Azizi Kasese Profile Banner
Azizi Kasese Profile
Azizi Kasese

@AziziKasese

2,352
Followers
165
Following
41
Media
1,058
Statuses

Champion Magazine Columnist (Mwalimu wa Zamu) ✍️| 'HUBA HURU' content creator ✨

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
FOOTBALL INAPOKUTANA NA KALAMU..🧠
Tweet media one
4
12
119
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Baada ya kupata mwanamke mwenye akili kwaajili ya watoto wangu. Nitatafuta mwanamke mrembo kwaajili yangu.. Nastahili kupata furaha pia😇
23
58
547
@AziziKasese
Azizi Kasese
18 days
Mwanamke usifute namba yake wala usim'block. ILA USIMTAFUTE. Mfanye ajue kuwa unauwezo wa kumfikia lakini umechagua kutofanya hivyo.. Wanachanganyikiwa sana wakigundua wanapuuzwa kuliko ukiamua kushindana nao..
14
63
501
@AziziKasese
Azizi Kasese
3 months
Kwenye utafutaji option ni Moja tu. Uwe na mwanamke anayeelewa hustle zako na kuziheshimu. Ama usiwe na mpenzi kabisa..
20
90
477
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Msena aliwahi kuniambia. "Nisiishi kwa kutegemea uji wa mgonjwa. Akifa nimekufa, na akipona nimekufa." Nilimuelewa..
14
82
460
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Msena aliwahi kuniambia.. "Matatizo yaliyokwisha yasikufanye usahau deni la mganga Maombi yaliyokamilika yasikufanye uache ibada"
8
66
333
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Alhamdulillah.. Happy Birthday to Me..🙏
Tweet media one
41
18
329
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Sipendi kukagua simu ya Mwanamke, sipendi kumfatilia sana Mwanamke, napenda aishi kwa akili yake , afanye vitu kwa utashi wake, na siku akishindwa basi ashindwe kwa hekima zake.. Ni mahusiano kwangu sio utawala.. ni mapenzi sio biashara.. NI NGUMU KUMCHUNGA BINAADAMU.
15
71
320
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Wale tuliokuwa tukiwaona wasumbufu, wameacha kutujulia hali. Tuliokuwa tunadhani wanajipendekeza, wapo bize na maisha yao. Tuliowaona wajinga kila walipotusamehe, wamechagua watu wapya wa kuvumilia madhaifu yao. Never take love for granted. Hata hisia imara huisha, zikipuuzwa.
11
98
320
@AziziKasese
Azizi Kasese
1 month
Maumivu mengine makubwa, ni kuona umri wako unasogea na hakuna hatua yeyote unayopiga kimaisha.. Mungu atufanyie wepesi🥲🙏
5
47
322
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
“Mlipe mtu ujira wake kabla jasho lake halijakauka. Hata kama ni kiwango kidogo cha pesa basi angalau usizidishe muda ulioahidi kumlipa. Na kama ukikumbwa na changamoto za kutimiza ahadi yako onyesha kuwajibika." Ushauri nilipewa na Mlinzi wa shule flani..
3
71
289
@AziziKasese
Azizi Kasese
1 month
Unakumbuka yule uliyemueleza kuhusu safari yako, ghafla barabara ikaota mimba? Umesahau yule uliyemwambia kuhusu ule mchongo, ghafla ukaota mbawa.. Chagua kukaa kimya.. HASAD IS REAL..
4
61
288
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Tumeshakuwa, sio wadogo tena kama zamani. Sasa hivi wazazi wanatueleza matatizo yao, sisi tunaficha ya kwetu. Life cycle..🙏
10
69
284
@AziziKasese
Azizi Kasese
1 month
Vijana wenzetu mliopata bahati ya kuaminiwa mahala flani, kuweni mabalozi wetu wazuri. Usela, ujuaji, uwe na mipaka wanangu, msiharibu. Kiasi cha kuwafanya waliowapa nafasi watutazame vijana wote ndio WALEWALE.. Tabia zenu, zimebeba kesho za vijana wenzenu,
8
56
284
@AziziKasese
Azizi Kasese
3 months
Kisasi chake yeye ni kulala na wanaume tofauti.. Kisasi chako ni kufanikiwa. Kisasi chake kinampunguzia thamani. Kisasi chako, kitatengeneza kesho yako. Uzuri huisha, mafanikio hudumu. Jijenge braza.
