US Embassy Tanzania
5 days
Balozi Michael, Battle, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, na Teknolojia Omari Juma Kipanga na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania Dk. Mboni Ruzegea, wamezindua rasmi Kituo cha Kimarekani katika Maktaba ya Mkoa wa Dodoma, jijini Dodoma, mji mkuu wa Tanzania.