@Mapungo2020
Huu ni utovu wa nidhamu Katika Imani za watu sio Sawa kabisa ili Jambo Yani hata aliepiga pic hii amekosea Sana maana mavazi hayatafsili Imani ya MTU Ila Kwa mtazamo wa mtoa post hii yupo upande wa Imani iliyokosea Kwa kuwa hapo buchani! For me sio Sawa kabisa haijakaa poa post
@Mapungo2020
Kitimoto imepigwa sanctions kila kikicha lkn vikwazo vinawarudia wapiga vikwazo, ni kama vile walimpiga urusi vikwazo mwishoni vimewageukia