Getrude Mollel 🇹🇿 Profile Banner
Getrude Mollel 🇹🇿 Profile
Getrude Mollel 🇹🇿

@Getrude_mollel

28,281
Followers
2,980
Following
3,100
Media
86,269
Statuses

Content Creator 🖊 | Media Personality 📺 | PR & Communications | Author ✍️ | Politics | UDSM Alumna | Proud Masai |

Africa
Joined March 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
5 months
Kigogo anavyojisemeshaga na kujijibu mwenyewe na hizi akaunti zake nne huwa ndo naamini kabisa hakuna ugonjwa mbaya kama wa akili!! @HB_cbe_2020 @mwewe_48 @mapungo2020 @Britanicca0
9
5
28
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Pipooooo
Tweet media one
371
66
2K
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Hilda Isack Nyuton baada ya kupewa majukumu ya Halima Mdee ndani ya CHADEMA..😂😂
Tweet media one
134
56
1K
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Sema Sugu maisha yake yote hatoisahau hii..🤣🤣🤣
Tweet media one
117
36
1K
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
11 months
Rais wa Nigeria ameshiriki sala ya Eid huko Nigeria akiwa na kiti chake. Ingekuwa Bongo sasa, 🤣🤣🤣....
Tweet media one
96
21
1K
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
11 months
Waandishi kwenye Press ya Slaa wamelipwa Tsh 150,000/- kila mmoja, idadi ya waandishi kwa maana ya blogs, websites, Youtubers na magazeti jumla ni 100. Slaa kama Pensioner wa serikali, anapata wapi fedha za kulipa waandishi? Nani yuko nyuma press ya Slaa? Press ya Slaa ni…
Tweet media one
318
39
1K
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
👉Ahsante sana Rais Samia kwa heshima hii kubwa. 👉Mmelala au mko macho?? #MamaYukoKazini #MwakaMmojaNaSamia
Tweet media one
107
55
947
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
11 months
Mnategemea akitoka kwenye media asemee mema Mkataba ule? Kwa namna yeyote ile Tibaibuka (Bil 10 ni hela mboga), kwenye hili angekaa tu kimya kwa maana ana conflict of interests, yeye na Karamagi ni pipa na mfuniko, kwa miaka 22 wanakula tu bandarini pale. Samia Suluhu ni…
Tweet media one
324
49
896
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Huwezi kuamini lakini ndio hivyo. Huyu jamaa ni Mjumbe halmashauri kuu CHADEMA lakini anabeti balaa..🤣🤣🤣.. Shahidi... yangu @kigogo2014
Tweet media one
134
22
824
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
👉Sema Join ze cheni ina lipa sana...😂😂😂 👉Mnampa mtu hela anajenga jumba na alikuwa jela.. haya baba jenga majumba na pesa za Chama.. 👉UFIPA mna mwenyekiti wa hivyo sana...(Nani atampa hela kaka)
Tweet media one
335
30
823
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Kama sio yeye...😂😂😂
Tweet media one
46
22
726
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
11 months
TANGAZO 🚨Natoa milioni 1 kwa mtu atakayeweka kipengele cha mkataba miaka 100. Ila nisikusumbue, hutopata kwa sababu bado hakuna mkataba. 😂 Halafu Bandari itaendeshwa gati kutoka 5 - 7 tu, sehemu nyingine TPA itafanya kazi kama kawaida. Halafu, Mkataba una masharti yake…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
274
37
734
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Demokrasia ianzie ndani ya Chama. Kabla ya kudai mabadiliko ya katiba ya nchi, tuoeni uozo uliomo ndani ya katiba yenu.
Tweet media one
169
35
706
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
👉Mwambie mkeo ukweli, mwambie una mtoto nje ya ndoa yako ambaye ulizaa na muislamu ukamkana kuficha fedheha.. 👉DAMU huwa haipotei... Haya mambo umeshafanya sana, na sidhani kama yanapendeza kwa kiongozi wa nafasi yako. 👉Wakati hili likiendelea, unatugawa kwa udini na ukabila.