4
65
275
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Msituite kwenye interview kama mmeshaandaa majina ya mtakaowapa kazi.. Baadhi yetu huwa tunakopa hela ya nauli, kuja kupigania kisichokuepo🥲
3
56
266
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Mzee wangu aliwahi kuniambia hakikisha mwanamke anaijua sura yako nyingine tofauti na ya upendo.🙏
11
59
259
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Hakikisha hauwi mwanaume msumbufu, kwenye inbox ya mwanamke anayekuona unapoteza muda wako.. Wanaume wenzako, tunakuomba sana kaka..🙏
3
49
260
@AziziKasese
Azizi Kasese
3 months
Kama ungejua jinsi wanawake walivyo rahisi wanapokutana na wanaume wanaowapenda.. Usingeendelea kufosi usipohitajika..
7
45
254
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Yeyote anayekupa connection ya kupiga pesa, Automatically anakuwa tayari ni familiaa.. Yeyote anayekupa mipango ya kupata ugali, Moja kwa moja anakuwa damu yako. Tuwalinde watu wa aina hiyo, maana ni adimu sana.
5
71
250
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Huyu ndiye mwanaume.. Akiwa mtoto anampenda sana mama yake.. Akiwa kijana anampenda sana 'Girlfriend' wake.. Akiwa baba anampenda sana mtoto wake. Akiwa babu anampenda sana Mjukuu wake. YES, hakunaga penzi la kudumu kwa mwanaume.
1
50
250
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Philippians kinajulikana kama kitabu cha furaha zaidi kwenye bible.. Lakini kiliandikwa gerezani, Cha kujifunza hapa, ni hali yako haipaswi kuiba furaha uliyonayo. Unaweza kupitia mateso na bado ukazalisha tabasamu kwa wengine.
1
44
242
@AziziKasese
Azizi Kasese
3 months
Baada ya mvua kuacha kunyesha, mwamvuli hugeuka mzigo. Baada ya kipofu kupona, fimbo yake hukosa maana tena. Ni ngumu watu kukupenda wakishamaliza kukuhitaji. Ni maisha.
5
62
238
@AziziKasese
Azizi Kasese
1 month
Siku Moja chukua CV yako, kisha angalia sehemu ya Referee wako, wapigie simu jifanye kama wewe ni mkurugenzi wa kampuni unataka kujua kuhusu wewe, usikie maoni yao.. Unaweza kuta mchawi wa maisha yako yupo kwenye CV yako..🤷
1
46
238
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Muda mwingine wale ambao una mipango nao.. mipango yao haikuhitaji wewe. Kuwa na hekima kulipokea hili..
4
48
229
@AziziKasese
Azizi Kasese
3 months
Kuna ambao bila ugomvi wala chuki, walifuta namba zetu. Waligundua mapenzi yamekwisha na hatuwezi kuliongelea Hilo, wakachagua kujiongeza. Wamebaki kuwa ma ex tunao heshimiana na kupendana ila kwa mbali sana. Maturity..❤️
4
52
231
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Nilianza kuwa na adabu Ile siku niliyoona engine ya Benz ikiwa imebebwa kwenye mkokoteni inaenda kuuzwa kama skrepa. Niliogopa pale msiba wa yule tajiri kaburi lake kuchimbwa na wale vijana wanaoitwa wezi na masela wa mtaani. Maisha yakikupa ukubwa, chagua kuwa humble.🙏
3
48
233
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Tumechoka ndio, lakini ndoto zetu tumuachie nani? Tunalala hoi tunamka hoi hadi wachawi wanaweza kutupeleka shamba na bado tukategea kulima. Tunawaza mengi huku tukijipa imani, labda kesho haitokuja na adhabu nyingi kama leo.🙏🥲
6
60
226
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Maisha yanakutaka uwe muungwana kwa watu tofauti tofauti, kiasi kwamba hata wakitaka kukuroga wakute Mganga ni rafiki yako..
