@IamHumbaba
Hum Babah
5 months
Mnakumbuka wale mavijana walikua excited ku graduate Kiganjo? Waka record video wakisema they cant wait kutoka njee waanze kazi. Unakumbuka reaction ya majority wakisema ata wasipewe kazi? Compare io reaction to them na towards the fake cop
@Kenyans
Kenyans.co.ke
5 months
22-year-old lady arraigned in court for impersonating a GSU officer
Tweet media one
404
380
3K
12
169
326

Replies

@Osama_otero
Sir-Rap-A-Lot
5 months
@IamHumbaba @ItsDenzo hiyo day ulikula moto sana 😭😭
1
0
1
@IamHumbaba
Hum Babah
5 months
@Osama_otero @ItsDenzo Nilikua nimejam mbaya Mlikua mmenikasirisha sana
0
0
3
@jimmy_wachira2
Jimmy☣ 🇰🇪
5 months
@IamHumbaba Haha, ata umeenda far. Do you remember fake cop Waiganjo?
1
0
2
@IamHumbaba
Hum Babah
5 months
@jimmy_wachira2 Rage ukua selective sana
1
0
3
@okwanyigeorge
MkOkwany
5 months
@IamHumbaba Maisha Huwa unfair,hata Sahi SI Kuna lawyer Ako Koti ansjitetea sababu Hana makaratasi.
1
0
1
@IamHumbaba
Hum Babah
5 months
@okwanyigeorge Io ni kujitakia, si kukua unfair
1
0
1
@AmRoggoz
𝙎𝙖𝙙𝙞𝙤 𝙈𝙤𝙣𝙚𝙮 
5 months
@IamHumbaba @bennytothedj Society huFavor ladies than men. Ule msupa aliwekwa Lang'ata for murder si wadau walikuwa wanasema awachiliwe? 😂
1
1
3
@IamHumbaba
Hum Babah
5 months
@AmRoggoz @bennytothedj Tuko so imbalanced. Alafu hao vijana walikua trained, uyu kama allegations ni right, hana training. So imbalanced
1
1
0
@mkorino_peddy
Tag DCI tukuite Snitch
5 months
@IamHumbaba Ule Lightskin alishonwa na bandits.
1
0
1
@IamHumbaba
Hum Babah
5 months
0
0
1
@sambamwendwa
Samba
5 months
0
0
0
@mosigisis
فيليكس
5 months
@IamHumbaba I heard that boy died?
0
0
1
@Odhis_Wright
Mr. Wright
5 months
@IamHumbaba Hata umeenda mbali, unakumbuka alleged fake lawyer Brian Mwenda... Clowns likes of Boniface Mwangi who were going for his head ndio saa hii wanasema this lady should be given head of state commendation. Watu bladifakin sana.
0
0
1
@JMukhomba
Mukhomba
5 months
@IamHumbaba Huko ni mbali, imagine mwanaume ushikwe na uniform ya GSU, plus picha ukiwa na AK mbele ya police station...utafika kotiko kweli ama 'utapotezwa'?
0
0
1
@IamHumbaba
Hum Babah
5 months
@showtyme_ke Majaamaa ukua watiaji sana with selective rage
0
0
0
@AmDASHY
Marcus
5 months
@IamHumbaba The streets re never easy for us
0
0
1
@MugaThaFred
Muga.
5 months
@IamHumbaba Ndio nashangaa ata why we complain about our leaders. We like incompetence so much, fake lawyer was getting mad love huku, fake cops pia. But watu wana celebrate after hardwork tuna wa castigate.
0
1
1