichaJr
Mbendekea
2 years
@Mapungo2020 Samia ni wakumpuuza
Tweet media one
0
0
2
@Elinisaidie_TZ
elinisaidie
2 years
@Mapungo2020 Mbona wasiomuheshimu ni hao hao @ccm_tanzania ambao hawatekelezi anayosema? mfano Alisema Daraja la Tanzanite libadilishwe Mwenge iwekwe Tanzanite hadi leo halijafanyika. Hizo sio Zarau? na kuonyesha Rais hasikilizwi
0
0
1
@dammyG05
Dason
2 years
@Mapungo2020 Ukiwa upande wa nzi lazima ukose kujamian, @kigogo2014 siku izi akipost ushuzi wake anabana upande wa comment, nzi wenzake ndio wacomment tuu. Apo ndio utajua kuubadili uongo uwe ukweli inahitajika nguvu nyingi sana.
0
0
3
@dammyG05
Dason
2 years
@Mapungo2020 Ama na nyie mlidakwa kama roma mkatolikiπŸ˜‚
0
0
0
@kinwillys
Tindo Nyundo
2 years
@Mapungo2020 @kigogo2014 Majizi ya kura yana heshima gani dogo?
0
0
3
@CalvinJ67718996
young Tz
2 years
@Mapungo2020 One team..🀐
0
0
0
@on_rika
Tinted limited
2 years
@Mapungo2020 Mchumia tumbo naona upo busy
0
0
0
@BashireAlex
Ian Bashir
2 years
@Mapungo2020 Kikwete jasusi mbobezi sio hao makenge
0
0
0
@Barawih1
Barawih
2 years
@Mapungo2020 Ufipa kuna vijiwe vya kuvutia heroines (ngada) ndo mana @ChademaTz vichwa vyao vina moto kila kukicha
0
0
0
@BenjaminiMangu1
Benjamini Mangula
2 years
@Mapungo2020 He knows the meaning of being a president in Africa. Play safe and smart.
0
0
0
@frank_lewice
Mtanzania
2 years
@Mapungo2020 Mtazamo wa nje unawachanganya wengi sn wasiokuwa wajuz
0
0
1
@AziziEsq
Esq Abdul Azizi
2 years
@Mapungo2020 Hivi huyo dogo aliyepelekwa mahakamani kafanya nini hasa?
0
0
0
@MASTER_MINDER59
Master Minderz
2 years
@Mapungo2020 Nimeipenda sana hii ya mzee JK. Rais mstaafu Kikwete ana onesha heshima kwa Rais Samia, halafu ana tokea kenge huko UFIPA ana fikiri anayo haki ya kuwatukana tu..
0
0
1