@mfa_tanzania
MFA Tanzania
2 years
Kundi la wanafunzi 11 waliokuwa wamekwama Summy nchini Ukraine wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Balozi Frederick Kibuta na Maafisa Ubalozi baada ya kuwasili Moscow nchini Urusi salama
Tweet media one
Tweet media two
16
40
167

Replies

@Wansakya
Magubhu Magessa
2 years
@foreigntanzania @SwahiliStreet Ni wote sasa wamemalizika ama bado kuna wengine?
0
0
0
@SwahiliStreet
Peter Bofin
2 years
1
0
3
@davidlenga2015
David
2 years
@foreigntanzania Mungu ni mwema
0
0
1
@Rajab_M_M
none
2 years
0
0
2
@dna_bongo
Levocatus Mganga
2 years
0
0
2
@Ago_Francoo
AgoFranco
2 years
@foreigntanzania @ThabitSenior Hongereni sana kwa hatua hii, Mungu awabariki. Sikukubaliana na utaratibu mlioutangaza kuutumia, lakini jitihada zenu zimezaa matunda , mnisamehe wote mliokwazika🙏🏼
1
0
0
@boanerge98
sakurlany
2 years
@foreigntanzania Tunawapongeza Kwa jitihada zenu, ijapokua bado Kuna raia wengine kutoka Tanzania wamekwama Ukraine, tunaomba juhudi Zaidi kuwaokoa na kuwakutanisha na familia zao.
0
0
5
@RakEshThePlanet
RakEsh Kambaulaya ♍
2 years
@foreigntanzania I wish to see my young brother here 😢
0
0
2
@smdartz
Sam Mann
2 years
@foreigntanzania Hongereni sana
0
0
2
@worlddidis4
George Kyoryky
2 years
0
0
1
@SambekeB
Kidimbwi
2 years
0
0
1
@Boss12De
De. Boss12
2 years
@foreigntanzania It's 2xpensive 2bcome poor. Sent as received.
0
0
0
@andy_jd3
Smart and blessed.
2 years
@foreigntanzania Yule mtoto asiyejua jina hata Moja la chuo hapa tz! Though kasoma hadi advance hapa hapa bongo! Vipi yupo hapo?
0
0
0
@RashidHamis17
harith rashid☆
2 years
@foreigntanzania BIG UP SANA URUSI.👍👍👍😀😀✔✔
0
0
0