Tweet media one
193
42
652
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
👉Mbowe peleka hela ya Maziwa..
Tweet media one
104
17
626
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
9 months
Hii ni siku 4 tu, angekaa mwaka Je? 😂
Tweet media one
147
24
606
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
Tangu Mbowe awe brand ambassador wa Konyagi, hakai sehemu bila Konyagi, yaani lazima atumikie ubalozi wake vizuri. 😂😂😂😂😂
Tweet media one
271
18
605
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
14 days
Ila Mbowe..😂😂 Haachi Nyagi..
Tweet media one
186
21
596
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
It's just the matter of time. ACT hapa mmepata mtu haswa. Kifo cha UFIPA kimetamatika.
Tweet media one
167
10
569
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
10 months
Tulichoahidiwa VS tulicholetewa. Licha ya kukidai chama billions, ameona atoe nyumba yake kama ofisi, kukiongezea chama madeni na hii ni bait ya kuendelea kubaki kuwa mwenyekiti milele..🤣.. Mtamuondoaje mtu madarakani aliyewapa nyumba yake iwe Ofisi ya Chama? 🤣
Tweet media one
Tweet media two
168
23
548
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Kupitia tukio la ACT pale Mlimani City, naamini CHADEMA mmejifunza kitu kikubwa sana.
159
20
515
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Moja kwa Moja kutoka viunga vya NCAA, ambapo naambiwa Watalii kama wote, hii hela inayoingia hapa nchini imepita tayari na zaidi ile Bil. 7 ya Royal Tour. Bado nitaendelea kukuletea matukio zaidi. #MamaYukoKazini
Tweet media one
51
32
514
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
👉Baba yako Prof. sarungi amelitumikia Taifa hili kwa weledi na uzalendo Mkubwa sana.. Bahati mbaya watoto wenye tamaa na uchu wafedha wanatumika kuharibu legacy baba zao walijenga kwenye Taifa hili. 👉Maria ulipofika ni pabaya sana, unatumika hadi kichefuchefu..
Tweet media one
310
32
496
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
6 months
Kushoto nyumba anayoishi Msigwa huko Iringa, na kulia ni ni Msingwa na Lema wakiwa kwenye nyumba ya Mbowe. Maisha hayako fea.. 😂😂
Tweet media one
Tweet media two
261
31
490
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
Chiba inaonekana alimisi sana Konyagi. Yaani ametua tu Bongo ameanza kukandamiza Bapa kubwa, akiwa along side rafikiye Mzee Mboye, A.K.A Dija..🤣🤣..
Tweet media one
182
20
471
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
10 months
Mbowe kakopesha CHADEMA ofisi mpya. Namkubali sana alivyogeuza hawa watu mtaji wa biashara. Lema awe Mwenyekiti ajaye. Uongozi wa hiki chama usiondoke Kilimanjaro hasa Machame. Family Business👏🏻👏🏻👏🏻
Tweet media one
168
18
467
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
Ama kweli Bora Wali Nyama kuliko Walimwengu. Mke wako amekusaidia, hajalala kwa ajili yako, Amekesha kuomba akilia machozi ya damu, ameteseka sana huyu Mama na leo unamsaliti na mzungu? Halafu unataka Urais, Mungu gani atakusikia kwa dhambi uliyomtenda mkeo.. Nalia jamani..😥😥
Tweet media one
Tweet media two
210
46
452
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Napata faraja sana kuona vijana wengi ambao hawana akili wapo CHADEMA.