0
54
223
@AziziKasese
Azizi Kasese
3 months
Ukipata nafasi ya kuwa karibu na boss, usiharibie wenzio.. Kinachokueka kazini ni ujuzi, sio majungu yako..🙏
4
51
225
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Kwasababu ya ulinzi wa kesho zetu, tulikubali baadhi ya vitu vitupite, tukaambulia kuitwa WASHAMBA. Ila freshi tu.
2
51
208
@AziziKasese
Azizi Kasese
6 months
Kuna dogo kaweka status, kumekucha tukapambane, Afu yeye karudi kulala. Kuna binti kaandika, beautiful night with bae, na jana alikuwa analia kwa kutopokelewa simu na bwana ake! Kuna jamaa kapost Aya za Biblia, na sasa yupo njiani anakwenda kwa Mganga Mtandaoni usije na wivu💔
10
43
210
@AziziKasese
Azizi Kasese
3 months
Kuhusu mimi. Utanikuta kanisani, mbele kabisa naimba mapambio, Na bado utaniona club, pale counter nacheza amapiano.. Kitu kizuri ni sina muda wa kujieleza kivyovyote kwako.. Mi ni malaika ama shetani? Utajua mwenyewe na tafsiri yako..
12
44
208
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Hakuna watu wanashangilia mafanikio yako kwa maumivu, kama ndugu waliotamani kukuona ukifeli. Mungu aendelee kuwapa umri mrefu🙏
3
32
208
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Mpenzi wako aliyekueka dp, tumemtongoza na amekubali. Yule binti yako unayemchunga kwa kujenga fensi, ana ujauzito na baba wa mtoto hamjui. Yule uliyetambulishwa ni just a friend, wewe ndo rafiki yao wakiwa pamoja. Uaminifu ni hulka ya mtu sio kiwango cha kuchungwa kwake.
4
41
206
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Mungu tusamehe sana kwa hizi DHAMBI tunazoziita lifestyles 🙏🏽
4
35
208
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Oya mbabe, yule mnyonge uliyemwambia akashtaki popote, ameenda kulia kwa Mungu wake Yule uliyegombana nae ukamwambia ukifa asikuzike, ametangulia yeye mbele za haki na ugomvi wenu Yule uliyekwenda kumsema vibaya kwa watu, ndie huwa anakutetea wakati haupo. UNAJISIKIAJE BINGWA?
8
58
205
@AziziKasese
Azizi Kasese
3 months
Inua kichwa mwanangu, kaza.. kama unasubiri neno zuri la kukupa tumaini, hautalisikia Kamwe. Wewe ni mwanaume, hakuna anayejali kuhusu wewe, hakuna anayekuhitaji.. Mpaka pale utakapokuwa na hela ama chochote cha kuongeza thamani kwenye maisha yao.. Kaza.
4
51
204
@AziziKasese
Azizi Kasese
3 months
Ni wajibu wake kuvunja mahusiano na wewe kama ana mashaka na mafanikio ya kesho yako.. Ni jukumu lako kumfanya ajutie maamuzi yake, mpaka mwisho wa maisha yake.. Pambana msela.
7
50
205
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 days
Kwenye Dunia ya mahusiano na ndoa. Wanawake wanaenda kwenye kesho yao, wakiwa hawajamalizana na jana yao. Ogopa sana..
4
25
208
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Kuna tofauti kubwa sana kati ya, Mwanamke anayetaka kuwa na mume. Na mwanamke anayetaka kuwa mke. Kama unadhani wanafanana, basi una safari ndefu sana..
4
53
200
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Kijiweni kwetu tumekubaliana. "Kama Uzuri wake utakufanya usijione Mwanaume mbele yake, Muache akatafute Mwanamke mwenzie Mwenye Jinsia ya Kiume"
4
39
196
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Mfundishe kijana wako kazi za nyumbani, hili kesho aoe mke sio mtumwa Mfundishe binti yako nidhamu ya pesa, hili kesho aolewe na mume sio mhasibu Wafundishe kuhusu makosa na samahani, kesho wajue wanaenda kuishi na binadamu sio malaika Wafundishe mapema, ulichochelewa kukijua.
