@IamHumbaba
Hum Babah
3 years
Btw Kunakuaga na some nice Kenya music za Kukashifu matendo mbaya za Gava na Kuitisha good governance. Mainstream Media ilikataa tu kuziplay. The songs , most ni more than 3 years old but their message bado ukua relevant. Acha nimake thread kiasi yao plus their youtube links
57
656
1K

Replies

@IamHumbaba
Hum Babah
3 years
First Sheria by Sarabi band Ft Juliani Hii ngoma uongea tu ukweli From "Nalipa tax, na hata siwezi afford kupanda taxi" ukiangalia kwanza vile Tax imeongezwe plus the video was top notch Alafu kitu ingine also says how wananchi misbehave
7
59
172
@IamHumbaba
Hum Babah
3 years
2. Nitabaki na nini Sarabi, Juliani, Hart The Band, Teardrops,Gachago and Berry Inasema hao Politicians Wakiiba na waue watu sisi wananchi tutabaki na nini bana
3
38
106
@IamHumbaba
Hum Babah
3 years
Tumechoka - Sarabi, Mufasa, Teardrops, Majimaji and Juliani "I wonder ka Turkana kuna bar,..... ni moja na ni baa la Njaa" Mufasa's line "Mr minister, stealing money to make a 5 star, You would be a start by making a cancer facility"
3
37
99
@IamHumbaba
Hum Babah
3 years
System ya Majambazi - Mashifta Hii hata haitaki ata Kuongezea kitu
1
33
92
@IamHumbaba
Hum Babah
3 years
WanasiaSa - Kitu Sewer Ft Frank Mteule Jiskizie tu
3
32
72
@IamHumbaba
Hum Babah
3 years
Mr Politician - Virusi Mbaya ft Red acapella This Spoken word Piece that made Virusi a Slam Poetry King inagusia tu vile Kenya ni mashida ziko from Judiciary to Politicians kutupee 50 bob siku za campaings
5
28
72
@ItsMarvynn
Marvine
3 years
@IamHumbaba Am Offended- Small Lethal
1
18
58
@IamHumbaba
Hum Babah
3 years
@ItsMarvynn Thanks, Nilikua niongeze. Hii kwanza inakuaga na maukweli kibao ukijua the reality ya Kisii County
1
2
14
@adweshdc
DC
3 years
@IamHumbaba Angalia Saa
1
5
20
@IamHumbaba
Hum Babah
3 years
@adweshdc Thanks, Nimeiseti uko juu
1
0
2
@orangij3
Mwananchi Local
3 years
@IamHumbaba @Osama_otero Usikasahau UTAWALA by the man himself @JulianiKenya
1
1
8
@IamHumbaba
Hum Babah
3 years
0
0
1
@muteesocrates
Matthew
3 years
@IamHumbaba @1victormutero Brathe hii thread imeweza mbaya. Sijaona Wajinga nyinyi.
1
1
9
@IamHumbaba
Hum Babah
3 years
0
0
2
@PaulKinoti254
Mkulima Mdogo🇰🇪
3 years
1
2
6
@IamHumbaba
Hum Babah
3 years
@UnclePaul_Kenya Ayayaa Big one Btw.
0
0
1
@ThatInadiGuy
Elliot Sanka #x416152
3 years
@IamHumbaba Ythera - Ahadi
0
3
11
@Attoty
goofman
3 years
@IamHumbaba Sitasimama maovu yakitawalaa......
0
1
2
@EdgarKaveli
Edgar Utopia
3 years
0
1
2
@mbugua_ibau
F.i.l.b.e.r.t. #RejectFinanceBill2024
3 years
@IamHumbaba Tujiangalie sauti sol
0
6
27