136
17
424
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
📢KUBWA NYINGINE 👉Tanzania na Jimbo Texas Marekani wameingia Makubaliano ktk Usafiri wa anga, Utalii na Uwekezaji. 👉Ndege za Air Tanzania zitasafiri hadi Texas USA, kuchota watalii kedekede na kuja nao home. 👉Zainab unanisikia? 🔥🤣🤣 #MamaYukoKazini #royaltourtanzania
Tweet media one
73
37
429
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Hotuba kwa Taifa haiwezi kuwa na maneno kama haya. ▶️Uchafuzi Mkuu ( ▶️Mamluki wa CCM ▶️kesi za Mchongo Lissu ni Muhuni tu, kulikuwa na maneno mazuri ambayo angetumia kufikisha ujumbe aliotaka. Lissu bado hajapona, anahitaji kupumzika zaidi.
Tweet media one
175
24
410
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
BREAKING!!! Namna ambavyo @kigogo2014 amekuwa akitumiwa na kulipwa na wanasiasa kuvuruga nchi na serikali.Hapa akipanga biashara ya kumsifia @mwigulunchemba1 na kuchafua viongozi wengine kwa msaada wa hii akaunti ambayo sasa tunayo pamoja na nyingine.Screenshots zaidi zinakuja!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
166
59
435
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
@Labella_Mafia95 Jamaa ni Mtangazaji wa Efm an ETV, pia ana media yake Kitenge Media ambayo ina muingizia Mpunga wa kutosha, pia ni mshauri wa masuala ya media na mipango ya mawasiliano, pia serikali wanamtumia sana kwenye issues zake, wanasema ni kipenyo, sina uhakila, town kitambo, deals kibao.
35
9
425
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
5 months
Mwenyekiti yuko active sana, yani yeye na Konyagi ni Damdam.😀😀
Tweet media one
114
21
424
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
UFIPA wana namna bora sana ya kuwasilisha jumbe zao..🤣🤣
Tweet media one
36
14
414
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
DJ ameanza kazi...🤣🤣 Chadema gani ishike dola.. Labda dola ya Zimbabwe...
Tweet media one
85
12
368
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
Nimesikiliza speech yote ya chiba ila nilichoshangaa ni kwamba hakijafikisha steamers hata 200 kwenye Youtube yao, acha hiyo tu, nimetazama kwa media nyingine hali ni mbaya.. Imagine Youtube ya UFIPA ilikuwa na watu wawili tu, na mimi ndio watatu..😂😂 anaongea na dunia eti.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
156
19
370
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Hebu CHADEMA onesheni Picha kama hii huko Zanzibar, yaani kama hii mkiwa huko Zanzibar. ACT ndio CHAMA KIKUU cha UPINZANI nchini..💪💪💪💪💪...
Tweet media one
240
36
351
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
5 months
Mkutano wa CCM Chipukizi una madini mengi sana kuliko mikutano yote ya Ufipa 2023.
73
50
359
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
👉Muasisi mzee Mtei, hajui hata akaunti ya Chake ina bei gani.. 👉Mzee anaishi bado nyumba Mbovu, wakati Mbowe anajenga majumba ya kifahari, sio sawa... 👉Mzee Mtei ana mchango mkubwa sana kuijenga CHADEMA, kwa nia njema, ila mhuni Mbowe, wenzake wamekiharibu, na pia hawamtunzi.
Tweet media one
123
14
336
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
CHADEMA na MATUSI.
Tweet media one
42
19
331
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
#PIGO : K/Mkuu wa Chadema John Mnyika amekubali kujiunga na ACT Wazalendo baada ya mazungumzo ya Saa 7 kati yake KC ZittoKabwe na Makamu wa kwanza wa Rais Mh Othuman Masoud .Na taarifa za ndani zinasema Mnyika atachukua kadi siku ya Mkutano Mkuu Tar 29, Januari 2022, Mliman City.
