Kuna time tulitoka date na coolkid flani, tukachukua cab, imdrop kwao alafu mimi mtaani.
kufika kwao akasema "This is me."
Mimi nikadhani anasema This is me azin that is how she is always is in terms of her personality.
Nikajibu This is me too and you are yet to see more.
@IamHumbaba
Mimi kuna mwenye tuliwai enda na yeye sarova shabba tukiingia tukapewa hot towels sikujua niza nini nilidhani mnakaribishwa juu ya jua mpanguze the oily skin mtu wangu sijai chomeka hivyo uzuri nilikuwa nimeachwa nyuma huyo waiter alikuwa anajishikilia juu ya kucheka