10
59
196
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Niliwahi kusoma mahali, "Ukitaka mapenzi yakutese, jifanye hayakutesi." Nilielewa..
4
31
189
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Na wakikuuliza kuhusu mimi? Wajibu mchizi hakujipata, kwasababu ya kiburi chake Waambie alirudi kijijini na maisha ni magumu zaidi ya mwanzo Kula yangu ni ya shida, Sina muda wa kuiwaza kesho, na naishi na laana ya wazazi. Waambie kwasababu Habari zetu mbaya ndio furaha yao,😢
9
48
188
@AziziKasese
Azizi Kasese
1 month
Kama si misiba, vikao vya migogoro ya mali za ukoo, wengi wetu tusingekutana na ndugu zetu.. Tunaunganishwa na matatizo🥲
1
33
190
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Wakati mwingine unatakiwa umuache huyo mwanamke akawe pasua kichwa kwa mwanaume mwingine.. Wakati huo wewe unamsubiri mwanamke atakayekuwa amani kwenye maisha yako.
3
32
187
@AziziKasese
Azizi Kasese
17 days
Zaliwa. Nenda shule. Tafuta kazi. Funga ndoa. Pata watoto. Fata sheria. Teseka. Kisha kufa. Maisha yetu tayari yapo programmed, muda wote tupo bize kukimbizana na kitu flani.. Tunasahau kuishi. A SAD STORY.
1
30
185
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Stage tuliyofika, ukija kuthibitisha ubaya ulioambiwa kuhusu sisi, tutakwambia amini ni ukweli huo. Ukituambia fulani anatusema mno, tunakujibu hata sisi huwa tunamsema hasipokuepo. Tumeacha kujisafisha kwenye kila tuhuma, kwasababu ukweli wetu kwenu ni, JAMAA ANAJITETEA SANA.
4
44
185
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Kama una mtu mwenye nia njema na wewe, anayeweza kukukataza unapokosea, na kukushika mkono wa wapi ni uelekeo sahihi. Hongera. Sisi wengine ulimwengu ndio ulikuwa mama, vyote tulivyojifunza vina historia ya maumivu yetu. Ilibidi tujikwae sana, ili tufike unapotuona.
3
50
186
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Muda mwingine hatutoki kitandani. Sio kwasababu ya usingizi na uchovu. Bali ni msongo wa mawazo, vichwa vyetu mpaka sasa vina maswali ya kivipi tutarudisha tabasamu nyumbani. Ni kwa vipi tutarudisha jasho na sacrifice walizofanya wazazi wetu kwaajili yetu. Inatu'umiza sana.😢
5
58
181
@AziziKasese
Azizi Kasese
6 months
Kitu kimoja nawakumbusha wanangu, Gawana na wenzio ridhiki Ili ipunguze chuki.. Ama ficha sana neema zako, Ili uikimbie husda.. Watu hawapendi uwe na raha, kama una kazi, mpenzi mzuri, hela na chochote cha kutamaniwa, ficha. Wengi wameharibikiwa kwasababu ya hasadi🙏
6
51
184
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Mwanaume pekee anayeweza kumuongoza mwanamke bila mabishano. Ni cameraman tu.
2
32
182
@AziziKasese
Azizi Kasese
3 months
Chochote unachofanya, Tafadhali! Usikanyage ugali wa mtu, Usizamishe boti ya mwengine, usichukie kutangulia kwa yeyote. Kwasababu, keki ya Taifa ni kubwa, bahari ina kina kirefu cha yeyote kuogelea upande wake, na foleni ya riziki yako haiitaji haraka ama kuchelewa kwa wengine.