Tweet media one
181
43
336
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
Unaweza kudhani hapa ni DSM, Arusha ua Jiji moja kubwa hapa nchini. Hapana, hapa ni Msomera - Handeni, Tanga, ambapo ndugu zetu Wamasai wanaishi kwa sasa baada ya kuhamishwa kutoka Ngorongoro. Hii ni shule ambayo watoto wao wanasoma kwa sasa. #MamaYukoKazini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
122
24
335
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Vijana na BA-VICHAA akili zao mbovu sana, yani baada ya kuweka picha kuonesha UMATI wa ACT Zenji nikaomba na wao walete yao tuone..🤣 Tazama sasa WALIVYO VILAZA, hii ni photoshoped. 👉Zoom angalia watu wanatazama wapi, hakuna hata mmoja anamtazama Lissu 👉Wameunga picha..🤣🤣
Tweet media one
116
14
309
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
👉Msisahau kwamba haki huwa na pande mbili, na sio lazima kila wakati iwe ule upande unaoutaka wewe tu, hapana. 👉Kuna unasababu zako za kuwatetea Wamasai wa Ngorongoro na unapigana wabaki, hata sisi tunaotaka waondoke, tuna haki yetu kusikilizwa kwanini waondoke, ni haki yetu.
Tweet media one
102
24
321
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
👉Mnajiita Chama cha Demokrasia, halafu mna mtu yuko Madarakani miaka 20+, demokrasia gn hiyo? 👉Mkapa leo akifufuka akikuta Aikaeli M'kiti, anaweza kufa tena..🤣🤣 👉Mbowe achia madaraka, na ukitoka wewe asiingie tena mchaga mana mna ukabila sana, mlitaka kumuua zitto..
Tweet media one
137
34
313
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
1. Gerard Hando Aliikosa Serikali kuhusu suala la mikopo, EFM ikamla kichwa. 2. Gary Lineker Ameikosa Serikali yake kuhusu sera ya wahamiaji, BBC wamemla kichwa Funzo: Tuheshimu mamlaka, UFIPA muache kutuambia Ulaya wana Uhuru wa habari. National Interests kwanza. 🤣🤣 Kimyaa
Tweet media one
Tweet media two
150
21
316
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Ukiamka asubuhi ni raha sana kuwa taifa lako liko chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
47
18
301
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
Sehemu ya kwanza ya maboti ya @kigogo2014 .‼️ haya yote anayaendesha yeye mwenyewe.‼️
Tweet media one
146
19
309
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
6 months
Baba Levo katika levo zake. Simpingi hata chembe, jamaa anaongea vitu vya ukwel tu.
Tweet media one
97
17
313
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Ni ngumu kusema, ila @JonMrema waambieni watu wenu ukweli. Pole Aikaeli, Mungu akuponye haraka, tusikatie maradhi tamaa..
Tweet media one
62
6
297
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
Ofisi ya Wilaya ya Chama Tawala kali kuliko HQ ya UFIPA. Halafu kuna watu vichwa mchunga bado wanawaza kushika nchi....
Tweet media one
Tweet media two
170
14
305
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
👉Mikusanyiko isiyo na kibali ni hatari kwa usalama wa Taifa letu. 👉Halafu mkiitwa magaidi mnapiga kelele. 👉Kama lengo la mkusanyiko wako ni jema why usiombe kibali? 👉Jeshi la Polisi, zuia huo ujinga wakileta ubishi washtueni magoti kuwaonesha kuwa mpo active..
214
20
298
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
Aibu ya Mwaka.
Tweet media one
88
8
291
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
Haya Maisha.. Haya.. Watu wa Mwanza wako busy na shughuli zao....🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
Tweet media two
96
21
284
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Huu mwaka UFIPA lazima mpate sukari..😂😂
Tweet media one
15
9
273
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Watoto wetu wanasoma bure. Shule ya msingi hadi Sekondari, na kwenye bajeti ya 2022/23 Serikali imefanya hadi kidato cha 5-6 bure bure, mnajua ni kiasi gani kinatumika kufidia yote hayo? Elimu bila ada pekee, ni Tsh346.65bn/-. Hii yote inatokana na tozo zetu.. #MamaYukoKazini
Tweet media one
156
29
270
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
"Ogapa teknolojia na Mungu" - Ruge Mutahaba (RIP). Jamaa mwongo sana, anadhani hatumjui, tupo tunamtunza tu ila siku tukiamua kufukua files zake atajuta kuzaliwa. Aje hapa akanushe na hii, @privaldinho hongera kwa kazi nzuri hapo yanga, endelea kumpa vipande huyo mshamba.
