Baada ya majadiliano ya muda mrefu na Rais Eng Hersi Said, Leo mdhamini na Mfadhili wa
@YoungAfricansSC
GHALIB SAID MOHAMMED โGSMโ AMEKUBALI KUJENGA UWANJA WA KISASA WA YANGA, Makao Makuu ya Klabu, Jangwani ๐๏ธ
Wananchi Leo Sokoine wimbo ni mmoja Tu .. GSM GSM GSM ๐คฉ