2
42
182
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Vitu unavyovifanya saivi ukidhani ni ujanja, Kuna mtu ndo anajaribu kuacha. Maana vimem'cost sana Yale mambo unayoyaita ndio ujana, kuna kijana amekubali yampite. Chunga mstari uliopo kati ya kula maisha na kuharibu kesho yako. Leo yako ndo itaamua uzeeni ucheze bao au golf ⛳
5
53
182
@AziziKasese
Azizi Kasese
10 days
"Mama amesema umpe Unga kidogo akipata hela atarudisha" "Baba J akija kuniulizia mwambie sipo" Hizi kauli mbili kutoka kwa wazazi wetu, zilibeba maumivu mazito.. Kuna wakati unaweza kuhisi unayopitia ni adhabu, kumbe ndio MAISHA YENYEWE 😢
4
27
181
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Jogoo aliekuwa akionekana mwema kwa kuwaamsha mapema, kachinjwa walipo kuja wageni. Sukari iliyosifiwa utamu kwenye chai, usiku imetelekezwa ni zamu ya chumvi. Pamoja na mbwembwe zote za suti kupendeza, mazishi yalihitaji sanda. Unaweza kuwa muhimu lakini sio kila wakati..🙏
3
41
179
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 days
Na machozi yako yajayo yasiwe kwasababu ya anguko na maumivu.. Bali ni baraka na maombi yaliyojibiwa.. Na furaha yako ijao iwe real, na sio Ile unayoionesha ili wanaokutegemea wasife moyo. AMEIN🙏
11
33
176
@AziziKasese
Azizi Kasese
6 months
Gari la ndoto zako, kuna mtu analiendesha baada ya kuamka Yule mwanamke wako asiye na muda, Kuna msela anamuona kero Yule ex wako mpiga vizinga, Kuna sehemu anamvumilia mwana asiyempa chochote Yule anayekuvimbia, Kuna sehemu na yeye wanampuuzia Dunia Haina mbabe wa kila mtu🙏
3
40
174
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Wanakupenda kwasababu upo na mumeo, anakuhudumia fresh, na unapendeza kila siku.. ACHIKA UONE..
3
23
174
@AziziKasese
Azizi Kasese
3 months
Maumivu makubwa ni kufuta namba ya marehemu. Maumivu makubwa zaidi ni pale unapokutana na conversation yenu, nyakati zile yu hai.. Zile emoj za kucheka, namna anavyo reply status zako, na utani wa hapa na pale.. Ooh, Kifo.😢
6
37
170
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Usimtengenezee gereza.. muache kijana mdogo akawinde. Hiki ndio kipindi ambacho ana nguvu ya kupambana kwaajili ya kesho yake, mruhusu akawinde. Kama akimuua tembo, umasikini wake utaisha. Kama tembo atamua kijana, umasikini wake utaisha vilevile.. Ni maisha.
2
43
171
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Kuna ambao hawaongei tena na sisi, wakituona barabani wanabadilisha njia. Wanajistukia Walitukosea wakadhani hatutajua, na wala hatukuwaambia, ila wakajipunguza maishani mwetu Mpaka leo wanatamani kutusahau, lakini Wema tuliowatendea bado unawatesa moyoni. Sisi Bado tunaishi🙏
7
40
169
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Mwanamke anamkinai haraka sana mwanamme ambaye hana vile vitu alivyotarajia amkute navyo nyakati zile anamtongoza. Imagination imewaingiza watu wengi kwenye mahusiano, lakini uhalisia umefanya mapenzi mengi yavunjike.
8
30
170
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Kuna muda tunacheka tukikumbuka zile siku tulizolia bila tumaini. Na kuna nyakati tunalia kwa kukumbuka zile siku tulizofurahi kweli.. Maisha yamenifundisha kuheshimu nyakati.🙏
1
29
169
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Mwambie Mungu shida zako, yeye hato screenshot. Lia na malaika wako, wao hawataenda kukutangaza kwenye ma group usiyokuepo.. Mnyenyekee aliyekuumba, yeye hatokuona chawa wa mtandaoni.. Usiwafurahishe wanaopenda maumivu yako.