Tweet media one
Tweet media two
98
18
274
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
3 months
🚨🚨USALITI wa MBOWE kwa Chama chake Kisa Mabilioni ya Lowassa.🚨🚨 🔴Lowassa hakuwahi kuwa Mwanachama wa Chadema, hata wakati anagombania Urais ndani ya Chadema kwa kuingia mlango wa nyuma, hakuwahi kuchukua kadi ya chama hicho. Kama alikuwa Mwananchama kweli wa Chadema,…
Tweet media one
137
27
274
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
9 months
➡️ Hapa Taasisi ambazo zina haki ya kusikilizwa kwenye suala la Bandari ni Bunge na Mahakama, sio taasisi yeyote ya dini wala kikundi chochote hapa nchini. ➡️ Kwenye suala la IGA tayari Mahakama Kuu kanda ya Mbeya ilishatoa hukumu kwamba IGA haina tatizo na kubariki mchakato…
Tweet media one
321
35
270
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Mwenye updates Msigwa jamani. 🤣🤣🤣.. Tunataka kujua yuko wapi na anaendeleaje?
Tweet media one
25
15
262
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Kwenye hii issue ya Prof. J naona CHADEMA wamejitenga zaidi, hata muda hawana. Wako na Mbowe tu. Wasanii wenzake wamekuwa mstari wa mbele kuliko makamanda wenzake wa Ukombozi. Sio sawa. Get Well soon CHAMP.
Tweet media one
128
25
260
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
4 months
Hali Mbaya Sana Magomeni, Watu Wagoma Kuendelea Na Maandamano, Waketi Kwenye Viwambaza Vya Kanisa Kujikinga na Jua, Wengine Wakiri Kujua Kuacha Shughuli Zao.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
119
32
264
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Pipoooo...
Tweet media one
102
13
241
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
10 months
Mungu nifunze kunyamaza.
Tweet media one
106
14
255
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
WATANZANIA. NA MAHARAMIA
Tweet media one
Tweet media two
44
18
238
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
Chini yake; 1. Watoto waliopata mimba shule wanarudi shule. 2. Mikutano ya hadhara imerudi kama kawaida. 3. Amefungulia vyombo vya habari, magazeti na TV. 4. Waliofungwa jela kwa uonevu wametolewa. 5. Tumepata chanjo ya Uviko-19, nchi imefunguka. #MamaYukoKazini
Tweet media one
129
35
251
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Tozo imepitishwa na Sheria ya Bunge kiazi wewe, banker gani una akili kisoda kiasi hiki. Ndio nyie baadae tena mnakuja hapa kubeza hamna dawa hospitali au barabara mbovu, acheni utoto lipeni tozo kwa maendeleo ya taifa letu. #TozokwaMaendeleo
@rollymsouth
Madenge
2 years
Mnabadilisha maneno sahivi mnasema hatutaki kulipa kodi?sisi?toka lini?sisi tumesema hatutaki tozo msijtoe akili #SayNoTozo
120
200
1K
260
12
237
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Milele na milele😂😂😂😂😂
Tweet media one
60
15
236
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
Hotel Aishi Machame. Mhotel wa Mbowe huu uliojengwa kwa fedha za Ruzuku. Na ile ruzuku ya 2020 waliyoikataa zaidi ya Milioni 800 tayari ameshaichukua. Hakuna kima yeyote wa UFIPA atalamba hata 100, yote Mbowe anakwenda kuisosomola na familia yake. Hiki chama ni biashara tupu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
179
18
242
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Nasikia Hilda aligombea ukatibu wa bawacha akapata kura 3. Maajabu..😂😂
49
6
235
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
President Samia Suluhu in red attire, a symbol of power and authority. Wrapping on red Hijab, a reflection to her Islamic faith, walking briskly in front of two bodyguards wrapping blue turbans. On her entourage, there is Dr. Mpango, the Vice President as she takes off to USA.
