Pikagi
Popular Tweets
About
Privacy Policy
Removal Request
Hugger-In-Chief| Chidinma| Zora the Explorer|
@KhethiweAS
2 years
Cha muhimu ikutoe point A to B na usinyeshewe na mvua.
13
4
206
Download
Replies
Daktari Wa Manesi 💉💊
@McinikaWaLamar
2 years
@EASarakikya
Haka Kagari ukikanyaga BiG G barabarani kanakwama 😂
3
1
113
LELLOO 😎
@thomaskelvinee
2 years
@EASarakikya
Ukishukaa umu unatakiwa uwe ume drip washangae gari na wee piaa😂
0
0
1
NesiMkunga
@NesiMkunga
2 years
@EASarakikya
hiki niki toolbox cha scania au yutong sema siku hizi wameboresha sana ma-toolbox
0
0
2
ɱTαɳɠαɳყιƙα❄
@tanganyika_m
2 years
@EASarakikya
kikikutana na magari mengine kitathubutu kukatiza kweli au hadi kishikwe mkono🤣
1
0
5
DIEGO
@Baracah_a_B
2 years
@EASarakikya
Hii ndo ile gari ya kufanya exchange na I phone 6 😂😂😂
0
0
0
Baracks.
@BarackOkombo
2 years
@EASarakikya
I know it's only me,but the wetness I get while am being rained on..I like the feeling.
0
0
0
🚀Spea Used Dubai/Japan
@muhabengah
2 years
@EASarakikya
Haunyeshew na mvua ila utasombwa na mvua na ww ukiwa ndan na hutaamini
0
0
0
le grand Mgosi👴🏿
@charlemgaya
2 years
@EASarakikya
😄😄 haka unamuachia beki tara anakachanya na vyombo akaoshe...
0
0
0
Gundelinda Mushy
@MushyGundelinda
2 years
@EASarakikya
Nisikutane na hii gari nikiwa na watoto. Wanalilia wanadhan n kakuchezea
0
0
0
hurryGun🔫
@6xtus
2 years
@EASarakikya
Mbona kinae port ya Usb C.. how mini is This car??
0
0
0
MMAREKANI
@bway_de
2 years
@EASarakikya
Hiki kinaruhusiwa kutembea barabarani
0
0
0
MzeeWaMiba📌
@bady______
2 years
@EASarakikya
Mbana kama kichwa cha treni mbele ni wapi
0
0
0