4
32
167
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Mwanamke hatongozwi Dingi lai. Jali vipaumbele vyake, yeye ajali hisia zako. Mfanyie hisani, yeye atatafsiri ni upendo. Wanawake Wana huruma? Ni kweli. Nathibitisha haya nikikumbuka story ya muuza nyama, aliyetunukiwa penzi kwasababu ya kumuongezea mfupa. HISANI.👍
7
31
170
@AziziKasese
Azizi Kasese
1 month
Baada ya kukaa chini na kutafakari mbona mambo yetu hayaendi, tuligundua bado tuna vinyongo vya nafsi. Tuligundua wale waliotukosea bado tulikesha kuwaombea mabaya.. Sasa tumechagua kuwa weupe wa roho, tumesamehe waliotukosea.. Sasa hatuna tena mizigo ya chuki moyoni..🙏
1
49
169
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
MAONI YASIYOVUTIA. Wanaume wa kileo tunatumia nguvu kubwa mara 3 waliyotumia Babu zetu kupata wanawake waliozidiwa tabia njema mara 10 na bibi zetu.
5
26
167
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Uwezo wa kutatua shida zangu bila kumsumbua yeyote. Moyo wa kupokea maumivu hata kutoka kwa wale ninaowaamini. Nafsi ya kukinai nisichoweza kumiliki. Afya isiyonikweza mbele ya wagonjwa, mafanikio yasiyonijengea kiburi. Na mwisho mwema, baada ya pumzi zangu. Mungu nisaidie🙏
4
50
167
@AziziKasese
Azizi Kasese
3 months
Kwa kirefu, siku nikipata kalamu nitawaeleza miujiza niliyotendewa. Ila kwa kifupi, yule aliyeombea anguko langu, HAKUFANIKIWA.
0
29
165
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Kuna tofauti kubwa kati ya niliteseka nae, na nilikua nae wakati anateseka. Tofauti kati ya nilimvumilia mno na nilibaki nae kwasababu nampenda. Mwanamke akiamua kuelezea ushindi wako, ikumbuke historia yenu..
1
38
163
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Kwa bahati mbaya maisha hayakusubiri uwe sawa.. Unapaswa kujiponya nyakati ambazo unakutana na vidonda vipya. Unapaswa kujisamehe muda ambao unafanya makosa mengine pia. Aliniambia John Lennon, maisha ni kile kinachotokea pale unapokuwa bize kupanga vitu vyengine..
1
43
164
@AziziKasese
Azizi Kasese
1 month
Tatizo la Matajiri, Hawapendi Masikini wapate hela. Tatizo la Masikini, wanapenda Matajiri wakose hela. Hata mimi, nimejifunza usichokielewa..
3
32
164
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Uwezo wa kusema SINA pale unapoombwa kilicho juu ya uwezo wako.. Uwezo wa kuishi ndani ya kipato chako bila kuogopa kuitwa bahiri. Kuruhusu mambo mengine ya kupite, kwa kuepuka sifa za kijinga. Sio uchoyo/ubinafsi bali ni kuishi kwenye bajeti na mfuko wako..
3
42
162
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Maisha yanataka uwe muongo mbele ya wasiopenda hatua zako.. Yanataka uwe muigizaji kwenye maisikio yanayokutangaza ubaya. Yanahitaji uwe loyal kwa wenye huruma na harakati zako.. Vinginevyo na hapo maisha ya pretend, hayatakusaidia..
2
45
163
@AziziKasese
Azizi Kasese
3 months
Mungu alimpa nafasi Israel awe malaika mtoa roho, lakini alimnyima Nabii Mussa kuwa mtoa riziki Kama tunadhani kifo ni fumbo, Basi kupata na kukosa kwetu ni zaidi ya mtihani. Imefichwa siri kubwa sana kwenye kupata fungu letu. Ndio maana, kifo kina tafsiri ya mwisho wa riziki.