Tweet media one
17
22
238
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
"Hatuwedhi kupigani demokrathia na njaa"....😂😂
Tweet media one
43
13
235
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Nigeria is globally known as the hub of scammers. This could have been worse if a person from other country had brought up same allegations. But Nigerians, their mischievous behavior of scamming is ubiquitous. All this after she failed to siphon $10k from Hotel Management.
35
47
236
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
3 months
🚨USIA WA MAREHEMU UHESHIMIWE🚨`
Tweet media one
177
38
240
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Mwenye video ya Pambalu anaongea kingereza kuna 100k hapa. Ipost kwenye comment na namba yako nitume mzigo. Hata ya sekunde 5 tu.
67
14
224
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Hela inaliwa sana UFIPA, eti milioni 88 haka..🤣🤣🤣
Tweet media one
107
9
223
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
9 months
Charles Kitima ni chawa cha Chadema hii iko wazi kabisa, mambo haya ya kutumia Mwamvuli wa dini kupenyeza ajeda za kisiasa hata siku moja sio mazuri. Waraka wa Kanisa katoliki hauzuio utendaji wa serikali, nchi hii ina madhehebu mengi, kila dhehebu likitoa msimamo wake…
Tweet media one
276
27
227
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
DJ anaramba tu asali..🤣🤣🤣 vikao vya Ikulu vinalipa.. Na hii issue ya Wamasai, enzi zake angeishaita Press na kulaani vibaya mno.. Lakini waapi.. Akina Hilda Nyuton na MMM ndio wanakaza tu mishipa.. Haya mtuambie Mwenyekiti anaumwa au mzima? 🤣🤣🤣 #MamaYukoKazini
Tweet media one
94
19
212
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Mtu wa Masaki akienda Kigamboni atalipia kwenye Daraja, na Mtu wa Kigamboni akija Masaki atapita bure. Mbona watu wa Masaki hawalalmiki? Ujinga, as if Masaki ni nchi nyingine kumbe wote ni Watanzania, Hata mtu wa Mkoani nikienda Dar, Masaki napita bure, Kiga Nalipia.
Tweet media one
36
14
216
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
Yanga wanakuwa kama UFIPA bwana. Fei Toto hataki kucheza Yanga, ameununua Mkataba wake, hamuwezi kumlazimisha akae eti hadi 2024, ili? Amelipa 112M, mtulie, dogo atafute pa kwenda, huwezi kumpa Bigirimana 18M kwa mwezi na anarukaruka tu, Fei umpe 4M si zarau hizo..
56
6
220
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
🤣🤣... Kutoka Huko Ubelgiji..🤣🤣.. 👉Chiba anaponda raha huko Ubelgiji halafu zikiisha anakuja kuchanga zingine, UFIPA mtalea hawa watu mpaka lini? 👉 @kigogo2014 ndoa ya Chiba ina hali gani, any updates shemasi?🤣🤣
Tweet media one
69
20
220
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
6 months
Usiruhusu Mke au Mtoto wake wa kike apige picha na Mbowe.
Tweet media one
175
12
220
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
3 months
Ila Chadema… 😂😂
Tweet media one
120
21
217
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
Unalia nini Baba kwani uwongo hujamsiliti mkeo na Transgender? Halafu kuna watu wanafiki sana, 🤣.. Yaani mwenzie analia kwa uchungu, yeye anacheka..🤣🤣. Yaani UFIPA wanasema ile picha ni editing, ngoja tutulie kabla hatujaanza kuachia za chumbani, mtakimbia humu wote.🤣.
Tweet media one
120
11
215
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
9 months
🚨ASKOFU MINDE HAUNGI MKONO WARAKA WA TEC🚨 Ili Mjue akina Kitima ni matapeli, ili Mjue Waraka wa TEC ndio Waraka wa Kisiasa ulioandaliwa na CHADEMA na kuwasilishwa na KITIME. Taarifa za ndani kutoka Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi zinasema Askofu Minde hayupo sambamba na tamko…
Tweet media one
302
20
214
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
👉🤣🤣 Huko Nairobi kimenuka... 👉Kila mtu anataka kulala na Rajs wa 2045, Pambalu amekasirika hatari unaambiwa..🤣🤣 👉Vijana wa UFIPA wamerushiana makombe waziwazi.
Tweet media one
75
3
201
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
👉Atakayenionesha tweet hata moja ya Pambalu ya KINGEREZA, na mimi namuonesha Ng'ombe anayetaka..🤣🤣 👉Hii ukitoa quotes za watu, nataka natural tweet. 👉Of all People pale UFIPA, Criteria gani imetumika kumpa huyu jamaa uwenyekiti..🤣🤣
Tweet media one
182
10
206
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
👉UFIPA bwana...🤣🤣
Tweet media one
38
14
204
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
9 months
Mikutano ya UFIPA ukitazama vizuri unakuta watoto tu yani, watu wazima hawana muda kuhudhuria hii mikutano wanatuma watoto wao.
Tweet media one
200
16
203
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
🤣🤣🤣Bakita Bwana...
Tweet media one
45
17
195
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
3 months
😂😂…. Ila Chadema, si tuna msiba jamani…
Tweet media one
109
29
202
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
🔸Vitu vinne ambavyo hadi Leo hatujui vina kazi gani..🤣🤣
Tweet media one
56
20
192
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
1 year
Kama ukitazama vizur kwenye picha pale nyuma, kuna chupa ya asali, Mama anacheki kwenye NoteBook yake ampatie kiasi gani safari hii.😂😂😂 Mbowe folded hands posture reveals his desperate craving for honey, with fetish staring at the honey pot beside Mama. SIASA NI SAYANSI
Tweet media one
44
9
194
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Hali inazidi kuwa Mbaya, Wakati moto unawaka, huku wadau wanakuja na petroli kuuzima.. Mungu nipe uhai nione mengi zaidi. Hizi ni salamu..
Tweet media one
14
16
191
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
👉Roho Kwatuuuuu.. Jamaa kamuita ZITTO kwake, kampongeza licha ya Kwamba MAUFIPA yalimtusi.. 👉FAM kamuomba radhi ZZK kwa niaba ya akina Kichaa Martins na akina Pambalu.. 👉FAM is restructuring the Party, the ideology and attitude under your Watch.. 👉Woyoooo..
Tweet media one
37
13
193
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Tunazidi kuwanyima UFIPA content. #MamaYukoKazini
Tweet media one
26
5
182
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
AHSANTE JEHOVA, 👉Ofisi yetu ya Ruaha Imetumia Milioni 100. 👉Bado milioni 20 za Parking.. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
50
11
183
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Vijana wa CHADEMA wakiwa kwenye kazi wanayoipenda kuliyo yeyote ile. 🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
39
11
180
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
👉12 years back Mzee Sitta na Lowassa waliingia kwenye mtifuano mkali sana kisa tu madaraka. Lowassa akiwa PM, Sitta akiwa Spika. 👉Wakati wa Kikwete, Sitta alidhani yeye atakuwa PM, ghafla akaona Lowassa amechukua nafasi. 👉Mzee akaona afungue chama, CCJ awe kabisa Rais..🤣🤣🤣
Tweet media one
10
11
180
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
👉Jangala bwana..🤣🤣..Kwamba bora afe.
Tweet media one
9
10
184
@Getrude_mollel
Getrude Mollel 🇹🇿
2 years
Mbowe+Lissu+Mnyika+Heche+Lema+Pambalu+Martin+Mrema = Zitto.
Tweet media one
43
21
182