6
33
160
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Unapoenda kulala leo usiku mwambie Mungu, Jua linapozama ninakuomba likazame na yote yaliyoniumiza Leo. Nimeweka kila maumivu na uchungu mikononi mwako.. Ili kesho nianze siku yangu nikiwa na furaha na nguvu mpya.. Amein 🙏
1
48
158
@AziziKasese
Azizi Kasese
3 months
Wanawake Wana masaa 25 kwa mtu wanayempenda. Na Wana sekunde sifuri kwa wasiyemuhitaji.. Kumbuka hili, kila muda anaokwambia. "NIPO BIZE"
2
24
158
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Aliyesomea sheria kesi yake ya kwanza kuisimamia huku uraiani, mteja wake amehukumiwa kifungo cha maisha jela. Mdada aliyekubali kuolewa na Mzee Ili arithi Mali, ametangulia kufa yeye. Kitaalamu inaitwa, ANGUKO LA MATAMANIO.
6
27
162
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Kuna mahala yule rafiki yako, kaulizwa kuhusu uwezo wako, kajibu "Huyo muacheni, atawaharibia Kuna sehemu yule twin wako anamwambia mpenzi wako jinsi ambavyo hujatulia Yule best yako anayekwambia muamini Mungu, amekuendea kwa Mganga Kwenye kila rafiki kuna Adui unayemkumbatia.
4
50
161
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Inakuja siku, Wasiotujua, majibu ya Dua zetu wataita BAHATI. Wasiotufahamu, matokeo ya jasho letu, watasema TUNABEBWA. Wasiotupenda, riziki itakapokuwa upande wetu baada ya msoto, watahusihanisha na USHIRIKINA. Wasichokijua ni Mungu ndie aliyeshika kalamu ya ndoto zetu.🙏
8
44
158
@AziziKasese
Azizi Kasese
6 months
Asanteni wanawake wote mnaotuelewa.. Hamtupi presha ya ndoa, kwasababu ya sauti za mtaa kuwa umri unaenda.. Mnaishi kwenye kipato Chetu kidogo, bila kujali post za bata za rafiki zenu.. Na kubwa kuliko mnaheshimu kinachotupa riziki, Asanteni mno.❤️🙏
1
40
157
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Kuna waliotukosea wanajishtukia kwenye kila hatua zetu. Status zetu wanajiona wao, story zetu wanahisi tunawalenga wao. Simu zetu hawaokoti, na wao hawatupigii, kwasababu hawana cha kutueleza. Wanaishi kwenye gharama ya kuvunja uaminifu tuliowapatia..
4
46
154
@AziziKasese
Azizi Kasese
6 months
Maisha baada ya shule, kuna walio olewa/oa, kuna wenye mishe, na wanaoendelea katafuta tobo. Kuna waliokwenda nje ya nchi, Kuna waliorudi kijijini kulima Ukizungumza na classmate wako, chagua kuwa muoga, mpongeze kwa kubaki hai mpaka sasa Maisha si rahisi kwa kila mmoja wetu🙏
4
32
149
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Kuna makofi utapigiwa yakimaanisha maliza kuongea. Kuna pongezi utapewa zikimaanisha endelea kupotea. Kuna zawadi utatunukiwa, zikimaanisha endelea kubweteka. Ukiwa mtu wa kuongozwa na sifa, Kuna watu watakutumia Sifa zikiishi kichwani, majivuno yataishi moyoni. Kuwa makini🚨
6
41
145
@AziziKasese
Azizi Kasese
3 months
Njia pekee ninayotaka kuitumia ili watu wajue Nina hela.. ni namna watakavyomuona mke wangu..
3
31
144
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Jana wakati natoa salamu zangu za mwisho kwa Gardner, Captain.. nilijifunza vingi sana kuhusu kifo. Lakini ilinitafakarisha sana pale nilipomuona kipofu, nae kaja kuaga.. Hapo ndipo nikathibitisha, Wema ni lugha ambayo kiziwi husikia, na kipofu huona.. Wema ni akiba ya kweli🙏
Tweet media one
2
28
145
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Hatukuwahi kuwaombea yawapate mabaya kama yetu, ingawaje walituona sisi wazembe Hatukuwahi kufurahia anguko lao, japo walituita wajinga Mitihani ya Mungu na wao wakapitia majaribu kama yetu Na sasa ndo wanajua kumbe sio swala la jitihada na akili, kuna muda inatangulia bahati
4
38
141
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
We bado sio mbabe kama huwezi kuomba radhi pale unapokosea. Wewe ni dhaifu sana kama ujanja wako ni kudhulumu jasho la wenzio. Wewe bado huna nguvu, kama kupanda kwako ni mpaka ushushe wengine. Ushindi mkubwa wa maisha ni ule wa kuishinda nafsi yako mwenyewe.
4
45
143
@AziziKasese
Azizi Kasese
6 months
AJIRA- Ni kitendo cha kwenda kuishi ofisini na jioni kurudi kutembea nyumbani kwa maisha yako yote ya ujana, kisha ukizeeka wanakwambia usije tena. LIKIZO- ni ruhusa ya kutofika kazini anayopewa mtumishi kila mwaka ili kumkumbusha kuwa kampuni inaweza kuendelea kuwepo bila yeye.
3
45
142
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Shule ya secondary niliyosoma, haikunitengeneza kuwa mwanafunzi bora, Bali ilinitengeneza kuwa kijana mwema kwa jamii..🙏
4
26
143
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Rafiki atageuka Adui, kama atataka kufanana kila kitu na wewe..
5
31
140
@AziziKasese
Azizi Kasese
1 month
Nimefurahi Leo, yule mwanamke niliyekuwa namtafutia sababu, amefanya kosa la kweli la kumuacha..😅
2
15
141
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Mavumbini, yupo baba aliyeleta hali na matumaini nyumbani. Yupo mama, aliyekua anapoteza usingizi wake usiku wa manane kutuombea dua. Mwisho, chini ya ardhi yupo boss aliyetuambia akitoka katika kitanda cha hospitali kila kitu kitakua shwari kuhusu ile kazi. Kaburi..🙏
3
36
141
@AziziKasese
Azizi Kasese
2 months
Mwambie huyo dada, tupo kwaajili ya kutatua majukumu yetu na sio tamaa zake.. Akitaka tumpeleke vacation Dubai, wakati uwezo wetu ni Zanzibar, hizo ni tamaa zake. Akiingia period akahitaji pedi, akiumwa akahitaji hela ya matibabu, hayo ni majukumu yetu. TAMAA VS MAJUKUMU YETU.
4
32
140
@AziziKasese
Azizi Kasese
20 days
Mwanangu Castro, huwa ananiambia, MAFANIKIO YANANUNULIWA KAKA. Kauli kali sana, yenye ukweli ndani yake.. Ili mafanikio yatokee, yakikosa bahati, kujuana, unauziwa na washika dau. Juhudi ni kapaumbele, ila hakitoshi.. Zama hizi Connection zinauzwa..
4
17
139
@AziziKasese
Azizi Kasese
5 months
Tusameheni mnaotupenda na hatuoneshi kujali, Mnaotushirikisha vitu na bado tunajitenga, Mnaotupa sikio na bado tunawaficha mambo yetu. Hatufanyi hivyo kwa kupenda. Baadhi yetu tunahukumiwa na historia, tuliwahi kuwaamini watu wakatupakazia ubaya, na sasa tupo kama walivyotaka.
4
42
136
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
"Nakuja lakini hatufanyi kitu" Kitaalamu, hapa mwanangu tayari unakuwa mbele kwa goli moja..😂
5
9
137
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Utakutana na watu wenye vinywa safi lakini mioyo yao inanuka Marafiki watakao lipia bill zote za baa, lakini hawatashika simu utakapopatwa na tatizo nje ya ulevi Washikaji mtakao kwenda mezani kwaajili ya matumbo yenu. Lakini hawatakusindikiza kaburini kwaajili ya mwisho wako.
0
36
134
@AziziKasese
Azizi Kasese
3 months
Kama una mahusiano na dada yangu, ikatokea amekuumiza moyo wako.. Tafadhali, usimpe kiapo cha "Kaka yako na yeye yatamkuta kama uliyenitendea" Mi sihusiki na ugomvi wenu, Msinihusishe..🙏
7
25
135